JINSI YA KUOMBA MKOPO ELIMU YA JUU DIPLOMA NA DEGREE BODI YA MIKOPO ELIMU YA JUU 2024/2025 HESLB

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 лют 2025

КОМЕНТАРІ • 19

  • @LakeTrans
    @LakeTrans 4 місяці тому

    Nimeingia kwenye guarantor page inanigomea shida nn jaman

  • @ringolizm16
    @ringolizm16 5 місяців тому

    oya inakuwaje...Nimetengenza Tayr Account Lakin kil nikitaka ku logging in inznguwa Inasem No active Account ........ nisaidie nifanyeje

  • @VFX081
    @VFX081 17 днів тому

    Mm nikiweka namba ya verification code kutoka Rita naambiea Rita details not found nifanyeje???

  • @RebeccaNyigana
    @RebeccaNyigana 5 місяців тому

    Mbn nimelipia alafu wanaonesha sijalipia bado

  • @Bubermersie
    @Bubermersie 5 місяців тому

    Kwani lazimq uwe na namba ya nida??

  • @Abdulkarimnuru
    @Abdulkarimnuru 6 місяців тому +1

    KWA NIN UMESEMA TUSITUME MAKAL NGUME KWENDA BODI YA MIKOPO

  • @FerdnarndChristopher
    @FerdnarndChristopher 7 місяців тому +2

    Teacher mbona mwongozo huo wa kupata mkopo ni mgumu sana maana kuna wengine taarifa za wazazi hatuna. Mzazi alifariki na kuzikwa kienyeji bila cheti kutoka RITA sasa sijui tunafanyaje ili kupata cheti hicho

    • @teacherd
      @teacherd  7 місяців тому

      Jaribu kwenda Lita nadhani kuna utaratibu Wa kufanya

  • @jfmaziku
    @jfmaziku 8 місяців тому

    Ambao wanasubiri matokeo wanaruhusiwa kuomba mkopo kabla matokeo hayajatoka kama ana uhakika atafaulu?

  • @CosmasPaul-jp1yl
    @CosmasPaul-jp1yl 7 місяців тому +1

    Teacher kwani dirisha la mkopo kwa sisi form six tuliomaliza limefungukiwa pia?

    • @teacherd
      @teacherd  7 місяців тому +1

      Kuomba MKOPO maana yake unaweka location ya chuo kusudi ukija uende kama ni UDOM au udsm nk.. kwaiyo mliomaliza form six bado nyie hamna shifa ya kuomba kwa Sasa..

  • @hasanihozza2243
    @hasanihozza2243 7 місяців тому

    Nimepangiwa diploma in pharmaceutical science je naweza kupata mkopo?

  • @CosmasPaul-jp1yl
    @CosmasPaul-jp1yl 7 місяців тому

    Pia na wale waliomaliza mwaka jana form six nao inakuaje ambao hawakuenda chuo wala kupata mkopo teacher?

    • @teacherd
      @teacherd  7 місяців тому

      Wako wapi saivi?

  • @Fantastic.-gm1eo
    @Fantastic.-gm1eo 7 місяців тому

    Wa diploma wanatiwa moyo ama ni kweli watapewa mkopo?

    • @teacherd
      @teacherd  7 місяців тому

      Ndy wakasome MUONGOZO Wa MIKOPO kwa diploma ushatoka

    • @CosmasPaul-jp1yl
      @CosmasPaul-jp1yl 7 місяців тому

      Vp dirisha limefunul8wa au

  • @ringolizm16
    @ringolizm16 5 місяців тому

    oya inakuwaje...Nimetengenza Tayr Account Lakin kil nikitaka ku logging in inznguwa Inasem No active Account ........ nisaidie nifanyeje