Diamond anaingiza mabilioni ya mkwanja, lakini, utashangaa alivyo ‘busy’, ratiba yake sio kwa wavivu

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 24 гру 2024
  • Tufuate kwenye Ukurasa wetu wa Facebook kwa kubonyeza link hii - / simulizinasauti

КОМЕНТАРІ • 233

  • @hsunofficial
    @hsunofficial День тому +39

    SKY, Umetisha sana
    Hakuna media nyingine inayoweza kusema kama uliyoyasema leo hongera sana nakukubali kazi nzuri 🎉

  • @yusufunguruko8080
    @yusufunguruko8080 6 годин тому +5

    Media nyingine zingesubiri afe ndio zijekusema hayo siku ya msiba - hongera sana. Sky.

  • @MILLY-TEC
    @MILLY-TEC День тому +63

    ni media pekee Tanzania inayoweza kumpa mtu mashavu yake na kuwa very real na kuleta kama inspiration kwa vijana, BIG UP

  • @DannyWiston-xo4hx
    @DannyWiston-xo4hx День тому +42

    Huyu jamaa ni hard working for really

  • @panchovalentino3576
    @panchovalentino3576 3 години тому +1

    Diamond Platinum Ni Mmoja TU 🔥💪💯🎶🎼🎵🔊✔️🔝

  • @josephvenus3259
    @josephvenus3259 13 годин тому +6

    Dah! Nimejiona kama nacheza na sifanyi Kazi ipasavyo😢😢 Mungu nijalie kujituma zaidi ktk Kazi zangu

  • @djachichi254
    @djachichi254 День тому +14

    ndo maaana nakupenda bro my only madia personality ambae hana baya big up bro

  • @StarMerinyo
    @StarMerinyo День тому +25

    Ni kweli kabisa diamond ni hard working ile mbaya 💪

  • @RamadhaniMshana-gk6vm
    @RamadhaniMshana-gk6vm День тому +18

    Bro sky umetisha🎉🎉🎉

  • @Anthonyzombie-d2s
    @Anthonyzombie-d2s 21 годину тому +7

    Yul babu king na mmakonde hawajapend ,mondi ni fire❤❤

  • @stanslausjohn8791
    @stanslausjohn8791 День тому +22

    Huyu ni Elon Musk ajaye Simba la Masimba mwamba kabisa Dangote 🔥🔥

    • @emmakicham4664
      @emmakicham4664 День тому

      Aty Elon😂😂aki wtz😂😂😂do you know how worth Elon is😂😂😂😂😂😂 mnapenda kujiabisha na kudanganya pesa mmelipwa😂😂😂😂😂

    • @AllyNzisabira
      @AllyNzisabira 21 годину тому +1

      ​@@emmakicham4664ko wewe imekuuma Nini ?😂😂😂 Kwani wew Elon Musk ulikua unamfahamu kabla ya kuwa Tajiri? Hivi huo utajiri alizaliwa nao? Acha ujinga

    • @sulleymernmannarah7930
      @sulleymernmannarah7930 19 годин тому

      ​@@emmakicham4664hvi ukianglia life ya Diamond b4 unadhan angfka hpa alipo kila ki2 n Iman na bdii alkua kapuku Leo hii Robo ya Dunia inamfham ww umekaa hpo kma Willy Paul

    • @IkoUwasi-it6qy
      @IkoUwasi-it6qy 16 годин тому

      ​@@emmakicham4664kila mtu na mawazo yake we umemjua mwaka gani huyo Elon we una uwakika hizo pesa anazo je wanaosema tajiri namba Moja ni WA wapi lini ulisikia marekani wanaosema Kuna masikini namba Moja duniani yupo marekani

    • @Mrp_manguluwe
      @Mrp_manguluwe 7 годин тому

      Sahihi kabisa

  • @victorwhitte
    @victorwhitte День тому +47

    sidhani kama hata anapata muda wa ku-enjoy pesa zake. Mm nisingewez, kila siku ningekuwa Kidimbwi 😂😂🤣🤣...

  • @kibibisafi3331
    @kibibisafi3331 День тому +6

    Thank for your information ❤

  • @othinielkamyola3697
    @othinielkamyola3697 День тому +16

    HUYU JAMAAA NI HATARIII KAAAA😂😂😂😂😂❤❤❤❤ HACHOKI AISE I GOT A POINT🎉🎉🎉🎉

  • @chai_r
    @chai_r День тому +20

    Someone check on Eric Omondi na wivu wake. 😂😂😂

  • @maxwellvangulinja
    @maxwellvangulinja 19 годин тому +6

    Kaz Kaz 🙌🙌🔝...just like u..nasikia na ww unakeshaaa kutengeneza content big up lets all keep pushing hard

  • @aaa64sa13
    @aaa64sa13 День тому +9

    Very Busy..BigUp Bro Sky...@🦁🇹🇿❤️

  • @emmilemalewa4257
    @emmilemalewa4257 День тому +15

    Pamoja na yote kijana yupo na heshima na very humble

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 День тому +27

    Diamond ana fanya kaz huku harmonize yuko bize na MATAKO😂😂

  • @Iamsasboy
    @Iamsasboy 17 годин тому +2

    Asante sana brother Sky kwa inspiration na mm nitajituma na kufanya kazi kwa bidii 2025 💪

  • @raystudio7563
    @raystudio7563 День тому +9

    na akiachia ngoma ina hit hatari🔥

  • @Movancreiter
    @Movancreiter День тому +9

    Bro sky huna baya kakaangu,umesema ukweli kabisaaaaaa❤

  • @dayana5513story
    @dayana5513story 19 годин тому +6

    Sky hakika umechaguliwa na Mungu media yako unaitumia vyema si umbea na uwongo,I can't imagine siku unapewa interview na diamond sijui kama utalala😂 iliupate majibu ya maswali yako,God bless you

  • @kafitiwilliam8358
    @kafitiwilliam8358 День тому +11

    Safii sana

  • @hanscmakerdm9943
    @hanscmakerdm9943 День тому +12

    Very hard working mshkaj

  • @hasanindago
    @hasanindago День тому +8

    Nimependa sana skay

  • @kevinmosha8540
    @kevinmosha8540 12 годин тому +1

    After the Late Chuma...this is another fellow Tanzanian that motivates me to keep pushing harder.....#KeepingItMoving 👊🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽

  • @AFRICA_D669
    @AFRICA_D669 День тому +9

    Naona leo upo home vile..sikukuu hizi😊tukaribishane kaka😊..karibu kwenye sikukuu nyumbani mbezi beach africana🙏

  • @Rukaka_jr
    @Rukaka_jr 11 годин тому +3

    Watu wanampiga vita lakn mwenyezimungu anazidi kumpa tu, imagine wakenya walimtukana kusema hawamtaki kenya lkn ALLAH kampatia riziki yake tena hukohuko kenya 🇰🇪, yan kama ipo ipo tu ukiziba hapa mungu anakupa kupitia kule

  • @azizahuruma7463
    @azizahuruma7463 День тому +11

    🙌👑🇹🇿 diamond

  • @zuleikhakhamis3303
    @zuleikhakhamis3303 День тому +6

    Leo kweli Sky umeongea ubarikiwe nahic Subs... wataengezeka kwa hili chukua🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @zachariamishai7258
    @zachariamishai7258 День тому +4

    Sky hongera naona kabati hpo nyuma angalau Ina tuzo kadhaa 😊😊

  • @chunanachu2529
    @chunanachu2529 День тому +21

    Watu wanshindwa kufanikiwa kwa kumuangalia mtu kwakuiga juhudi zake ....ila wanatanguliza chuki na wivu. ...

  • @shadiwaigwa9230
    @shadiwaigwa9230 День тому +5

    Hard work pay's, Diamond is a star

  • @KUSINIFINEST
    @KUSINIFINEST День тому +6

    ni mfano Bora WA kuigwa🔥🙌🏽🙌🏽🚀🙌

  • @omranalbarwani7190
    @omranalbarwani7190 12 годин тому +2

    Sky anaongea fact nampenda sana lakini wale wenzake asa ivi wamekuw wambea sana😂

  • @magrethmagonza186
    @magrethmagonza186 День тому +4

    SKY nimekupenda bure you are very true. People wanpaswa kufuata nyao za u busy badala ya kumbeza halafu wanasema hawezi nunua ndege huyu kwanini asiweze na kazi anachapa. Bogo maasui watapata ugonjwa wa moyo maana jamaa hanantime ya kupoteza kwake time is money

  • @mzeezidane4060
    @mzeezidane4060 День тому +4

    Brother sky on point 👉

  • @mrsinia3064
    @mrsinia3064 12 годин тому +2

    Duuh! ndiyo maana hanenepi 🤔🤔

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 10 годин тому +1

    Shukran sana kaka sky umeongeya kwe tup

  • @gabbyhenrgy1157
    @gabbyhenrgy1157 16 годин тому +1

    MSIFIE MTU KABLA HAJAFA LEO SnS MMEMTENDEA DIAMOND HAKI. Siku za nyuma mlikua mna MDISS Sana MWAMBA. Jamaa Ana hamasisha KUJITUMA 💯 ni mfano mzuri ktk hilo, itoshe kusema mabaya yake yapo lkn hakuna alie mkamilifu pia mazuri yake asifiwe 👏🏼👏👏🏿

  • @angelicagulake3361
    @angelicagulake3361 21 годину тому +2

    Diamond is pronouncing, right Smarter!!With the SWAG we are blaack!! We say with the swagger

  • @Jaysofa87
    @Jaysofa87 День тому +4

    Sahihi kabisa mwamba kazi anafanya

  • @TwigaFashions
    @TwigaFashions 9 годин тому +1

    It’s true is working hard

  • @yusufunguruko8080
    @yusufunguruko8080 6 годин тому +2

    Wakati Simba ratiba yake iko tight hivyo kikazi Harmonize anahangaika kufanya kiki za kurudiana na Kajala - daah ! hii Dunia kweli tunatofautiana sana kimitazamo.

  • @benjagaspar5304
    @benjagaspar5304 20 годин тому +1

    Mond.fid q.young killer wanamchango mkubwa sana kwenye maisha yangu so mungu awape maisha marefu.asante🙏

  • @azizahuruma7463
    @azizahuruma7463 День тому +7

    🙌🙌🙌🔥🔥🔥🔥👏👏👏

  • @ronzevannyboychui1661
    @ronzevannyboychui1661 18 годин тому +1

    Ila huyu jama sidhani kama ana mda wa kulala ila mim namuombea kwa múngu ampe maisha malefu kabisa ❤❤❤Endelea hivo kabisa nasi tutapata kupitia wewe❤❤

  • @collinsnyoro1450
    @collinsnyoro1450 18 годин тому +3

    Lion to the world, +254 tunampenda sana, mtu yeyote ambaye anamchukia mondi ni mvivu wa maisha.

  • @ramayonline2281
    @ramayonline2281 День тому +6

    Alaf kuna yule anayemuiga Wizkid bomboklaaa😂😂😂😂😂

  • @AljabirMshihir
    @AljabirMshihir 21 годину тому +2

    Bro sky❤❤

  • @osoromageta3381
    @osoromageta3381 9 годин тому +1

    Pozzee anasemaje sasa

  • @othmanibnabdullah
    @othmanibnabdullah 14 годин тому +1

    Hayo mambo wasafi media huwezi kuyakuta Hii ni inasikitisha sana yaaan!

  • @johnmwasilu7087
    @johnmwasilu7087 День тому +11

    Hii Mwijaku hawezi kuipenda kabisa 😅

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 10 годин тому +1

    Sky 🎉🎉🎉

  • @malkavoice2570
    @malkavoice2570 День тому +4

    Nakuelewa sana Sky kwa hili la Mondi umezungumza kwa hisia moja makini mno.👮

  • @dausonerick5159
    @dausonerick5159 День тому +7

    Mm wa kwanza gonga like

  • @SwaleheSaad
    @SwaleheSaad 17 годин тому +2

    sky media yako iko real sana sema kuna mwana mmoja hv ana vindevu ndevu huyo ni timu konde na pia anauleta utimu mpaka kwenye vipindi

  • @soundmale
    @soundmale 18 годин тому +1

    Daa huyu diamond nilidhaaga na muelewa sana mm tu..kumbe kuna watu wanaweza ng'ata mtu kwajili ya diamondi😂

  • @ebengapierre8826
    @ebengapierre8826 17 годин тому +1

    skaï 😂😂😂😂😂 mwamba 🎉🎉🎉🎉 nakupa mahuwa Yako 💪💪💪💪🙏🙏🙏

  • @Ibrahim-ne3in
    @Ibrahim-ne3in 21 годину тому +2

    Nidhamu ya pesa...Heshima Kwa watu wote jamaa Hana Dharau kabisa...anachokipata ana deserve

  • @AllyNzisabira
    @AllyNzisabira 22 години тому +2

    Kuna watu hawajapenda Sky kufanya hii kitu 😂😂😂😂😂

  • @maryannemwangi168
    @maryannemwangi168 8 годин тому

    hardwork pays

  • @josephmabula9658
    @josephmabula9658 День тому +2

    Safi sana sky,wewe ni mtangazaji

  • @LaurentChacha-h3l
    @LaurentChacha-h3l День тому +2

    Jamani pozee nimemwalika harusi yang ntamlipa vzuri 😂😂😂😂😂

  • @ntezealoyce7043
    @ntezealoyce7043 3 години тому

    Big up sky umenena

  • @Charles-m2s
    @Charles-m2s День тому +5

    Kwakwel kwanza anasaidia wat

  • @lauboradangotetz4541
    @lauboradangotetz4541 День тому +4

    4the first seen like it😇

  • @malkavoice2570
    @malkavoice2570 День тому +2

    Wadau wa mziki Africa hasa wanaotokea Nigeria na SA wanampuuza sana Mondi lkn kwa kujizima tu data sio kwamba hawamuoni ni wivu tu!!

  • @azizahuruma7463
    @azizahuruma7463 День тому +4

    🔥🔥🔥🔥🙌🙌🙌🙌🙌🙌👑🇹🇿💯

  • @emmanuelmchomvu2676
    @emmanuelmchomvu2676 20 годин тому +1

    Yaan wabongo bnaaaa Davido akilipwa billion23 hamsemi uwongo, ila mond maneno mengi mnajudge tu😢

  • @mohamedmanga8391
    @mohamedmanga8391 20 годин тому

    Peace and Money.

  • @zomasamweli
    @zomasamweli День тому +1

    Sky umeongea point sana

  •  7 годин тому

    🎉🎉

  • @azizahuruma7463
    @azizahuruma7463 День тому +1

    👏👏👏👏👏👏💪

  • @ahmedykatimba768
    @ahmedykatimba768 18 годин тому

    Huwa nakukubali sana mwamba unasuti poa ya utangazaji na uko sawa huna umbea hiyo ndio kazi ya ukweli mungu akujalie

  • @channyanjen9047
    @channyanjen9047 16 годин тому

    Nikweli kabisa kaka

  • @azizahuruma7463
    @azizahuruma7463 День тому +2

    ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @Movancreiter
    @Movancreiter День тому +1

    Mtanzania mkweli kwa myanzania mwenzake kaka maua yako🎉🎉🎉

  • @jumashaban9914
    @jumashaban9914 12 годин тому

    Kwani hakuna willy paula aone😂😂😂😂

  • @karimungalemba3144
    @karimungalemba3144 День тому +6

    @sns muda wooote diamond tuuuuuu 😂😂😂😂😂😂😂😂
    Tuta wachoka sasa mwenyewe kasema basiii muzungumzie miso misondo

  • @JacksonKachila
    @JacksonKachila День тому

    Uko sawa

  • @NdovuDentalClinic_
    @NdovuDentalClinic_ День тому +1

    TO wa maokoto Duniani 🎉🎉🎉

  • @OmyCrez
    @OmyCrez 3 години тому

    Sky umeuwa🎉🎉

  • @GideonIshebakaki
    @GideonIshebakaki 17 годин тому

    Nimnoma sana

  • @CheloDangote
    @CheloDangote 17 годин тому

    🙏🙏🙏🙏🔥🔥🔥🔥

  • @carolsayo6409
    @carolsayo6409 19 годин тому

    💯💯💯🦁

  • @khalifntwari
    @khalifntwari День тому +1

    Lakin kweli wa Tanzania munajuw k promot for sur alipewa izo pesa😅😅😅yoooo

    • @khalifntwari
      @khalifntwari День тому

      Lakin saw mutufundish gisi yakkuja😅😅yooo

  • @TinyKideo
    @TinyKideo 11 годин тому +1

    Kuna Boss wangu mmoja aliwahi kuniuliza why nampenda huyu jamaa, baada ya kuona nimepost picha yake na familia enzi hizo yupo na Zari. Ebana ulichokiongea ndo lilikuwa jibu langu kwamba sio nampenda tu kwa sababu ya mziki hapana ila nidhamu yake ya kazi kiukweli naikubali. Ni sawa na CR7 namkubali sana Messi ila inapokuja kwenye swala la inspirational ya kujituma hawa jamaa wanajituma sana bila kujali mafanikio yao au nani anasema nini!

  • @WetchiKhams
    @WetchiKhams 15 годин тому

    🎉🎉🎉❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @Movancreiter
    @Movancreiter День тому

    Duuh nassib 🎉🎉

  • @mashkidd4730
    @mashkidd4730 16 годин тому

    True said Mr.Sky.

  • @minhokid
    @minhokid 18 годин тому

    🎉

  • @Movancreiter
    @Movancreiter День тому

    Kufanya kazi kwa bidiii

  • @NgasaMaduhu
    @NgasaMaduhu 20 годин тому

    Poshee kanunua ndege😂😂😂😂

  • @vaskosamweli3556
    @vaskosamweli3556 День тому +1

    Anataka kua tajir namba moja duniani

    • @AllyNzisabira
      @AllyNzisabira 21 годину тому

      Lazima Uwe na ndoto maishani bila hivo utakua kama Harmo kufuata mitako tu huna shida na kuinunulia Range

  • @dopehood1476
    @dopehood1476 День тому +1

    Bundala nimekuelewa sanaaaaaaaa kaka

  • @adamkapolo8817
    @adamkapolo8817 День тому +2

    Hivi mmakonde yupo wapi siku hizi

  • @eliuskamwelwe1018
    @eliuskamwelwe1018 3 години тому

    Jamaa hajawah kupoa

  • @Bashilwa
    @Bashilwa День тому +2

    Tupe upande wa harmonaiz na alikuba