KITUO CHA MAFUTA KIGOMA CHAUNGUA NA MOTO, RC NA DC WAFIKA ENEO LA TUKIO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 25

  • @st.jamese.r6941
    @st.jamese.r6941 3 місяці тому +10

    Watanzania bdo wanahtaj elimu kuhusu tahadhar wanazopaswa kuchukua pindi ajali zinazohusisha moto ambao unaweza kusababisha mlipuko zinapotokea. Fikiria watu wanaona kabisa kuwa kituo cha mafuta kinaendelea kuwaka moto na hapo chini yake kuna underground tanks za mafuta ya petroleum, diesel na kerosene ambayo yanaweza yakalpuka muda wwte bila kutarajia lakin watu hawajachukua precaution yyte ya kuwa mbali na eneo hilo kwa ajili ya usalama wao instead wamesogea karibu kabisa na eneo hatarishi. Hii ni hatari wananchi tuwe makini kwa usalama wa maisha yetu na familia zetu.😢

  • @allysimu6856
    @allysimu6856 3 місяці тому +3

    Poleni Sana wahanga na ongeleni wananchi wote mliojitolea kuakikisha akuna mzale mengine kilalaheli jeshi la polisi na jeshi la zimamoto ewe mwenyezi mungu tuzidishie upendo watanzania tuzidi kupendana

  • @rubensaitoti6839
    @rubensaitoti6839 3 місяці тому +2

    Polen sana Wana leki oli

  • @jescaisrael7338
    @jescaisrael7338 3 місяці тому

    Poleni sana wana ndugu

  • @suzanamwita-fr4wq
    @suzanamwita-fr4wq 3 місяці тому

    Poleni sana kwauzembe

  • @jrscommunications4494
    @jrscommunications4494 3 місяці тому +2

    Hatari sana

    • @syliviakente9460
      @syliviakente9460 3 місяці тому

      Waliojenga vituo vya kuuzia mafuta makazi ya watu sasa tumeanza kuona hadhari zake mjitafakari.bora hapo hakuna makazi.kwa karibu

  • @SuhaylahSalim-es6qz
    @SuhaylahSalim-es6qz 3 місяці тому

    matajir au

  • @yusuffharoun
    @yusuffharoun 3 місяці тому

    انالله وانا الليه رجعون 😢

  • @Follenstarboy20
    @Follenstarboy20 3 місяці тому

    Chanzo nn fire cant come like that😢

  • @barakae.n6418
    @barakae.n6418 3 місяці тому

    😢😢😢😢

  • @NaifatAyoub-tw2vn
    @NaifatAyoub-tw2vn 3 місяці тому

    Jaman ni skuhan lime tokea hili???😢

  • @MRTSBUILDER
    @MRTSBUILDER 3 місяці тому +1

    Kafara hizo

  • @jonasmakwa6461
    @jonasmakwa6461 3 місяці тому +3

    Leo wa kwanza naomba like zang😊

    • @personpeter2221
      @personpeter2221 3 місяці тому

      Kumamamayo msenge ww unaomba like kwenye sad story alfu mwanamme unakwa na tabia za kike fala ww

  • @othmanally1230
    @othmanally1230 3 місяці тому +1

    Niujiji sehem ipi please

  • @Allybinamour
    @Allybinamour 3 місяці тому +4

    poleni sana wahanga wa hili na pongezi za dhati kwa jeshi la zima moto na uokozi kwa kazi nzuri

  • @Chakol123-k7s
    @Chakol123-k7s 3 місяці тому

    Mbona haijaungua yote 😢 ingeungua kama nyumba za watu zinavyoteketea ila Jaman pesa tutafute mtu ukiwa na hela vitu haviungui vyote

  • @OphoroMinjaMinja
    @OphoroMinjaMinja 3 місяці тому

    Poleni sana wamiliki wa lake oil

  • @AshaSaidy-cc3km
    @AshaSaidy-cc3km 3 місяці тому

    Polen sana

  • @Fecha_mtmb
    @Fecha_mtmb 3 місяці тому +1

    Sasa izo Gali za police Zina zima nini😮😮😮

  • @Rehemamakuka
    @Rehemamakuka 3 місяці тому

    Mmilik lazima awe presha kisukari kipande