#LIVE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 292

  • @MwajumaMsimuwilliam
    @MwajumaMsimuwilliam Місяць тому +34

    Pole sana kijana, lakini kumbuka una Mungu. Usije ukasahau kumshukuru huyo Mungu Aliyekuokoa na umauti.mshike sana yeye ni Mungu Asieshindwa.

  • @hildandumbalo5827
    @hildandumbalo5827 Місяць тому +23

    Mungu alikuwa nawe Stiva umepitia hard time pole sana!!

  • @djoe8266
    @djoe8266 Місяць тому +10

    Mungu lipa we ndie mwenye uwezo

  • @venancemlala2276
    @venancemlala2276 Місяць тому +17

    Daaah,,,!!! Jamaaa yuko very bright

  • @safarivahocha8077
    @safarivahocha8077 Місяць тому +13

    Sativa Nijambo la Kumshukuru Mungu kwa uzima wako. Nimelia sana ku kusikia uliyo yapitia. Leo baada ya kuku sikiliza nimesikiliza pia wimbo wa Kathy Praise: USIKIAYE MAOMBI.

  • @Hyun626
    @Hyun626 Місяць тому +12

    Pole sana kijana. Wewe ni shujaa sana Mungu akutumie hakika una kitu ndani yako. GOD bless you and your family.

  • @cyprianpetetmbonde6374
    @cyprianpetetmbonde6374 Місяць тому +16

    Pole sana, lakini MUNGU alikupa uhai ili ulete ushuhuda wa ukatili na ushetani tunaofanyiwa WATANGANYIKA. Mungu ni mwema sana 🙏🙏🙏🙏

  • @jacksonbiswalo8360
    @jacksonbiswalo8360 Місяць тому +2

    Pole sana kaka,Mungu anamakusudi na ww kukuacha kuwa hai

  • @hericharles3604
    @hericharles3604 Місяць тому +14

    umewaacha uchi, ubarikiwe sana, Mungu ni mwema.

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 Місяць тому +14

    Pole mwanangu. Mungu amekupenda na kukuongezea against your enemies. God will change your situation to prosperous that your enemies will one day under your in the name of Jesus Christ.

    • @adeleyonazi8361
      @adeleyonazi8361 Місяць тому

      Umesema kweli kabisa, Mungu mwema atamsaidia
      .

  • @naphtalkingori8811
    @naphtalkingori8811 Місяць тому +11

    Kweli Mungu alikupenda. Mungu aendelee kukulinda. Hao waangamizi Mungu awaone na awalipe kadiri ya matendo yao.

  • @mahmoudchamshama3451
    @mahmoudchamshama3451 Місяць тому +4

    Pole sana mungu mwema siku zote kimbia usawa huo

  • @berthamakortha8387
    @berthamakortha8387 9 днів тому

    Pole SANA KIJANA. Hii DUNIA weee achana tuu WATU wamekuwa wanyamaa. Wivuuu tuu WA MAENDELEO

  • @karimmbanda7877
    @karimmbanda7877 Місяць тому +2

    Duuu,, aisee pole sana kwa hayo yote uliyoyapitia lakini yote ya yote usiache kumshukuru na kumuomba sana mwenyezi mungu katika kipindi chako chote cha uhai wako.

  • @deohaule8161
    @deohaule8161 Місяць тому +13

    Haina shaka serikali ina husika 100%. Wanao kosoa serikali ndio wanaotekwa, ni kitu cha aibu sana kwenye nchi tunao sema ya amani na upendo. Serikali inatumia nguvu kubwa kutengeneza hofu kwenye jamii ili isikosolewe.

  • @alexmwalingo5020
    @alexmwalingo5020 Місяць тому +1

    Mungu wetu upo unayaona yote haya najua kuna jambo utalifanya kuondoa huu uonevu, Amen

  • @nelsonnyamle
    @nelsonnyamle Місяць тому +5

    Mungu atajibu kwa niaba yako

  • @SwizaniChiapo
    @SwizaniChiapo 24 дні тому +1

    Mungu akujalie

  • @DativaDaud
    @DativaDaud Місяць тому +3

    Mungu bado anakupenda

  • @alexsanga4506
    @alexsanga4506 Місяць тому +9

    Jamaa yuko very smart na nimkweli sana

  • @matiredms917
    @matiredms917 Місяць тому +30

    Edison Mungu ni mwema na mwaminifu. Ndiye aliyekuokoa ktk mikono ya Watawala waovu kutaka kuitoa roho yako ili uweze kutoa ushahidi wa uhakika kuwa Serikali inahusika moja kwa moja na utekaji na mauani wa raia wake wenye misimamo tofauti. Ushahidi wako unasimama kwa sababu siyo wa kusikia bali unahusika moja kwa moja. Mungu ataendelea kukulinda dhidi ya mipango miovu ya huu utawala haramu.

  • @EmmanuelJoram-pu8ox
    @EmmanuelJoram-pu8ox Місяць тому +10

    He who remains neutral in the face of injustice sides with the oppressor.

  • @ScopionScopion-zj9cd
    @ScopionScopion-zj9cd Місяць тому +19

    duh kweli mpaka hapa katoe sadaka kaka pole sana mungu aligoma usife bado unaish

    • @zaidiissa3714
      @zaidiissa3714 27 днів тому +2

      Kweli ila asipelekee pasta wala mchungaji pali peleke kwa wahusika wasadaka ambao ni masikini mayatima na wajane wagonjwa na wengine wanaohitaji hao ndio watu sahihi mungu alio wazungumzia

  • @kabangoamini8431
    @kabangoamini8431 Місяць тому +21

    Pole sana sativa mungu bado anakupenda

  • @faustinombilinyi9809
    @faustinombilinyi9809 21 день тому

    Daaaaaah very sad story... Mungu saidia sana maisha very painful.

  • @vtkalinga2375
    @vtkalinga2375 15 днів тому

    Hakika Mungu wote waliohusika kwa namna yoyote ile hatowaacha kamwe mnamtesa mtu kinyama namna hiyo, hakika mtailipa hiyo, tumshukuru mungu kaka kwa kuokolewa mikononi mwa waovu

  • @GiftAbduly
    @GiftAbduly Місяць тому +2

    Pole sna wallah ila ungetulia kwanza kaka daaah inaumiza sna pole ww na kwafamilia

  • @StevenTambi
    @StevenTambi Місяць тому +16

    Samia must go

  • @HussainMaula-f9b
    @HussainMaula-f9b Місяць тому +6

    Pole sana kaka hasbiya llha waneemal wakil .

  • @PiliNampokela
    @PiliNampokela Місяць тому +5

    Pole sana mdogo wangu jua hapo ulipofikia ni mungu kakufikisha hapo. Kubwa ni kuzidi kumuomba na kumshukuru,yeye ndio Kila kiti kwetu.

  • @VenasiaEmmanuel
    @VenasiaEmmanuel 23 дні тому

    Pole kaka mungu akutunze

  • @elikanangulumwa4295
    @elikanangulumwa4295 Місяць тому

    Pole Sana mungu ni mwema Sana kwako

  • @AllanLyombile
    @AllanLyombile Місяць тому +10

    Wasiojulikana wanajulikana wazi, Labda kitafutwe kisingizio kingine.

  • @MaulidihamisiHamisi
    @MaulidihamisiHamisi Місяць тому +2

    Dah aibu naona mimi mungu ibariki Tanzania kwakweli

  • @coolsinare8824
    @coolsinare8824 Місяць тому +1

    muhimu sana kusikia haya mambo..watu wamevuliwa nguo

  • @nkolemuya9283
    @nkolemuya9283 Місяць тому +2

    I cried helplessly 😢😢😢💔💔💔

  • @minjacsd1874
    @minjacsd1874 24 дні тому

    Pole sana

  • @frankSamwel-rg3lz
    @frankSamwel-rg3lz Місяць тому +50

    Mwache Mungu aitwe Mungu. Pole sana dogo

  • @Mjeda-q1m
    @Mjeda-q1m Місяць тому +12

    Yule mwanamziki professa j aliimba tunaubili amani huku tumeficha mapanga hivi angetajwa raia wa kawaida au mtu wa upinzani kwamba ndiye aliyemteka sativa ingekuwaje??? Angelukiwa kwa nguvu zote waandishi wa habari wangeitwa lakini kwa kuwa wametajwa wao imekuwa funika kombe mwana halamu apite

    • @Dafetty
      @Dafetty Місяць тому +1

      Umeonaeee alikua ana maanisha

  • @PrivaAgust
    @PrivaAgust 29 днів тому

    Pole Sana ndugu.

  • @hamidabarraball3162
    @hamidabarraball3162 12 днів тому +1

    Selikalii gani hii ya dikteta

  • @MerryRenatus-ck4lz
    @MerryRenatus-ck4lz 14 днів тому

    Walijuwa ndio washamuua subhannallah😢

  • @johnkatte5098
    @johnkatte5098 Місяць тому +2

    Mungu anaona na anashuhudia viburi vya binadamu lakini haimaanishi kuwa ni mjinga

  • @onesmolwambano9349
    @onesmolwambano9349 Місяць тому +10

    Embu imagine unaesikiliza hapa ndio wew umetekwa

    • @ChoroTesla
      @ChoroTesla Місяць тому +3

      We have long way to go km vyombo vya ulinzi vinafanya hiz mambo local hvi as if wanaemkamata ni mbuzi daaah

  • @greenermichael2057
    @greenermichael2057 Місяць тому +1

    Hongera Saytiva we Ni jasir sana

  • @FrankJuma-i8m
    @FrankJuma-i8m 20 днів тому

    Lazma mtawajibishwa kwa haya yanayoendelea. ✌️✌️✌️✌️

  • @yohana-vd9mt5mt7i
    @yohana-vd9mt5mt7i Місяць тому +1

    Pole sana kijana

  • @MusaMapunda
    @MusaMapunda 28 днів тому

    Pole sana kikolo,MUNGU mwema kila mara

  • @SuzanMoshi-m1s
    @SuzanMoshi-m1s 17 днів тому

    Jaman daaah ata sijui nisemej 🥹

  • @dianazambi2447
    @dianazambi2447 Місяць тому +1

    Pole jamani

  • @williamgeorge-hd2tn
    @williamgeorge-hd2tn Місяць тому +2

    Oy bila shaka wana wengi wanapotea kimya kimya ni vile tu Mungu ameruhusu tujue ya huyu jamaa

  • @wilbertsanze285
    @wilbertsanze285 Місяць тому +1

    Jamaa yupo vyema sana Hakika MUNGU nimwema home boy pole sana

  • @hadijajuma8334
    @hadijajuma8334 Місяць тому +2

    Mmmmmh pole Sana kaka

  • @FreeGod368
    @FreeGod368 Місяць тому +13

    Duuh Mungu fundi akiamua Hufi

  • @OscarKasalile
    @OscarKasalile Місяць тому

    Pole sana kamanda sativa

  • @ShannyBrowntz
    @ShannyBrowntz 21 день тому

    Mungu amekuchaguwa ww

  • @joycengoda6567
    @joycengoda6567 22 дні тому

    Nakushauri kimbia kupitia Namanga kwenda kenya .Njoo ulaya utasaidiwa wee mkimbizi Tanzania hakuma Amani siyo muda itageuka Somalia....

  • @dianazambi2447
    @dianazambi2447 Місяць тому +2

    Aisee kaka jaman umeteseka!!

  • @delsonandrea5223
    @delsonandrea5223 Місяць тому +7

    Kwa mamlaka yako unakuja kumtesa mtu kias hicho kwel duh kwa hili hatua zichukuliwe huyo anafaa kunyongwa hafai hata kuishi

  • @FrankJuma-i8m
    @FrankJuma-i8m 20 днів тому

    Natamani ningekuwa na uwezo wakulipa kisasi. Pole Sativa.

  • @emmanuelmayunga1518
    @emmanuelmayunga1518 Місяць тому +2

    Pole sana kaka😢😢😢

  • @oyay2821
    @oyay2821 Місяць тому +19

    Huyu Mama Samia ni katili kupitiliza. Kitu asisahau malipo ni hapa hapa duniani, kesho akhera ni hesabu tuu

    • @alzawahirabdallah2299
      @alzawahirabdallah2299 Місяць тому +4

      Yule aliye mpiga lisu risasi si mlikuwa mnamwita mtetezi wa wanyonge

    • @FreeGod368
      @FreeGod368 Місяць тому

      Tuliza matako mkundu ww toa akili za kidini apa we choko​@@alzawahirabdallah2299

    • @halimaKaniki-g6i
      @halimaKaniki-g6i Місяць тому

      ​@@alzawahirabdallah2299sio kila mtekaji anamtaarifu rais wengine niviongoz wakubw narais hajui mpaka apate taarifa kupitia polis napolis wanauwezo wakusema hawajui chochote pia

    • @SmilingCityMap-xb9md
      @SmilingCityMap-xb9md Місяць тому

      ​@@alzawahirabdallah2299njia ya mwongo ni fupi kama ipo siku ukweli utajulikana mwenda zake hayuko tena matukio lukuki yanaendelea sasa uongo hauko mbali utajulikana na mungu atawaumbua wote

    • @halimaKaniki-g6i
      @halimaKaniki-g6i Місяць тому

      ​@@alzawahirabdallah2299jekama alipigwa nambunge au mkuu yoyote kuachia rais

  • @faustinombilinyi9809
    @faustinombilinyi9809 21 день тому

    Hao watu walidhamiria kukuua tuu kwani upigaji wa lisasi huo kichwani walidhamiria kabisa duuuuh mungu huyu akuponye mdogo wetu utakuwa sawa..

  • @ErickMoshi
    @ErickMoshi Місяць тому +13

    Nahisi yule aliye kupa koti mungu alimtumia na ndie alie kupiga risasi !!

  • @RamadhaniKitala-gx6wc
    @RamadhaniKitala-gx6wc Місяць тому +4

    Mimi ni ccm lakini katka uchaguzi ccm wakiweka picha ya samia na chadema wakiweka jiwe mimi binafsi nachagua jiwe kuliko ccm puuu😊

    • @adammbaruku2499
      @adammbaruku2499 22 дні тому

      Kumbe unatumika sasa hapo uchaguzi na Samia vumeingiaje

    • @DStarTz-if2ko
      @DStarTz-if2ko 21 день тому

      Shida sio Samia shida serikali y cm yote

  • @SamweliKsingu
    @SamweliKsingu Місяць тому +12

    Mungu ni mwema kesho jitahid ukabadilishe maisha Yako na taswira ya nchi hii

  • @loner_wolf
    @loner_wolf Місяць тому +1

    Mimi naona ungeitwa THIS TIME AROUND na sio SATIVA . Ok proceed !

  • @faustinombilinyi9809
    @faustinombilinyi9809 21 день тому

    Askari sio wote wakatili kuna wengine wanaroho za huruma sn km mtu kweli hana kosa huwa wanaruhusu aendelee na maisha yake ila waharifu ndo wanadeal nao ila viongoz wakubwa ndo wanaroho ngumu sn hawa wadogo wanawasikiliza wakubwa wanasema nn lkn MUNGU ANAWAONA SN .KM MTU HANA KOSA SIO VIZURI KABISA.

  • @marrypius576
    @marrypius576 2 дні тому

    Yan mateso uliyopata Mungu mwenyew ndo anajua maan 😢😢😢😢

  • @salvatoryNestory
    @salvatoryNestory Місяць тому +5

    Kwani unapotekwa unapelekwa wapi na wanatoa SABABU Gani!!? MO hajawhi kusema. Hata Roma Mkatoliki kimyaa Duh.!!!?

    • @ChoroTesla
      @ChoroTesla Місяць тому

      Hawana sababu kwani wanaofanya hayo wanapewa maagizo na wakubwa wao wakazi ukumbuki tukio la roma walileta mizengwe asizungumze kwenye vyombo vya habari

  • @HijaSaid-t6c
    @HijaSaid-t6c 28 днів тому +1

    Allah atulinde

  • @IssaTayari
    @IssaTayari Місяць тому +1

    Hatari

  • @antidiuskalugira6727
    @antidiuskalugira6727 Місяць тому +3

    Duh, kuna kitu nimejifunzaa aseeh,😢😢😢 eeh Mungu tusaidiee waja wako,

  • @joshuamollel6993
    @joshuamollel6993 Місяць тому +4

    Ccm ni mashaka ndio inawatesa hivi lakni wakumbuke ipo siku damu hizo zitawarejea wao na malipizi ya damu itawarejea kwa wakati mgumu sana Mungu atabaki kuwa Mungu tuuu tutashuhudia mchana kweupe

  • @DStarTz-if2ko
    @DStarTz-if2ko 21 день тому +1

    Haya wale wanaosemaga huna ushahid haya mkowap msikie ushahid

  • @unjuinkuganda1991
    @unjuinkuganda1991 Місяць тому +5

    HUYO MAMA ATAPATA TABU SANAAAA “ TUPO HAPA ALAFU TABU ATAZIPATA UZEENI

  • @epafraditopajenga4650
    @epafraditopajenga4650 Місяць тому +1

    TANZANIA TUMEINGILIWA NA WAHUNI MAFWELE NI MNYARWANDA SURA YAKE TUIANGALIE VZR NDIO MAANA NI KATILI SANA

  • @juliuspeter6971
    @juliuspeter6971 Місяць тому +1

    mungu n mungu mwenye nguvuuu

  • @loner_wolf
    @loner_wolf Місяць тому +4

    Nilipokuwa mdogo nilidanganywa eti Risasi inaua lkn kumbe ni story tu 😅😅😅😅
    Pole sana master lkn . Mm nimeumia sana cause sjui uliwakosea nini sasa hao jamaa .

  • @daudzabron5514
    @daudzabron5514 Місяць тому +2

    Unakuta serikali inatafyeka mashamba ya bangi kumbe watu wao ndo watumiaji.
    Lakin piah kinachonisikitisha ni kuwa wanajifanya hawaelewi kinachoendelea, CCM na serikali ijitafakari kama inaweza kutoboa 2025 Kwa siasa hizi za kuua watu. Guys kama unafanya kazi inayoeleweka Wala hamna kutumia nguvu, kazi zako zitakutetea, mnachokifanya kinawapa nguvu upinzani hata kama ulikuwa hauna hoja Kwa wananchi, na siku Hizi wapiga kula wengi wako mtandaoni haya yanayoendelea wanayaona. Na wanatengeneza kisasi kuanzia serikali za mitaa.

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 Місяць тому

      @@daudzabron5514 ndugu yangu hao walitanda barabarani ndio wabeba kura na wabadilisha mabox .Husikii hata zamani aliwahi kusema hata mkiwapigia kura upinzani sisi tunatangaza mshindi unadhani wanatania .Jiulize kwa nini wanatenda mabaya hawachukuliwi hatua hawa ni Linda nikulinde .Tunaokoma ni sisi wananchi mradi wao na familia zao wapo peponi. Hii kura ni danganya tu si mtaona watatangazwa wachama chao ,dalili ni hii mmeona

  • @kijijipo1633
    @kijijipo1633 Місяць тому +1

    Hawakumsainisha non disclosure form😊😊walidhani wamemmaliza

  • @juliusmsegu3347
    @juliusmsegu3347 Місяць тому +1

    Najaribu kuwaza sativa angemtaja kiongozi yeyote wa CHADEMA kua anahusika na kutekwa kwake naamini kabisa muhusika angeshakamatwa Tena haraka Sana.

  • @joycejackson
    @joycejackson Місяць тому +2

    Mungu mkubwa nyie 😢😢
    Pole sana Sativa

  • @albethoildefonce9117
    @albethoildefonce9117 Місяць тому +1

    Pole sana mwanaharakati Mungu, tunashukuru Mungu kwa kuokoa uhai wako Pia Mungu atalipa hapa hapa Dunia hawa mashetani

  • @barnabasmatonya2635
    @barnabasmatonya2635 Місяць тому +29

    You are a young hero. Walitekwa wengi, na walikaa kimya. Ila courage yako ya kushare itaponya wengi waliokuwa wamewekwa kwenye orodha. Well done

  • @musajuma5592
    @musajuma5592 Місяць тому +1

    Pole bro

  • @MariamDickson-rb1iu
    @MariamDickson-rb1iu Місяць тому +1

    Mhuu 😢😢😢

  • @philomenakwangu3383
    @philomenakwangu3383 Місяць тому +2

    Mungu akutunze kwaajiri ya wengne nimependa pamoja na yote Bado u mzuri bro

  • @shedykiss
    @shedykiss Місяць тому +2

    so sad

  • @hamissomary6869
    @hamissomary6869 Місяць тому +7

    Kweli hyuuu Rais mama mbyaa sanaaa"alichokuwa anakataa ninii ?ushahidi wte huu hpaaa"Mungu awalanii nyotee wanyaaa mbwa nyie na aliewatuma "

  • @adeleyonazi8361
    @adeleyonazi8361 Місяць тому

    Utaishi mwanangu aliekulinda mpaka muda huu , usimuache sali , sali sanaaaa. Umekuwa kama Yohana wa ufunuo. Hakuna atakae kugusa chukua tahadhari kwa maombi mengi. Mungu akulinde na watesi. Uwe unasoma Zaburi 35. Mungu apigane na wanao pigana nawe. Soma kila siku x 3.

  • @JosephMlay-n5w
    @JosephMlay-n5w Місяць тому +1

    Pole sana brother 😢

  • @Anna-jl2ie
    @Anna-jl2ie Місяць тому

    Pole sana😢

  • @tahirnephessalum3678
    @tahirnephessalum3678 Місяць тому +1

    Dadeki mshikaji kifo alishakiona hiki hapa...Huyo jamaa aliepiga risasi nadhan aliamua tu kukusaidia kijana...

  • @HezronKaaya
    @HezronKaaya 5 днів тому

    Anaye ua kwa upanga atauawa kwa upanga Bible. Watawala wanaona sawa tu.Tumwachie Mungu

  • @JoshuaSalimu
    @JoshuaSalimu Місяць тому +6

    Jmn jeshi la polisi halifai kbs lkn mama analipongeza

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 Місяць тому

      @@JoshuaSalimu kwa sababu ndio walinzi wa kura zote za dhulma

    • @RamadhaniKitala-gx6wc
      @RamadhaniKitala-gx6wc Місяць тому

      Anawapenda kwa kuwa ni walinzi wa Kila kitu kwake wanakula sahani Moja

  • @williamgeorge-hd2tn
    @williamgeorge-hd2tn Місяць тому +1

    Daaah iseeeh we acha tu

  • @GodlistenMrem
    @GodlistenMrem 29 днів тому

    Hayo maisha Yako yanafaa kushut video Yake itakuwa nzur San,

  • @agneskissinga5251
    @agneskissinga5251 Місяць тому +2

    Mungu anakupenda sativa.

  • @Papa2thaE
    @Papa2thaE Місяць тому +1

    Chumaaa!