Sheikh Hamza Mansoor - Kukabiliana na Mitihani ya Dunia

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 лип 2024

КОМЕНТАРІ • 555

  • @ramilialiy3725
    @ramilialiy3725 4 роки тому +26

    Yarrab waongoze watoto wangu wawe wema ameen yarrab wame mashekh na maamir na maukhty kuliko mashekh na maukhty wote dunia nzima ameen yarrab .sheikh Hamza Allah akulipe pepo ww na sisi ameen yarrab

  • @yusufhemedy5106
    @yusufhemedy5106 3 роки тому +44

    Mashallah!! Ewe Mola wangu niongozee kwenye njia unayoipenda wwe,mmi pamoja na umma wa kiislamu...nisamehe dhambi zangu zote mmi na wazazi wangu wawili

  • @shamimwabuke5379
    @shamimwabuke5379 2 роки тому +9

    Mwenyezi mungu nisamehe dhambi zangu pamoja na wazazi wangu wote 🙏🏿

  • @mohamedrowa1425
    @mohamedrowa1425 3 роки тому +10

    Ya Allah mrehemu wazazi wangu na uwaokoe na adhabu ya kaburi

  • @husseinhassan4241
    @husseinhassan4241 5 років тому +73

    ewe mwenyez mungu mwingi wa rehema mwenye kurehemu nijaaalie Mimi nawazazi wangu mwisho mwema

  • @saidomar6806
    @saidomar6806 3 роки тому +27

    Mashaallaah. Sheikh. Allah Mola mwenye Huruma atujaalie kizazi chema na awarehemu wazaz wetu na atusamehe tulipo kosea atupe mwisho mwema inshaallaah,,,,, Aaamin⭐🌙🕋🕌

  • @ayushiabubakar1930
    @ayushiabubakar1930 4 роки тому +6

    Ya rabii mungu a tujaliye mwisho mwema shk mungu akupe umri mrefu na akukutanishe na kipenzi wetu S. A. W

  • @yusufuheri6524
    @yusufuheri6524 2 роки тому +1

    Sheikh wangu umenitoa mbali sana

  • @juwairiakhamu8719
    @juwairiakhamu8719 3 роки тому +5

    Mashallah Jazakallahu kheir sheikh Mansour Allah akuzidishie Ilmu tena na tennaa

  • @salwaalii775
    @salwaalii775 3 роки тому +6

    Allah atuongoze kwenye njia ya haki itakayo mfurahisha Allah Amin yarab

  • @mwahijalukali2387
    @mwahijalukali2387 4 роки тому +11

    Mashallah sheikh Hamza mansoor mungu atakulipa

  • @khalidomar9611
    @khalidomar9611 4 роки тому +11

    Allah atupe mwisho mwema Sisi pamoja na wewe inshallah

  • @kidawaadam7363
    @kidawaadam7363 4 роки тому +51

    Subra ni jambo jema tumtegemee allah,,shukran shehe kwa nasaha

  • @cosmasthobias5226
    @cosmasthobias5226 5 років тому +73

    Mashallah shekh mungu akupe mwisho mwema wewe na sisi kwa pamoja

    • @ilhamaman8324
      @ilhamaman8324 4 роки тому +2

      Allah azidi kukupa elimu ili utukumbushe waislam, ila usijekubali kujiunga ktk BAQWATA utajivunjia heshima yako,pia epuka sana mizozo na mashekhe wenzako,baadhi ya mashekhe wako kwa ajili ya kusubiri mashkh wenziwao waongee kitu ktk membari halafu nawao hujidai kumkosoa ili yey onekan bora,liangalie sana hili maalim.

    • @aminaabdiabdi7112
      @aminaabdiabdi7112 4 роки тому +1

      Amiin yarrab 🤲

    • @adachaadam3707
      @adachaadam3707 4 роки тому +1

      Shukrn yaa usitadhi Allah akupe mwisho mwema lnshallah🙏

    • @aishaali284
      @aishaali284 3 роки тому +1

      Ameen

    • @arqamibnarqam.7185
      @arqamibnarqam.7185 3 роки тому +1

      @@aishaali284 Assalaamualykum

  • @kigenimohammed7847
    @kigenimohammed7847 Рік тому +5

    Dua ya kuingia msikitin na kutoka msikinitini
    1) kuingia.... bismillahi wassalaatu wassalaamu Alaa rasuulillahi allahumma ftahalii abewaaba rahmatika
    2) kutoka... bismillahi wassalaatu wassalaamu Alaa rasuulillahi allahumma inniy as aluka min fadhilika allahumma A'aswiminy minash shaytaani rajiyim..love you all from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @tushfatma8823
    @tushfatma8823 3 роки тому +6

    Ma sha Allah sheikh may Allah grant you jannatul firdous

  • @isayaphiri1564
    @isayaphiri1564 4 роки тому +13

    Asante kwa darasa shekhe wetu mungu akujalie akupe maisha marefu na uzidi kutukumbusha inshaallah

  • @madinaomar679
    @madinaomar679 4 роки тому +12

    Mungu atusamehe madhambi yetu. Amiin

    • @kibirashabani
      @kibirashabani Рік тому

      mwenyezi mungu atudjalie Amani nasalama 🙏

  • @aishakazungu8507
    @aishakazungu8507 Рік тому +2

    Mashaallah Allah atungoze katika njia ilio swa lnshaallah

  • @ayshakompo483
    @ayshakompo483 4 роки тому +7

    Inshallah mungu atupe subra katika kila hatua ya maisha yetu na atupambe na baraka zake ktka majambo yetu

  • @deqocllahideqocllahi5520
    @deqocllahideqocllahi5520 3 роки тому +2

    Mashaallah sheikh hamza mungu akuzidishiye

  • @ayushiabubakar1930
    @ayushiabubakar1930 4 роки тому +2

    Ya rabii mungu tunusuru si umat Muhammed s a w ya samiu mjibu shk kila analo litaka LA kheri ya manani walipe mashk wetu ujira unao ujuwa kwa kazi kumbwa ya rabii wape umri mrefu na mwisho mwema piya nimefaidika sana kwa mawaidha yako

  • @asimamusasuleymanimusa3210
    @asimamusasuleymanimusa3210 Рік тому +1

    Asante sheikh kwa mawaidha MUNGu ataleta wepes ishaallah kwa mawaidha yak MUNGu atusameh kwa makos yetu inshaallah biidbininllah 🤲🙏

  • @haziz7731
    @haziz7731 5 років тому +15

    Naaaam Allah atupe mwisho mwema ya RABBI

  • @shayammunir1489
    @shayammunir1489 4 роки тому +40

    Mungu atuongozee kwa njia za Sawa in shaa Allah

  • @aishahassan9545
    @aishahassan9545 2 роки тому +2

    Masha Allah mawaidha mazuri Allah atuongoze na akujaze na ww na kheri zote duniani umetuilimisha

  • @hassanovajunior6972
    @hassanovajunior6972 3 роки тому +38

    Masha Allah, May ALLAH grant you Jannah Firdhaus Sheikh Hamza Mansour🤲🤲

  • @saidmohamed4776
    @saidmohamed4776 4 роки тому +4

    Mwenyezi Mungu akupe umri mrefu sheikh Hamza uendelee kutupa mawaidha mazuri.

  • @ibrahimmaskini2967
    @ibrahimmaskini2967 5 років тому +50

    Allah wepesi avikuze vyombo vyetu vya kiislaam

  • @Kachaa254
    @Kachaa254 2 роки тому +4

    Jazakallahu khair ustadh 🙏🙏 Allahu'akbar Alhamdhulilah 🤲❣️

  • @MerveilleUseni-qm4gh
    @MerveilleUseni-qm4gh Місяць тому +1

    Heeee mwenye zi mungu samehe wazazi wangu hote mawili mali wipo Amina yarabih 👏👏

  • @sumuhaji13
    @sumuhaji13 3 роки тому +7

    Masha Allah Allah awalipe mashekhe wetu kheri na malipo zaidi ya Yale yanayostahikk

  • @jamilaatemu3882
    @jamilaatemu3882 3 роки тому +4

    Mashallah jaza yako iko kwa Allah

  • @jamalmuhumud7579
    @jamalmuhumud7579 3 роки тому +5

    Ahsante sana sheikh, asante kwa kutupatia mawaidha na nasahi hii ya maana sana, tunaomba mungu atuzidishie neema zake na wote wako katika imaan, tupatane katika Janaah, ameen ameen

  • @omarhakizimanakishikbongo2186
    @omarhakizimanakishikbongo2186 5 років тому +29

    Kweri nimempendasana shak Allah akurinde Amiin

  • @alimohamedalisaid7040
    @alimohamedalisaid7040 5 років тому +48

    Nice darasa mashallah my brother mungu akuzidisia elimu ameen thuma ameen akupe afia ameen

  • @majomaali2340
    @majomaali2340 4 роки тому +4

    Masha Allah Dunia inatudanganya atuangalii mbele

  • @faizunmohd9839
    @faizunmohd9839 4 роки тому +4

    Ya rabil nipe mwisho mwema mm na wazazi wangu na mumewangu na watoto wangu

  • @sammyngunjiri5369
    @sammyngunjiri5369 2 роки тому +55

    I wish I had known this earlier... After listening to this teachings, I think I have come to love this religion

  • @leylafadhili8646
    @leylafadhili8646 2 роки тому +7

    Subra ni jambo jema katika maisha na mwenyeezi mungu atafungua njia 😇

  • @bellbell9294
    @bellbell9294 3 роки тому +1

    Shukraan Sana sheikh wetu Allah akuhifadhi naakujaalie kher kwa ukumbusho jazakallah khaira

  • @CarlitacelestinoLimas
    @CarlitacelestinoLimas День тому

    Mungu nijalie mwisho mwema Mimi na família yangu amin🤲🥰

  • @ummyzee6247
    @ummyzee6247 4 роки тому +13

    Shukran jazeelaah.. Allah akufanyie wepesi wa kutuelemisha,Allah na sisi waja wako wanyonge subra ya mitihani zetu

  • @huscopoz1491
    @huscopoz1491 Рік тому +1

    Asante Kwa faida shekh wangu ALLAH atakujaza moyo huohuo na yeye ndo atakulipa

  • @rahmaalaala8208
    @rahmaalaala8208 Рік тому +8

    I like so much listening to your khutbah ,mawaidha .may Allah Grant you a blessed life and Grant you jannah

  • @khadijaali4657
    @khadijaali4657 2 роки тому +2

    Mashallah,Allah atujaalie mwisho mwema inshallah

  • @user-hk9sg1vf5w
    @user-hk9sg1vf5w 2 роки тому +3

    Asalam alekum, Mashallah tabak ALLAH;Mimi niko Saudi Arabia nimefurahi sana kwahiyo Mawaitha yako ALLAH akuzidishie kilalagheri dunia na akhera .👍👍👍👌💯💯🇰🇪💐🇸🇦🇸🇦

  • @dc4543
    @dc4543 5 місяців тому

    Alhamdulillah kwa kila jambo mwenyezi MUNGU ni mjuzi zaidi

  • @mariammaalim3317
    @mariammaalim3317 3 роки тому +2

    Allah mpe umri mrefu huyu shekh apate kutuelimisha zaid inshaallah

  • @hawasomane4222
    @hawasomane4222 4 роки тому +15

    Asalam alaikum warahamatulah warakatu.maostadhi na mashekhe Allah awape umri mrefu na awape nguvu za kutupatia nasakha.Allah awape maisha mema dunia fili akhera

  • @hamidmbarakabdurahman6394
    @hamidmbarakabdurahman6394 4 роки тому +8

    Masha Allah mungu akupandishe darja tukufu.

  • @rahmaabdullah7756
    @rahmaabdullah7756 3 роки тому +14

    Maa shaa Allah sheik Hamza may Allah bless you....long life💖

  • @lucasmlolwa7639
    @lucasmlolwa7639 4 роки тому +15

    Sheikh Hamza...
    Your teachings are real.

  • @frdmedia6235
    @frdmedia6235 3 роки тому +1

    Allah akujalie mwishomwema inshallah nawa Islam oote watakaomfata mtume wetu Muhammad swalallah alayhi wasalam

  • @elizagona8534
    @elizagona8534 4 роки тому +4

    sheikh ALLAH ATUJARIE kila kheri wewe na sisi wanafunzi wako

  • @imanmohamed7632
    @imanmohamed7632 3 роки тому +11

    MashaAllah TabarakkahAllah sheikh I love you for sake of Allah

  • @BetriceMwanisawa-ui8yj
    @BetriceMwanisawa-ui8yj 9 місяців тому

    Mashallah ewe Yarabi tujaalie mema hapa duniani na kesho akhera

  • @JamilaYusuph-df5qw
    @JamilaYusuph-df5qw 11 місяців тому

    Allah Akbar walillah walihamnd wallah Akbar Allah atujalie mwisho mwem inshallah 🤲

  • @hassanidrissa1071
    @hassanidrissa1071 5 років тому +56

    Jazakallahu khayra sheikh, maashallah, mbora ni yule anaesikia nakuyafanyia kazi, inshaalla Allah atufanyie wepesi tuyafuate yaliosemwa,

  • @zakiaali4651
    @zakiaali4651 6 років тому +12

    Shukran Nasaha nzuri Sana MashAllah Allahubarik

    • @zaidukimara8887
      @zaidukimara8887 3 роки тому

      Mbora wenu ni yule anayemcha. M.ungu. mashallah ustadhi nakupnda kwa mawaiza yako mazuri sana tu

    • @rajabumbinga1816
      @rajabumbinga1816 3 роки тому +1

      Mashalah Allah akuongoze

  • @sophiamponi6666
    @sophiamponi6666 9 місяців тому

    Mashallah Ewe molanisaidie kwenye mtihani yangu na wasaidie wazaz wangu na mtto wang waepushie magojwa wape ridhiki

  • @ValescaMayssaMelhoresHinos517
    @ValescaMayssaMelhoresHinos517 5 років тому +9

    Manshaallah Allah aku hifathi sheikh hamza

  • @rehematawalani733
    @rehematawalani733 2 роки тому

    Ammyn thumma ammyn thumma ammyn yarabb laalamyn
    Shukran sana sheykh kwa mawaydha tuna muomba allah nasi waja Wake atujaalie mwisho mwema

  • @najmaomar6262
    @najmaomar6262 6 років тому +10

    Baraakallahu FIIKUM,,wajakumullahu khaira

  • @ahmadbelier3160
    @ahmadbelier3160 Рік тому

    Sheikh Hamza Allah akupe kila unchokitamani Ila kiwa ni halali Allahuma amiiin 🤲

  • @shabanstyles4643
    @shabanstyles4643 3 роки тому +8

    JazzakaAllahu Kheir .....mashaaalah i just love this sheikh

  • @user-mb1kv4pt4k
    @user-mb1kv4pt4k 4 місяці тому

    Mashallah Kwa mwaidh mazuri inshallaha yarrabi tupe mwisho mwem

  • @radhiakhamis8273
    @radhiakhamis8273 4 роки тому +9

    Allah tujaalie tuwe miongoni mwa waja wko wema

  • @mira-gq3qg
    @mira-gq3qg 5 років тому +16

    Allah akulipe pepo

  • @AlbyMohamed-uv8uh
    @AlbyMohamed-uv8uh 3 місяці тому

    Mashaallah!!ALLAH atupe Imani n subra katika kila Mtihani unaotufika inshaallah

  • @abdiibrahim3309
    @abdiibrahim3309 3 роки тому +2

    Mungu amlaze pahali pema peponi shekh Hamza Mansoor kwa kutupea elimu inshallah

    • @ahz6907
      @ahz6907 3 роки тому

      Kwani keshatangulia mbele za haki?

    • @saidmgawe3196
      @saidmgawe3196 3 роки тому

      Ewe mola wetu tujarie wisho mwema duniani na kesho ahera

  • @bintmohamedmalevi3771
    @bintmohamedmalevi3771 4 роки тому +6

    Maa Shaa Allah.Sheikh mbora Allah atupe mwisho mwema.

  • @adijahidi1215
    @adijahidi1215 2 роки тому +4

    Subhanallah Allahuakbar jazakallah kheri Alhamdulila Allahuakbar ❤ 💚 💙 💕

  • @birdofpry3897
    @birdofpry3897 5 років тому +17

    Shukran sheikh wetu kwa mawaidha mazuri unayo tupatia tunamuomba Allah akujaalie umri mrefu na elmu zaid uzidi kutuelimisha sisi pamoja na vzazi vyetu na Allah akulipe kher hapa dunian na akhera

  • @nasirshekhi6070
    @nasirshekhi6070 3 роки тому +15

    ●▬▬▬▬▬▬ஜ۩۞۩ஜ▬▬▬▬▬▬●
    اللَّهُمَّ صَلِّ عَلَى مُحَمَّدٍ وَّ عَلَى آلِ مُحَمَّدٍ كَمَا صَلَّيْتَ عَلَى إِبْرَاهِيمَ وَعَلَى آلِ إِبْرَاهِيمَ إِنَّكَ حَمِيدٌ مَجِيدٌ
    اللَّهُمَّ بَارِكْ عَلَى مُحَمَّدٍ وَّ عَلَى آلِ مُحَمَّدٍ كَمَا بَارَكْتَ عَلَى إِبْرَاهِيمَ وَعَلَى آلِ إِبْرَاهِيمَ إِنَّكَ حَمِيدٌ مَجِيدٌ
    ●▬▬▬▬▬▬ஜ۩۞۩ஜ▬▬▬▬▬▬●

  • @bashnurhassan5240
    @bashnurhassan5240 6 років тому +20

    Allahuakubar mungu akuzidishiye elimu zaidi inshaallah.

  • @user-pp5dc5bv5x
    @user-pp5dc5bv5x 9 місяців тому

    Mashallah ewe ya raaby tunaomba mwisho mwema mola wetu

  • @user-bn7wt2zx9g
    @user-bn7wt2zx9g 3 роки тому +3

    Masha Allah Alhamdulillah

  • @user-yk2ci7ip4h
    @user-yk2ci7ip4h 4 місяці тому

    Alhamdulillah
    Mawaidha yanatutoa sehem moja kwenda nyengie Allah akulipe kheri

  • @yahayabaruti1003
    @yahayabaruti1003 3 роки тому +1

    Mwenyezi mungu atupe mwisho mwema shehe wangu na mungu akupe afya njema ili uzidi kutufundisha

  • @imanmohamed7632
    @imanmohamed7632 3 роки тому +4

    Allah akupe khusnul KHATIMAH Allahumma Amiin

  • @mauridiruhasha8057
    @mauridiruhasha8057 3 роки тому +7

    Maanshaallah BarakaAllahu khayra Allah akuzidishie kheri, na akujalien mwisho Mwema inshaallah

  • @saharayusuf5543
    @saharayusuf5543 3 роки тому +6

    Masha Allah bless you and your family Ijumaa kareem my shelkh

  • @sanoureyaliwadoakaroyo1696
    @sanoureyaliwadoakaroyo1696 2 роки тому

    Jazakallahu Khairaa Allah Azid Kukuneemesha Sheikh Wtu

  • @AshuraAbduly
    @AshuraAbduly 4 місяці тому

    Ewe mola wangu nakuomba unijaalie mwisho mwema🙏

  • @samiaarimkonekonko5096
    @samiaarimkonekonko5096 2 роки тому +2

    Mashaallah shukurani 🙏🙏🙏❤️❤️

  • @petermazingwa9690
    @petermazingwa9690 3 місяці тому

    Ya Allah wasamee ndugu zetu walio tangulia Allah uma amiiin

  • @user-gh7nm6sf2b
    @user-gh7nm6sf2b 9 місяців тому

    Sheikh hamzaaa mungu akuwekee kwa jili ya waislam wote 😢

  • @nusralilobwa4752
    @nusralilobwa4752 6 років тому +43

    Jazakallahu kheri kwa ukumbusho

  • @user-rf5nr8un4h
    @user-rf5nr8un4h 9 місяців тому

    Ashallah eeh Allah atuongeze katika njia ilionyooka Amen🙏

  • @masembamayunga866
    @masembamayunga866 Рік тому

    Shekh Allah akulinde na mashekh wote wanaofanya hay kwaajili ya allah

  • @SmilingGoBoard-bk8co
    @SmilingGoBoard-bk8co 2 дні тому

    Asante Kwa darasa mm n mchrito but nampenda mafundisho ya kiislam Allah anijalie crash wangu awendio wa kuniongoza kuingia Kwa dini ya islam

  • @skjjsj1889
    @skjjsj1889 3 роки тому +1

    Ma sha allah
    Sheikh wetu allah akuhifadhi na akubariki

  • @fatmakhanii1676
    @fatmakhanii1676 4 роки тому +3

    Swadakta maneno matam sana hakuna mfano wadini ya hakki Kama uislam niraha sana Masha Allah Allah akulipe kheri

  • @hikmarashid1729
    @hikmarashid1729 4 роки тому +4

    Allahu akbar 🧕❤🧕

  • @mwajumamohamedi5683
    @mwajumamohamedi5683 2 роки тому +1

    Mashaallah allah akulipe khery god bless you👏

  • @TunnuAlly-bp7ur
    @TunnuAlly-bp7ur 10 місяців тому

    Mashanlah Allah atujalie sote tuwe wenye kusubiri na sheikh Allah akupe umri mrefu

  • @hamisihamisi5078
    @hamisihamisi5078 4 роки тому +4

    MashaAllah.Jazaaka Llahu khaeran .

  • @shemsamasroor480
    @shemsamasroor480 Рік тому

    Allahumma ajirnii fi muswibatii wa aghlif lii khairan minha

  • @nasrasuleiman5710
    @nasrasuleiman5710 11 місяців тому +1

    Allah atujaalie tuwe miongoni mwa waja wema