EWE ULIEDHURUMIWA USIVUNJIKE MOYO KUWA NA SUBRA. SHEYKH; HAMZA MANSOOR

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 49

  • @RamaMohamed-oi9ff
    @RamaMohamed-oi9ff Місяць тому +1

    Masha Allah, ya Rabbie tujaalie mwisho mwema na utufute chozi zetu kwa waliotudhulum Kwa unyonge wetu....Allahumma ameen

  • @khadijaali3107
    @khadijaali3107 3 місяці тому +1

    Mashaallah darsa hii yako shekh hamza imenipa moyo kutokana na dhiki na huzuni nilizobeba moyoni😢😢😢 imenipumbaza moyo wangu mungu azidi kuniongoza kwenye njia iliyonyooka na Allah akubariki shekh na akuhifadhi na akulinde na dhulma za ulimwengu

  • @nooornoor120
    @nooornoor120 2 місяці тому

    Allahum akulinde kwakila mbaya na uzidi kutuelimisha shehk

  • @AbuAliJaali
    @AbuAliJaali 9 місяців тому +1

    Masha Allah
    Allah akupe ulinzi wake na Maisha marefu

  • @aminaosman3315
    @aminaosman3315 2 місяці тому

    ,tunaishtakia katika mahakama ya Allah taasisi ya Ansar kwa kuwadhulumu familia ya marhum said janjira insha'Allah

  • @ZainabuZaina-dk7mx
    @ZainabuZaina-dk7mx 7 місяців тому +1

    ❤ allah akulipe kheri sheh hamza baba angu napenda sana maiwdha yako hakika allah atupe mwisho mwema

  • @FatnaAlly-go7yt
    @FatnaAlly-go7yt 4 місяці тому +1

    Allahu akika waja Wana chuki mpaka onapitiliza tujirekebishe yarabi

  • @TahuwidiNuha
    @TahuwidiNuha Місяць тому

    Maashalla Allah akujalie shekh amza

  • @AssumaniBavumiragiye
    @AssumaniBavumiragiye 2 місяці тому

    Allah akufanyie wepesi sheikh wangu

  • @MudMuho-zo9do
    @MudMuho-zo9do Рік тому +2

    Mungu atufanyie wepesi inshallah na atuondolee matamanio ya duni

  • @YusufMdoe
    @YusufMdoe 6 місяців тому +1

    Sheikh Allah akupe maisha marefu yenye faida

  • @latifanyari8912
    @latifanyari8912 3 місяці тому

    Allah akuifadhi inshaallah

  • @Omanbahla-f8i
    @Omanbahla-f8i 3 місяці тому +1

    Nakupenda kwa ajili ya allah

  • @shuweikhahamad6392
    @shuweikhahamad6392 Рік тому +3

    Allah atujalie miongoni tuonusurika na madhambi

  • @HusseinMuro-ki2hx
    @HusseinMuro-ki2hx 8 місяців тому

    Allah akusitiri kwa elimu kubwa unayotoa hakika unafanana kabisa na unachosema unasema kweli

  • @saumuzani4360
    @saumuzani4360 10 місяців тому +1

    Mashallah tabarakallah

  • @FahadSwai-e4w
    @FahadSwai-e4w 10 місяців тому

    Allah (SW) akuzidishie katika boraa

  • @gamalashur5412
    @gamalashur5412 6 місяців тому

    AKUPE UZIMA NA AFYAA AJUZIDISHIEE ILMUU NAAA'FIAAN.

  • @aminaosman3315
    @aminaosman3315 Місяць тому

    ,Sisi wanafamilia ya marhum said janjira hatuvunjiki tunajua Allah yupo anayashudia insha'Allah haki itapatikana Allah Hana mshirika

  • @hasaniabdalah6148
    @hasaniabdalah6148 11 місяців тому +5

    Sheikh huyu nampenda kwa ajili ya Allah .kweli mawaiza yake yananyooka moyoni kwangu moja kwa moja

    • @ArakazaRuphin
      @ArakazaRuphin 6 місяців тому +2

      Mimi ni zaidi Yako kk nampenda SN adi nime slim kisa ma waidha yake amenifanya niupende uislam mpaka nime slim nikaitwa bien Hamza nampenda SN Allah ampe mwisho mwema sheikh wangu kipenzi❤❤❤❤❤

    • @virginiasimon4609
      @virginiasimon4609 5 місяців тому

      Allahu Akbar 🤲 📿 ​@@ArakazaRuphin

    • @BakaryOmally
      @BakaryOmally Місяць тому

      ​@@ArakazaRuphinmaashallwah Allwah akuongoze na akuzidishie kheri

  • @FatnaAlly-hp7kw
    @FatnaAlly-hp7kw Рік тому +2

    🎉🎉🎉allah akulipe shekhe I am going back 😢😢😢and then I will have a good time and then I will have a good time to come by the best for me is the best way of doing it would have been the same as the most powerful in all of the world and then I will have a good time and then I will have a good time to come

  • @mwanamwinyikutunga7884
    @mwanamwinyikutunga7884 5 місяців тому

    Naam

  • @BraitonBukuru
    @BraitonBukuru 7 місяців тому +1

    ❤❤❤❤

  • @ayoubfute8603
    @ayoubfute8603 11 місяців тому +1

    Mashaallah

  • @NasibuMusa-z9k
    @NasibuMusa-z9k Рік тому +1

    Assalam wa'aleykum warahmatullah wabarakatu Allah akupe umri mrefu wenye manufaa dunian na kesho Akhera tunajifunza mengi kutoka kwako

  • @HalimaMhamedy
    @HalimaMhamedy 11 місяців тому

    Mashallh

  • @AidathRweyongeza
    @AidathRweyongeza Рік тому

    Manshaallah

  • @ZaujiaRamadhani-im7ec
    @ZaujiaRamadhani-im7ec Рік тому

    Mashaalah mwenyez mungu akujaliye mwisho mwema sheh wet

  • @aminaosman3315
    @aminaosman3315 Місяць тому

    ,na sasa kiongozi nswar baada ya kuwadhulumu yatima WA marhum said janjira naama yao kumfungulia kesi ya uvamizi kwa dhulma kabisa akapewa ushindi WA dhulma bado hajaridhika kafingua kesi nyingine kwa mjane anataka walipwe fidia na garama ya kesi na familia marhum said imekatwa rufaa na kesi kurudi mahakamani kwa dhulma iliyofanyiwa yatima na mjane yeye na baradja lake la zulma inshaalah hakimu WA haki Allah

  • @FatnaAlly-hp7kw
    @FatnaAlly-hp7kw Рік тому +1

    Mashallah

  • @umsoud3306
    @umsoud3306 Рік тому +1

    لا حوله و قوة إلا بلله

  • @salmsalmo931
    @salmsalmo931 Рік тому

    Asalam aleikum shekhe naomba kuuliza unafanya kaz huna siku ya kupunzika kila siku kaz hata ukiumwa unafanya kaz pia hiyo dhuluma😭😭😭

    • @al-hidayahonlinetv3447
      @al-hidayahonlinetv3447  Рік тому

      Waleykum salaam warahmatulla warahmatullah wabarakatuh al akhi. Sasa utafanyaje kazi ukiwa unaumwa? Fafanua

    • @salmsalmo931
      @salmsalmo931 Рік тому

      @@al-hidayahonlinetv3447 Ukisema unaumwa unaambiwa ufanye kaz hata ukiwa mgonywa

    • @AidathRweyongeza
      @AidathRweyongeza Рік тому

      ​@@al-hidayahonlinetv3447huyu achosema Yuko sawa wewe mjibu ili na mm nipate kujua unaumwa Tena unapelekwa hospital na unapumzishwa kwa mda na dirip juu na dozi unapewa zakuendeleza ila Ile hujafika ndani ulisha ambiwa inatakiwa uanze na kaziipi shekhe huu ni ukweli tunaopitia

  • @aminaosman3315
    @aminaosman3315 Рік тому

    ,tunamshtakia allah kiongozi wa ansar tanzania kwa yatima mbona hamlizungumzii hilo ina maana hamlijui njooni tanga mjue anafanya kiongozi wenu

    • @hasaniabdalah6148
      @hasaniabdalah6148 11 місяців тому

      Anafanya nini kiongozi wa aswari na wewe kiongozi wako ni nani mpaka useme kiongozi wenu

  • @shuweikhahamad6392
    @shuweikhahamad6392 Рік тому +1

    Allah akupe umri mrefu wenye manufaa