My goodness, back in Highschool I dedicated this song to this one girl who gave me my first hug, wueeh🤣🤣🤣.. Na sikuwahi muona tena. Aki mapenzi wewe... Love this song
nakumbuka 2008 nilimpenda sana mdada mmoja wa kiarusha nilikutana nae iringa .....mara ya kwanza kumuona ilikuwa 2005 ila 2008 nilianza kupenda yaaaani kila nilivyozid kumpenda ndivyo alivyozidi kunitesa .... nilikuwa nssf enzi hizooo ....kiukweli kwenye huuu wimbo ndo alichokuwa ananifanyia yule mdada nilimpenda hakunipenda n sijawahi tena kupenda kama nilivyompenda yeye ... nikahamia dar nikakusikia kaolewa morogoro baadae alisomea udaktar ....daaah asee mapenz haya nikisiliza huuu wimbo nakumbuka mbali
Kama badu una usikiliza huu wimbo 2024 tujuane
wangap bado wanasikiliza 2024
Mimi huu wimbo naukubali sana dull big up Wangapi wanaukubali huu wimbo 2020 like zenu
Zuchu brought as back to this master piece #we want the collaboration 🔥🔥🔥
timeless song ever! 2022 still watching
Your a real one 🫂
Ndiyo nyimbo ambayo naisikiliza Sana Kati ya nyimbo za huyu mwamba mzaramu mwenzangu uliweza
Kwa namna ulivyouimba na Zuchu... Fanya jambo muirudie hii Ngoma nae... Mlipendeza sana
kupenda kubaya jamani,track Kali sana dully,who else's watching this 2017
mohammed mashausi this song is amazing
press like after you heard zuchu sing it.
Mim mpaka leo hii mwaka 2020 ndo rintong yangu uwo wimbo kwenye cm 4rever 🔥🔥👍
dully sykes deserved platinum those days
Loved this dude since primary school thanks to the Tanzanian students, waaay #TBT
Dully zingatieni ngomazenu zikusanyeni mziuze upyaaa
Watching from +254, 2019..long live the legend, Dully Sykes.
My goodness, back in Highschool I dedicated this song to this one girl who gave me my first hug, wueeh🤣🤣🤣.. Na sikuwahi muona tena. Aki mapenzi wewe... Love this song
Lol same!
Wtf🤣
Me too🙂
😂😂😂😂
wangapi tunacheki hii ngoma 2019
huyu ndo True Regendy
Still here 30/6/2019
Hta sasa anatisha badooo
Wanngao 2020
Huu wimbo mpaka Leo ukovizur jaman♥️♥️♥️🔥🔥🔥🔥gonga like Kama unaisikiliza 2021
I've been looking for this song. Fully Sykes is just a vibe to watch. 2023 here we go 🔥🔥🇰🇪
wimbo mtam sana unamaneno mazur huwa sichok kusikiliza
Kweli my darling
nakumbuka 2008 nilimpenda sana mdada mmoja wa kiarusha nilikutana nae iringa .....mara ya kwanza kumuona ilikuwa 2005 ila 2008 nilianza kupenda yaaaani kila nilivyozid kumpenda ndivyo alivyozidi kunitesa .... nilikuwa nssf enzi hizooo ....kiukweli kwenye huuu wimbo ndo alichokuwa ananifanyia yule mdada nilimpenda hakunipenda n sijawahi tena kupenda kama nilivyompenda yeye ... nikahamia dar nikakusikia kaolewa morogoro baadae alisomea udaktar ....daaah asee mapenz haya nikisiliza huuu wimbo nakumbuka mbali
pole sana...njoo nkuliwaze
@@azizandwata7725 😂😂😂umechangamkia fursa ila asemayo mwamba ni kweli ukipenda acha
Mapenzi yanauma sana
Mwamba hukua na hela ndiyo tatizo lenu mskini
Dah hii sas Kali inajirudia sana big Up sana Bro Dully 26.Oct. 2019 gonaga like
Wangapi waangalia huku nasoma comment 😅
Huu wimbo ni wa kimataifa.sijui kwanini hauna 1M+ views.
Huu wimbo utabaki kua favourite ya bongo
Masterpiece...these type of musics are very rare nowadays!! Godamn it!
jaman dully huu wimbo Wa kupenda aliumba poa sana !! safi kaka
so painful song it makes me shed tears whenever i hear this song
same to me
Ooo sorry
Take it easy swirie
Nimekumbuka mbali sana,
Due to this song
#Long_lives_legend
Love this song sweet memories ..wapi mafans..Dully those days weee
Who is here after see Zuchu singing it with him?
Here I am 😁
Big up my brother dully mzee wa misifa nakuelewa sana nyimbo inanikumbusha mbali sana kipindi nasoma xhule ya msingi tegeta pius msekwa
Respect sana kamanda
Imagine niko arusha afu hotel namsikilizia mwamba,hii ngoma inapiga......afu nimempenda kinoma chaliii wa arusha......akinikumbatia napagawa
Whose watching this in February 2024
Nani Yuko Hapa Aprili 2034! Tushazeeka Jaman
Usione nakusumbua, ninakupenda wee
Yale mapenzi uliyonipa ndio yafanya nakusumbuaa,
Naomba nihurumiee, unanitesa wee, kupenda kwangu ndo kwanifanya niwe fala bwege kabisa
Patam sna
Hizi ndio ngoma zilizonifanya mpaka kwenye mahusiano nikawa napenda yangu yote,,kiukweli kabisa napenda muziki
Legendary tunes.. So much love my bro dully // niko na'bang namlilia mtoto mkaliii
Nani yuko hapa baada ya kumuona Zuchu na Dully wakiimba huu wimbo
Ahaaaaaa kmmke kaaaah ngomaaaaa hiiii me sisemi
2022...Still such a touching song.
2023🥰
Wish he could re-do this in Acoustics
That would be beast of a song.... Bass guitar, acoustic guitar and maybe violin
Pancho latino ulitendea haki huu wimbo pumzika kwa amani my brother 😭🙏
Am brought back by the memories 😁❤, Who else is here 2023?
@Dully bring this BACK plzzzzz
2024,
Naomba like zangu
huu wimbo hata miaka iende vp bado utabaki special song yaani ni mzuri sana
Nilikua naisikiliza nashangaa asiekua mtanzania na hajui kiswahili amenifata nimpe jila lawimbo na alieimba
"Mziki mtam😂" hatar....
Who is still listening to this in 7 / 6 / 2023. ..the vibe
18/7/2023
Naenjoy sana kila siku tangu ufahamu wangu hadi leo 7 September 2023, niko na miaka 29....❤❤❤
A LIVING LEGEND
Konde boy akiiona hii tumeisha 😂😂😂
Wimbo mtamu naufeel sana.....big up...
Nyimbo tamu sanaaa
An uwa najixkia xna nkixkiza ii song
Now this is a bongo flavour Kalighaph Jones..... Hamusha hawa watu kabisa
The living legend in bongoflavor
Sina makosa wanionea Bure, unafurahi mi nalia
Huu wimbo ungeufanyia Remix kwa viombo vya miaka hii ungekuwa top ten kwa kweli.
Naomba unihurumie 2020 wangapi wanaukubali huu wimbo
Who watching this March 2024
nilikuwa nikitafuta song hii kumbe sio ata w zuchu 🥰🥰🥰
Nyimbo yangu ya muda wote
Zuchu brought me here 💥💥💥
katika ngoma zake dully zote hii aliimba
Who else is here after lit 🔥 cover ya Tanzanite ?🙌🏽🤗 ... this track still rocks 2020..
Dully huwa hakosei..always here
classic music will live forever
I CANT GET ENUF OF THIS SONG WOW
2024 ❤❤I still listen to this
ukipenda usipopendwa alafu usikie huu wimbo unaweza lia
Upende mtu hakupendi huwa yaumiza Sana I wish one day atatokea wakunipenda nimechoka kulia
My darling nipa wa upendo wa ukweli jmn
Dahh
🎉❤2024 still here
Never gotten tired of listening to this song
2020 lakn mzki bdo uko juuu bana wengine wanapiga kelele tu saiii
Oldskul bongo was the best... 🙌🇰🇪S join the group ❤️
Huu wimbo enzi hizo ulikua kama nakupenda ya j melody
wangapi 2020 mimi right now 👌 iko poa ngoma hiii like zenu jameni
Bonge la wimbo
🌹🌹🌹✨✨✨🌷🌷🌹🌹🌹🌹😍😍😍😍a lovely song from Dully Sykes kweli old is Gold
❤❤❤❤❤❤naupenda san hapa alitisha
This will always be my song 😒❤️
This music is a hit even if its oldskool
2023 and still.. Dully skies 😉
The boy/girl at 0:47 in red has such a beautiful face! And the song is nice ^^
Tarehe 3 June Niko hapa🔥
naupenda sana huu wimbo
Hi
@@ivannytalk2871 mambo vp
2024 but the song still a Banger 🔥🔥
Penda sana nyimbo hii 😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍
@RoyaltyChacha256 Brought me back to this ☕🐝☕ madness vibe song🔥🔥🔥💯💯💯💯
who else see this in 2018
daah mwenye bits zake keshatangulia mbele ya haki pumzika pema pancho latino mziki wako tunasikiliza 😢😢😢💔💔
Wangapi 2019?
Naupendaaa huu wimbo
2019 nipo
Huwa nalia kila naposikiliza huu wimbo unanigusa hisia sana juu ya mtoto wa Kichaga.
Gonga like lako hapo kama hadi Sasa unaskiza hii ngoma
Huu wimbo umebeba kumbukumbu za raha when bongo fleva was so real
Umetisha brother man Dully...
2020 Niko APA kwa legend asiyezeeka 😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Original and best song ever
Tupo natunakupenda sana my
Wot a beautiful song different from all
Love the song! Still watching 2022!
r.i.p Pancho!
Nani yuko hapa 2024
2020 here we gooo
Nani yuko hapa baada ya kumuona Zuchu na Dully wakiimba huu wimbo
Ilibidi niutafute😂😂
Adi mimi
Mimi uyu nimeuona kupia zuchu mbona mpaka nikaupenda le 8/11/2022 nimependa sana kbsa kila Siku nitakua nautazama
🖐
Mimi😂