Tumekuchambulia yote yaliyojiri kwenye uzinduzi wa album ya Diamond Platnumz ‘A Boy From Tandale’

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 23 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 242

  • @irenemumbiofficial2282
    @irenemumbiofficial2282 6 років тому +17

    Love love Kenya tunapenda sana💛💛💛💛💛💛💛💛wow I love my country kenya my mother land.i was there me too😍😍😍😍

  • @theinsider6462
    @theinsider6462 6 років тому +28

    Wakenya wanatupenda sana watanzania,We have to give it back watanzania wenzangu,One love my brothers and sisters from Kenya,We love Ya.

  • @michaelmshuda1118
    @michaelmshuda1118 6 років тому +5

    Hongera sana mnyama diamond, pia nakupa hongera zangu wewe Mr bundala unatupa tunachopenda mashabiki wako mungu akutangulie my brother katika kazi zako

  • @leonardmgungu5139
    @leonardmgungu5139 6 років тому +1

    Respect Mondi👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊
    Wewe nchi umeitangaza nazani hata maadui wanajua mana wasanii mko wengi lakin mpenda Muziki wa Tanzania Uendelee Kwenye anga Za Kimataifa ni wewe Mungu akupe maisha marefu kk Cheeb

  • @mimaarich9103
    @mimaarich9103 6 років тому +1

    I am from kenya bt i rlly proud of tnz 😍😍😍nawaomba watnznia tushirkiann kuspt wasn wa kenya km vile ss tunawsprt😍😍😍😍😍😍😍one love tz

  • @purryselestine4000
    @purryselestine4000 6 років тому +5

    Mungu ape maisha marefu diamond kwa kweli 😍😍😍😍😍

  • @Benedictpouan
    @Benedictpouan 6 років тому +8

    Kumbuka Baba levo, mzee Diwani mnoma alishaga funga kila kitu aliposema, labda mondi afe ndio atokeee wa kimpiku

  • @64aaa
    @64aaa 6 років тому +22

    Mi sina la zaidi ila ni kukuombea mungu akujaalie uzidi kusonga mbele na mafanikio mema. Wakenya tunasema shukran mungu awabariki. Ameen.

  • @jeanmalilo6128
    @jeanmalilo6128 6 років тому +26

    Kichwa Cha Africa Diamond platinumz

    • @hopechidera
      @hopechidera 6 років тому +1

      Jean Malilo kichwa chako wewe mwenyewe,towa Africa kwa ujinga ako😏

    • @jeanmalilo6128
      @jeanmalilo6128 6 років тому

      I'm a daughter of The Lion of Judah kwenda zako

  • @valentinemwatembo5768
    @valentinemwatembo5768 6 років тому +11

    Kenya my love...love my country

  • @nelsonkibet8387
    @nelsonkibet8387 6 років тому

    Keep it up Diamond,as KENYANS we will always support you.....make east Africa to be the pride of the world.Salute to u man

  • @hassanovajunior6972
    @hassanovajunior6972 6 років тому +21

    Mwenye bongo flava yake a boy from Tandale go go SIMBA

  • @nurudinisadick5905
    @nurudinisadick5905 6 років тому +5

    dadadadadad🔥🔥🔥🔥 love you sms good voice bt mond ninomaaa sanaaa

  • @aliskadzo3162
    @aliskadzo3162 6 років тому +4

    From Kenya too,but living in diaspora,Nov love sns

  • @mamantilie3125
    @mamantilie3125 6 років тому

    Asee thanks kwa Dimond kila siku anazidi utofaut mzul bg up bro mung akuongezee maujanja

  • @jeremiahsengasu6595
    @jeremiahsengasu6595 6 років тому +9

    diamond ni muhimu Tanzania sana

  • @D-Man.B-Free
    @D-Man.B-Free 6 років тому +23

    The good point kuzinduliwa Kenya ni kwa sababu ya thamani ya Hela,Kenya shillings is high than tanzania shillings

  • @hoseanobocka4533
    @hoseanobocka4533 6 років тому +7

    kweli kabxa ,Diamond endelea kuitangaza nchi yetu japo hawaon umuhimu wako

  • @saidkambi6792
    @saidkambi6792 6 років тому +15

    wcb wapo juu sana kwa sasa

  • @josephochieng2522
    @josephochieng2522 6 років тому +13

    Hey sky,we are bros and that's why we support you guys.

  • @eugenekwaka
    @eugenekwaka 6 років тому

    Support Kenyan music kama vile sisi Wakenya tunavyosupport Bongo...East Africa to the World!!!!

  • @sirajrahul7329
    @sirajrahul7329 6 років тому

    Am kenyan watching from sudan... Big up Simba

  • @kifarusongeaolg9726
    @kifarusongeaolg9726 6 років тому +49

    angalau wiki hii UA-cam imekua nautamu maana UA-cam bila sitori zadiamond ainogi kama unaamini like apa

  • @immazeweezy4599
    @immazeweezy4599 6 років тому +5

    Bora mond ulvyoenda kufanyia Kenya bongo majungu yamezd had kunaboa

  • @perrybenson7188
    @perrybenson7188 6 років тому +7

    Tanzanians hebu mniambie mbona mnatuona wakenya kama wajeuri nope tuko wakarimu na ndio maana sisi ndio nchi yenye kambi kubwa zaidi ya wakimbizi tunapenda majirani wetu,ila kuchokozwa hatupendi so tz mituchukia tunasoko kubwa kenya inaitwa gikomba na watanzania ndio wauzaji wakuu kule hatuna kinyogo ila nyinyi mnajipenda sana sithani mnaweza kubali kwenu tumiliki soko kiasi kikubwa hivyo kama sisi vile tumekaribisha majirani nchini kwetu kenya iluv my loving country

    • @0759981599
      @0759981599 6 років тому +1

      Perry Benson kwakweli wakenya mtusamehe tu sisi wa tz kweli ktk swala ukarimu tuna mengi ya kujifunza kutoka kwenu jirani zetu thanks for your support guys

    • @perrybenson7188
      @perrybenson7188 6 років тому

      crown princeDionis welcome dear

  • @richardmajula7488
    @richardmajula7488 6 років тому +6

    Hongera Sana Broo Sky Kwa Kazi Nzr

  • @tahrinkessy7119
    @tahrinkessy7119 6 років тому

    Tunawapenda nacc jomon kenya East Africa moja😚😚😚😚

  • @rubyally1571
    @rubyally1571 6 років тому

    This was amzing.... Tanzania is my second home.. much love

  • @jenifajerad4012
    @jenifajerad4012 4 роки тому

    🙌🙌🙌🙌🙌♥️♥️♥️konde njoo uangalie vitu uku mwejaku njoo uku mrudie mambo moto

  • @georgettetiemele8220
    @georgettetiemele8220 6 років тому +3

    Fam blanche là représente ma bosslady, diamond peut pas oublier ZARIIIIIIIIII.
    Gagagagaga

  • @tahrinkessy7119
    @tahrinkessy7119 6 років тому

    Allah akuzdishie uzd kusnga mbele chibu de chibudee na SnS pia bro big up

  • @benkim7733
    @benkim7733 6 років тому +9

    pia wa tz msupport wasanii wa kenya

  • @terrykamau902
    @terrykamau902 6 років тому +5

    We love Diamond and Tanzania

  • @ivinechemtaimasai83
    @ivinechemtaimasai83 6 років тому

    Kenya is just amazing country a place to be....Love kenya sana

  • @ckukuu8404
    @ckukuu8404 6 років тому +6

    Mmmh natamani ningekuwepo hapo jamani sasa mm nitahudhuria lini hzo show??? +254 Mombasa

  • @chamygama6049
    @chamygama6049 6 років тому +4

    bro sky u are the best Tanzania
    keep up

  • @mariamhasan301
    @mariamhasan301 6 років тому

    umeongea kweli Tanzania na Kenya ni ndungu kabisa na sote tunapendana na kushirikiana nikiwa Jordan (big love east Africa)

  • @sigifridyfranky8984
    @sigifridyfranky8984 6 років тому +6

    diamond akipotea kwenye game bas na bongofleva itakufa maana uyu jamaa nishida

  • @marejaaclassictv2614
    @marejaaclassictv2614 6 років тому +6

    Inauma sna wakenya wameona umhimu hadi wamempa ardhi duuuu wabongo chuki tu

  • @allykassim9826
    @allykassim9826 6 років тому

    Unakumbuka ile niisemayo kila mara.'nabii hakubaliki nyumbani' huyu jamaa amethubutu.bongo fleva juu.hongereni wakenya.thx sky.SnS

  • @malkoabdi
    @malkoabdi 6 років тому

    Nice work we love tz too loooooooooooooooooooooooooooooooooooooove tz

  • @madahacostantine7959
    @madahacostantine7959 6 років тому +2

    success iz the result of handwork and learning from failure so diamond platnumz piga kaz brother pia mafanikio mema mond but on the other hand naumia sana kuona ww na zari mkiwa separately so try to convince ur fellow mlee watoto wenu na mfunge ndoa kwa kuimarisha penzi lenu na boss lady zari, nice success bro

  • @faridamohamedi4170
    @faridamohamedi4170 6 років тому

    Safiii simba mungu akuweke miaka mingi

  • @angeldaniel3816
    @angeldaniel3816 6 років тому +4

    wabongo jamani tuache majungu jamani tumsapoti chibu anajua sana sana hongera sana

  • @TRAVELANDTASTETANZANIA
    @TRAVELANDTASTETANZANIA 6 років тому +4

    Hongera sanaa A Boy From Tandale.

  • @faridabakari8511
    @faridabakari8511 6 років тому +1

    ongera a boy from tandale🇯🇲🇯🇲 big up wapi kenya +2527♡♡♡♡♡♡❤❤🇰🇪🇰🇪💋💋

  • @abigaelmbone7806
    @abigaelmbone7806 6 років тому +16

    Wakenya hatunaga chuki hata Bibi tunaeza kupa

  • @brendaluyange270
    @brendaluyange270 6 років тому

    All has been said everyone has seen where you've come from your supporters nd your hardwrk all the best diamond💎

  • @ezekieledson502
    @ezekieledson502 6 років тому

    ,,,,,kijana,,, tutabaki kukuita,,,,,Mkuu tu!!! cjaona bongo zaidi yako!! ataesema hapana bx hajui muziki,,,

  • @shubaibe5802
    @shubaibe5802 6 років тому

    Karibuni kenya kwa mara nyengn tena we lov yu all....c wte ni ndugu..

  • @hassan0256
    @hassan0256 6 років тому +1

    Hio ngoma na Omarion kali Sana itakua na Impact zaidi ya waka waka

  • @tatianatataa1489
    @tatianatataa1489 6 років тому

    Diamond is a real diamond 💎 he shines bright

  • @salamia__mwangu599
    @salamia__mwangu599 6 років тому

    we kweli simbaa from tandale Big Up kwako🙏🙏🙏

  • @faridamohamedi4170
    @faridamohamedi4170 6 років тому

    Asante Kenya honger daimondi

  • @mamual-habsi4266
    @mamual-habsi4266 6 років тому

    Ma shaaa Allah simbaaaaa wetuu allah akufnyiee wepes ln shaa allah niceeeeeeeeee

  • @halimaabdullahi1201
    @halimaabdullahi1201 6 років тому

    Kenyans are really welcoming, welcome all to our great nation KENYA.

  • @habibaadam6666
    @habibaadam6666 6 років тому

    We love you bro sky and say hi to bby sky ....pamoja bro

  • @ottomanmwarabu6771
    @ottomanmwarabu6771 6 років тому

    so proud, so damn proud, asante sana kenya God bless u all

  • @samtelah7578
    @samtelah7578 4 роки тому

    2020 bado niko hapa

  • @goldenfox4185
    @goldenfox4185 6 років тому +1

    🔥🔥🔥 WCB FOR LIFE, BIG UP TO OMARION 💪💪💪

  • @saulikinahi6703
    @saulikinahi6703 6 років тому

    Big up,
    Best wishes Mondiii

  • @madahacostantine7959
    @madahacostantine7959 6 років тому +5

    mond nomaaàa... sana

  • @othumansuleiman6372
    @othumansuleiman6372 6 років тому +3

    Simbaaaaaa kamwe hawezi kuwa fisi, umeua brother

  • @krisjonas6561
    @krisjonas6561 6 років тому +5

    Minaisubiri hiyo ngoma nibala #Diamondplatnumz ft omario

  • @mossesmatechi9022
    @mossesmatechi9022 6 років тому

    Big Up xnaa #diamondplatnumz #ABoyFromTandale🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @trizzahrichard1598
    @trizzahrichard1598 6 років тому +5

    Only ua president dont love kenya but tunawapenda hivohivo

    • @everlinama9532
      @everlinama9532 6 років тому

      Hata nyinyi watanzania mnachukia wakenya vile good mahia walikua wanachezea na Everton mlishabikia Everton sana

    • @everlinama9532
      @everlinama9532 6 років тому

      Trizzah Richard gor mahia.

  • @furahakiberinka2381
    @furahakiberinka2381 6 років тому

    Songa mbele songambele songambele Daimond songa mbele mpaka mwisho wamaishayako uendelee songa mbeleeeeeee

  • @innocentsimika1937
    @innocentsimika1937 4 роки тому +1

    Namba uno in Africa

  • @angeldaniel3816
    @angeldaniel3816 6 років тому

    zari pole kwa ulofa wako mwanaume wako mwenyewe ingia labour big up diamond

  • @hashimabdalah3161
    @hashimabdalah3161 6 років тому +2

    King simba lion mwamba of africa

  • @elshaarawymuhabesh316
    @elshaarawymuhabesh316 4 роки тому

    Ndio kwanza naiangalia leo hongereni Sns

  • @hilmybullo4884
    @hilmybullo4884 6 років тому +1

    hongera SIMBA . mda mwengine unapotaka kufanya kitu bora unatakiwa uwe sehem bora .. so kwaio SIMBA ajaaribu kitu .. na kuusu KENYA . inapendeza ata mm .. ni Mzanzibar ila nnaasili Ya KENYA .. Kwaio kwangu ni furaha tosha

  • @sharlinanyanje4065
    @sharlinanyanje4065 6 років тому

    Representing +254 job well done

  • @snowflake_VEVO
    @snowflake_VEVO 6 років тому

    One love from 254

  • @philetz4071
    @philetz4071 6 років тому

    Tanzania make Africa proudly

  • @singlemom6915
    @singlemom6915 6 років тому +1

    Dai usibabaishwe na Zari wew piga kaz watu wenye pesa wanajishauwaga sana na usipo angalia watakupiga hao zar na watot wake maana hao watoto ni wakubwa kama wew 😁be happy

  • @revocatuscostantine3647
    @revocatuscostantine3647 6 років тому

    cant wait dis song.....................

  • @alimaalimaa6048
    @alimaalimaa6048 6 років тому

    ongereni sana wcb mungu awaende mbele

  • @josiahii378
    @josiahii378 6 років тому

    Thanks Kenya niitafuteni mke toka Kenya

  • @miminaah3911
    @miminaah3911 6 років тому

    Love Kenya😍

  • @sophyali8840
    @sophyali8840 6 років тому +4

    🔥🔥🔥🔥🔥bigup

  • @aishaaisha2957
    @aishaaisha2957 6 років тому +4

    Wcb daimaaaaaaaaa

  • @ckukuu8404
    @ckukuu8404 6 років тому +2

    Jamani hyo ngoma ya omarion naingoja inakaaa tamuuu

  • @a11irv33
    @a11irv33 6 років тому

    levels... huyu jama noma sana

  • @nassoroswalehe956
    @nassoroswalehe956 6 років тому

    Good xn Diamond 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @rosemarybenjamin4333
    @rosemarybenjamin4333 6 років тому

    Whoooo😍😍😍WCB 4 real life

  • @joxeesety9895
    @joxeesety9895 6 років тому

    Mnachambua vzr sana

  • @emanuelkvannyii8268
    @emanuelkvannyii8268 6 років тому

    we love you mondiiii

  • @reetasmyth7062
    @reetasmyth7062 6 років тому

    Can someone tell me if esma platinum is diamond s sister or auntie

  • @shiraann632
    @shiraann632 6 років тому

    Wow congratulations Mondi

  • @justinerevocatus2955
    @justinerevocatus2955 6 років тому

    Daaah one lov east africa big up wcb hongeren sms 😘

  • @purryselestine4000
    @purryselestine4000 6 років тому +3

    Nimecheka nguo za omariona 😩😩😩😩😩😩

  • @afrodailytv4335
    @afrodailytv4335 6 років тому +8

    skraaaaaaaaaaaaaaaaaaa pap pap booooooooooooooooooooooom skidi ka ka ka platnum

  • @afrednasson5664
    @afrednasson5664 6 років тому +1

    Kazi nzuri sana SNS

  • @yusuphjaphari154
    @yusuphjaphari154 6 років тому

    diamond yeye ni mtu ambae Namuangali kwa hicho la kwanza kabisa ktk music wa Africa sijaona km yy

  • @aishaaisha2957
    @aishaaisha2957 6 років тому +4

    Safi sana

  • @venushabuya7135
    @venushabuya7135 6 років тому

    Congrats Diamond

  • @nelsonkibet8387
    @nelsonkibet8387 6 років тому

    We as Kenyans we always support you so as to sell east Africa as one to the foreign investors but don't blame Diamond for launching his album in Kenya...kwa nini hamkumlaumu vanessa mdee alivyo zindulia album yake ya cash madame hapa Kenya ivi maajuzi,so let us learn to be natural in our thoughts

  • @sajisikakoko7466
    @sajisikakoko7466 6 років тому

    Nakuelewa bro

  • @anjelangaiza6258
    @anjelangaiza6258 6 років тому

    Safi dai, wewe ni noma!