Mungu anaiwazia mema Tanzania,.. mtumishi wa Mungu,kuna watumishi tunakufuatilia sana baba,Kwa kweli IPO haja ya kubadili aina za mahubiri yetu,.tujikite kuliandaa kanisa kunyakuliwa.. Mungu wetu tusaidie ..
Amen mtumwa wa Kristo,asante Mungu kwa kukuweka Tz ili uwe sauti ya MUNGU kwa kanisa la Tanzania na ulimwengu kwa ujumla,ahimidiwe MUNGU kwa mahubiri haya,walio wa Bwana na wawe tayari kuwa na mafuta kwa ajili ya kumlaki Bwana harusi,Yesu Kristo
Ni kweli mtumwa wa Yesu kristo aliye hai hizi ni nyakati za mwisho, kwani yaliyo andikwa kwenye bibilia yalio mengi yametokea, tetesi za vita , watu kupenda pesa kuliko kumpenda Mungu, watu wako busy kuliko kumtafuta Mungu. Mungu atufungue masikio ya rohoni na macho ya rohoni, paza sauti yako, mwenye sikio na asikie neno la Mungu.
Mungu azidi kukubariki mtumishi wake maana Bwana amekuleta kwetu Ili kutuhibiria kuwa siku za mwisho zimefika uzidi kubarikiwa asubuhi mchana hata usiku na hata milele
Damu ya Yesu ikufunike na Roho Mtakatifu azidi kukupa mikutano na semina nyingi na akupe nguvu ili wengi wafunguliwe fahamu zao inaogopesha Sana Mungu tusaidie
We baba fanya tu hiyo kazi ya Mungu kwa uaminifu maana thawabu yako ni kubwa mbinguni, Fanya kama Mfalme Yosia Usigeuke mkono wa kuume wala Kushoto, isafishe kanisa la Mungu liandae kwa safari
Ameeeeeen ameeeeeen ameeeeeen ameeeeeen psrt barikiwa sanaaaana mutumishi wa Mungu,ni kweli kabiza taa zetu hasina mavata tunamuitaji Mungu ndani Ya muyo yetu tumurudiye Mungu aturehemu
Na unyakuo haupo wala hauta kuepo Huo ni ulongo mkubwa. Ainamaana kam yesuatanyakua kanisa alafu mpinga kristo aje apana Yesu analudi kuukumu ulimwengu akiwemo huyo masii wa ulongo
Nikweli. Ufundishayo ila ilo taifa la Israel 🇮🇱 sio lile la makabila 12 lawana wa yakobo Hao waliopo apo ni mafreemaso na illuminati hao wanamngoja mpinga kristo. Na mkirsto anae lisapoti hili taifa la Israel 🇮🇱 unakosea
Mungu anaiwazia mema Tanzania,.. mtumishi wa Mungu,kuna watumishi tunakufuatilia sana baba,Kwa kweli IPO haja ya kubadili aina za mahubiri yetu,.tujikite kuliandaa kanisa kunyakuliwa.. Mungu wetu tusaidie ..
Mutumishi wa bwana nimeshindwa na neno lako karibun Rwanda pia tuna kuomba tafathari❤
Amen,Rabbi na Mungu akubariki,nimebarikiwa na mafunzo ya kinywa chako
Amen mtumwa wa Kristo,asante Mungu kwa kukuweka Tz ili uwe sauti ya MUNGU kwa kanisa la Tanzania na ulimwengu kwa ujumla,ahimidiwe MUNGU kwa mahubiri haya,walio wa Bwana na wawe tayari kuwa na mafuta kwa ajili ya kumlaki Bwana harusi,Yesu Kristo
Ubarikiwezaid paulowaBWANA tunakufatiasanakigoma
Amen
Hasnte sana mchungaj me naomba mungu anisaidie kuondokanae mbinguni na anisamhee mazambi yangu yote na kunipa nguvu mpya ya roho mtakatifu
Asante YESU kwa kusikia neno hili naomba unirehemu mimi na familia yangu tukuone 🙏 tukulaki mawinguni
Mungu akutunze ktk nyakati hizi,,,,,,, kwakweli hizi si nyakati za mwisho,,,, ningependa kusema hizi ni nyakati za hukingoni kabisa....oooooh lord.
😊😊
Asamte kwa mafunisho kwa maonyo
Amen, Amen. Barikiwa mno Rabbi. Neema ya KRISTO YESU izidishwe kwako. Asante Kwa Mafundisho mazuri
Amen nabarikiwa sana na Mahubiri hAya
Ndiyo tupo tunasikiliza, endelea kunisaidia, Yesu atusaidie na kututia nguvu.
Bwana YESU akubariki Mwalimu
Asante Yesu kwa kutuokoa asante asante YESU libarikiwe jina mmbariki mtumishi wako Abshalom Longan.
Safi sana,, hizi ni injili zinazohitajika mnoo😊
Wasemapo pana amani hapo ndipo penye uharibifu. Barikiwa baba
Mungu akutunze inatisha sana nimekuelewa Bwana akutie nguvu
MUNGU azidi kutupa Siri zake kupitia kinywa Cha mtumishi wake.!Amina
Bwana Yesu mfalme wa wafalme nikumbuke mim na uzao wangu kwenye ufalme wako 🙏🙏🙏🙏
Bwana YESU unikumbuke katika ufalume wako siku utakapo kuja
BARIKIWA SANA MTUMISHI WA MUNGU. UNATUFUNGUA WENGI SANA WATUMISHI WA MUNGU HAWAONGEKEI HAYA KABISA.
Asante sana Bwana Yesu Kristo Kwa Neno lako la Uzima
Amen amen amen ubarikiwe sana kwa neno suri yakutuimiza kwa safari ya kwenda mbinguni amen 🙏
Ni kweli mtumwa wa Yesu kristo aliye hai hizi ni nyakati za mwisho, kwani yaliyo andikwa kwenye bibilia yalio mengi yametokea, tetesi za vita , watu kupenda pesa kuliko kumpenda Mungu, watu wako busy kuliko kumtafuta Mungu. Mungu atufungue masikio ya rohoni na macho ya rohoni, paza sauti yako, mwenye sikio na asikie neno la Mungu.
Bwana na akubariki Kwa injili ya kweli
Asante mtumwwa wa krsto!
Mungu turehemu tuzinduke toka kwenye usingizi wa kiroho
Mungu,tupeunyenyekevu
Mungu azidi kukubariki mtumishi wake maana Bwana amekuleta kwetu Ili kutuhibiria kuwa siku za mwisho zimefika uzidi kubarikiwa asubuhi mchana hata usiku na hata milele
Amina mtumishi nabarikiwa sana
Amina naiwe kwangu na mim eee Jehovah
Kwakweli hakuna unyakuwo Yesu akirudi jicho lote litamuona nawaliyo muwua watamuona
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu kwa ujumbe huo uje sisi kwetu mbeya horongo
Sema Nasri eemtumishi wa Mungu aliye hahi wewe ' nibaraka kwa watu wengi
Amen 🙌
Ubariliwe sana kwa chakura chenye Uzima ndani yetu
Sima nasi Bwana tuko tayari kumutii Mungu
God be with you forever I'm form zambia 🇿🇲
Dah pastor ubarikiwe sana Kwa mafundisho mazuri sana ya siku za mwisho
Nakusikiliza kutoka hapa Marekani mtumishi Uko sawa kabisa ulee mto umekauka kabisa Ufunuo 16 : 12
Ameni ameni
God bless pastor mungu akutie nguvu
Damu ya Yesu ikufunike na Roho Mtakatifu azidi kukupa mikutano na semina nyingi na akupe nguvu ili wengi wafunguliwe fahamu zao inaogopesha Sana Mungu tusaidie
God bless you
We baba fanya tu hiyo kazi ya Mungu kwa uaminifu maana thawabu yako ni kubwa mbinguni, Fanya kama Mfalme Yosia Usigeuke mkono wa kuume wala Kushoto, isafishe kanisa la Mungu liandae kwa safari
Ameeeeeen ameeeeeen ameeeeeen ameeeeeen psrt barikiwa sanaaaana mutumishi wa Mungu,ni kweli kabiza taa zetu hasina mavata tunamuitaji Mungu ndani Ya muyo yetu tumurudiye Mungu aturehemu
Tuombee baba Mungu Atupe nguvu tuweze kukesha
AMEN MTUMISHI, MUNGU ATUPE KUAMKA KUTOKA USINGIZINI.
Ameeeni
Asante kwa mafundisho ya siku za mwisho
Naku arika uje huku mkoani songwe !
Sababu gani kutumia Iyo alama ya px
Uishi milele Rabbi
Umekuwa Baraka kwa wengi mpakwa mafuta,maana unatema nondo kutoka juu mbinguni
Amen
Nashukuru kwa injiri hii maana ni asilimia 3 wanaotukumbusha kujiandaa
Nimesikia huu ujumbe.
Amina
Imen
Hakuna. Unyakuwo
Amen amen ❤❤❤🎉
Ndio baba tupo tunasikiliza
Amen 🙏
Tunakombolewa na damu ya mwana kondoo
MKUTANO UPO MBEYA SEHEM GANI
Ole wamgu
Mpo viwanja vipi Mbeya
Ubarikiwe sana mtumishi kwaneno hili.nikonaswali ningetamani kupata namba yako ya SIM ilituulize maswali.
Hatujakombolewa kwa vitu viharibikavyo bali kwa Damu ya Mwana Kondoo Asiye na ila
Good
number hiyo mbona haipiti whatsapp?
Akalulu managed yake nini
🇮🇱🇮🇱🇮🇱💪💪💪
Na unyakuo haupo wala hauta kuepo
Huo ni ulongo mkubwa. Ainamaana kam yesuatanyakua kanisa alafu mpinga kristo aje apana Yesu analudi kuukumu ulimwengu akiwemo huyo masii wa ulongo
umesoma biblia yako vizuri mtumishi?
Nikweli. Ufundishayo ila ilo taifa la Israel 🇮🇱 sio lile la makabila 12 lawana wa yakobo
Hao waliopo apo ni mafreemaso na illuminati hao wanamngoja mpinga kristo. Na mkirsto anae lisapoti hili taifa la Israel 🇮🇱 unakosea
Kwa hiyo Waisrael wakweli wako wapi tuambie
Correction,si wote lakini mabaki yawa Israel wapo,ili Tu neno la Mungu litimie.
Amen amen
Amen
amen amen
Amen,
Amen