Mshuhudie Sheikh Othman Maalim akiimba kaswida katika maulidi ya Masjid Nour Muhammad

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 жов 2023

КОМЕНТАРІ • 103

  • @twaibumikidadi7377
    @twaibumikidadi7377 9 місяців тому +5

    Kwann masuuf wanakomaa sana ktk Maulidi????
    1- Kwa sababu husishwa ngoma na nyımbo ( ni sehem ya iblisi)
    2- Hapo kuna umimi najua mm masautu nzur mm nmesoma kulko n.k
    3- Ni ibada isiyofındshwa na Mtume( ibada ya Kishia)
    4- Manaswara wanapasaka( yesu jazalıwa)
    Masuııf wanamaulidi
    Kumpenda mtume sıo kumpigia ngoma
    1- kuvaa kama mtume
    2- kutembea kama mtumr
    3- kula kama mtume
    4- Kusema kama mtume
    5- kucheka kama mtume
    6- kulala kama mtume
    7- kuswali kama mtume
    8-kukakataza bida'a kama mtume
    9- kulataza munkar kama mtume
    10- kufanya Adhkar kama mtume
    *Uchunguzi*
    Masuuf ktk öawaidha yao yote hakuna mawaidha wanakemea Bida'a , maana wao ndıo wafanyaj wa kubwaaa.

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 9 місяців тому +2

      Mawahabi hamna jipya. Ujahili wenu ni uleule wakila siku tushauzowea

    • @saba-gv3mj
      @saba-gv3mj 9 місяців тому +2

      Wajua bida ww hasidi wa mtume s a w hasidi tutamsifu mtume wetu twampenda hata Allah kamsifu na malaika na kumswalia ww kasome ndio ujue bidaa

    • @muktarkassim6647
      @muktarkassim6647 9 місяців тому +1

      Usizungumze vitu ambavyo huelewi .... Sikila kitu unacho kiona kina tumika na wanaadamu ukaona havi fai...Kila kitu siku ya kiama kitaulizwa vilitumiwa vipi ..... acha ushamba .... Mambo ya kisufi inatakikana uwee na umakini katika elimu ... Amasivo utapatikana Kila siku

    • @saba-gv3mj
      @saba-gv3mj 9 місяців тому

      @@muktarkassim6647 ww una ilimu gani wawajua masufi wamesoma kuliko hio mawahabi yenu hamna ilimu wale wanazuoni hawajui waganyalo mtu asome miaka 70 ww ulio soma miaka mitatu kama kina bachu ndio wajua sio bachu kawapoteza na sisi twajua kila mtu siku yakiyama atahukumiwa kivake sisi tutamsifu mtume s a w na kumswalia kama Allah alivo amrisha sasa soma ww wahabi usikurupukwe

    • @thedriver.michael.3975
      @thedriver.michael.3975 9 місяців тому +1

      Hata zamani za mtume kuna mambo hakuyaanzisha yeye na yalikubalika na unayakubali sasa ndyo nini si ni Bora kwako ukasome tena

  • @mugishamedia2632
    @mugishamedia2632 9 місяців тому

    Maa sha Allah.Maa sha Allah

  • @doctorrumbizi9081
    @doctorrumbizi9081 9 місяців тому

    Allahuma Swalli wasallim Alaa Muhammad

  • @shabansumaiya4770
    @shabansumaiya4770 9 місяців тому

    Mashaallah jazakarah

  • @user-or3kt4qy9p
    @user-or3kt4qy9p 9 місяців тому +2

    Maasha Allah Shekh wetu Allah akuzidishie kilalakher, Maulid Maasha Allah yamefana sanaaaa

    • @user-or3kt4qy9p
      @user-or3kt4qy9p 9 місяців тому +1

      Said Omar from Qatar,tusipompenda Mtume ,tumpendanani jamani

  • @abrahmanubaa3753
    @abrahmanubaa3753 9 місяців тому +4

    Allah akupe umri mrefu Shekh wetu hakika tu nakupenda Sana Sana sana❤

  • @arafasalum3169
    @arafasalum3169 9 місяців тому +1

    Maa shaa ALLAH! Allahumma swali wasallim a'ala Nabiiy Muhammad.Swalla Llahu aleihi Wassallaam.

  • @AbdillahSaleh-og1gu
    @AbdillahSaleh-og1gu 9 місяців тому

    Sheikh Othman Maalim. MashaAllah. Allah akuzidishie. Wako watakao kukuongelea vibaya. Illa jibu wanalo wenyewe. Wewe endelea mbele. Allah akuhifadhi. Akuzidishie ilmu. Muadhin wa konzi mosque mombasa

  • @fatmahussein6085
    @fatmahussein6085 9 місяців тому +1

    Tumswaliee Mtume Muhammad (SAW)❤️

  • @allymohamad9577
    @allymohamad9577 9 місяців тому

    Masha Allah

  • @alijuma7674
    @alijuma7674 9 місяців тому

    A.alkm warahmatullah mm ushauri wangu kwa ndugu zangu katika imani hakika masheikh na wanavyuoni siwatu wakuwabeza au kuwadharau sababu tu ya mirengo ya kiitikadi ,hao ni level nyengine tuunganishwe na uislamu wetu na tuifanye kuwa madhehebu ndio reference kuliko uislam wenyewe ,tumuombe Allah (s.w)atujalie kufuata kheri na batili atuepushie .
    Mm mtu akiwatukana wanavuoni hakika namuonelea huruma mana mfano huyo SHEIKH OTHMAN MAALIM kama unamfahamu vizuri usingemwita muongo na mzushi niwambie tu kuwa ktkt masheikh wetu African mashariki na kati huyo ni level nyengine huyu sheikh Othman nawasihi tumheshimu sana kuliko sana tena sana

  • @athmanramtu5270
    @athmanramtu5270 9 місяців тому

    Assalam alaykum waislam wote...Ni mimi ndugu yenu..Othman Ramtu..from ukunda Diani...
    InshaAllah Allah atupe kheri,iman ya kudumu na atujaalie kheri fii dunia wal akhera...❤...mashallah..mashallah...❤❤

  • @khamismwalim5604
    @khamismwalim5604 9 місяців тому +3

    Waacheni wenye elimu zao watabee💗💗💗

    • @abasiissa1234
      @abasiissa1234 9 місяців тому

      Hakika hawa ndo mashekh waliobobea

  • @swalehahmed5061
    @swalehahmed5061 9 місяців тому

    SWALLU ALAN NABI S.A.W TUMSWALIE MTUME MUHAMMAD S.A.W

  • @balkisamisi2131
    @balkisamisi2131 9 місяців тому

    Allahuma sali ala Muhamadin wa ali Muhamadin

  • @alhimnamussasaid3619
    @alhimnamussasaid3619 9 місяців тому +4

    Mashallah sheikh maulidi yalikua mazuri sanaa

  • @uuunnn3145
    @uuunnn3145 9 місяців тому +1

    Mashallah Awabariki yoteni.amiin yarabb amiin

  • @alhilaltvonline
    @alhilaltvonline 9 місяців тому

    MaashaaAllah. Tusomeni Maulid.... Hizi ndizo kheri kubwa

  • @nasoros.mgungo5502
    @nasoros.mgungo5502 9 місяців тому

    Ibilisi na wafuasi wake wanaumia kwa kuona Mtume ﷺ anasifiwa.

  • @fadhilimatano3213
    @fadhilimatano3213 9 місяців тому +1

    Assalam alaykum vp hali tuweni na heshima na Masheikh zetu tusiongee tutakavyo hao ni wanazuoni na Allah anaangalia uchaji Mungu na sio mirengo.hata hao watu wa maulidi wachaji Mungu wanapatikana pia.

    • @user-jz1zl3zg8e
      @user-jz1zl3zg8e 9 місяців тому

      Hakuna uchaji kwenye bidaa bidaa ni sehemu ya ushirikina kuanzisha ibada kiumbe ni haramu ibada ni ile alio iweka Allah na mtume sio kiumbe tumuogope Allah waisilamu sio kila anae ongea kiarabu anajua dini

  • @hamisisalimu6908
    @hamisisalimu6908 9 місяців тому +2

    Mashallah shukran sana sheik wangu asalaam alaykum warahmatullahi wabarakat Alhabib jazaaka Allah kheir

  • @NUURUL-YAQIIN.123
    @NUURUL-YAQIIN.123 9 місяців тому +1

    ❤❤❤❤❤❤ masha Allah habib

  • @user-fb8ng4zu4r
    @user-fb8ng4zu4r 9 місяців тому

    Allah Akbar 😢
    Swallu Alaa rrasul Mohammed

  • @rashidswalehmwanjama3404
    @rashidswalehmwanjama3404 9 місяців тому +2

    زييييييييييييييييييييييد يا شيخ عثمان بن معلم

  • @MuhidiniNassor
    @MuhidiniNassor 9 місяців тому +3

    Bachu kasema amefanikiwa asilimia 60 kweli maana maulidi mwaka huu yamevunja recody tokea nizaliwe mwakani chuo changu nafanya maulidi Inshaa LLAH

    • @Mofaiz_11
      @Mofaiz_11 9 місяців тому

      😂😂💯

  • @hassanabdalla9688
    @hassanabdalla9688 9 місяців тому

    Maulidi ni Halali100%.

  • @fatmazawira9626
    @fatmazawira9626 9 місяців тому

    ماشاءالله ❤❤❤

  • @mussakhamis2377
    @mussakhamis2377 9 місяців тому

    Mashaallah

  • @user-ic7iw2dh7o
    @user-ic7iw2dh7o 9 місяців тому +1

    MashaAllah

  • @user-fy4op1sw2f
    @user-fy4op1sw2f 9 місяців тому +1

    Hata mm niko makka na nimefurahi sana

  • @mohamedahmed-yj5rq
    @mohamedahmed-yj5rq 9 місяців тому

    MashAllah❤❤❤

  • @MuhidiniNassor
    @MuhidiniNassor 9 місяців тому

    Nimeamini mawahabi mwaka huu wameyatangaza maulidi tunawashukuru sana

  • @aljalilatiba9873
    @aljalilatiba9873 9 місяців тому

    JE MTUME AMEYAFANYA HAYA KAMA NYINYI MUNAVYOFANYA AU MASWAHABA ALOWAFADHILISHA AU MUMEBUNI TUU KUTOKANA NA MATAMANIO YENU YA NAFSI

    • @asiahamis7893
      @asiahamis7893 9 місяців тому

      Ila ndug yang ktk Iman km ni bida'aa na ww umo maan umeona kinachoendelea

  • @HamadJuma-es8pw
    @HamadJuma-es8pw 9 місяців тому

    Maswahaba Ndio walifahamu zaid aya za quran na hadith za Mtume (saw) nawala hawakua wakifanya maulid. Kama ni kheri kufanya hivyo wangetangulia wao kufanya kwasababu wao Ndio walikua na pupa zaid ya kufanya mambo ya kheri.
    Mnafanya maulid (uzushi) mkidai mnampenda Mtume (saw) ilhali sunna za kawaida ndogo kama kupunguza nguo na kueka ndevu zinakushindeni.
    Allah awaongoze katika njia ya Sawa.

  • @MohammadJumah-qk2xc
    @MohammadJumah-qk2xc 9 місяців тому

    Heeeee kumbe mnakomoa bach subhaaaana llaah

  • @awatifomar5185
    @awatifomar5185 9 місяців тому

    NAMSHUKURU ALLAH KUA KIGEZO CHANGU NI MTUME NA SIO OTHMAN MAALIM ALLAH AMUONGOZE AACHE UZUSHI

  • @saidimtoni1148
    @saidimtoni1148 9 місяців тому

    Uwelewa na ni rizqi,we umeelewaje

  • @swalehahmed5061
    @swalehahmed5061 9 місяців тому

    MAWAHABI MASKINI ROHO ZAO ZIMEJAA KUTU(RUST) HAWAPENDI KUSIKIA MTUME MUHAMMAD S.A.W AKISIFIWA.WAKIYAPINGA MAULIDI YANAZIDI.POLENI MAWAHABI.MUTAKUFA NA CHUKI ZENU

  • @mikekhalifaali7510
    @mikekhalifaali7510 2 місяці тому

    Upuuz mtupu

  • @HemedAbdalla
    @HemedAbdalla 9 місяців тому +1

    Mashallah ❤

  • @aljalilatiba9873
    @aljalilatiba9873 9 місяців тому

    Kila ibada Ina utaratibu wake na MAFUNDISHO yake kutoka kwa MTUME MUHAMAD SWALALLAHU ALAIHI WASALAM. Je ibada hii mumeitoa wapi???

  • @silimakhamis7088
    @silimakhamis7088 9 місяців тому +1

    Allaaaaaah 🌹

  • @fatfat9093
    @fatfat9093 9 місяців тому

    Sisi namtume namtume na sisi tutasoma tena cn bora njema.zetu nia wafuasi wamaulid tupo oyeeeee mkome kutukana mashekh wetu asopenda.apite

  • @user-jz1zl3zg8e
    @user-jz1zl3zg8e 9 місяців тому

    Hakuna heshima kwa mtu anae mzushia allah na mtume uwongo allah hakuna mahala kaitka sheria ya allah panapo eleza mtume aazimishwe wala katika sunna masufi muogopeni allah

    • @user-te9ud6cy4n
      @user-te9ud6cy4n 9 місяців тому

      Kaa utulie na itikadi yako wewe hebu tuache na maulid tufanye wewe🤣🤣

  • @mwalimjecha6893
    @mwalimjecha6893 9 місяців тому

    Lau nyinyi watatu tu mengeunda kikundi cha kasda basi wagonjwa wangelipoa kwa sauti zenu nzuri mno.

  • @SaidAbdallah-sm1ft
    @SaidAbdallah-sm1ft 9 місяців тому +1

    Sasa kushasema akiimba sisi tusemeje

  • @MohamedAhmed-yi1yf
    @MohamedAhmed-yi1yf 9 місяців тому +4

    Jee masahaba waliimba kasida?

    • @AhmedAli-gh1lm
      @AhmedAli-gh1lm 9 місяців тому +2

      Jee masahaba walitia, dhamma, fat ha, kasra, shadda n.k. katika msahafu wa Quran?
      Je masahaba waliswali sala ya tarawehe wakisoma juzuu moja kila siku?
      Je masahaba walisoma masomo ya kiislam vyuo vikuu miaka 5 na kupewa degrees?
      Je masahaba walifanya mashindano ya kuhifadhi na kusoma Quran na kupeana zawadi?
      Mbona haya nyinyi Mawahabi na Masalafi hamuyapigii kelele?

    • @suleimanahmadaali5989
      @suleimanahmadaali5989 9 місяців тому

      Suali halijibiwi kwa suali
      Jibu uliloulizwa kwanza ,baada ya kujibu kisha uliza maswali yako ujibiwe

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 9 місяців тому

      ​@@AhmedAli-gh1lmwape maneno yao hao.mawahabi majahili.yani hata kufikiri na kujiuliza hawa wezi

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 9 місяців тому

      ​@@suleimanahmadaali5989Huwo ni ujahili wakiwahabi. Swali ambalo ulitakiwa ukiulize mwenyewe unawauliza wengine.wewe vipi kichwa chako

    • @AhmedAli-gh1lm
      @AhmedAli-gh1lm 9 місяців тому

      @@suleimanahmadaali5989 Sawa najibu suali. Ndio masahaba waliimba Kasida. Wakati Mtume (saww) alipoingia Madina kutoka Makka katika Hijra, Masahaba walimpokea kwa Kasida inayoitwa: Tala'al Badru 'Alayna'. Haya nishajibu suali sasa wewe Wahabi jibu masuali yangu mimi.

  • @user-op8cd5tg5p
    @user-op8cd5tg5p 9 місяців тому

    Nyinyi mawahabi hivi kuigawa tawhid kua Allah kumgawa ktk utatu Hadith Gani mmenukuu kutoka Kwa mtume aliisema Hadith hiyo kama nyinyi si mabidaaa wakubwa

  • @AbuuAnwar-hg8qw
    @AbuuAnwar-hg8qw 9 місяців тому

    Mtoto wabachu yukowapi?

  • @omanseeb8609
    @omanseeb8609 9 місяців тому

    Kwan maulid kumsalia mtume kina shida gan mbon hapana kosa hap

  • @abdulswamdenyambuka1902
    @abdulswamdenyambuka1902 9 місяців тому

    Msanii kuimba ni haki yake

  • @medimisi6930
    @medimisi6930 9 місяців тому +3

    shida ya shekh huyu ni kukumbatia BIDAA tu anajua kua ni bidaaa, a llah atupe mwisho mwema.

    • @Alitunda-wp1su
      @Alitunda-wp1su 9 місяців тому

      Funga mdomo wewe wacha kumkashfu huyu shekh, othman maalim nimsomi mkubwa Tena katika mashekh wasio na majigambo huyu mstati wakwanza hanayo ilmu nyingi kwahiyo watu wanamuelewa ndio ndio maana huo mskiti umejaa mashekhe wakubwa wanafarijika kwahiyo funga mdomo, ao wahindi waliomtoa Mombasa wakampeleka Zanzibar kumkabidhi masjid kubwa hawakuiona hiyo bidaa lakini wewe na Mimi washinda na janaba tukaamka na janaba ndio tumuone, astakhfurllah

    • @omaralyan9658
      @omaralyan9658 9 місяців тому +1

      Si lazma umfuate au msikize huyo shekhe, kazi rahisi, wampendao watamfuata na mkusikiliza.

    • @MuhidiniNassor
      @MuhidiniNassor 9 місяців тому +1

      Ukome kuanza jina la ALLAH kwa herufi ndogo we wahabi

    • @omaralyan9658
      @omaralyan9658 9 місяців тому

      @@MuhidiniNassor hawa ni fujo tu hawana akhlaq wala inswaf

    • @medimisi6930
      @medimisi6930 9 місяців тому

      @@MuhidiniNassor mh, jipya hila vp kuna dalili au ndo hadithi dhaifu za kutungiwa kama hizo za kusema wanyama waliongea. haha lete tuone

  • @abdulkarimkhamis6712
    @abdulkarimkhamis6712 9 місяців тому

    Hatuachi kufanya maulid mpaka mwisho wetu

    • @ahmedseif743
      @ahmedseif743 9 місяців тому

      hata firaun na makuraish wa makka walisema hivyohivyo hawataacha mila na destur kisa mababu zao walikua wakiyafanya hayo seuze wewe

    • @basharahamtzhalisi6871
      @basharahamtzhalisi6871 9 місяців тому

      ​@@ahmedseif743Umemjibu vizuri MashaAllah

    • @AbuuSumayyah-rh7oi
      @AbuuSumayyah-rh7oi Місяць тому

      Jibu limetosheleza na haya ndio majawabu yanayo wastahiki watu kama hawa .

  • @hassanabdalla9688
    @hassanabdalla9688 9 місяців тому

    Anaye yapinga maulidi. yyte ni Direct.motoni.

    • @user-yk2rf6lm9g
      @user-yk2rf6lm9g 9 місяців тому

      Duh ushakuwa namoto tena unamuingiza umtakae hii hatari futa ndugu

    • @AbuuSumayyah-rh7oi
      @AbuuSumayyah-rh7oi Місяць тому

      Allah aliye umba moto ndie mjuzi zaidi wa kumjua ni nani hasa anae stahiki moto ama mzushi au anaepinga uzushii?

  • @iddimohamed254
    @iddimohamed254 9 місяців тому

    Tunajua hamuwezi acha mila zenu lakin bachu ashawaambia ukweli....na ushahidi upo.

  • @user-jz1zl3zg8e
    @user-jz1zl3zg8e 9 місяців тому

    Aya zote mlizo soma mafuhumu yake sio kumuazimisha tafsiri zote za wanawachuoni hakuna tafsir hizo ni tafsir zakutoka mfukoni mwako yani we ni mjinga wakutupwa

  • @yusufathman2478
    @yusufathman2478 9 місяців тому +1

    Uthman maalim uache visa vya uongo na uzushi

  • @hasanulbaswari6804
    @hasanulbaswari6804 9 місяців тому +1

    😭😭ALLAH ANIEPUSHE MBALI NA UZUSHI KAMA HUU💢

  • @abdulkarimukusaga3617
    @abdulkarimukusaga3617 9 місяців тому

    Nyie ni wajinga sana mnatangaza mtume kwa ngoma

  • @hassanabdalla9688
    @hassanabdalla9688 9 місяців тому

    Mashaallah.

  • @user-yx6zq9bp1s
    @user-yx6zq9bp1s 9 місяців тому

    Mashaallah