BALAA ZITO! HECHE AMTANDIKA ZA USO WENJE, "WEWE NDO UMETUFIKISHA HAPA, NAMUUNGA MKONO LISSU"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 61

  • @jcomanartist6227
    @jcomanartist6227 5 днів тому

    Lissu na yeche....Ronaldo na messi.....tunawahitaji sana,,Mungu awabariki

  • @paulmaduhu4173
    @paulmaduhu4173 5 годин тому

    Amina

  • @nuhubamanya3346
    @nuhubamanya3346 16 днів тому +16

    Kuanzia leo Mimi ni mwanachama wa chadema naihama ccm rasmi Heche hotuba yako inamaanisha

    • @emmanueljohn7
      @emmanueljohn7 10 днів тому +1

      Safi Sana wengi wataamia Chadema

    • @FULSABY
      @FULSABY 9 днів тому +1

      Bado hujaijua chadema

  • @praysolomon4863
    @praysolomon4863 3 дні тому

    Siku mkielewa maana ya mwenyekiti na uenyekiti ndio mtaelewa tofauti ya mbowe na lisu katika nafasi hiyo

  • @PriscaMsoke
    @PriscaMsoke День тому

    Lisu hoyeeeee

  • @sammyspecialneeds_autism_tz
    @sammyspecialneeds_autism_tz 11 днів тому +1

    Keep going Heche🎉

  • @hectorgold147
    @hectorgold147 16 днів тому +1

    Asante kaka

  • @NelsonMwaipaja
    @NelsonMwaipaja 4 дні тому

    Heche yupo sahihi na huyu ni mmoja kati ya wapinzani wanaoifikishia taarifa serikali moja Kwa moja wenje aende akalime tikiti huyo sio mwanachadema

  • @frankhoffa8356
    @frankhoffa8356 13 днів тому +4

    Huyu jamaa anataka kufanana na Gwajima

  • @EliasMwakibete-s7q
    @EliasMwakibete-s7q 16 днів тому +4

    Moyo wangu unazidi kunenepa kusikia maneno ya wakunja ngumi,na wabangaizaji.
    Hakika wananguvu

  • @KhalfanChaula-p7y
    @KhalfanChaula-p7y 15 днів тому +4

    Demokrasia mnayohubiri ndio wakati wake muionyeshe wenyewe live

  • @jcomanartist6227
    @jcomanartist6227 5 днів тому

    Rest in peace Wenje mla Rushwa

  • @WebyNgogo-nj3fx
    @WebyNgogo-nj3fx 16 днів тому +1

    Viva J H

  • @Yusuphrevocatus-g3v
    @Yusuphrevocatus-g3v 15 днів тому

    sijamuona john pambalu au ni team mwenyekiti

  • @jaywi5681
    @jaywi5681 15 днів тому +3

    CHADEMA huu sasa ndiyo wakati wa kuonesha namna bora ya kuebdesha uchaguzi wa Demokrasua na haki. Tunahitaji kuona tume huru yenu na kisha kila atakayetangazwa awe ni yule aliyechaguliwa na wengi. Kazi kwenu yetu macho

  • @johnsonjoseph6544
    @johnsonjoseph6544 15 днів тому +5

    Yani wewe mwamba ndio unafaa kumsaidia Lissu

  • @SilvioMpogole-o7f
    @SilvioMpogole-o7f 6 днів тому

    Siasa za maji taka

  • @AnnoyedFlowerPot-mr2ps
    @AnnoyedFlowerPot-mr2ps 16 днів тому +2

    Timu Lisu jiandaeni kufukuzwa baada ya uchaguzi wenu

    • @ce-08
      @ce-08 13 днів тому +2

      Kwan Chama n kimoja Tz

    • @PendoLuis
      @PendoLuis 7 днів тому

      Na hatuwazi wala nn😂

  • @MwakaHappy
    @MwakaHappy 7 днів тому

    Tunataka mabadiriko lisu heche

  • @AllyMandunda-tj9jc
    @AllyMandunda-tj9jc 9 днів тому +1

    Pambaru anajitambua hawezi kuwa tofauti na Lissu. Ni. Hivi Lissu, Heche, Lema Msingwa Pambaru ni Team Lissu kindakindaki

  • @philipongenzatv
    @philipongenzatv 16 днів тому +2

    Yani wenje hyoooo hyooo halifai

  • @saidiharuna428
    @saidiharuna428 16 днів тому +1

    Wenje

  • @ProsperReuben-fg6uh
    @ProsperReuben-fg6uh 16 днів тому +3

    Wenje hastahili kuwa mjumbe wa kamat kuu

  • @AllyMandunda-tj9jc
    @AllyMandunda-tj9jc 9 днів тому

    Atafukuzwa nani wakati Lissu ndio mshindi wa kura kwa asilimia 75? Wee vipi mbona hujielewi haya yanayoendelea wewe huyaoni wala huyasiki? Yaani hawaigizi hao ni kweli kabisa.

  • @philipongenzatv
    @philipongenzatv 16 днів тому

    Miyo inanenepa

  • @emmanueljohn7
    @emmanueljohn7 10 днів тому +1

    Tundu Lisu na John Heche wakishinda Chadema itakuja Kufanya makubwa Tanzania

  • @godfreymushi6966
    @godfreymushi6966 16 днів тому +1

    Wenje kamata mwisi mkee harafu harina aibu hiri Riwenje mkkeee piga hilo l

  • @elishandagala8677
    @elishandagala8677 15 днів тому

    Utamaduni huu wa viongozi wa chama tunaowaamini Kila mmoja wenu Kwa jitihada zenu katika ujenzi WA chama katika majira na nyakati tofauti kudhalilishana hadharani mnatufundisha nini sisi tusiopenda kuzijua tofauti zenu. Nawaomba viongozi wangu sisi wengine sio wapigakura hatuna hata sababu Moja ya kuzijua tofauti zenu. Hata tukizijua tofauti zenu tutabaki tu kuwaangalia kwamba hawa wazazi vipi tofauti zao sisi watoto tuwasaidiaje? Ukweli ni kwamba ukiachilia mbali tofauti zetu, Sote tunahitajiana. Hakuna binadamu aliyemkamilifu. Ndiyo maana katika Kila tatizo moja kuna njia zaidi ya 100 za kuweza kutatua tatizo Hilo. TUPENDANE TUSICHUKIANE KWA KIASI HIKI SOTE TU WATOTO WA BABA MMOJA YAANI CHADEMA. NAWATAKIA UCHAGUZI MWEMA.

    • @RomanMwinyi
      @RomanMwinyi 15 днів тому

      Kwani Iko chma cham2 au chawana inchiii na kama kwenye chama Kuna weziiii kwa nn wasisemwee azalani wakati wana alibu chamaa

  • @emanuelinaman8240
    @emanuelinaman8240 9 днів тому

    Chama chochote ni mali ya watanzania hata ccm au chadema ni mali aya wananchi ndio maana ya mfumo wa vyama vingi kuanzishwa Tanzania

  • @EliaKilima-w9j
    @EliaKilima-w9j 15 днів тому +1

    wewe , msigwq na Lissu ndio ma gaidi, kwenye chama, nyumba aliyo ijenga mbowe nyeupe iliwabeza roho sana sana, nakuanza sema amehongwa na samia, mna mfitini mwenyekiti sananyie. Lisu ahana hekima ata ndogo, majivuno, na majitapo tu eti:mwanasheria shupavu... ata kuwa rais hafai, anaweza hitisha vita na majirani Africa kutokuwa na busara yake...

  • @HijaSaid-t6c
    @HijaSaid-t6c 16 днів тому

    Heche nyie wote mmelea Mamluki kwa muda wote,nyie mnazambi sana mmewalosea wanainchi sana kwa muda wote mnajua kuwa ni mamluki na mlikaa kimya muda wote nyie MI watu wa ajabu sana

  • @EliaKilima-w9j
    @EliaKilima-w9j 15 днів тому +1

    Mbowe ndie alie wafunza siasa nyote leo mnamzalilusha eti: ni mla rushwa kweli hivi, mbowe awe mlarushwa toka samia mbowe? mjinga tu anaweza kubalia na ujinga wenu...

    • @SamweliMshana
      @SamweliMshana 15 днів тому +1

      Inawezekana pia akawa mla rushwa Kwan tunajua kilichoujaza moyo wake. Pia kukiwaandaa watu kuwa wanasiasa wazuri ni mtaji wako KWANI inafika wakati unawatanguliza mbele na wewe ubakie mshauro

    • @GambasonLuselegasi
      @GambasonLuselegasi 15 днів тому +1

      Mtoto,ukimpenda sanaa hata uambiwe makosa yake huwezi kuamini na kukubali

    • @JoblessMillionaireMakolo-jb7xo
      @JoblessMillionaireMakolo-jb7xo 14 днів тому +2

      Hata bruce lee alimpiga masta wake itakuwa Mbowe,sisi km Chadema tunasema Lissu kwanza Mbowe keshachoka.

    • @frankhoffa8356
      @frankhoffa8356 13 днів тому +1

      Kimsingi mbowe alikijenga chama kwa maslahiyake binafsi elewa hivo! Kama hujui kufafanua basi hutaweza kuelewa juu ya hili

    • @zebedayokatamaduni9676
      @zebedayokatamaduni9676 12 днів тому

      Bwana hajamsema mbowe ni mla rushwa

  • @EvanceJohn-z4i
    @EvanceJohn-z4i 14 днів тому

    Kunawaka moto chadema

  • @zabubamudy126
    @zabubamudy126 16 днів тому

    byee chadema matusi ndio kazi yenu😂

    • @PendoLuis
      @PendoLuis 7 днів тому

      umesikia tusi wap ww

  • @NeemaSamweli-t4c
    @NeemaSamweli-t4c 13 днів тому

    BORA CCM, CHADEMA VIONGOZI AKILI NDOGO SANA MAMBO YA KWENYE VIKAO NYIE NI MITANDAONI KUAIBISHANA

  • @suleimanseif3290
    @suleimanseif3290 13 днів тому

    Kama wapinzani hajaungana hamna kitu

  • @YusufSwaibu
    @YusufSwaibu 11 днів тому

    Akili huna kama akili zako kma Lisu mzushi anamzushia Mbowe uongo

  • @geey7893
    @geey7893 15 днів тому

    Si mlisema Magufuli ndio Mbaya?. Mtavurugana mpk muuwane kumanina zenu. Mlifurahi Magu kufa

    • @Erik-kj5no
      @Erik-kj5no 12 днів тому

      Acha matusi sisi wote tunajenga nyumba Moja tusigombanie tofari

    • @monicamwita7865
      @monicamwita7865 8 днів тому

      Tusi uliyosema likurudie mwenywe. Angu anasemaw kwani aligandamiza upinzani

  • @Erik-kj5no
    @Erik-kj5no 12 днів тому

    Mbowe ukichukua uwenyekiti tunahama chama

  • @mandelasamson8401
    @mandelasamson8401 16 днів тому +1

    Tunawataka watu kama ww na Lissu na Lema

  • @JacksonMbites
    @JacksonMbites 9 днів тому

    MBOWE AKIIBA KURA YA LISU CHADEMA KUFA ITAKUFA.

  • @simonmagembe7416
    @simonmagembe7416 16 днів тому

    Lema agombee ukatibu