mara ya kwanza niliuskia huu wimbo kwa mix flani. nilikua nimevunjika moyo sana.wimbo huu ulishukisha roho mtakatifu ndani ya moyo wangu nikajikuta nahisi nguvu za yesu ndani yangu. mara hio tu nikalia kwa furaha na nikajiskia niko sawa. nilisumbuka kutafuta jina la msanii hadi roho wa mungu akanileta hapa. nabarikiwa sana ninaposkiza nyimbo hizi. mungu akubariki sana dada joelle. you saved a soul that had given up and totally broken. halleluhya. milele tutaimba na kusifu maana tumefunguliwa. listening from kenya.
Depuis la RDC 🇨🇩🇨🇩🇨🇩cette chanson me fait couler les larmes j'ai ça dans mon téléphone audio comme vidéo je l'écoute à tout moment que Dieu vous bénisse vous êtes une bénédiction 😭😭😭😭😭🙌🙌🙌👏🙏
I don't even understand Swahili but I looooove listening worship songs in this language. I don't know how to express what I feel when listening to this song but just crying 😭😭 . GOD is wonderful
Merci maman, même si je ne sais pas tout comprendre, mais t'es chants sont authentiques,et vraiment inspirés du seul Dieu vivant ! Nous vous aimons bcq.
Oh wewe mutumishi!!! Mungu wangu akubariki. I am a minister of the gospel, but the last six months or so have been days in the valley where the enemy has made great war trying to kill me but he has failed. The Lord has used your annointed-filled songs to minister to me as I worked my way back home...
Hallelujah, nimebarikiwa kubarikiwa.Nimesikiza zaidi ya mara 20 na kushare na marafiki na familia. Mungu awabariki Milele na milele daima. Lisening from USA
courage mon frère David Imani,nakumbuka kama umekomaa na iyi onction tukea tulikuwa tukisoma pamoja apo Congo Congo uvira ku collège Stella maris mwanga d'uvira. Mungu akuzidishie upakwa
Lord Jesus. This song is addictive am blessed beyond my words. I have goosebumps allover. It is my devotion song now. Thank you to lord Jesus. Holy spirit is happy in me now. Do more of this please David. This is God ..Yes... this is ... God😭😭😭😭 Amen.
Yesu eeeee🙌🙌🙌😭😭😭 i feel you Lord Jesus 🙌🙌🙌🙌, Mungu awabariki sana waimbaji, huu wimbo ninauimba siku nzima, mmeimba katika Roho kabisa. Nasikia kutiwa moyo na kuinuliwa kupitia huu wimbo,,, ooh asante Yesu
I really like the song, I play and replay may times a day! we have the song in Kinyarwanda, but i feel more anointed in swahili. The message is so touching to every christian! God bless you Mtumishi wa Mungu.
Wahuuu wahuuu wahuuu qu'elle grâce de écoute les chasson de mon enfance dans les églises de bukavu rdc wahuuu mungu à ba bariki sanaa te sana asanti sana
Mubarikiwe sana kwa kazi njema ya kuhubiri kwa nyimbo zenye upako wa roho. Nguvu za damu ya mwokozi wetu Yesu Kristo ziwafunike na kuwalinda hata mwisho.
I just found about this song yesterday, till now is like the 1000th time I'm listening to it... It humbles me like nothing else could, God bless you man of God... It is just too perfect!!!🙏
Ambao bado tunasikiliza wimbo huu mwaka 2024 naomba like zenu
mara ya kwanza niliuskia huu wimbo kwa mix flani. nilikua nimevunjika moyo sana.wimbo huu ulishukisha roho mtakatifu ndani ya moyo wangu nikajikuta nahisi nguvu za yesu ndani yangu. mara hio tu nikalia kwa furaha na nikajiskia niko sawa. nilisumbuka kutafuta jina la msanii hadi roho wa mungu akanileta hapa. nabarikiwa sana ninaposkiza nyimbo hizi. mungu akubariki sana dada joelle. you saved a soul that had given up and totally broken. halleluhya. milele tutaimba na kusifu maana tumefunguliwa. listening from kenya.
Glory to God 🙏🙌
Depuis la RDC 🇨🇩🇨🇩🇨🇩cette chanson me fait couler les larmes j'ai ça dans mon téléphone audio comme vidéo je l'écoute à tout moment que Dieu vous bénisse vous êtes une bénédiction 😭😭😭😭😭🙌🙌🙌👏🙏
Amen je reçois ma bénédiction quel éternel exauce ma prière😭😭😭😭🤗🙇🙇🙇🙌🙏🇨🇩
I don't even understand Swahili but I looooove listening worship songs in this language. I don't know how to express what I feel when listening to this song but just crying 😭😭 .
GOD is wonderful
Endeleeni mbele kwa neema ya Mungu, Mungu azidi kuwabariki ki roho na kimwili
Kk nakukubali Sana kabisa Mungu akupe maisha marefu Sana
Merci maman, même si je ne sais pas tout comprendre, mais t'es chants sont authentiques,et vraiment inspirés du seul Dieu vivant ! Nous vous aimons bcq.
Cette adoration me rappelle ma maman 🥹 le meilleur héritage qu’elle m’a laissé le nom de Jésus Christ .
Repose en paix da coco😢
Napenda sana unavyo imba kweli hata kama moyo wangu umechoka na kukata tamaa unanitia nguvu kweli Mungu akubariki
Stail ya ko ni yakipekeee ni nzuri sana hata kama roho mtakatifu yupo mbali atakuja tuuuuu god bless u.
Amen ndugu Mungu akubariki
Oh wewe mutumishi!!! Mungu wangu akubariki. I am a minister of the gospel, but the last six months or so have been days in the valley where the enemy has made great war trying to kill me but he has failed. The Lord has used your annointed-filled songs to minister to me as I worked my way back home...
Mubalikiwe waimbaji wa mungu tuwenamwisho waheli tuimbe iyo nyimbo mbingungu paradisho milele na milele kwaiimani tutaingia mbinguni kuishi
Nimebarikiwa moyoni mwangu Asante sana yesu awabariki awamulike awaimue!!. Sifa na utukufu ni kwake kwa sababu yenu
Cette chanson vraiment me fais tellement du bien je ne cesse de l’écouter , que Dieu vous bénisse abondamment 🙏🙏🙏🙏
Thank you man of God. ..
Am blessed listening to the song. ..
Hallelujah, nimebarikiwa kubarikiwa.Nimesikiza zaidi ya mara 20 na kushare na marafiki na familia.
Mungu awabariki Milele na milele daima.
Lisening from USA
Pepo za Neema zinavuma ndani yangu,ooh Asante Mungu ww ndie YESU KRISTO
Amen jina la Bwana lipewe sifa. Nyimbo za wokovu zina utamu wake wa kipekee. Jesus Christ is Lord
Nahisi napaa maana inanibariki sn ata sijui nielezee vp,mungu awabariki
Oooh Amn!! mungu asifiwe na piya awabariki
Tes chansons me font pleurer, à Dieu seul soit la gloire et l'honneur.
This song is so beautiful. It reminds me of how big and great my God really is.😩
courage mon frère David Imani,nakumbuka kama umekomaa na iyi onction tukea tulikuwa tukisoma pamoja apo Congo Congo uvira ku collège Stella maris mwanga d'uvira. Mungu akuzidishie upakwa
I lost counts how many times this song has blessed me, thank you!
Merci sana
All these song bring me closer to my LORD GOD and closer to Heaven than before, GOD bless you all
Nimeshindwa sinzia sababu ya wimbo huu. Tangu nausikiliza, machozi ina nitoka
Amen🙏🙏🙏🙏🙏❤❤❤❤❤🙏🙏🙏 l m blessed barikiwa sana kaka yangu
Give your like here! Amen
Mungu akubariki kikwakutujazakiroh nakimwili❤
Je suis toujours fortifié en écoutant cette chanson que Dieu vous bénisse richement mon frère
I can’t stop listening to this 💯❤️
me too, this is a beautiful song 🔥✨
Aww 🥰 🙌🏽🙌🏽🙏🙏🔥❤️🥰🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸
I’m really enjoying this song
My God bless you Mr David and all the team
Que Le Seigneur vous bénisse au homme de Dieu
Mungu ni mukubwa, Sana ubarkiwe 🎉🎉🙏🙏🙏🙏🫶🌹
Am so blessed to hear this song every time
Benenkosira Uzamukunda it’s such an anointed song Praise God!!!
Asante
Yes very touching song
najisikia mwenye kubarikiwa sana na mwimbo huyu, ubarikiwe sana muhimba ndugu David, uwepo wa Mungu na uwezo wake upamoja nasi
sote. asante
Lord Jesus. This song is addictive am blessed beyond my words. I have goosebumps allover. It is my devotion song now. Thank you to lord Jesus. Holy spirit is happy in me now. Do more of this please David. This is God ..Yes... this is ... God😭😭😭😭 Amen.
Sicoki nakusikiliza wimbo huyu wamafuta kutoka kwa Mungu.Mbarikiwe saaana
Mungu atupatiye mwisho muzuri ,najisikiya kufarijika sana
Yesu eeeee🙌🙌🙌😭😭😭 i feel you Lord Jesus 🙌🙌🙌🙌, Mungu awabariki sana waimbaji, huu wimbo ninauimba siku nzima, mmeimba katika Roho kabisa. Nasikia kutiwa moyo na kuinuliwa kupitia huu wimbo,,, ooh asante Yesu
Lily boss Amen such an anointed song
@@carmelkeita2690 Amen Amen
Pia mimi😭😭😭😭😭😭nimeguzwa
Ohh Hallelujah AMEN 😭😭😭😭Mungu akubariki sana kwa wimbo mzuri, umeguza Roho yangu
I find myself listening to this song, singing along and crying. I can wake up in the middle of the night to sing it.
True
Amen
Nimebarikiwa na wimbo 🙏Mungu aikuze uduma yako kaka
J'suis libre à présent Dieu à pris sa place dans mon coeur🥺🥺🥺🤚🥺💯
AMEN ❤️✨
I really like the song, I play and replay may times a day! we have the song in Kinyarwanda, but i feel more anointed in swahili. The message is so touching to every christian! God bless you Mtumishi wa Mungu.
Pepo zaaaa neema yaaake zinavumaaa ndaani yng!!
Amina, asante kwa wimbo frère Imani
Nimependa biti yenu
Que le très bon Dieu fasse de vous grand !!!! Que les portes de cieux s'ouvrent pour vous soyez bénis et pleines d'onction
Amen.!! Na amini na mimi pia kama Mungu atanifungulia.
My prayer to everyone reading this anything that is holding your Blessing I speak to u let there be breaktru in the Name of Jesus Christ 🙏💝🙌
Akika wimbo hiii ime burudisha maisha yangu,nina imani nime funguliwa kwa jina la Yesu christo
Ubarikiwe tena
Wahuuu wahuuu wahuuu qu'elle grâce de écoute les chasson de mon enfance dans les églises de bukavu rdc wahuuu mungu à ba bariki sanaa te sana asanti sana
Mungu awabaliki Sana huu wimbo huwa unanibaliki Sana
Nimefunguliwa kweli kweli jamani na loho yangu inaimba maana nimefunguliwa kweli Asante yesu
Brother Asante kunibariki asubuyi ya Leo.🙏🙏🙏🙏
Ndugu barikiwa sana Mungu akuongezee nguvu.
Mungu akubaeiki na kutiye nguvu
Allez de l'avant,un jour nous serons là où il y a le créateur notre Dieu
Je suis contente d'écouter cette chanson,car je t'entends toujours sur la radio RCVA le vendredi
Wimbo mzuri sana. 🔥🔥🔥
Asante yesu😍😘😗
Mubarikiwe sana kwa kazi njema ya kuhubiri kwa nyimbo zenye upako wa roho. Nguvu za damu ya mwokozi wetu Yesu Kristo ziwafunike na kuwalinda hata mwisho.
Amina amina 🙏💃💃💃 barikiwa Kaka yangu
M barikiwe sana
Rooh yangu inafufuka que Dieu vs bénisse
Mubarikiwe saana wapendwa wangu Mungu awape kibali popote mufikapo
This song connects me so fast to the throne of the holy Ghost
2wwoq2wpqpwpqowpwpqowowowpwpwpwpepeldodoododooooooozooooozooooooooooooooooooCCFFFFFPffPffPfpfpfpfpfpfpfpfpfpfpfpfpfpFPfpfpfpfpfpfpfpdpdpdpdpdpdpddPdpdpddPddPdpdpddPddPddPdpdpdpdpdpdpdpdpdpdoddDDDS z&ll)@d
Oooh! Asante Yesu umenitendea sana. Nakupenda Yahweh
Merci
Amen
Meaning plz
@@favor5041 meaning of a song or?
Merci kwa napenda Sanaa Mungu awabariki sanaaaa 🥰
kila niki imba nyibo iyo nasiki niko namani dani wangu aman sana na mungu akubariki
Kila nikisikia iyi nyimbo nasikia nimefunguliwa 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Rose Kaganda. Amine atamimipia
Ansate ubarikiwe
Merci beaucoup
Wendelee kubarikiwa
ozana ozana amen 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿👋👋👋👋👋🙏🏿
Great song. Much love from Kenya
Oh yangu mina imba , mina imba kua furaha jesus jesus est bon
I just found about this song yesterday, till now is like the 1000th time I'm listening to it... It humbles me like nothing else could, God bless you man of God... It is just too perfect!!!🙏
Can't stop listening
this song is so sweet , be blessed
My friend Niko pamoja naww
I'm so Blessed this Song reminds me the way Jesus....protect me from difference problems Blessed Pastor david🙏
Glory to God. Kila mara ninapo skiya uyu wimbo, najazwa. Eehh Mola nirehem niingiye mbinguni.
jua lake la nehemaaa rinangaaa kirasiku,nimefunguliwa kweli ....12.05.2023
Ubarikiwe Sana mtumishi
Barikiwa sana mtumishi .una saut nzuri
I love it when you get the best regards David GOD bless you so much
Nime funguliwa mimi . Asante yesu wangu 🙏
I am totally touched by the Holy Spirit
Me two bro
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu
May the Almighty God bless these singers.Oh my God j'aime tellement les chansons de David Imana.Il me benit beaucoup
It's so nice than any song I am mbembe.🙊🙊😂😂👩🎓👩🎓🙋♂️🙋♂️🙋♀️🙋♀️
Aiiii this song 🎶💕 I can't get enough of it acha niskize one last time😅
Am speechless kwakweli huu wimbo kwangu ni ufunguo. Mungu awabariki sana
La douceur de cette chanson me fait prier... merci.
Ameeeen ! Une voix comme celle des anges ! Que Dieu vous bénisse frère David Amani
Amen🙏🙏🙏❤❤❤so emotional 🙏🙏God bless u so much,, nmevuka mwaka na ii l feel blessed
Que Dieu vous benisse richement
For the first time I found this heavenly song it was last year 2022 when I was at Zanzibar island May God bless his servants Amen 🙏🙏
I like this song God bless you 🙏 ❤ 💕
April 2024😭😭🙌🙌 machozi ya furaha yanabubujika
Can’t stop listening like 1m times it really bless my hrt an humbles mi....Robo yangu Inaimba kwa furaha
Mtumishi we wa BuRundii ao mtanzanie,mbalikiwe..
Qui es la en 2024? C'est light
Tunashukuru Sana. Nyimbo nzuri inajenga Kiroho kutuinua Kiroho karibu Na Mungu wetu
I love you Man of God David, Mungu abariki uzao wako huduma yako inanivusha sana
This song change my life be blessed my Jesus
Amen. Roho yangu inaimba nimefunguliwa kweli.hallelujah hallelujah 🙏🙏🙌😭be blessed
Que Dieu vous cher serviteur
I love it so much !
God bless you maman Joelle