Je ne fait que pleurer coe un enfant il avait vraiment le don divine paix eternel Papa blaise ,j'aimerai voir tes enfants avant ma mort.que le toupissant exauce à mes priere vraiment il a ete mon meilleur
This song makes me cry. I can't stop watching it again and again. God bless you guys for beautiful song. Let's worship our Lord. Mungu ni mwema sanaaaaaaaaaaaaa ❤️😍😘.
I can’t stop listening to this powerful song 🙌🙌🙌🙌anytime am weak and listen to it I feel very blessed and powerful 🙌🙌keep up brother amani and others 🙌
😭😭😭😭😭 kila Mara nikisakiya uyu wimbo naliya saaaana najazwa kabisa.mubarikiw san
Akuna Raha isipokuwa kwa Mungu Baba yetu,,,, eh Mungu Baba bariki watu wako
Yesu ni mwema sanaaaa 😭nyimbo iyi ina nipandishaka mu dimension ya yulu😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Hongela sana kwa nyimbo za injili n'a toka Rd Congo Lubumbashi 🇨🇩🇨🇩🙏
Mubarikiwe mufalijike muitikiye aminaaaaa
Amen amen amen nabarikiwa sanaaa eeeh Mungu nisaidie njiani nifike Salama kwako Baba😭😭🙏🙏🙏🙏🙇
Amém Yesu awabariki sana,,🙏🙏
This song makes me cry😢😭nawapenda sana Yesu awabaliki.From BURUNDI 🇧🇮🇧🇮
Kuya kwetu Burundi mungu akubariki zayidi na'mi nabarikiwa juako
Tuko 00:46 nashindwa kurara ju yanyimbooo zako nimavuta kweri
Mubarikiwe sana. Niko natafuta wimbo wa mponyi apitaye wote siupati tena
Yaani kwani mnaimba vizuri mpaka moyo wangu unakuwa kama nimemuona YESU KRISTO anakuja kwangu Mungu awasaidie muendelee hivo
Mungu akubariki sanaa David maranikisikiya nyimbo zako napashwa kuliya nakubarikiwa sanaa
Je ne fait que pleurer coe un enfant il avait vraiment le don divine paix eternel Papa blaise ,j'aimerai voir tes enfants avant ma mort.que le toupissant exauce à mes priere vraiment il a ete mon meilleur
Mungu awe Nani dungu zangu Nina barikiwa kabisa rohoni mwangu
I'm addicted to this songs.... I'm from Burundi go farther!!!
Me too ❤❤❤
Halleluya n'a barikiwa saana
Barikiwa sana Mungu awajaze karama zake ni Getha akiwa Burundi
Huku ndiyo kumuabudu Mungu wetu, God bless you all.
Dhuuu hadi nalia jamanii 😭😭mungu awazidishie munatujenga saanaaaa kiloho.❤️❤️❤️
Pastor Imani ubarikiwe sana kwa wimbo huu, ambao Mzee Tambi aliacha kwetu, umeutengeneza kwa hali ya juu ubarikiwe.
Apotre Ezechiel baraka
Ooh Shujaa wa Imani Mzee Tambi...walikua Rohoni sana Mungu tusaidie nasisi kwa kizazi hi, tusiimbe tu juyakuimba,tuimbe Rohoni.Mungu awabariki
Amen ...wimbo unanibariki Sana hapa Kenya....
Mubarikiwe sana,asante yesu,🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Mungu awabariki kwa kazi nzuri munayofanya kwa ajili yake 🙏🙏🙏
If you are reading this, may God remove your pain, worries and problems, and replace them with good health, happiness and peace. In Jesus name. Amen
Amen may God give me peace I Feel rejected
Mavuta mavuta halleluaaa unatosha yesu wetuu unaenea,
Nakupenda sn kwa umbaji wako ubalikiwe namungu wetuu
Mungabarikiwe San nape ndany jako sanaa
Mungu akubariki sana nimeguswa
Nyimbo za maombi kabisaaaaa fireeee eeee yesuu nakupenda
Mungu akubariki uzidikutubariki❤❤❤❤❤❤❤❤
huu wimbo umenibariki sana. Mungu awabariki sana hawa waimbaji
Mungu azidi kuwa weka juuuuu saaaaaana, nasikiya kubarikiwa saaaaana
Kwa kuwa Yeye ni mchunga anayeniongoza
Ameen mungu awabaliki sana
Mungu mwenye haki niongoze na siku nikuone na mikono yangu itaipepea kwa shagwe
What a nice song,,barikiwa sana
Mungu wangu niongoze katika maisha yahapa chini ya juwa ilinione mwisho muzuri 👏👏
Nilipo sikiya wimbo hi nikajazwa Sana, Mungu awabariki muendeleye
Paix à ton âme papa leo unaenda vraiment 😅😅
Yeah,Mubarikiwe sana,munanikumbusha nyumbani,piya mnanipa kutafakari maisha yangu yakiroho,
Nawapeada toka France
Asanti Ndio mikono tutaipepeya
This song makes me cry. I can't stop watching it again and again. God bless you guys for beautiful song. Let's worship our Lord. Mungu ni mwema sanaaaaaaaaaaaaa ❤️😍😘.
Oh my God nasikiya kabisa kama niko mbingu mubarikiwe sana mpaka naliya
D apres bujumbura 🎉🎉
I can't stop listening to this song . God bless.
Nasikiya kubariwa saaaaaana, hallelluay hallelluay, ooooooooooooooooh yesu wetu, tupe mwisho muzuri Bwana wetu
Nabarikiwa sana asubui ya leo naku ongezewa ngufu.Mungu awabariki
Amina Mungu akubariki
Mû barikwe sana ,kabisa ,nime barikiwa kupiya wimbo
Amen amen 🙌🙏 Aksanti sana Yesu Kristo 😭😭😭😭😭😭
Kumutegemeya yesu tu.',
Vraiment Mungu ami Bariki Muna Imba muzuri kabisa
Wimbo unaniliza mimi ee Yesu ingilia kati maisha yangu.ninakutegemea YESU naomba nisaidie
Mubarikiwe sana watu wa Mungu
Sijuwe vizuli hii luga laki hii muimbo inanivutia muoyo.
Mungu awabaliki sana
Luga ni Swahili baba, naweye Mungu akubariki
Alleluia Alleluia Alleluia Mubarikiwe na kweli kabisa Kwa injili Tutafaulu 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Tumebarikiwa nakufarijika na hii song
Allelujah,Asifiwe Bwana
MUNGU HATATUACHA KUPATA HAYA KAMWE ,SIKUMOJA TUTAMUONA ALIVYO
Mubalikiwe sana watumishi wa Mungu🙌🙌🙌
Amen courage mutama
Asante sana kwa nyimbo hi,ninayipenda sana kirasiku nayisikiriza
Amen amen mubarikiwe sana
Mungu abariki ministry yako
🇰🇪
Amen I feel the spirit of God may God forgive us our sins 🙏😭🙏😭🙏
Mungu awabaliki tena
Mubalikiweeee mubalikiwe
Aksente sana wahibaji mungu Awa bariki
God bless you Sana we love you from Kigali Rwanda
The song for meditation, be blessing at all things, Mungu awabariki from Lubumbashi DRC
Kaa Nami Bwana
This what we call gospel mbadala ya kudance kama wazimu unajitakasa kwa machozi
Ubarikiwe saan wapendwa
Asante Yesu🙏🙏🙏
Mungu atabaki kuwa Mungu tu.
Wonderful 🎉🎉❤
Ameeen ameeen mumabalikiwe sana watumishi wa mungu
I can’t count on how many times I had listened to this song. I’m always blessed listening to it. Be blessed beautiful gospel singers of the lord.
Amen Amen and Amen 🙏
Nice the video...we can praise The Lord Jesus everywhere. Song of soul..great
Oooooohhh my God 🤲🤲😭😢🇧🇮
Unajuwa imba
Toching song
I can’t stop listening to this powerful song 🙌🙌🙌🙌anytime am weak and listen to it I feel very blessed and powerful 🙌🙌keep up brother amani and others 🙌
Nabarikiwa na nyinyi mubarikiwe na Mungu
MUNGU awabariki 🙏
Wa tumishi mungu wa mbingu a wa bariki tena
❤
Ndafashijwe cyane,GBU
Mubarikiwe sana
God bless you, Brothers and Sisters, for this beautiful song. William Muyuku.
its such spirit filled songs that should be topping the chats. Thank you for obeying the voice of the Holy Spirit to be a blessing to us.
merci beaucoup pour cette belle chanson,,je l'écoute même 100fois par jour ,que Dieu vous inspire encore d'avantage ❤❤🎉🎉
Ohhhh hallelujah
This song makes me cry😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Amen 🙏 Jesus Christ glory to God 🙏🙏
Napenda sana
My favorite song . Much much much love you man of God
Mubarikiwe na bwana
Amen amen mungu asifiwe
Amen amen tena amen