Christian Bella feat. Fid Q - TAMU (Official Video)
Вставка
- Опубліковано 25 лис 2023
- Christian Bella feat. @FidQ - TAMU (Official Video)
Stream/Download: onerpm.link/tamu-Christian-bella
Listen to Christian Bella on Digital Streaming:
Audiomack:audiomack.com/christianbella
Apple Music: / christian-bella
Boomplay:www.boomplay.com/share/artist...
Spotify:open.spotify.com/artist/6aozN...
Written & Performed by: Christian Bella
Connect Christian Bella on Social Media:
Instagram: / bellachristian1
Facebook: / christianbellaobama
TikTok: / christianbella1
Spotify:open.spotify.com/artist/6aozN...
© 2023 CBO Records Label.All Rights Reserved.
#ChristianBella #fidq
Aisee ii ngoma ni kali kuanzia beat ad mashairi.nipeni like zangu jmnnnn
Kaaah FID Q ni legendary wa hip-hop kubabake 😂😂😂 🔥🔥🔥🔥🔥
Uyo video queen nimependa bure kwa alivoitikia
Ausio,Fid Q umepita vizuli sana kwa hii ngoma..big up Ngosha.
Ngosha
mimi kama mkaguzi wa nyimbo kali, nasema hii ni yenyewe kabisa hii. Fid Q hapa umefanya kazi nzuri.
I like the way huyo vixxxen anasema🎉🎉🎉🎉NDIYOO🤗🤗🤗🏝🏝🇰🇪
Kama kuna siku utakosea kuimba itakuwa sio ww aki❤
Christian belle umenigusa mkongomani mwenzangu vipi tz
Aisee Fid Q katisha umu ndani ❤
Nimeshika xjashikiwa niache nitekwe na utamu💛💚❤️
Fid q ameuwa na flow tulizo miss za kitambo, napenda sana hii verse yake👋
VOCALS,💯MELODIE💯MASHAIRI💯YAAANI NGOMA YENYEWE TAMU🔥🔥🔥🔥🔥🔥
From America 🇺🇸 hii ngoma kali sana alafu sisi wana MWANZA FID Q KATUWAKILISHA VZR SANA. UJAWAHI KUTUANGUSHA FID Q
Nakubali sana ngoma ipo good sana
Mwamba uchawi tu ndio hana ila kuimba he is the legendary
Mwenye mzki wake🔥🔥💯
Nshapata song la x-mass and new year ,,nafunga mwaka na hii Ngoma🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Fid Q meeeeeeen, 😢nalia juu ameua io ngoma. He killed it 🎉🎉
❤❤❤❤❤jamani nimeirudia mara 100000000000; mziki mtamu sana 😊😊😊😊😊 good music ❤❤❤❤ i love ¶¶¶¶π
We bela acha usenge mambo gani ya kua unakaa kimya achia madude kama haya back to back
We fid q ww daah🔥🔥🔥
All in all bella is the king of melody ukslkza hii melody vzur ukajymlisha na utamu wa ngoma aisee ni noma sana
Fid q shenzi we kila cku we ni mkali tu Sasa wenzako waimbe nini, bonge moja la verse 🔥
The Genius who never disappointed. I just listened for two seconds and went for a download. Just lovely music like usual from Christian Bella
Same thing happened to me
Fid unaifanya hip-hop unavyotaka mzee mbuziii👏👏👏
bonge la ngomba . bella mkali sana. fid wewe ni zaidi ya.... nakubali
Like za Fid Q please hata tatu tu
fid q kauwa sana nimerudilia verse yake mara zaid ya kumi
Rumba Tamu ya kushushia na wine ya bariiiiiidi
piga wimbo na ma voice pekee,, jama mukali sana yule
Maprofesa wa muziki. Amapiano pori tupa kule
Kaka umeuwa sana cbo noma sana ❤️❤️❤️🙈
This is what we call,Good Music
Oyaa weee Bella nouma sana Man umechafua dadekiii
Moto wa kuotea mbali good song funga mwaka
kali sana
Hapo uki kaa na family nzima muna enjoy best of the best music.this is what we call best music 🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦
napenda sana mlivyokaa na mwanangu ngoosha
My idol kafanya mambo❤Jani sina comment C.Bella wewe ni Noma sana,Niko Zangu Moz❤❤❤
Mbona unaanza kupoteza originality yako Bella,achana na kuwaiga hawa wanaija bana..just believe in your style bana..upo vizuli mbona..hzo bars za kwanza umeigiza hawa jamaa na haifai
Fid..fid..fid..Q.Q.Q.Q aise ww ni kipaji halisi sana
Fid Q muanzilishi wa flow ya kaveve kazoze.
Ujawahi kukosea we mkongo
❤❤❤❤ unaimba kwa isia sana chaooo big up
Kali ya funga mwaka ....unyama mwingi sana #mzeembuzi
kazi safi wakuu❤❤
Kutoka Drc uvira naitwa Jean Luc Trésor Kagombe,weye ni moto saana
Positively agreed bro.🎉
Mxuka sna collbo
Big bela
Mzee mbuxi ndo ameua kbsa
Mzee wa kazi hujawahi kukosea
God bless u bro
Guys ni bonge moja la ngome
Bela bela bela sina neno nitailudia ludia mala Kazaa ivi
Kaka ngomamzulisana nimekubali sana
Ndio ✅✅✅✅ fid Qni fid Q tu..ipo good sanaa hii ngoma
Talent oyo ezali ya depuis kala Mwana Zambe
Una ingiya kwenye style yawa tanzania unataka kuwa poteza sasa mhhh sauti yako noma
Why the song having few views? Its a masterpiece
Song limeisha Hakuna ata sehemu ilioimbwa na nguvu saaana, eti limeisha.
Bella amekuja na mabadiliko melodie inakibabe poa saana
King of the best melody's 👑❤🔥
Fid ume uwaaaaa kinoma bratha
Mélodie mashairi,mixing ,upangilio Kari sana
Aki sijaielew hii song
Fid Q umepita vyema sana
Moja kati ya muwa mtamu wa kufungia mwaka
Kaka iyo courase umeua❤
We na fid mnaendana
Good song
Alafu ulikua napotea sana
Bella una majini gani wewe lkn yaani haujawai kuwa na bovu bro , asnte sana kwa hili tamu tangu kitambo navuna maokoto huku kwa kila nyimbo zako huku asant my bro
Aki hii song iko Kali sana
Tamu kam ilivyo❤❤❤❤
bela anajua adi anakeraa aaaah😂🙌🙌
fid q yaani sio misani wakawaida sijawai shiba kukuskiza kaka fid
Bella🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Ngosha kijana was rock city hujawah kuniangusha
Anajua kunijua✓Fid Q..raha tupu❤
King of Melody kwenye ubara wake
Ngoma Kali sana yaan utamu
My favorite ❤️ sina mengi
Ila nyie uyu Farid jamani. Utam❤️
Inakuanga BAD.. For this combi....✔✔
Hii Ngoma haijakaa mbali Sanaa najina lahuu WIMBO
hands up for FID Q
Ngoma inapikwa inaiva
🎉😂 Napenda iyo ndiyo
Bella will never disappoint u his music been always fire
Fid Q on the track killed it
Aseeee hii ngoma unaweza ukalia ugali bila tatizo
ngosha the don pls Mzee wa melody, fire goood music
Bella unauwaka ukiwa na fid Q
Papaaa,cbo Makin sana
Yani utamu mtupu❤❤
Safi sana tupe vituuu CBO
Mziki mkubwa sana huu
Kula chuma hichoooo
Is me Golden bluez upcoming artist nimependa sana song❤️❤️❤️🙏
Mziki umepoaa kama.papa ya gigy :23
Nakuerewa CNA mwanang😊
toujours ton fan depuis le Burkina Faso !la mélodie est délicieuse
Nani nani nani nani nani vile fid q tamu tena kwa bella weka like nyingiiiiii hapa zote
Bella Nakubal Xan Brother Big Up Kwenu , Fid Q Never Dissapoint Focus Good Job 🎉🎉🎉🎉🎉