UHURU MEDIA ONLINE
UHURU MEDIA ONLINE
  • 509
  • 5 645 004

Відео

TAARIFA MBAYA GHOROFA LIMEANGUKA KARIAKOO NDANI KUNA WATU TAZAMA KILICHOTOKEA
Переглядів 1 тис.День тому
Ghorofa limeanguka kariakoo mda huu #ghorofa #kariakoo
MASHABIKI WAPIGA NA KUZOMEA KWENYE MECHI YA KANDANDA KATI YA UFARANSA NA ISRAEL
Переглядів 52214 днів тому
MASHABIKI WAPIGA NA KUZOMEA KWENYE MECHI YA KANDANDA KATI YA UFARANSA NA ISRAEL
ISRAEL YASHAMBULIA MJI WA DAMASCUS WAKATI RAIS ASSAD WA SYRIA AKIKUTANA NA KIONGOZI WA IRAN
Переглядів 48914 днів тому
ISRAEL YASHAMBULIA MJI WA DAMASCUS WAKATI RAIS ASSAD WA SYRIA AKIKUTANA NA KIONGOZI WA IRAN
CHADEMA YAMJIBU TUNDU LISSU NA DR SLAA KASHFA NZITO ZINAZOIKUMBA CHADEMA HAKUNA MAELEWANO NA MBOWE
Переглядів 1,6 тис.14 днів тому
CHADEMA YAMJIBU TUNDU LISSU NA DR SLAA KASHFA NZITO ZINAZOIKUMBA CHADEMA HAKUNA MAELEWANO NA MBOWE #tundulissu #drslaa #chadema
PUTIN AWATUMIA WANAJESHI WA KOREA KASKAZINI KUISHAMBULIA UKRAINE NATO YACHUKIZWA
Переглядів 1,3 тис.14 днів тому
PUTIN AWATUMIA WANAJESHI WA KOREA KASKAZINI KUISHAMBULIA UKRAINE NATO YACHUKIZWA
ALIENUSURIKA KUTEKWA ASIMULIA MAZITO KWA MARA YA KWANZA " WANGENIUA" HATA SIWAJUI MWILI UMENISAIDIA
Переглядів 3,9 тис.14 днів тому
Alienusurika kutemwa Mfanyabiashara Deogratius Tarimo afunguka Kwa Mara ya kwanza baada ya kunusurika kutekwa #polisi #tarimo
MAPYA YAIBUKA CCTV FOOTAGE ZIMEWANASA WATEKAJI WALIVYORUDI USIKU BAADA YA KUSHINDWA MCHANA KUMTEKA
Переглядів 162 тис.14 днів тому
Mmiliki wa Hotel ambayo mfanyabiashara Deogratious Tarimo alikua anatekwa asimulia namna watekaji walivyorudi usiku hotelini hapo huku akielezea kilichotokea kwa deo bonge baada ya kushindwa kutekwa mchana hotelini hapo , mmiliki huyo ameelezea uwepo wa walinzi hotelini hapo usiku na mchana walinzi wanakua hawapo #deobonge #polisi
WAHUDUMU WA HOTEL WASIMULIA NAMNA WATEKAJI WALIVTOFIKA KUMCHUKUA DEOGRATIUS HUKU AKILIA WATANIUA!!!
Переглядів 8 тис.14 днів тому
WAHUDUMU WA HOTEL WASIMULIA NAMNA WATEKAJI WALIVTOFIKA KUMCHUKUA DEOGRATIUS HUKU AKILIA WATANIUA!!!
UKWELI UMEFAHAMIKA ALIEKUA ANATAKA KUMTEKA BONGE NI MWANAJESHI HIZI NDIO DATA ZAKE ANAUZA MAUA DUH!
Переглядів 16 тис.14 днів тому
Ukweli umejulikana #polisi #dar #polisi
KATIBU WA CCM KILOLO AUWAWA KINYAMA KWA KUPIGWA RISASI NA WATU WASIOJULIKANA CCM YATOA TAMKO
Переглядів 3,5 тис.14 днів тому
Katibu wa CCM kilolo auwawa baada ya kupigwa risasi na watu wasiojulikana iringa chama cha mapinduzi ccm kupitia katibu wa itikadi na uenezi Amos Makalla chatoa tamko #polisi #iringa #kilolo
MAPYA YAIBUKA PICHA ZA CCTV CAMERA TUKIO LA ALIEKUA AKITEKWA NA KULIA NAENDA KUUWAWA NISAIDIENI
Переглядів 215 тис.14 днів тому
Jeshi la polisi limetoa taarifa video iliyosambaa mtandaoni kijana akitekwa MAPYA YAIBUKA PICHA ZA CCTV CAMERA TUKIO LA ALIEKUA AKITEKWA NA KULIA NAENDA KUUWAWA NISAIDIENI #polisi #tanzania
HÊZBOLLĀH IMESHAMBULIA KAMBI YA JESHI NA UWANJA WA NDEGE WA ISRAEL KWA MAKOMBORA
Переглядів 1,7 тис.14 днів тому
HÊZBOLLĀH IMESHAMBULIA KAMBI YA JESHI NA UWANJA WA NDEGE WA ISRAEL KWA MAKOMBORA
ZELENSKY ATHIBITISHA MAPAMBANO MAKALI NA WANAJESHI WA KOREA KASKAZINI " TUMEPATA HASARA KUBWA" VIFO
Переглядів 75414 днів тому
ZELENSKY ATHIBITISHA MAPAMBANO MAKALI NA WANAJESHI WA KOREA KASKAZINI " TUMEPATA HASARA KUBWA" VIFO
HËZBOLLÄH IMESHAMBULIA MJI WA TEL AVIV NA HAIFA WA ISRAEL KWA MAKOMBORA WANAJESHI WAMEKUFA
Переглядів 3,9 тис.21 день тому
HËZBOLLÄH IMESHAMBULIA MJI WA TEL AVIV NA HAIFA WA ISRAEL KWA MAKOMBORA WANAJESHI WAMEKUFA
AYATOLLAH KHAMENEI AISHAMBULIA ISRAEL KUSHINDWA VITA NA HĀMĀS NA HËZBOLLÄH
Переглядів 1,1 тис.21 день тому
AYATOLLAH KHAMENEI AISHAMBULIA ISRAEL KUSHINDWA VITA NA HĀMĀS NA HËZBOLLÄH
MAKUNDI YA UPINZANI YALAANI VIKALI SHERIA YA ISRAEL KUWAFUKUZA WATU MAKWAO NDUGU WA WASHAMBULIAJI
Переглядів 2,1 тис.21 день тому
MAKUNDI YA UPINZANI YALAANI VIKALI SHERIA YA ISRAEL KUWAFUKUZA WATU MAKWAO NDUGU WA WASHAMBULIAJI
PUTIN AMJIBU TRUMP KUMALIZA VITA VYA URUSI NA UKRAINE KWA SIKU MOJA
Переглядів 3 тис.21 день тому
PUTIN AMJIBU TRUMP KUMALIZA VITA VYA URUSI NA UKRAINE KWA SIKU MOJA
IRAN IMERUSHA SATELLITE MBILI ANGANI HUKU IKIJIANDAA KUISHAMBULIA ISRAEL KWA MAKOMBORA
Переглядів 83421 день тому
IRAN IMERUSHA SATELLITE MBILI ANGANI HUKU IKIJIANDAA KUISHAMBULIA ISRAEL KWA MAKOMBORA
UKRAINE INADAI IMEPIGANA VITA NA WANAJESHI WA KOREA KASKAZINI KWA MARA YA KWANZA WAKIWA NA URUSI
Переглядів 52121 день тому
UKRAINE INADAI IMEPIGANA VITA NA WANAJESHI WA KOREA KASKAZINI KWA MARA YA KWANZA WAKIWA NA URUSI
HAMAS WAMCHIMBA MKWALA TRUMP WAMPA ONYO VITA NA ISRAEL MAREKANI KUWAUNGA MKONO
Переглядів 2,6 тис.21 день тому
HAMAS WAMCHIMBA MKWALA TRUMP WAMPA ONYO VITA NA ISRAEL MAREKANI KUWAUNGA MKONO
TRUMP AMTAJA ELON MUSK KAMA MTU WA KIPEKEE " NI NYOTA MPYA WA CHAMA CHA REPUBLICAN"
Переглядів 97421 день тому
TRUMP AMTAJA ELON MUSK KAMA MTU WA KIPEKEE " NI NYOTA MPYA WA CHAMA CHA REPUBLICAN"
BENJAMIN NEYANYAHU AMPAONGEZA TRUMP KWA USHINDI " MWANZO MPYA WA KUJITOA KWA ISRAEL"
Переглядів 58521 день тому
BENJAMIN NEYANYAHU AMPAONGEZA TRUMP KWA USHINDI " MWANZO MPYA WA KUJITOA KWA ISRAEL"
MAMBO MAZITO ALIYOAHIDI TRUMP BAADA YA KUSHINDA URAIS WA MAREKANI
Переглядів 3,4 тис.21 день тому
MAMBO MAZITO ALIYOAHIDI TRUMP BAADA YA KUSHINDA URAIS WA MAREKANI
TRUMP ASHINDA URAIS MAREKANI AHUTUBIA HAYA KWA MARA YA KWANZA
Переглядів 88821 день тому
TRUMP ASHINDA URAIS MAREKANI AHUTUBIA HAYA KWA MARA YA KWANZA
MAAMDAMANO BENJAMIN NETANYAHU AJIUZURU BAADA YA KUMFUTA KAZI GALLANT WAZIRI WA ULINZI KIMENUKA
Переглядів 15 тис.21 день тому
MAAMDAMANO BENJAMIN NETANYAHU AJIUZURU BAADA YA KUMFUTA KAZI GALLANT WAZIRI WA ULINZI KIMENUKA
BENJAMIN NETANYAHU AMFUKUZA KAZI WAZIRI WA ULINZI YOAV GALLANT UAMINIFU WAKE ULIPUNGUA
Переглядів 32321 день тому
BENJAMIN NETANYAHU AMFUKUZA KAZI WAZIRI WA ULINZI YOAV GALLANT UAMINIFU WAKE ULIPUNGUA
MAREKANI IMETUMA WANAJESHI MASHARIKI YA KATI BAADA YA TISHIO LA AYATOLLAH KUISHAMABULIA ISRAEL
Переглядів 3 тис.21 день тому
MAREKANI IMETUMA WANAJESHI MASHARIKI YA KATI BAADA YA TISHIO LA AYATOLLAH KUISHAMABULIA ISRAEL
IRAN YATANGAZA KUISHAMBULIA ISRAEL NDANI YA SAA 72 SIJAZO " TUTAPIGA NYIE NA MAREKANI WAKIINGILIA"
Переглядів 19 тис.21 день тому
IRAN YATANGAZA KUISHAMBULIA ISRAEL NDANI YA SAA 72 SIJAZO " TUTAPIGA NYIE NA MAREKANI WAKIINGILIA"
AYATOLLAH KHAMENEI AMETOA AMRI YA KUISHAMBULIA ISRAEL AWAONYA MAREKANI NA ISRAEL KWA UKATILI WAO
Переглядів 3,1 тис.21 день тому
AYATOLLAH KHAMENEI AMETOA AMRI YA KUISHAMBULIA ISRAEL AWAONYA MAREKANI NA ISRAEL KWA UKATILI WAO

КОМЕНТАРІ

  • @mwlmsalehetv6467
    @mwlmsalehetv6467 23 години тому

    Mi nashauri huyo mfanya biashara amiliki bastola yan akikutana nal tu ni kuzichapa

  • @mwlmsalehetv6467
    @mwlmsalehetv6467 23 години тому

    Hao wametumwa na serikali , yan serkal inahusika moja kwa mja

  • @mubarakchishako500
    @mubarakchishako500 День тому

    tulishawahi kuongozwa na mmakua wa msumbiji nae ni benjamin mkapa mbona hamsemi mmelishwa maneno ati wakimbizi ni wa kutoka burundi na kongo tu. nchi hii tumepakana na nchi 8 na kila upande kuna watu wakutoka upande mwengine wa jilani

  • @DiwaniMwafongo
    @DiwaniMwafongo День тому

    1. Kwani mzanzibari akubali kuwa yeye ni mtanzania? 2. Kama Warundi wamewafundisha kuua wapinzani, hamuoni ni ndugu zenu? 3. Propaganda/ rongorongo za maccm hamzijui? 4. Nchi Ina Usalama wa Samia au wa Taifa? 5.Mtu auzae bandari na misitu yenu kwa interest za tumbo na yake au mtanzania? CHADEMA ni Warundi? Mbona ni wazalendo na kabisa mnajua...mbona hamtaki wawe viongozi? Tunawachagulla maraisi Warundi na wakongo, na kuwapa jeshi Letu SI ndugu zetu? Acheni unafiki!!

  • @UpendoBarnoth
    @UpendoBarnoth День тому

    Yaan mtu unazaliwa na mzazi wako halfu unakuwa muuaji wa serikali ya mfumo wa chama kimoja

  • @pendobruno111
    @pendobruno111 День тому

    Utasikia jeshi linasema ni mambo ya kibiashara

  • @pendobruno111
    @pendobruno111 День тому

    Aisee

  • @pendobruno111
    @pendobruno111 День тому

    Mmh

  • @pendobruno111
    @pendobruno111 День тому

    Tena dar hawana msaada bora mwanza hamia mwanza

  • @KwameKwame-t2c
    @KwameKwame-t2c 2 дні тому

    Kwa nini watanzania wajinga hivi

  • @issadullah2074
    @issadullah2074 2 дні тому

    Akijib israel anapotezwa

  • @issadullah2074
    @issadullah2074 2 дні тому

    Israel hawana akili lebanon wamepiga makazi ya watu ila wao wakiguswa

  • @SelijusiMalambo-z2b
    @SelijusiMalambo-z2b 2 дні тому

    Tunawajua sana lakini rushwa ndio chanzo

  • @humphreymkony8915
    @humphreymkony8915 3 дні тому

    Maadam yuko CCM anaweza kuukwaa urais

  • @tedymshisha-dn5ez
    @tedymshisha-dn5ez 3 дні тому

    Hotel ifungwe

  • @ManPro-ng3op
    @ManPro-ng3op 4 дні тому

    Si uwataje unaogo nn kuwataja

  • @SamsonAbdul-ht7lt
    @SamsonAbdul-ht7lt 4 дні тому

    Sawa

  • @NapatNapat-x6i
    @NapatNapat-x6i 4 дні тому

    Mama Sama hebu tusaidiye haya mambo mpaka nili jamani

  • @SamwelKalonda
    @SamwelKalonda 4 дні тому

    Kwaiyo to walie woa wanawake Ambaoso watz kigogo anawtak awaoe yeye au uyoso kigogo nifukara mama samia shugulika nahaooo wambea naona napich Yarais imehusik kesho mtasem hamumupi kura hajazali dareesaram

  • @AugenusZakalia
    @AugenusZakalia 5 днів тому

    Kama walirudi usiku na cctv camera zimenasa je serekali itafanya nin

  • @IssaMohamed-mp4hj
    @IssaMohamed-mp4hj 5 днів тому

    Nikweli Tz Atujielewi Mawazili wengi sio laiya ukiskia ata majina yao ni yawabulundi Kongo Somalia

  • @FREDYMBUGHI-q5k
    @FREDYMBUGHI-q5k 6 днів тому

    Haya yapo wazi pingu zinamilikiwa na rais?

  • @LaurentMkolwe
    @LaurentMkolwe 6 днів тому

    Kikubwa amani

  • @BinthaSultan
    @BinthaSultan 6 днів тому

    Tanzania ilikuwa ni inchi ilikuwa inapendwa na kila mutu na tulikuwa tunaona ni inchi ya amani ila leo inchi ya kwanza kuokopwa ni Tanzania hapo ndio mwanzo vita

  • @MpokiMwakaje
    @MpokiMwakaje 7 днів тому

    Kwani huyo mfanya biashara aliwakosea Nini,? Tuludi upande wa pili ,uwenda wamathurumiana ,

  • @patrickymkoma3558
    @patrickymkoma3558 8 днів тому

    Ni wakina nani?mnaźingua

  • @DeogratiusWambura
    @DeogratiusWambura 8 днів тому

    Watanzania tusaidiane ilitakiwa gali lichomwe moto na wauwawe hata wawili wa tanzania tudiwe wapore

  • @DeogratiusWambura
    @DeogratiusWambura 8 днів тому

    Hapa tusaidiane ili tuwauwe hawa watekaji

  • @PhilipoMassawe-k5l
    @PhilipoMassawe-k5l 8 днів тому

    Ukitataka kusaidia polisi wanasema uliwazuilia kufanya kazi yao

  • @IsmailMkasi
    @IsmailMkasi 8 днів тому

    Walinzi wa hotel walikuwa wapi?

  • @EmanueliDaudi-l1n
    @EmanueliDaudi-l1n 8 днів тому

    Polis polis polis

  • @faustinokitule
    @faustinokitule 8 днів тому

    Huyu mwenye hotel na wahudumu ndio majambazi wanawajua wezi...

  • @JosfatiMwamengo
    @JosfatiMwamengo 8 днів тому

    Polis wako wap? Je tukosalama kweli?

  • @innocentebarnabas4615
    @innocentebarnabas4615 9 днів тому

    Pore tarimo

  • @AnuaryKISEGE
    @AnuaryKISEGE 9 днів тому

    Tatizo ni serekali imepoteza muelekeo mbona had leo hawaja kamatwa?

  • @AishaswalehAishaswaleh
    @AishaswalehAishaswaleh 9 днів тому

    Dunia ya Sasa ukiwa tajir balaa ukiwa maskin raha

  • @ShesheKaoneka
    @ShesheKaoneka 9 днів тому

    Inashangaza kuona watu wanahoji suala la pingu, kuwa na pingu kwa mhalifu ni miongoni uhalifu hao ni wahalifu, polisi wa ukweli sio wale wale ni majambazi.

  • @mosesntilema9746
    @mosesntilema9746 9 днів тому

    Tunaomba serikali itamke hadharani Hao watu wajisalimishe polisi Kama Raia wengine wanavyoambiwa Na vyombo vya Dola hata wanasiasa wanaambiwa wajisalimishe kituoni basi Na Hao watekaji waambiwe hivyo mbona simple ?

  • @ShaniSalum-g2u
    @ShaniSalum-g2u 9 днів тому

    Vmungu bado anakuitaji kwa ushauri wang amia kwenye mkoa mwengine

  • @MagdalenaBeenad
    @MagdalenaBeenad 9 днів тому

    Kama wanajiita polisi mbona alivyotokea trafiki wakakimbia tunaomba jeshi la polisi wachukue hatuwa kali naamini watawakamata tu wamelichafua sana jeshi la polisi

  • @StellaMleba
    @StellaMleba 9 днів тому

    Nashanga na wabongo duu kenya hilo gari ndiyo tungeanza kulichoma kenya ata wamama tunadili na wewe mzee uondoki na mtu ledy Tanzania mumetuangusha wamama xxxxx wamama bongo ziro

  • @StellaMleba
    @StellaMleba 9 днів тому

    Mbona awakupiga kelele MTU anasema wanapenda kunipa siwajui

  • @MagdalenaBeenad
    @MagdalenaBeenad 10 днів тому

    Pole mwanangu uliteseka sana baba

  • @MagdalenaBeenad
    @MagdalenaBeenad 10 днів тому

    Waone wauwaji wakubwa polisi mkieakamata vunjeni taya zao kabisa na miguuyao

  • @shiaeddy4519
    @shiaeddy4519 10 днів тому

    Sasa hii hoteli ainaulinzi

  • @AthumaniLulinda-i4c
    @AthumaniLulinda-i4c 10 днів тому

    Hao nikinanani wanajiamimi hivyo wananchi tuzinduke tuanze kuwavamia wakituvamia tusichelewe Kama jeshi la polisi wameshindwa SISI tunaweza nguvu MOJA kuwakabili watekaji

  • @OmaryBarua
    @OmaryBarua 10 днів тому

    Kambale HAWEZI kumtafutia mwenzake majini kwa sababu wote ni wale wale mambo mengine ni kuzuga tu

  • @VanillaMelkion-q6u
    @VanillaMelkion-q6u 10 днів тому

    Hii nchi niyahovyo sana

  • @shehaamour3757
    @shehaamour3757 10 днів тому

    Mh. Kazi ipo

  • @AlizadesFrance
    @AlizadesFrance 10 днів тому

    Serial iakikishe inawakamata hao halisionzur kwaraia wa tz