MAMBO MATANO USIYOYAFAHAMU KUHUSU MSHAMBULIAJI MPYA WA SIMBA YAO JEAN CHARLES OLIVER

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 лип 2024
  • Simba imemsajili kimya kimya mshambuliaji wa SKA Khaborovsk ya nchini Russia Yao Jean-Charles Oliver Raia wa Ivory Coast mwenye umri wa miaka 23 kwaajili ya kuimarisha safu yao ya ushambuliaji kuelekea msimu ujao
    Kwa kulitambua hilo Simba Pro tumeona tuje na mambo matano ambayo yanaweza kumpa picha mwanasimba juu ya ubora wa nyota huyo mpya katika kikosi cha Simba
    Kama unahitaji kuungwa kwenye group tuchek kwa namba 0626629644 ili tukupe utaratibu wa jinsi ya kuungwa
  • Спорт

КОМЕНТАРІ • 6

  • @alhimnamussasaid3619
    @alhimnamussasaid3619 3 дні тому +2

    Wakwanza kabisa nipo hapa nimetisha kumuunga mkono Mr dulla hassan ❤❤🎉🎉

  • @kombohamis2481
    @kombohamis2481 3 дні тому

    Aliekwenda simba ni jean Charles ahou, huyo Oliver unamjua ww

  • @kassidpandu866
    @kassidpandu866 3 дні тому

    Hakuna simba ya wazee sasa uzee uko kwa wenzetu tuu

  • @patrickkilongo3214
    @patrickkilongo3214 3 дні тому

    Hamna straika apo kaka ,,, mpira ni mchezo wa wazi mzeee uyu jamaa ni jobe alie changamka ,,, au na ww unatumika na viongoz wa simba ???

  • @omarmwanja319
    @omarmwanja319 3 дні тому

    Hakuna streka hapo viongozi walete streka lakueleweka

    • @sangaelly8548
      @sangaelly8548 3 дні тому

      Daa moyo wa korosho huo, wewe ni chura tu