MAU MPEMBA KWANINI RAMADHANI SEHEMU 11

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 88

  • @DirectorOne.t
    @DirectorOne.t Рік тому +4

    Hii film ni nzuri sn,,MASHLLH,,, HONGERENI WASHIRIKI

  • @salimasalim405
    @salimasalim405 Рік тому +4

    Kazi nzuri nyote mlio shiriki❤❤❤

  • @doctorphone21
    @doctorphone21 Рік тому +4

    Tujifunze namna sahihi ya kuondoa uovu pia angalia unapo peleka taarifa je utajenga au utabomoa hongera sana naomba umewafunza kitu wambea wengi

  • @abdallahaboud6235
    @abdallahaboud6235 Рік тому +5

    Hongerasana

  • @ummyidriss1972
    @ummyidriss1972 Рік тому +6

    Wa mwanzo mie leo tena nipeni like zangu

  • @hamisidumbo1568
    @hamisidumbo1568 Рік тому +6

    Hongereni team Mau filamu iko helwa masha allah,ila msichelewa sana .

  • @sassboy9360
    @sassboy9360 Рік тому +4

    Mau uko sawa sanaaaa tafuta film bara ukaekti utanishukuru baadae

  • @matukiotvonline6366
    @matukiotvonline6366 Рік тому +4

    Asanteni episode zimeshiba

  • @Salhiya-hr7dy
    @Salhiya-hr7dy Рік тому +8

    Nimefika ✌✌✌

  • @EL-LOFFY
    @EL-LOFFY Рік тому +8

    Tumesubiria sana hii finally leo imefika

  • @muniraahmedawadh2619
    @muniraahmedawadh2619 Рік тому +5

    MashaAllah wapendwa tunakukubalini pamoja sana

  • @jonathanhamadi
    @jonathanhamadi Рік тому +5

    NawApenda sana mau na ndogo wananipa burudan ya kuangalia

  • @zakomone7672
    @zakomone7672 Рік тому +4

    Kaz nzur mashallah

  • @cottonempire6804
    @cottonempire6804 Рік тому +5

    Mashallah mashallah mafunzo mazuri kwa jamii Allah atakulipeni, ila mie jamni niozeshani naombi😊

  • @aminahhuawei1133
    @aminahhuawei1133 Рік тому +5

    😘😘😘😘😘Ramadhan karrem

  • @maryamhamad3485
    @maryamhamad3485 Рік тому +4

    Safi sana

  • @mahrezyusuf6017
    @mahrezyusuf6017 Рік тому +1

    Kazi nzuri mau na kikoc chako chote👊👊

  • @worldchoiceperfume4606
    @worldchoiceperfume4606 Рік тому +4

    Nawakubali sana

  • @sabihahamadi2287
    @sabihahamadi2287 Рік тому +1

    Haaaaaaa hata ukimuona mwanaume apenda vitamu ujue ni mvivu kuvitafuta hongereni washiri nyote mwenyezi mungu awabariki

  • @nassorally7287
    @nassorally7287 Рік тому +5

    mashaaAllah mchezo mzur sana, wahusika mko vzr ila mau nmecheka sn ulivomfukuza yule bint dukan🤣

  • @SaidHamad-hz4zs
    @SaidHamad-hz4zs Рік тому +4

    Nimewahi mashalla

  • @labunaabouna6122
    @labunaabouna6122 Рік тому +3

    Dugh noma

  • @IssaAbdalaRai-vd6ij
    @IssaAbdalaRai-vd6ij Рік тому +3

    Ahhh fupi saana ila sawa tunasubiri nyngne inshaa allah

  • @Nahdiya-nr3de
    @Nahdiya-nr3de Рік тому

    Kisha muachie dukale n kwake pia ondoka mungu atakupa rizki yako inshaallah

  • @binmasoud4150
    @binmasoud4150 Рік тому +4

    Mwinyi aja eleka pala ngongonii,😊 Filam imetulia sana nafkiri Mwinyi anakwenda kuporomoka uchumi soon.

  • @rashmad98
    @rashmad98 Рік тому +6

    aaa leo mwinyi amekorofishwa 🤣🤣 wamemkera sana

  • @alisaid7299
    @alisaid7299 Рік тому +4

    Shikamoo Maulid.

  • @feisalfarsy6562
    @feisalfarsy6562 Рік тому +4

    Ni mda sahihi wa kuhakiki hya maudhui

  • @san__0073
    @san__0073 Рік тому +3

    Kaz njema

  • @saadanaufal-pe2zn
    @saadanaufal-pe2zn Рік тому +1

    Napitwa❤😂 nilikuwa bize mhh

  • @Aviero_07
    @Aviero_07 Рік тому +7

    Usimtusi baba kama hujuwi utakula wapi...😂😂😂 Dogo kawa mdooooogo😂😂😂

  • @kitewithkhamis6035
    @kitewithkhamis6035 Рік тому +3

    Movie nzur Sana ila Kuna methali sizijuwa Bado Kama " mgoma hazingwa" Nini hii jaman

    • @binssoud1995
      @binssoud1995 Рік тому

      Mweny kugoma" anaefanya mgomo" hazingwa (hatafutwi)
      Ukigoma Basi hutafutwi Tena unless urudi mwenyeo😆

    • @binssoud1995
      @binssoud1995 Рік тому

      Kugoma = kukataa

  • @MubaSleiman
    @MubaSleiman Рік тому +4

    Nice

  • @habiibanahassan4455
    @habiibanahassan4455 Рік тому +4

    Ilo duka lenyewe sasa 😂😂😂😂

  • @abdullahhassan.6368
    @abdullahhassan.6368 Рік тому +3

    Em tujuane 2lofunga kwa like zenu.🙏

  • @mixturechannel6988
    @mixturechannel6988 Рік тому +3

    Halaf mbn hii picha haionesh vizur Ina kama Kiza hvy hem wekeni mazingira vizur

  • @AmirAbdallahJuma-tq6vm
    @AmirAbdallahJuma-tq6vm Рік тому +3

    Zinachelewa jmny mbn

  • @feisalfarsy6562
    @feisalfarsy6562 Рік тому +4

    Warda wafrahisha kweli

  • @abdulmalikmassoud2229
    @abdulmalikmassoud2229 Рік тому +3

    Kipara we

  • @faridapandu7579
    @faridapandu7579 8 місяців тому +1

    😂😂😂 mwambie ukwwli bimwamize numeutamani muhogo oman hauko huku

  • @SubiraSalum-pq9vo
    @SubiraSalum-pq9vo Рік тому +4

    Namtaka ostadh makame mie 😅

  • @francistz695
    @francistz695 Рік тому +1

    Mussa Uso nakukubali sanaa

  • @badmanno.1650
    @badmanno.1650 Рік тому +5

    Juma Kupendwa dume zima unataka michapati na michuzi ya nyama mkeo ndio akuletee huna haya 😢

  • @kundiidd8755
    @kundiidd8755 Рік тому +4

    Good

  • @ZamirOmar-qx8nq
    @ZamirOmar-qx8nq Рік тому +3

    Munachelewesh muendelez

  • @Aviero_07
    @Aviero_07 Рік тому +13

    Tusiishie kusifia na kuomba likes.. lesson: 99% ya Tabia za wanawake zilizoonyeshwa kwenye hii episode zina ukweli wa 99.9%.. according from God "Ishini na wanawake kwa akili"

  • @fetriucysuleiman9284
    @fetriucysuleiman9284 Рік тому +4

    Mau acha uroho huoo😅😅

  • @binssoud1995
    @binssoud1995 Рік тому +1

    Mau huna maana😄 eti kinuka uvundoooo.... Mau mroho of ze year 😆

  • @kassimsalim3756
    @kassimsalim3756 Рік тому +1

    Mau unajua MashaAllah

  • @mohdhassansaleh1322
    @mohdhassansaleh1322 Рік тому

    Wanawake wa kipemba wanavyoamshwa Waume utapenda

  • @hamidakhamis-ir5qv
    @hamidakhamis-ir5qv Рік тому +3

    Mjomba hatari pole makame umefanya uwamuzi sahihi kbs wapo wengi km hao

  • @aliabdallah4233
    @aliabdallah4233 Рік тому

    😀😀😀😀 kiduka changu ulpoona kushakiuwa mau bwana kiduka umekiuwa mwenyeo

  • @kitewithkhamis6035
    @kitewithkhamis6035 Рік тому +3

    Ndwele ndo Nini?

  • @mohdsaad2736
    @mohdsaad2736 Рік тому +4

    😊😊😊❤❤❤❤❤❤

  • @bizzybrown_tz
    @bizzybrown_tz Рік тому +18

    NAMBA MOJA NAOMBENI LIKES ZANGU 🎉

    • @othmanslm466
      @othmanslm466 Рік тому +1

      weye umuokosi hatukipiii🤣🤣🤣🤣

  • @Alyahmadajuma-zm4vh
    @Alyahmadajuma-zm4vh Рік тому

    Kwel mzr xna

  • @ceclizbon1783
    @ceclizbon1783 Рік тому +3

    Mna tucheleweshea sana halaf hamjali wala nn

  • @shaviercharvinho18
    @shaviercharvinho18 Рік тому +2

    Ukweli siku zote ni fitna

  • @mohammedkhamis6893
    @mohammedkhamis6893 Рік тому +1

    Mbona zingine umezfuta hatuzioni

  • @hamidyakoub6865
    @hamidyakoub6865 Рік тому +4

    😂😂😂mauuuu

  • @kassimsalim3756
    @kassimsalim3756 Рік тому +1

    Yule jamaa bonge hajui anaharibu😢 hapo mafund n mau, makame, goro, maneno meng na uyo jamaa alovaa kanzu ya dira bila kumsahau Mzee mwinyi na anti wetu kipenz "Naomba , pia na mke WA Yule bonge yupo vizur sana

  • @saidally2290
    @saidally2290 Рік тому

    Asntee makem nimekuonaa kwetuu Tundwaa

  • @saidothman2521
    @saidothman2521 Рік тому +1

    Hahaha Mau level ya Mkojani henu fanya filam na mkojan gang yaani hapatatosha

  • @mohdkhamis-gu5ql
    @mohdkhamis-gu5ql Рік тому +5

    Wamwazo

  • @amourhassan7415
    @amourhassan7415 Рік тому +3

    Jmn toweni ving ving

    • @mamaraiyani4471
      @mamaraiyani4471 Рік тому

      Mke wa bonge angekuwa bi kijecha ila mungu amsitir amsameh aminn

  • @mohdkhamis-gu5ql
    @mohdkhamis-gu5ql Рік тому +5

    👆👆

  • @rashmad98
    @rashmad98 Рік тому +4

    wanatusumbua akili vipande vifupi😀😀 utamu haumalizi😔

  • @saadanaufal-pe2zn
    @saadanaufal-pe2zn Рік тому +1

    Mau unagoya vitu so ushavihonga umeibiwa tena😂😂😂😂

  • @asiamohd5516
    @asiamohd5516 Рік тому

    Mwanangu salimu yuwapi 😅😅😅.

  • @ibrahimally8073
    @ibrahimally8073 Рік тому +4

    😂😂😂 HOGO

  • @amina2044amin-zv2gh
    @amina2044amin-zv2gh Рік тому

    ❤❤❤🙏👏🎉🎉🎉

  • @allysekela-tq4jk
    @allysekela-tq4jk Рік тому +2

    mau umeticha kutowa futari huwa urowo

  • @alisaid7299
    @alisaid7299 Рік тому +3

    Maulid kw ZnZ hii na viunga vy ........ huna mpinzani labda kidundo huenda akaleta ushindani.

  • @kitewithkhamis6035
    @kitewithkhamis6035 Рік тому +3

    Naleka paka mgongoni ndo nini

  • @hassaniharuna1010
    @hassaniharuna1010 Рік тому

    Duka lenyewe we mau liko wp hapo Mbona hamana kitu hapo

  • @mohdkhamis-gu5ql
    @mohdkhamis-gu5ql Рік тому +4

    😂

  • @bekamakame-wv2dm
    @bekamakame-wv2dm Рік тому

    hahaha muendelezoo

  • @Nahdiya-nr3de
    @Nahdiya-nr3de Рік тому

    Muachie dukale nae waogopa nn kwn huna kwnu ww uskutikae

  • @nassirabdallah6256
    @nassirabdallah6256 Рік тому +3

    Mau unatisha 😂😂😂

  • @mwanaishiaomar5695
    @mwanaishiaomar5695 Рік тому

    😂😂😂😂😂