STORI ZA ANGANI/TAZAMA WACHEZAJI WETU WAKIENJOY NDANI YA NDEGE KUELEKEA AFRIKA KUSINI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024
  • #daimambelenyumamwiko #football

КОМЕНТАРІ • 263

  • @user-kk5hq4sk5d
    @user-kk5hq4sk5d Місяць тому +61

    Kama unamini yanga itakuwa timu tishio Africa tujuane kwa like🎉

  • @malietamaliet
    @malietamaliet Місяць тому +38

    Safari njema allah awe nanyi kila mlifanyalo tupo nyuma enu kwa dua daima mbele nyuma mwiko 💚💛🇹🇿

  • @misambo7539
    @misambo7539 Місяць тому +131

    Kama unaamini Yanga hii itakuwa tishio Africa nzima gonga like chap tufahamiane.

  • @Hamis-ks1sy
    @Hamis-ks1sy Місяць тому +48

    Kila la kheri lakini nawakumbusha2 wachezaji wangu mkiwa safarini kama hivyo jitahidi sana kuwa mnatumia mda mwingi sana mnaomba dua mwenyezimungu awafakishe salama.

  • @deniswilliam4486
    @deniswilliam4486 Місяць тому +23

    Musonda na Aucho wanaenjoy sana

  • @Andrewmyala-t1b
    @Andrewmyala-t1b Місяць тому +28

    Mungu awatangulie wananchi ngoja niongezee kipaji nami nije niwasapoti

  • @khalifasultan2677
    @khalifasultan2677 Місяць тому +17

    Kama Umemsikia DICKSON JOB Akisema "MBONA WATAKOMA PALE KATI" Na Cleotus Chota CHAMA Akifurahishwa Na Hilo Gonga Like Hapa!!

  • @AhmadSahabu
    @AhmadSahabu Місяць тому +10

    Dah Yaaan yanga ni big up sana

  • @kassimchuo5290
    @kassimchuo5290 Місяць тому +10

    Niitakie kila la kheri INSHAALLAH timu yetu pendwa young Africans (Yanga) mfke salama salmini na INSHAALLAH MUNGU awalinde na awasimamie kwa kila jambo na atujaalie ushindi mnono kwa kila mchezo yaaa Rabbal aaalamin Birahamatika yaaa Arhamma raaahiminn 🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲

  • @user-sz9om9ly4y
    @user-sz9om9ly4y Місяць тому +11

    Natokea mkoa wa songwe niawatakie wote wachezaji wangu safari njema mungu awalinde.

  • @user-dt6in5pc1h
    @user-dt6in5pc1h Місяць тому +9

    Safi.sana.chamaletu.molaawafikishe.salama.kwa.mzee.madiba.

  • @lampardemmanuely7342
    @lampardemmanuely7342 Місяць тому +12

    Kila laheri chama langu mungu awatangulie❤

  • @mbarakasijaona7638
    @mbarakasijaona7638 Місяць тому +15

    Mungu ibariki young Africans forever

  • @patridabernard9148
    @patridabernard9148 Місяць тому +1

    Chama unafurahi kweli umefika mahali sahihi na mungu akubariki katika jina la YESU kristo Amen

  • @5googleuuu727
    @5googleuuu727 Місяць тому +7

    TIMU YANGU. PENDWA. MUNGU AKULINDENI NAMFIKE SWALAMA 💚💛💚💛💚🇴🇲🇴🇲🇴🇲 FROM OMAN

  • @femidayahaya9293
    @femidayahaya9293 Місяць тому +5

    waoooh mmenikumbusha mwaka 2019 wakat na mie niko ndan ya chombo nikielekea huko huko SOUTH AFRICA..KILA LA KHERI KWENU

  • @kabujeasukile5462
    @kabujeasukile5462 Місяць тому +17

    DAIMA MBELE NYUMA MWIKO 💚💛💚💚💚👏

  • @user-er1dk6zj6u
    @user-er1dk6zj6u Місяць тому +2

    Daah aucho na mosonda dam dam yani 🔰🔰🔰🔰

  • @patridabernard9148
    @patridabernard9148 Місяць тому

    Nawaombea baraka tele mungu atupe furaha daima

  • @hagailauden2737
    @hagailauden2737 Місяць тому +9

    Dawa ya msimu inaandaliwa 💚💚💚💚

  • @RobinoLeornad
    @RobinoLeornad Місяць тому +9

    That's my team bravooo 💚🖤💚

  • @orwalizzie2696
    @orwalizzie2696 Місяць тому +17

    Yani yanga wangepost ata Giza ningeangalia💛💛💛💚💚

  • @user-rc8sv9dg2l
    @user-rc8sv9dg2l Місяць тому +3

    Tunaenda kuanzia pale tulipoishia,...
    All the best my team

  • @MohamediSleyum
    @MohamediSleyum Місяць тому +2

    Mungu awasimamie muende Salama na mrudi Salama pia mkafanye vizuri huko kwa timu zote mtakazo chezanazo InshaAllah mrudi na UBINGWA

  • @minazsaid2470
    @minazsaid2470 Місяць тому +10

    Mungu awafanyie wepesi katika michezo mnayoenda kucheza amiin 🙏

  • @JumaDea
    @JumaDea Місяць тому +4

    Mungu awatangulie wanajeshi wetu

  • @danielbenard9053
    @danielbenard9053 Місяць тому +6

    Yanga hii ni tatizo jipya la Africa ❤

  • @saliieking7279
    @saliieking7279 Місяць тому

    Mwenyezi mungu awabariki katika safari yenu

  • @GreysonMbisse
    @GreysonMbisse Місяць тому +12

    Alf linatokea lizee uko limeshiba mbege Linasema nyoko nyoko dedeq zak

  • @mwitaboniface5282
    @mwitaboniface5282 Місяць тому +8

    Tupo vizuri

  • @user-qt9fm2lj6b
    @user-qt9fm2lj6b Місяць тому +10

    Kila la kheri Chama langu

  • @GidionBwire-oj7km
    @GidionBwire-oj7km Місяць тому +2

    Niwatakien safari njema wanangu wa yanga naipenda sana timu yangu ya yanga

  • @philipomponeja2457
    @philipomponeja2457 Місяць тому +2

    Timu yangu Bora nawapenda sana

  • @MaikoKapelo
    @MaikoKapelo Місяць тому

    Asante.mungu.kweri.yanga.tamu.wape.saramu

  • @rajabukamis9411
    @rajabukamis9411 Місяць тому +1

    Tunaimani na timu yetu ipo vzr kila idara ✍️

  • @KelvinRobert-mn2mn
    @KelvinRobert-mn2mn Місяць тому

    Mashindan mema💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💚🧡💚🧡💚👍👍👍👍🙏🙏🙏

  • @user-mo1ql3sv2n
    @user-mo1ql3sv2n Місяць тому

    yanga bingwa 💚

  • @MtashobyaJosia-wt9jq
    @MtashobyaJosia-wt9jq Місяць тому +1

    atari sanaa tunawatakia safari njema

  • @user-uz7um7eo8x
    @user-uz7um7eo8x Місяць тому

    Mungu awatangulie na awasimamie

  • @user-sw4ug9xg9j
    @user-sw4ug9xg9j Місяць тому

    young Africans is the best team in Africa, there is no example, it is a very happy team for all the players, they enjoy life very much, that's why every player wants to play, young Africans is a threat team in Africa

  • @ElizabethMasoud-sh1ku
    @ElizabethMasoud-sh1ku Місяць тому +24

    Naombeni ndugu zangu msikilize huu Wimbo wa mzee magoma
    ua-cam.com/video/u3_W_tELZ3s/v-deo.htmlsi=xbNCNKG4dqejSYGn

  • @faidha23
    @faidha23 Місяць тому +1

    Hadi raha jamani💚💚💛💛

  • @chollejr_
    @chollejr_ Місяць тому +2

    Aucho na musonda ni ndugu😂😂😂😂😂

  • @LinuslusianLinuslusian
    @LinuslusianLinuslusian Місяць тому +4

    Shekan dogo anafurahi kuewa na yanga

  • @moshielfesty7992
    @moshielfesty7992 Місяць тому +1

    Kama unaamini mwaka huu yanga itakuwa tishio African gonga like chapu

  • @user-ne9sk5br3l
    @user-ne9sk5br3l Місяць тому +1

    Yanga kuwa bingwa haiepukiki kama kifo2

  • @FrankLuhaha-dt5sh
    @FrankLuhaha-dt5sh Місяць тому +3

    Tuwaombeeee wafikee salaam

  • @HamadizoMadizo
    @HamadizoMadizo Місяць тому

    Hatari sana

  • @peterDeus-qq7og
    @peterDeus-qq7og Місяць тому

    Yanga 2pen rahaaa mashabik wen jmn daaah❤❤❤🎉🎉🎉

  • @FortiMtolela-xl2nb
    @FortiMtolela-xl2nb Місяць тому

    The club above all 🔰

  • @amaniomar1755
    @amaniomar1755 Місяць тому +3

    Safi sana 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @user-ql2hc7zt6b
    @user-ql2hc7zt6b Місяць тому +2

    Ndani ya pipa

  • @UmmyJames
    @UmmyJames Місяць тому +2

    Uhakika Kwa yanga da Africa

  • @aminakhamis2276
    @aminakhamis2276 Місяць тому

    Niwatakieni safari njema Allah awajaalie mafanikio ktk kila hatua inshaallah ❤❤❤

  • @user-zo1vy6ij9q
    @user-zo1vy6ij9q Місяць тому

    daa aise mmenikumbusha mwaka 2023 safali ya Qatari full kuinjoy

  • @menastiem8637
    @menastiem8637 Місяць тому

    Ninachokionabkwenye hili chama langu la yanga.kila idara ina Watu mahili Sana. Kiukweli hawa idara ya matangazo NI nyoko.videos na picha zao na jinsi wanavyoripoti matukio NI amazing. Nawakubali sanaaaa.
    YANGA MBELE DAIMA NA NYUMA MWIKO.

  • @user-fh7hg7xg6k
    @user-fh7hg7xg6k Місяць тому +1

    Mungu awalinde wananchi safarini

  • @sosomacharles9920
    @sosomacharles9920 Місяць тому +1

    Huyo Magoma anasemaje

  • @AminaTanzania
    @AminaTanzania Місяць тому

    Mungu awatangurie timu yenye uwepo mkubwa tanzania

  • @YohanaJackson-m1i
    @YohanaJackson-m1i Місяць тому +1

    YOUNG AFRICANS ni Bayern leverkusen watupu

  • @AngelinaHassan-fe3jp
    @AngelinaHassan-fe3jp Місяць тому

    Aucho na musonda wanaenjoy tu

  • @user-lm6wc8gw3z
    @user-lm6wc8gw3z Місяць тому

    Magoma mwehu sana

  • @AdrianJeremiah-j6c
    @AdrianJeremiah-j6c Місяць тому

    Mungu awape nguvu,tunawaombea kaanze na hao tuwe na mwanzo mzr

  • @user-cw2nj4io3v
    @user-cw2nj4io3v Місяць тому +2

    Safi mashujaa wetu!

  • @MathiasFungavyema
    @MathiasFungavyema Місяць тому +3

    🙌🙌👋💚💛💚💛💚

  • @mastermaphie1384
    @mastermaphie1384 Місяць тому +1

    Chama anacheza game kama languuu😂😂

  • @abubakalimavumbi5846
    @abubakalimavumbi5846 Місяць тому

    I'm very happy 😁😁😁 good my team

  • @ChikuOmmary-ii2xf
    @ChikuOmmary-ii2xf Місяць тому

    Mungu ibariki yanga ibariki Tanzania

  • @user-hh5tp2wr7s
    @user-hh5tp2wr7s Місяць тому

    Wawooooo

  • @AminaTanzania
    @AminaTanzania Місяць тому

    Angani kwa kwenda mbere makoro bastuu mpaka matako kuota uperee😂😂😂😂

  • @Dopa5115
    @Dopa5115 Місяць тому +1

    Mungu pamoja nanyi wapambanaji wetu

  • @elizabethismile6827
    @elizabethismile6827 Місяць тому

    Ila jmn kwahyo Cha Ni mwananchi kweli 💛💛💚💛💚

  • @pachamalota4455
    @pachamalota4455 Місяць тому

    Kwaiyo hapo goma likitunguliwa tumepoteza wachezaji wote😅😅😅

  • @Evance-op4jw
    @Evance-op4jw Місяць тому

    Mwenyezi Mungu atulinde

  • @rukaka_jr4514
    @rukaka_jr4514 Місяць тому

    Timu hii ndo tumpe mzee magoma labda tumpe ile y wanawake

  • @franktiba1506
    @franktiba1506 Місяць тому +1

    Nmegundua kwanini Chama kipaji chake ni kikubwa na kinaendelea kukua

  • @HammyIdrisa
    @HammyIdrisa Місяць тому

    Saw mnaenda south ndo babu kaju na farid mcheze drafti

  • @JrMizzoh
    @JrMizzoh Місяць тому

    Allah awatangulie wapambanaji wetu

  • @user-kt7sx5rk2o
    @user-kt7sx5rk2o Місяць тому

    💚💚💚💚💚💛💛💛💛

  • @DatyVena-ph3sz
    @DatyVena-ph3sz Місяць тому

    💚💛🔰

  • @tatalyzer382
    @tatalyzer382 Місяць тому +2

    Wakwanza Mimi

  • @user-qo6bk1zs8m
    @user-qo6bk1zs8m Місяць тому

    Kwa mara ya kwanza kwenye ndege uo ni ushamba

  • @neemaisrael688
    @neemaisrael688 Місяць тому

    SAFARI NJEMA,KILA LA HERI MUNGU AWATANGULIE. AMINA . NAIPENDA TIMU YANGU YANGA.DAIMA MBELE NYUMA MWIKO.

  • @user-ug1nv3xl4d
    @user-ug1nv3xl4d Місяць тому

    Yanga tamuuuuu 💚💛

  • @AbdallahMoussa-j5o
    @AbdallahMoussa-j5o Місяць тому +1

    Kila la heri. Tupo pamoja.

  • @AminaTanzania
    @AminaTanzania Місяць тому

    Mabosi bwana sisi yanga karibuni chapioni zabia watapenda kuisoma namba ya Tanzania kua niipi

  • @5googleuuu727
    @5googleuuu727 Місяць тому +1

    DUA TU KILA HATUA NA MAFANIKIO MEMA

  • @tatalyzer382
    @tatalyzer382 Місяць тому +1

    Yanga ni Bonge la dudeeeeeee 🎉🎉😂😂😂

  • @charlestobby6031
    @charlestobby6031 Місяць тому +2

    We raha kama hizi halafu mingoma anataka kutibua furaha yetu kumbafu zake😠😠💚💛🔥🔥

    • @B.M-ix4rz
      @B.M-ix4rz Місяць тому

      Atakufa vibaya yule Babu atakufa km firaun

    • @B.M-ix4rz
      @B.M-ix4rz Місяць тому

      Au km inawezekana mungu amuangamize km walivyoangamizwa waliopita

    • @user-lm6wc8gw3z
      @user-lm6wc8gw3z Місяць тому

      Mpuuzi sana na msura wake kama ubao wa matangazo

  • @slimmuhabesh2400
    @slimmuhabesh2400 Місяць тому

    Mkate tiketi za yanga day na mnunue Jez

  • @suleimanmwenyemvua995
    @suleimanmwenyemvua995 Місяць тому

    Mnanimbusha na Mimi pia nikiwa Aeroflot nikielekea Moscow urusi...😅😅😅😅

  • @domisonrichman6499
    @domisonrichman6499 Місяць тому

    All the best

  • @sevarinijrchitandachitanda138
    @sevarinijrchitandachitanda138 Місяць тому

    🔥🙏

  • @sulehamad8700
    @sulehamad8700 Місяць тому +1

    dua muhimu jmn kulikoni hata kucheza game

  • @josiahnaftaeli7862
    @josiahnaftaeli7862 Місяць тому

    💚💚💚💚💚💚

  • @sadahamad6158
    @sadahamad6158 Місяць тому +2

    🎉🎉🎉🎉🎉💚💚💛💛

  • @KiwanovicAy
    @KiwanovicAy Місяць тому +3

    Hii ndo maan halisi ya furaha

  • @raymondkisinga4374
    @raymondkisinga4374 Місяць тому +1

    🔥🔥🔥🔥

  • @radhiamussa1629
    @radhiamussa1629 Місяць тому +1

    Hatuna habari na wazee sisi sio shida zetu tufocus na ya muhimu

  • @user-nt9go8ez2p
    @user-nt9go8ez2p Місяць тому

    💚