Yaan wewe wema ningekuwa karibu nngekupiga kibao, 35 ni miaka mingi ?wewe. Hauko kwenye ndoa unazungumza maneno hayo? Na wale ambao wako kwenye ndoa wana miaka 10 au 15 hawana je? Wasemaje. Utakuja tu kuzaa na yule unayetakiwa kuzaa naye. Kikubwa Mungu akusaidie na kukuongoza.
Wow❤❤❤
Sio kwa ubaya Nauliza tu 2006 alikuwa na miaka mingapi? Tukisema 18 basi ana 37
Peengine mwenyezi mungu ataki kukupa mtoto nje ya nfoa olewa mdogo wangu utapata watoto si mtoto
Hebu acheni kumshutumu Wema! Kuna maswali hamtakiwi kuuliza!
Yaan wewe wema ningekuwa karibu nngekupiga kibao, 35 ni miaka mingi ?wewe. Hauko kwenye ndoa unazungumza maneno hayo? Na wale ambao wako kwenye ndoa wana miaka 10 au 15 hawana je? Wasemaje. Utakuja tu kuzaa na yule unayetakiwa kuzaa naye. Kikubwa Mungu akusaidie na kukuongoza.
Uckate tamaa Mungu yupo na atakutendea utapakata mtoto,kwa anayejua huu uchungu nimzazi nijins gn maumivu aliyonayo
Mwambiye wema asitupi kitumaini Kuna mama aliza namyaka 60 alitafuta uzazi kabla yamyaka 30 alikuja Pata mutoto Akira 60
Zuwena mwambiye wema awe anasikiliza kanguka ile yaburundi