Kwani lazima uwe na mausiano ya haraka haraka.tuliza akili huyo whozu bado ujana unamsumbua wewe ni mdada mzur pambana tafuta ela Muombe sana Mungu utapata mwanaume mzuri na atakupenda sana tu❤
Yaani ndo maana wanasema.usimwamini mwanamke.aliyeachana mzazi mwenzie yaan.mda wowote mpira.unarudi kwa.kipa. sasa.hapo chibaba kampotezea wema mda.na.tundalo.kampotezea.mda.ndaro imradi tu wao nyoyo zao burudani kabisa maumivu. Yamebaki kwa.wengine
Mama wema aliona mbali😂😂😂😊
Kwani lazima uwe na mausiano ya haraka haraka.tuliza akili huyo whozu bado ujana unamsumbua wewe ni mdada mzur pambana tafuta ela Muombe sana Mungu utapata mwanaume mzuri na atakupenda sana tu❤
Wema achana na hiki kitoto kinakupotezea muda
Pole sana wema omba Mungu akufanyie Amani
Jamanii wema pumzika kwanzaa
Kwenyehii mechi nani mjaja tunda munjanja aliwaacha kwanza wachishane hakuna jipya chini ya jus
Wema tafuta pesa ukipata nenda ulaya utapata mzungu. Tanzania mikosi mingi
Wema achana na mbwa,,waachie wazungu tabia hiyo 😮
Gari ya serikali imerudishwa serikalini😂😂😂😂
Kupashana uporoo hahahahaha😅😅😅😅
Uwohzu anapata umahazrufu wa bure kaaama Aliyoupataa future Husband 😂😂😂😂
Huuyo wema ebu atafte mahal aheme sasa.
Yaani ndo maana wanasema.usimwamini mwanamke.aliyeachana mzazi mwenzie yaan.mda wowote mpira.unarudi kwa.kipa. sasa.hapo chibaba kampotezea wema mda.na.tundalo.kampotezea.mda.ndaro imradi tu wao nyoyo zao burudani kabisa maumivu. Yamebaki kwa.wengine
Wema mrudie mungu
Acha akalee mwanaye sasa mnataka amlee manunu mme wa mtu ni gari ya serikali
kunywa soda japo inawezekana lakin mi nimefurahi whozu na tunda kurudiana walee mtoto
Ndaro sasa
Mwanamke ukishazaa nae hamuachani kamwe
Kama ulimzaa na waume wengi inakuaje
Uongo
Kiki tu hizo wanataka waende mjini
❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
It was just a matter of time....
What " leally happen"? Really?
😂😂😂😂😂
𝘚𝘢𝘴𝘢 𝘢𝘯𝘢𝘰𝘯𝘢 𝘸𝘪𝘷𝘶 𝘷𝘪𝘱 𝘸𝘢𝘬𝘢𝘵𝘪 𝘢𝘮𝘦𝘮𝘱𝘰𝘬𝘰𝘯𝘺𝘢 𝘢𝘤𝘩𝘢 𝘺𝘢𝘮𝘬𝘶𝘵𝘦