HAMISA amenipiga block kisa nilimwambia DIAMOND ukweli wa mtoto DYLAN, HAJI MANARA alitaka kunioa

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 138

  • @vickykapama8386
    @vickykapama8386 День тому +19

    Huyu mwanamke anaonekana ANATAMANI SANA MAISHA YA WALIOMZIDI😢😢😢 LOL Mtu kakutoa kwenye maisha ya chini amekuleta MJINI KWELI UNAMFITINI KWA WATU WALIOMTENDA NA KUMSUSIA MTOTO. Huyu Mwanamke lzm aombe sana TOBA‼️ Maana malipo ni hapa hapa DUNIANI. 🤲

  • @esthermramba9395
    @esthermramba9395 День тому +18

    Adui ya mwanamke ni mwanamke,,mnafik sana uyu dada

  • @halimayahya1948
    @halimayahya1948 День тому +11

    Safi sana Hamisa haiwezekani ucheke na adui zangu after yote niliokufanyia..hapo ulikuwa unaowezo wa kukataa mualiko ata ungetafuta sababu yeyote yani hamisa kama Mimi na huu mwaka mpya nime delete watu kibao don't take revenge delete 😊

  • @kammie8174
    @kammie8174 День тому +26

    Rafiki ya adui yangu ni adui yangu...Period!

  • @florencebudoya3814
    @florencebudoya3814 20 годин тому +6

    Wewe ni Nyoka.Kwanza hata kuongea sijui mama Hamissa alikupigia .Hukutakiwa kusema.Wewe binti ni bingwa wa kutengeneza migongano baina ya watu.Wewe binti ni hatari sana.Sema kuna kitu kinaitwa KARMA.

  • @shamsaabdalah7038
    @shamsaabdalah7038 5 годин тому

    Umufangana❤ mwaduda❤ njaria na nene hee niingie umujini❤

  • @raiderinfos1472
    @raiderinfos1472 День тому +9

    Eenhee dada kiboko kila mtu unachil nae nyumbn kwake😂😂 yaani kma mbwa ambaye hana mwenyewe

    • @Fgldesigns
      @Fgldesigns 8 годин тому

      Nimalaya anajipeleka majumbani mwa watu kujionyesha

  • @rahiimal-shuwehdy1203
    @rahiimal-shuwehdy1203 День тому +11

    You did wrong to Hamisa my dear , no matter what you have to go and face her face to face and appreciate her , Diomand family will never support you

  • @reginaamoo6530
    @reginaamoo6530 День тому +3

    This kind of friend 🙆🏿‍♀️🙆🏿‍♀️🙆🏿‍♀️💔💔💔may I never have them 🙏🏿🙏🏿🙏🏿

    • @AlbinMsechu
      @AlbinMsechu 17 годин тому

      But true friends are still there

  • @helenkambi3918
    @helenkambi3918 День тому +3

    Hao wote ni wanafik watakufanya rafiki kama wanataka umbea wa Mobeto.. ila Mobeto ni the TOP TOP TOP

  • @siphifahashimu9723
    @siphifahashimu9723 День тому +8

    mnyaturu😢😢😢😢 msiba

  • @allyiddakizimana7103
    @allyiddakizimana7103 День тому +15

    lakini mbona sio mzuri?

  • @kammie8174
    @kammie8174 День тому +27

    Hamisa kama mimi tu...sipendi wanafki hata upinge magoti siwezi kuwa karibu na wewe tena.......kula usnitch wako.

  • @jemimabakari
    @jemimabakari День тому +6

    Huyu sio rafiki mzuri,khaa

  • @Happy-n5i5x
    @Happy-n5i5x День тому +43

    ukweli upi na bado ukawa unamuomba msamaha kinafk maishan mwangu sitakagi marafiki abadani ,

    • @BossLady-z8i
      @BossLady-z8i День тому +6

      Marafiki wa kike walinitenda yaani kama sio mamangu kunitia moyo sijui ingekuaje

    • @michelinemapendo6652
      @michelinemapendo6652 День тому +4

      Ma rafiki Mimi 🙌🙌 sitakiiii na do not believe anyone in your life

    • @maryamm7765
      @maryamm7765 День тому +2

      Sana yaan marafiki ni wanafiki

    • @RukiaRashid-mb7qc
      @RukiaRashid-mb7qc День тому +1

      Ww kama mm ctak kabisa

    • @AlbinMsechu
      @AlbinMsechu 17 годин тому +1

      Utaishije bila marafiki sasa

  • @Winnie97mulongo
    @Winnie97mulongo День тому +5

    Sio mzuri uyu shetani

  • @channyanjen9047
    @channyanjen9047 День тому +8

    Amissa amefanya vizuri uko munafki

  • @linnerphilip4260
    @linnerphilip4260 День тому +7

    Ety familia jmn kwenye ile familia khna nin watu wanataka sanaa undugu nao 😂😂😂

  • @firirama5141
    @firirama5141 День тому +3

    Anaiga mpaka vile hamisa anavyoongea khhaaaaa

  • @dn.n4983
    @dn.n4983 День тому +6

    Ogapa Rafiki kwa kweli

  • @JolieNome
    @JolieNome 15 годин тому +2

    Ndo maan najiulizag kwann si pendag kua na marafk jmn kha no wander my spirit is stronger alone.Am a lone wolf.

  • @Bahati47
    @Bahati47 День тому +7

    Sasa tumejua ukweli fitina ni nani kati ya hamisa na diamond ok Sasa baada ya hapo amepata nini?

  • @ilakozasembumende1975
    @ilakozasembumende1975 11 годин тому

    Nampenda hamisa sana . Yaaan haka ka dada haka daaah . Msamaha which msamaha whoo

  • @Aishatheboss117
    @Aishatheboss117 День тому +2

    Uyu aliwahi kuwa miss mbona hana muonekano anaroho mbaya na anaumbea na ndio maana akashindwa 🤔

  • @ruu6592
    @ruu6592 День тому +6

    Piga block makurumbebe

  • @halimasalim5477
    @halimasalim5477 22 години тому +2

    Dada wewe yatakukuta mabaya. Huyu dada sio mzuri

  • @zainabramadhani9838
    @zainabramadhani9838 15 годин тому +1

    Mtu akikufanyia ubaya unamsamehe alafu unakaa nae mbali nilimuona huyu dada alivyokuwa na vishindo akiwa na Esma jamaniii

  • @Mb0g0z
    @Mb0g0z День тому +4

    Hata mimi ninge kublock byeeee

  • @maryamm7765
    @maryamm7765 День тому +6

    Kumbe atakufanyia mpango itajulikana alafu ukamfitini

  • @ElizabethWamcha
    @ElizabethWamcha День тому +2

    Kwa hiyo haji keshakulamba na mond keshakulqmba😂

  • @linnerphilip4260
    @linnerphilip4260 День тому +13

    Huo ni usnitch bhn adui ya boss wako ni adui wako

    • @ilhamhabib2988
      @ilhamhabib2988 23 години тому +2

      Sio kweli kisa unauwadui na mtu then rafiki yako awe nauwadui nae acheni fikra dhaifu hujuwi nani atakae kufaa mtu alokuwa na utu hawezi kuwa na uwadui na mtu kisa rafiki yake anauwadui nae

  • @254snf
    @254snf День тому +4

    Weuh mpka anavaa sare na kina esma kazi ipo

  • @HASSANBAKARI-q9c
    @HASSANBAKARI-q9c День тому +5

    Ila hamisa so chizi,,,tatizo uyo dylan hana mdomo mkubwa

  • @linashayo2068
    @linashayo2068 День тому +4

    Hamisa nenda shitaki hii mtu, iwe mwisho wa kukuongelea, yaani mwanzo mpaka mwisho habari ni Hamisa tuu, what a shame lady. Think before you speak.

  • @elit3_furor517
    @elit3_furor517 День тому +3

    Ulikuwa na wivu nae bila hamisa kujuwa wa nafki mnasura zenu

  • @dn.n4983
    @dn.n4983 День тому +3

    Unamgeuka alikuwa anashika mkono that uanasema kabisa huyu atakiwi kuwa mtu yeyotebkaribia naye

  • @sarahmcharo1548
    @sarahmcharo1548 11 годин тому +1

    haya sasa ivi hao waliokusababishia madhara wamekusaidia nini bidada!!!!!!!?

  • @vifarangakuku9098
    @vifarangakuku9098 3 години тому

    kafanya sawa kabisa, sasa mtaongea nini na maadui zangu wakati wana uadui na mm?Unafki uo.

  • @beatricejoseph2347
    @beatricejoseph2347 День тому +2

    Kwa Mungu tunaamini ukishaomba msamaha tayari umesamehewa ,Naamini hata Missa ameshakusamehe,Yaliyobaki ni maneno ya watu wa pembeni

  • @JulianaNyamhanga
    @JulianaNyamhanga День тому +2

    Haji Sijui kama atakaa kimya kwa hili..

  • @zerochanneltanzania3797
    @zerochanneltanzania3797 7 годин тому

    Wanawake bana....eti ndo vitu vinavyo waumiza vichwa hivi...dadeki!!! Viumbe hivi 😂

  • @SilvanaKananda-t9c
    @SilvanaKananda-t9c 15 годин тому +1

    Unataka kurd mjn kwa jina la hamissa

  • @nyandichearts
    @nyandichearts День тому +2

    Miss utopoloooo😅😅😅😅

  • @RevithaRevitha-f5q
    @RevithaRevitha-f5q День тому +7

    Naomba mpige story wote ila hamisa msimguse kwann mnapenda kumuandama lkn?

    • @mayaally4068
      @mayaally4068 День тому +1

      Kujifanya unamahaba kama kitu kimetokea asiongee

    • @husseinmassawa7186
      @husseinmassawa7186 День тому

      Ata uyu naye alikuwepo kama wewe, wote ndo walewale

    • @mamboshepea8888
      @mamboshepea8888 День тому

      Aseme baba wa ukweli wa.mtoto!!

    • @RevithaRevitha-f5q
      @RevithaRevitha-f5q День тому +1

      @@mamboshepea8888 akikwambia ndo utafanyaje ama utanufaika na nn ma umeona mtoto kakosa nn mpk useme aseme baba ake?

    • @RevithaRevitha-f5q
      @RevithaRevitha-f5q День тому

      @@mayaally4068 sa we mwenye hauna mahaba una do what here?? Nonsense

  • @sylviaforest3001
    @sylviaforest3001 День тому +8

    Mimi mtu akinisaidia kimaisha hivyo nakuwa chawa wa huyo mtu amenisaidia 😂😂😂

    • @Precious-dear
      @Precious-dear День тому

      😂😂

    • @irakozefatma9920
      @irakozefatma9920 15 годин тому +1

      yani paka kufa kwangu😀 alafu mtu kama Hamissa duuh kuna wengine hawana kumbukumbu

  • @sabinashabani1165
    @sabinashabani1165 День тому +2

    Sasa unafikiria hamasa akubari huu uyuda? Wewe ni yuda anajifanya kusema nimemuomba musamaha wakinafiki wewe utamukubuka hamisa

  • @zainabwage4658
    @zainabwage4658 День тому +14

    2 in 1 ogopa sana watu wa aina iyo

    • @reynaaalrawahi4137
      @reynaaalrawahi4137 День тому +2

      Huyu hata rushaina aligombana nae. Kwa umbea wake 😅

  • @agnessmwajojo-gr4ko
    @agnessmwajojo-gr4ko День тому +2

    Kizurulaji kazi kushinda kwa watu tu😅

  • @salimjumaa8180
    @salimjumaa8180 День тому +2

    Hyu itakua tayari wali maharage wcb😂 maskini ndio bc tena

  • @halimasalim5477
    @halimasalim5477 23 години тому +2

    Huyu sio rafiki kabisa.

  • @helenkambi3918
    @helenkambi3918 День тому +2

    Wewe nimnafik wa siri

  • @Maggie824
    @Maggie824 День тому +1

    Libya weekend Yani libaya kweli

  • @fetychina3969
    @fetychina3969 13 годин тому +1

    Wewe unatamaaa sana

  • @allymagwesi2147
    @allymagwesi2147 19 годин тому +1

    Nimependa mwanya wake 😋

  • @OnlyRuky
    @OnlyRuky День тому +2

    Mnyaturuuuuu...
    Mhhhhh

  • @Lassana755
    @Lassana755 День тому +1

    mbona huyu dada wa kienyeji sana kashindaje nafasi ya pili nna mashaka dar hakuna pisi kali

    • @sylviaforest3001
      @sylviaforest3001 23 години тому +1

      Hamisa alimsaidia ndio maana akaenda mbali hivyo

  • @LuluMalima-j1w
    @LuluMalima-j1w 9 годин тому

    Girl you are thirsty girl, Sasa in damage reputation ya mwanamke mwenzio for what? Money? Girl bye! Hamisa is a star shining for ever. Wewe nooooo

  • @BenedictaMagantg
    @BenedictaMagantg День тому +4

    Snitch, period.

  • @alhamdullilla5108
    @alhamdullilla5108 День тому +1

    Nyele syo zenu 😅😅😅😅 zakubandikaaa

  • @ireneburton4106
    @ireneburton4106 22 години тому

    Adui wa rafiki yangu ni adui yangu usinge wajua bila misa hukujiuliza kwann hawakukualika siku zote we chizi kweli

  • @mtoshauri9183
    @mtoshauri9183 День тому +1

    Mke mwengine wazee wa midomo

  • @BeatricesuleimaniBeatricesulei

    Ila we c umezaliwa kwemnye uslamu😅

  • @MariamIbrahim-h7p
    @MariamIbrahim-h7p День тому +1

    Iyo ndo shida ya ss wa africa ss ukiongea na watu wew unaingia espies missa anakosea

  • @sabinashabani1165
    @sabinashabani1165 День тому +2

    Wewe unaonekana ni munafiki haer kakutoa kwente maisha yake

  • @IRENEKOMANYA
    @IRENEKOMANYA 11 годин тому +1

    Fake friendship still exist

  • @BeatriceJesa
    @BeatriceJesa 10 годин тому

    Hata mimi mtu mnafk namuweka mbali shez kabisa na ikitokea tukaja kuongea itakua kinafk sana

  • @marrykigabimk
    @marrykigabimk День тому

    Kwahiyo kwasababu akukuwa naukaribu sana na wewe tena ndo ukahamua kujihunga na dui zake

  • @mariamkai2705
    @mariamkai2705 23 години тому

    Udaku ndio unakusumbua,mbona mtoto amefanana na diamond Dylan basi

  • @Godfrey_gee
    @Godfrey_gee 20 годин тому

    Tuangalie majina ya kuwapa watoto....Prisca sio jina kabsa wanakuwaga wazuri lkn ni matatizoooooo

  • @dianajohnson7268
    @dianajohnson7268 День тому

    Mmmh utazani unao unafki aisee

  • @SeverinoLuis-j1h
    @SeverinoLuis-j1h День тому

    Uyo kinyangunya ata aya una sasa mchezee zuchu akupige makonzi😂😂😂😂

  • @shangwefisima54
    @shangwefisima54 День тому

    Huyu ndo alikuwa miss tz no 2 ????

  • @monalisapaschal7362
    @monalisapaschal7362 День тому +1

    Huyu dada anashida

  • @limoghasia321
    @limoghasia321 День тому +1

    Kwani huyu nani

  • @aasatt78
    @aasatt78 День тому

    Hii studio ni nzuri ila picha hazionekani vizuri

  • @sarahmcharo1548
    @sarahmcharo1548 9 годин тому

    bugati njoo msikilize na umjibu huyu bidada, she talks blablablablabla!!!!!

  • @Faith_joseph
    @Faith_joseph 19 годин тому +4

    Na ukome kumzungumzia hamisa tumekuchoka kill interviews ni hamisa mwanzo mwisho huna kazi wewe?huna biashara? Peleka uchawi wako huko

    • @IRENEKOMANYA
      @IRENEKOMANYA 11 годин тому

      Yaan hadi anaboa😂😂😂

  • @lunangabenjamin3121
    @lunangabenjamin3121 День тому

    Aduwi wa mwanamke ni mwanaume siyo mwanamke.

  • @TaarabChannel
    @TaarabChannel День тому +1

    Muje na kwangu munisapoti

  • @Zuuh107
    @Zuuh107 День тому +4

    Umeamsha tena we n mnafic na bado utapata vichambo upya😂😂😂😂😂😂

  • @SwahiliSister-o5v
    @SwahiliSister-o5v День тому

    Pambana na hali yako hana mda na wewe madhali kakublock kwishnehi

  • @magrethmagonza186
    @magrethmagonza186 День тому +5

    Hapana hatakiwi kumpangia marafiki wa kuwa nao je akiingilia hala halafu wakija patana uso wa huyu dada ataweka wapi hii namuunga mkono mambo ya ngoswe mwachie ngoswe. Halafu kitu kingine huyu hamisa ana wivu na ile familia anaona km huyu dada asije akapendwa na DAIIMOND. NI wivu tu unamsumbua hamna kingine watu siku hizi wanapendana kizungu

  • @MariamIbrahim-h7p
    @MariamIbrahim-h7p День тому

    Akuna ulicho kosea iyo kitu ishaga nitokea na mm no ila ndoo ivo mtuu maenye roho mbaya sna

  • @mohammedkombo9798
    @mohammedkombo9798 День тому

    Fitina pepo haioni-abadan

  • @fetychina3969
    @fetychina3969 13 годин тому

    Minikajua kina diamond walikusaidia mxxxxch pumbavu kabisa wewe

  • @gypsummzuri_tz
    @gypsummzuri_tz 20 годин тому

    HUYU DEMU SNITCH

  • @royappy3826
    @royappy3826 17 годин тому

    Msichana mrembo❤

  • @MbalakSalum
    @MbalakSalum День тому

    😢😅😅

  • @SwahiliSister-o5v
    @SwahiliSister-o5v День тому +1

    Sasa wewe ulitarajia afenyeje !! Au ulitaka akuchekee

  • @HannanSomaiyah-wp7ny
    @HannanSomaiyah-wp7ny День тому +1

    Uso wake tu unaonekana Sura Surambi

  • @esperancenathali
    @esperancenathali День тому

    A friend will always be a friend don’t compare your friends with your family never 👎 ever in your life
    Sijahona ubaya wa huyu dada wote mnaomuhanda mnakosea
    Tatizo ni hivi baazi binadamu wengi wana matatizo ya akili how come mtu uliye koseana naye mimi niingilie kati hata km umenisaidia kiasi gani?
    Kwani ugomvi wenu hulipo hanzia mimi nahufahamu even thou naufahamu hisiwe sababu ya wewe kunizuiya kuwa karibu na mtu uliye kosana naye maana siku mkisamehana mimi sitokuwepo so aibu na pata mimi mwingilia vya watu nyooo hata kwenye upande wa ndugu huu upumbavu hupo ndugu wa wili wamekosana buuu wenaye unakuja tu nakuingia weeee umefunzwa na nani let me tell you something when my Husband na mdogo wake wa fight kivipi siwezi kaa bila kuongea na ndugu yake huo ni ugomvi wa ndugu watayamaliza wenye. Haje kwangu chakula na mpa na watoto wa kaka yake na mkabidhi aende nao na mkewe tunabaki marafiki km kawaida

  • @Fortune-x5q
    @Fortune-x5q День тому

    Unge kuwa wewe

  • @moviezetutz6257
    @moviezetutz6257 День тому

    ua-cam.com/video/3CYQEvX6wgk/v-deo.html