Emmanuel Mgogo - WAACHE WAJE (Official Music Video)
Вставка
- Опубліковано 25 вер 2022
- Official Music Video ya "WAACHE WAJE" by Emmanuel Mgogo
Sikiliza Emmanuel Mgogo Songs: / @mgogosinger
Follow Emmanuel Mgogo
INSTAGRAM: emmanuelmgogosi...
FACEBOOK: / emmanuelmgogosinger
TIKTOK: www.tiktok.com/@emmanuelmgogo...
Song: WAACHE WAJE.
Artist: Emmanuel Mgogo
#EmmanuelMgogo #WaacheWaje
Outstanding..
Kila mmoja anayetazama wimbo huu barakaa
Ameen
Ameen
Aaaaaamen
👏👏👏❣️
Daaah bro unajua kuimba nakuso pia kweli nikipaji daaa
Mungu azidi kukuongeza maarifa zaidi ya kututolea nyimbo zingine zaidi Tena zaidi
Kabisa mimi sitaogopa maana Mungu ni mwema kwangu
Kwaupako huu !!! Mungu atawaijiliya watu ⏰️ Haleluyaah
Hakika kaka hongera Sana na Mungu akubariki Sana na ninaomba ututembelee huku Tarime ukafanye huduma kaka mm nitakuwa mwenyeji wako
My favorite song 🎉🎉thank you servant of God for that good gospel song 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Hakika Mungu wetu ni moto ulao. Barikiwa sana mtumishi wa Mungu
Utukufu kwa Yesu krisho Mshindi wa Msalaba🎉
Kaka mgogo napenda nyimbo zako sana mungu azidi kukuinua viwango vya juu sana kuchochea karama yako.
Mungu azidi kukuinua Sana Nyimbo zako zinanibariki sana
Muda wa kukaa utumwani umekwisha🙌🙌🙏
Njimbo nzurii ubalikiwe kaka
Good song in god we trust give you 🙏🙏🙏🙏🦂🦂
Wajeeee ameneeeeeeeee
Blessed be Thy Name
Nilipokujua na ile wimbo ya: Mungu ana haja na wewe " niliona Mungu ndani yako
Keep listening from God
Napenda Sana nyimbo zako zinanibariki
Waache waje, 🔥🔥🔥Hakika ni wimbo bora,unarudisha jinsi ya kutowahofia wabaya wetu, Mungu alibariki mtumishi#Emmanuel Mgogo
hakika umeimba vizur hongera kwa huduma🙏🏼🙏🏼
Am still being blessed with song,mtumishi WA mungu mbarikiwe Sana,wimbo huu hunipa ujasiri mwingine sana
Halelluya Yesu Ni Bwana Nimebarikiwa sana Mungu akubariki Mtumishi
barikiwa sana jamani machozi ya furahaa yanitoka Mungu ni mkuu kuliko tunavyowazaa.waache wajeee.
Jamani nyimbo tamuu balaa mungu akuinue zaidi mtumishi wa mungu
Nabarikiwa sanaaaaaaa na huu wimbo. Asante sana Mungu wangu
Mina penda nyimbo zako sana , ufunuo mtamu sana
Amina barikiwa mtu Wa mungu ❤❤❤❤❤❤❤
Kabisa,uoga ni dhambi.Courage is the way to go
Kwa kweli kaka Emmanuel mungu akubariki na akuinue zaidi ya hapo,napenda sana kazi zako
Amen ameeniii muda wa kukaa utumwani umekwisha
Tulio urudia mara mbili mbili tujuane maana da hauishi utam Waache waje na siogopi
Sna mengi ila mungu Akupe Miaka mingi ya Kuishi Kaka angu
Ahsante sana mtumishi wa Mungu hakika Mungu anatupiigania
Barikiwa mno nyimbo nzuri sanaaaa
Mungu azid kukupigania Kaka nabarikiwa sana
Nyimbo za injili ni tamu sana god bless your life ukitaka amani ya moyo sikiliza nyimbo zainjili kaka umetisha sanaaaa! Mungu akubariki uendelee kutoa nyimbo nzuriii.God bless
Hawo wasichana nimapacha😅😅😅God bless🎉🎉
Hizi ndio nyimbo sasa hongera kaka
Ameeeeeeni ishi sana
Usichezee wana wa Mungu🎉
Mungu wa Majeshi ndiye Mungu wetu
Wimbo nzuriiii sana ❤❤❤❤❤❤❤❤
Huyu wimbo unanibariki Sana hongera mwanangu
Amina mungu akubaliki
Barikiwa sana mtumishiii Ili uzid kutubariki wengine
Usichezee wana Mungu
Wimbo mzuri sana kaka mungu akubaliki
Nzuri sana mungu akuzidishie
Yes brother mungu awe nawe
Nabarikiwa sana,GOD bless you 🙏🙏🙏🙏
Amina, wachezee wengine co Wana wa mungu
Napenda sana nyimbo zako kwa kwel
Halleluyah 🎉 may God increase you,am blessed to listen to your songs which are Biblical and uplifting.❤
Hongera sana kazi zur sana kuna
Ubalikiwe sana kaka
Waache waje Ameni kakangu Emma
Namwamini xana huyu jamaa nataka cku Moja nimwone Kwa macho
kitu Cha hatari sn hiki🙆 Kama kawaida yako Emma dah! acha Mungu akuinue tu! si kwa mashairi hayo! waache waje tu NO WAY!
Nyimbo nzur zina nguvu ya mungu
Kweli wachi waje Mungu yupo pamoja nasi
niishie kusema tu kwamba tunafunga mwaka na waache waje huu sio wimbo tu Bali niutukufu wamungu mwaka unaisha na waache waje
Aminaaaa
Nice song.Thank you brother Emanuel from Tz.God bless you.
Amina mbarikiwa Sana mtumishi ya baraka xana
Wimbo mzuri kaka
Amen,barikiwa kaka Emma,,Endelea
Amina mtumishi wangu tumebalikiwa sana 1:51
Mungu akubariki
Barikiwa mtumishi wimbo mzuri mno umenibariki
Safi sanaa
Mungu alkubariki. Sana katika utume wako
Hongera, mimi nimebarika na Wimborne huu
Mungu akuzidishie
Nabarikiwa nikiwa Karatu Arusha
Nabarikiwa Sana na wimbo huu Mungu akuinue Sana mtumishi@emmanuelmgogo
Amina Sana mugu akubariki
Asante sana mwana wa Mungu
Wacha waje
Ubarikiwe sana mtumishi
Good one keep going
Hach waje wakutan na Mungu
Be blessed more than this,,may he Lord GOD use ue as He wish
Ubarikiwe sana kwa huduma ya uimbaji
Ubarikiwe sana kaka
Anima,barikiwa sana mtumishi wa MUNGU
Amen ubarikiwe kaka mana nyimbo zako uwa zinanifarij🙏🙏🙏🇧🇮🇧🇮🇸🇦
Asante kwa wimbo mzur ubarikiwe
Wimbo mzuri sana nabarikiwa na nyimbo zako mtumishi wa Mungu hongera ubarikiwe sana
Hi
aminaaa ni moto ulaooo
Fireeeee,wimbo nzuri
Waache wajeeeeeeeee
Confuse them God🙏
Ongela jitaidi
Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu
Ameen
Nime barikiwa
Mungu akubaliki san
Emmanuel mgogo let them come and they should realise one god we have is a god of war
Mungu akutie nguvu
Wimbo ulio bora
Nyimbo zako Huwa zinanifungua sana
Keep i tr up man of God, a very blessing song. Nausikia huu wimbo mara si moja. My name is Jeconiah Ondieki