Hii ya leo mbovu mnashindwa kuja na watu wapya ,hao watu washawakariri ndo mana kayumba kasema kabisa wewe me nakujua,mkikosa ubunifu kipindi kinakosa mvuto... jamaa walipata confidence kwasababu wanawajua.
PROGRAM ZENU ZA UPUMBAVU NDIO MNAWAPA NAFASI WATEKAJI WA KWELI KUWATEKA WATU MAJUMBANI KWAO WATU WANACHUKULIWA NA KUTOLEWA KIDNEY KWA UPUMBAVU KAMA HUYO
Huyo mshkaji mwenye rąsi is a real G right there
Kayumba Kama huyo mshikaji ni mwanao basi anza kumuona ni ndugu yako from now on
mbona kayiumba kama anajua ni mchezo wa kuigiza plus wahusika wanajulikana sana
Ila uyo rasita nimemkubali San aiseee
Hii ya leo mbovu mnashindwa kuja na watu wapya ,hao watu washawakariri ndo mana kayumba kasema kabisa wewe me nakujua,mkikosa ubunifu kipindi kinakosa mvuto...
jamaa walipata confidence kwasababu wanawajua.
Rasta ni chawa kwelikweli
Wanaoimba mbona kama ni wanajifunza kuongea😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Muwe mnabadilisha hao maafande feki itakaa poa sana mana wasanii washawakariri🙏😬🙏🙏🙏
Biti yako motown sanya iko vizuri sana naikubali Sana hii biti
Ila hii mambo mbaya jamani Kuna sehemu watu wataumia kweli maana kama sisi wengine hatuchelewi unakuta zisha chomoka
Metisha naomba muendelehe kufundisha walimwengu meuwa sana ndugu
Kayumba alivyomuona huyo jamaa akamfahamu mngebadilisha mtu😂
Mtu akuambie ni polisi hata ukimjua lazima uwe na hofu......ndio maana Kayumba akawa hajiamini kwenye kuongelea kumjua jamaa.
😅😅😅kwani haowasaniii hawafatiliagi hivi vipindi au
Leo sanya kaingia choo kingne 😅😅
Dah Sanya unazambi sana huyo Jamaa anae imba mapozi analia anaimba
Rasta man✊✊✊
😂😂😂😂😂 hoi kwenye acha uongo na wanaoimba😂😂😂😂😂
Ongeza wana wasio julikana kayumba kamjuwa deleva😂😂
Mbona hamuna vitambulisho ata vya bandia
Inaitwa nyumba ya mwiz kaingia mwizi😂😂😂😂
Badilisheni uyo jamaa😅😅
Wameshapangwa hao ad kayumba hapo kapangwa ambao hawajui kinachendelea ni wachache sana hapo ,
Rasta man katisha sana, ivo ndo inavyo takiwa askar lazima ajitambulishe kwa kuonesha kitambulisho
TUTAFUTIE NYANDU TOZZY WA (B.O.B) 26life
Polisi kaenda kukamata mtuhumiwa kavua viatu,,,,daaaaahhhh😂😂😂😂😂😂
Big vibeeeee😅😅
Yani Wasafi mmekosa vipindi hadi mrushe ujinga huu
Umetumwa utazamee kumaa
Noma san
Sanya utakuja kuua watu😂😂😂😂
Gigy money mwende kwake
Mwanaume unatakiwa kuwa hivyo sio muoga muoga jamaa kakaza yan mwana kabisa angekuwa bwanangu kashaondoa bila kujua alipoelekea😂
Wasanii wote wanaigiza
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Ila kayumba mpole jmn
Kayumba kumbe muoga😅😅😅
Dah uyo jamaa rastar nilafiki wakwel uyo nimemkubal
Sema rasta noma😂😂
Ila wabongo, ni wanafki
Unaweza ukacheka ukaharibu script
Nakubali sana kaka
mmmmmh polisi wakenya hana huu mda hapo tayari ushakula makofi na ushatiwa bangili
Na Tanzanians wanaamini Kenya police ndio wako cool and humble 😂😂 kwa hizi nchi mbili kila upande unaona wenzao wana afadhali
@@BigZhumbehajuwi kitu polisi wa Tanzania hawafai😂
ni noma sanyaaa
Content ilianza kufelii kidogoo
Hao wasenge waje waingie angazetu tunafanya kwel sie
Gonga beat 😂😂😂😂😂😂😂😂
KAKA TENGENEZA KITAMBULISHO BANDIA KAKA NA UBADILI WATU WANAJULIKA SASA HAO KAMA UYOO MZEE NA UYOO JAMAAA WAPE SEHEMU NYINGN
Kisheria si ni kosa kutengeneza kitambulisho bandia?
kayumba katulia tu anacheka chekaaa hahahahahahah
Dogo nimempenda mismamo wao
Yaani rasta ni mtu nanusu
PROGRAM ZENU ZA UPUMBAVU NDIO MNAWAPA NAFASI WATEKAJI WA KWELI KUWATEKA WATU MAJUMBANI KWAO WATU WANACHUKULIWA NA KUTOLEWA KIDNEY KWA UPUMBAVU KAMA HUYO
😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂
Badilishen contend taar watu wanajua 😢😢😢
Yaan apo wangelog out content waliyoitumia apo,walakin wangetafuta namna nyingine ya kumchezeshea
Kitambuoisho Hana
hahahahahahahaha
𝑈𝑦𝑜 𝑟𝑎𝑠𝑡𝑎 𝑛𝑖 𝑚𝑗𝑒𝑠ℎ 𝑘𝑤𝑒𝑙𝑖 𝑙𝑎𝑧𝑚𝑎 𝑚𝑖𝑘𝑎𝑧𝑜 𝑘𝑎𝑚 𝑖𝑦𝑜