AHMED ALLY "MANULA WALIMPIGA NILIVYOONDOKA" | AAHIDI VITA YA KISASI KWA MKAPA | AKOSHWA NA HAMZA..

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 вер 2024
  • Hakikisha Umesubscribe Chaneli yetu ya #AyomaMedia kwa habari za uhakika
    Na pia tufuatilie Katika Mitandao ya Kijamii kama Instagram & Facebook na Twitter kama @Ayoma_tv

КОМЕНТАРІ • 36

  • @SuleimanMuhammed-g7q
    @SuleimanMuhammed-g7q 23 години тому +3

    Hili semaji kuna baadhi ya interview zake yupo serious anaangalia na interview yenyewe,big up

  • @kwayaviwawaparokiayabashne9281
    @kwayaviwawaparokiayabashne9281 День тому +3

    Poleni kwa Safari hongera Sana kwa TIMU yote

  • @beatricembunda6168
    @beatricembunda6168 День тому +3

    Mungu Mkubwa Asante Mungu mmefika salama

  • @FrujensEdward
    @FrujensEdward День тому +1

    Nakubali ❤❤

  • @sosomacharles9920
    @sosomacharles9920 День тому +3

    Mm ni Yanga ila hapa leo Ally Ahmed nimemuelewa sana leo, kweli kama jamaa watakuja kufunguka kwa kweli mechi itakuwa ngumu mno tena mno,ila kama watajilinda basi mechi wataifanya kuwa nyepesi.Kwa kweli wanasimba inabidi mzidishe maombi Ili hao jamaa waje kujirinda hapo mechi wataifanya kuwa nyepesi mno,ila kama watakuja kujiripua kwa kweli Simba mtakuwa na mechi ngumu mno tofauti na hapo kwa kweli yaweza kuwa ndo mwisho wenu.

    • @deniseliuter3002
      @deniseliuter3002 День тому

      Unaleta comment Za kiunazi,nazi Kati ya Tripoli na Simba Nani kacheza game ngumu Zaidi za hii michuano ukinijibu bhasi nitajua wewe ni mwanamichezo ama mnazi tuh

    • @ceedanstan6780
      @ceedanstan6780 10 хвилин тому

      ​@@deniseliuter3002mmm mmmmmh😢😢😢😢 jamani sisemi kitu acha ncheketu

  • @otmarykiowi4132
    @otmarykiowi4132 День тому +1

    Mashabiki wao wasiingie kwa Mkapa

  • @NaftalWilison
    @NaftalWilison День тому

    Mungu aitangurie Simba ishinde

  • @FarianmokamaluKamalu
    @FarianmokamaluKamalu День тому

    Polen sana askar wetu Simba nguvu moja

  • @RamaGaizo
    @RamaGaizo День тому +1

    Poleni kwaxafar

  • @JalediJoasi
    @JalediJoasi День тому

    Nimekubali

  • @MaryamJosephlumelez
    @MaryamJosephlumelez 15 годин тому +1

    ❤❤❤

  • @ramadhanichubi9139
    @ramadhanichubi9139 День тому +3

    Hayakuwa matokeo mazuri kwetu,sare ya magoli ni mbaya sana kwetu hapo ni ushindi tu.

    • @Damarry-FX
      @Damarry-FX День тому

      Kwani lengo ni are tena. Ni mechi ya lazima kushinda.

  • @daxmtiwandege5063
    @daxmtiwandege5063 День тому +1

    Simba nguvu moja

  • @evaristgamba4204
    @evaristgamba4204 День тому

    Semaj una balaa zito umetoka Libya tena umekaa siku 7 ❤

  • @YohanaJumanne-v3v
    @YohanaJumanne-v3v День тому +1

    Simba sasa uongozi na benchi la ufundi pamoja na wazee waendelee kushirikiana nguvu ya ziada wafanye ili ushindi upatikane kwa Mkapa vijana wanajituma ni kazi ya Viongozi kuimaliza mechi nje xx

  • @AminaMkumba-u3z
    @AminaMkumba-u3z День тому +1

    Yaan tunawasubiri Kwa ubwala sana

  • @ChristinaAloyce-pp6vj
    @ChristinaAloyce-pp6vj 20 годин тому

  • @SmilingBoombox-ih9fg
    @SmilingBoombox-ih9fg День тому +1

    Ubaya ubwela

  • @IsuchamasaligaIsuchamasali-k3l
    @IsuchamasaligaIsuchamasali-k3l День тому +1

    Isucha n masaliga

  • @jacobsadock3530
    @jacobsadock3530 День тому

    Ahmed Ally anajua sn kuongea na mbwembwe zakutosha

  • @aliceniyungeko2279
    @aliceniyungeko2279 День тому

    Tatizo mnatembelea jina simba mnasahau lifanywa na uwezo wa chezaji tizameni kama wanauwezo wa kutoboa

  • @jumanneally3303
    @jumanneally3303 21 годину тому

    naondoka na hii ya abdulrazack hamza ni kama shekhe yahya

  • @samadoushujaa7028
    @samadoushujaa7028 День тому +1

    Namuona passmilioni anacheeka maneno yaSemàji

  • @ZachariaMwita-bu7rw
    @ZachariaMwita-bu7rw День тому

    Semaji la caf😂

  • @errydeo8865
    @errydeo8865 День тому

    Mnataka wafungiwe😂😂😂😂😂? Tulieni ,wanakuja kuwakanda

  • @malietamaliet
    @malietamaliet День тому +1

    😂😂😂😂na mkipata goli Moja si mtaua mtu mkisherekea kwa sare Libya kulidamshi kwa wenyeji ila nyie ata sikuona ata kiongozi jukwaani kavaa jezi yenu ama na nyie mliambiwa mvae za ah ahly 😂😂 Bora ata Ethiopia wananchi walikuwepo zaidi ya 60

    • @AlcherausMalinzi
      @AlcherausMalinzi 18 годин тому

      Kwa hiyo Ethiopia ni sawa na Libya😂😂.

  • @sosomacharles9920
    @sosomacharles9920 День тому +2

    Swala la kufungua kesi hapo bora muachane nalo tu,kama Yanga alinyimwa gol halali na kila mmoja aliona lakini wapi.

    • @hamisimwandu5675
      @hamisimwandu5675 День тому

      Hapa hatuongelei yanga unaleta habari za yanga hapa

  • @MussakasandaMussakasanda
    @MussakasandaMussakasanda 12 годин тому

    VidiMate

  • @OttoMsovela-sk7bl
    @OttoMsovela-sk7bl 17 годин тому

    Mijitu ya Libya imemiambukiza mafua semaji letu