This is my best choir in Tanzania you have an amazing and golden voice I will visit this church when I come to Mwaza Kilimahewa good teamwork I wish you donate on side of the choir to our church please
Ameen...Ameeen.....Ameeen....Utukufu kwa Bwana.....Sifa kwa Mungu wetu wa mbinguni,aliyeweka vipaji na karama ndani yenu na kuwapatia njozi hii nzuri sana wana Kirumba. Huu wimbo nimeurudia zaidi ya mara 20 na bado naendelea kuutazama. Tangu season One...improvement ni kubwa sana. Mbarikiwe sana. Mziki mzuri,sauti tamu,video kali.....Mungu azidi kuwainua juu juu juu zaidi. Nasubiri kwa hamu nyimbo nyingine zaidi kutoka kwa season hii. I hope one day nitahudhuria live hapo kirumba. MUNGU AWABARIKI SANA,MIMI NA FAMILIA YANGU TUNAWAPENDA SANA.❤❤❤❤
Just started the sabbath with blessings from my favorite choir in Tz❤.. God bless Kirumba,,. I wishes to invite you to our church in Kenya 😊, buy I've no connection
Wow Hongereni sana Mmezitendea haki nyimbo hizi. Ushauri wangu mkiamua kuimba medley mjitahidi pia kutazama themes za nyimbo kama zinaendana.Kwa mtazamo wangu nyimbo hizi zina ujumbe tofauti japo zimefanana tu rythm
This is my best choir in Tanzania you have an amazing and golden voice I will visit this church when I come to Mwaza Kilimahewa good teamwork I wish you donate on side of the choir to our church please
Tunawambea baraka za Bwana ziendelee kuwalipa
,Kukumbusha kurudi kwenye uimbaji wa kiadventista💗💗
Wow. So heavenly. I'm Blessed. God bless
Bwana awaongoze daima katika uimbaji wenuu nabarikiwaaaaaaaaa sana wajoli
Kac kac kac mbarikiwe sanaaaaa tunawapenda na tuko pamoja nanyi barikiweni sana
Muririmba neza cyane muzaze ikigali mu rwanda
Bwana misso umetisha sanaaa
Ameen...Ameeen.....Ameeen....Utukufu kwa Bwana.....Sifa kwa Mungu wetu wa mbinguni,aliyeweka vipaji na karama ndani yenu na kuwapatia njozi hii nzuri sana wana Kirumba.
Huu wimbo nimeurudia zaidi ya mara 20 na bado naendelea kuutazama.
Tangu season One...improvement ni kubwa sana. Mbarikiwe sana.
Mziki mzuri,sauti tamu,video kali.....Mungu azidi kuwainua juu juu juu zaidi.
Nasubiri kwa hamu nyimbo nyingine zaidi kutoka kwa season hii.
I hope one day nitahudhuria live hapo kirumba.
MUNGU AWABARIKI SANA,MIMI NA FAMILIA YANGU TUNAWAPENDA SANA.❤❤❤❤
Amina na karibu kwa msimu wa nne tar 28.12.2024
Nimekombolewa na Yesu halafu tena aliyenikomboa ananipenda wow!!! Mbarikiwe sana Kirumba Adventist Choir (KAC)
Amina. Karibu msimu wa nne tar 28.12.2024
@@slyvestermayala7045 Asante sana, nitakaribia. InshaAllah 🙏
Wow how nice is
Amen 🔥
This is superb! Glory to God🙏
Bwana asifiwe Sana KAC. Haleluuuuuuuuuuuya aah. Jamani waooooooo.
Amen
Wawoooh
Amen, Amen hakika mimi ni mwana wake 🙏🙏🙏🙏
Hymns at its best❤❤❤
Najua taji imewekwa mbinguni tayari kwangu hakika ni furaha kukombolewa
Amen amen
Nimebarikiwa Sana
Amina na karibu kwa msimu wa nne tar 28.12.2024
Amen 🙏
Asante tume barikiwa na byimbo
I love you Kirumba. Your originality and energy is top notch. Praise God. ❤ Kenya
We love you too. Your welcome
Jina la Bwana litukuzwe kwa kazi mnayoifanya KAC.
Amen
Powerful voices with rich messages. May God add you energy to do More. You are smart and amazing choir. Be blessed. CHERUIYOT MSA Kenya.
Amen
Amen Amen Amazing and happy Sabbath
Amen. Happy day
Kumekuchaaaaaaaa
This is why we are the followers of our Lord and Savior.✅
Amina be blessed kirumba
Ameeen mpo vizur ❤❤
Amen Amen❤❤
Kumekucha!
Hivi ni fomu ya Kwaya ya Kanisa langu ndo inaelekeza Kwa Mwiambaji wa kiume kuvaa mkanda
MBARIKIWE KIRUMBA HAKIKA MNANIBARIKI NA NYIMBO ZA KIKRISTO
Amina
Wonderful performance
Amen
Just started the sabbath with blessings from my favorite choir in Tz❤.. God bless Kirumba,,. I wishes to invite you to our church in Kenya 😊, buy I've no connection
Which church i give you connections
Wow Hongereni sana
Mmezitendea haki nyimbo hizi.
Ushauri wangu mkiamua kuimba medley mjitahidi pia kutazama themes za nyimbo kama zinaendana.Kwa mtazamo wangu nyimbo hizi zina ujumbe tofauti japo zimefanana tu rythm
Asante, tumepokea kwa unyenyekevu mkubwa.
So amazing... God bless KAC in Jesus name...... ❤
Amen. We welcome you for season 4 at 28.12.2024
Haleluya, Bwana atukuzwe.
Mmetenda haki kwa nyimbo hizo
Amina na karibu kwa msimu wa nne tar 28.12.2024
From Tiktok am here❤❤❤a very nice song, Nimekombolewa na damu, Bwana awabariki
Muziki wa nyumbani huu...KAC mbarikiwe sanaaa
Amina, tubalikiwe sote
Hongreni mnaimba vizuri sana tena mnoo 🎉🎉🎉❤❤
KAC waoooh
God bless you all Kirumba choir
Mungu wa Mbinguni Awabariki kwa Uimbaji huu mzuri
Amina sifa na utukufu zimrudie Mungu❤
Waooh Mwenyezi Mungu awabariki kwa huduma nzuri ❤❤
Amina na karibu kwa msimu wa nne tar 28.12.2024
Tunawasubir kwa hamu kubwaaaa... Sana
Amina. Tunakaribia
Utukufu, sifa kwa Bwana wa Majeshi
Amen
❤❤❤❤woooow
Blessings KAC
Sifa zimrudie mwenyezi Mungu.
Amen
Amen,Mungu azidi kuinuliwa kwa nyimbo zetu ili injili isonge mbele ulimwenguni kote.
Mungu azidi kuwatumia vyema
Amen
asante kwa kazi.mungu awabariki
Amina
Aminaaaa!! Happy Sabbath wapendwa
Blessings.
Amina na karibu kwa msimu wa nne tar 28.12.2024
@@slyvestermayala7045 Asante
Amina sauti tamu hizi
🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩From DRC, we loves you
Redeemed Redeemed by the blood of the lamb...
Blessings and powerful
😊 🙏 🙏 🙏
Hakika,nimekombolewa na Yesu.
KAC mmetishaaaaaa
🔥🔥🔥
Kitu fire sana hiki Mungu awabaki sn
Amen
Amen
AMINAAAA
Amina na karibu kwa msimu wa nne tar 28.12.2024
Safiiiii
Mubarikiwe
I❤❤❤ KAC
I think this song is better
Mungu atukuzwe
Amina ubarikiwe mtu wa Mungu
Jina la Bwana na litukuzwe!!!....
Hii imeenda.
Bwana awabariki KAC ❤❤❤
Mungu awabariki sn KAC kwa nyimbo taamu
its so wonderful song be blessed from Dodoma Tz
Nmebarikiwa sanaa naamini na wengine wamebarikiwa pia
Hakika Yesu anipendaaaa
hatimae sasa
Mungu azidi kuwainua KAC 🙏
So nice and attractive God bless you
Katika season III ya uimbaji mtu wa picha ametengeneza kitu quality 4K kabisa barikiweni kwaya kirumba
Kawaida sana
Stay positive
Hallow kaka mkubwa hapo umeimbaje😅😅😅I like it
Hallelujah hallelujah
Kama Duniani ni hivi Mbinguni je? KAC jina la Bwana litukuzwe.
Mko vizuri Bwana awabariki sana
Wow!just wow🙌🙌🙌
Mbarikiwe na BWANA
Huu wimbo hauchoshi kuusikiliza
Mungu atukuzwe sana..
Aminaaa
Amina Amina.
Mbarikiwe sana.
Bwana Asifiwe🎉🎉
Be blessed more
Mungu awabiriki sn
Wow so good
Nabarikiwa sana
Kazi nzuri sn
🔥🔥💯❤️💙💙💙
Amina ❤
Khaaa mmejua kututesa, tumekaa tunasubir hadi taa zikaanza kuzima ni vile tu tulikuwa na mafuta ya akiba😂
😂😂😂Ata me nilisubili san hii kitu lakini Mungu ni mwema tumebarikiwa
ua-cam.com/video/Kc8tSo99ktU/v-deo.htmlsi=vwlYpb9unm7XcnvS. Ni Hakika kabsa
Amen 🙏
Amen amen