Si kweli hilo usemalo. Wanajeshi wetu ni weledi, wajuzi na wenye busara zaidi kuliko hata majeshi mengine yoyote yale unayoyafahamu wewe. (JWTz) ni Jeshi imara sana lakini lenye heshima kubwa na linaloheshimika ulimwenguni kote. Na likiwa na rasilimali za kutosha kukulinda wewe kama Mtanzania na Watanzania Wote, na Mipaka yote ya nchi yetu mama TANZANIA. Na ni Jeshi lenye kufuata KATIBA na SHERIA, Wako Timamu ni Weledi, Wajuzi Waliyoelimika, Waadilifu, na ni wenye Nidhamu ya hali ya juu zaidi kuliko hata wewe unavyodhani. Na ndiyo maana Babu wa babu zako. Bibi wa bibi zako. Baba yako na Mama yako na hadi kuzaliwa kwako Wewe na Ndugu zako. Na hata Rafiki zako. Nyinyi nyote mnaifurahia nchi yenu ikiwa huru na umoja, ni tulivu na amani chini ya ulinzi imara wa Majeshi yenu, iliyopelekea hadi hivi sasa kwako wewe na hata kwa wengine mko huru kuandika na kutoa maoni yenu kama mfano wa hayo. Umeyaweza hayo yote kuyafanya ni kutokana na uhuru, amani, umoja na utulivu kutokana na ulinzi imara kutoka kwa Vikosi Mbali Mbali kwa Mipaka yote inayoizunguka nchi yako Tanzania. Hiyo ni kwa tunu na neema alizoibariki Mwenyenzi Mungu juu ya nchi yako Tanzania, na hadi wewe ukazikuta ukiwa kama Mtanzania. Na kama ungekuwa wewe ni muadilifu, basi ungezidi kuiombea mengi mema nchi yako Tanzania. (Mungu Ibariki Afrika, Mungu Ibariki Jumuia yetu ya Afrika Mashariki, Mungu Ibariki Tanzania na Watu Wake).
@@rumdeesonsoa1811 utawala wake umekua ukiendeshwa na sera za magharibi ikiwa pamoja na kuongeza mvutano na ndugu zao wa Maskani,kifup huyu ni kibaraka wa West
Ila nyie angalia nchi zinazo thamini raia naomba hii itoe somo kwa mama samia huyu mwanamke akitutibua, ndo atajua kuwa kuna vijana hapa tz wana ushawishi zaidi ya vyama vya siasa, sio mbali mwakani tu ni jambo la kuvumilia
@HABIBUJUMAALI kitendo kilicho fanywa na raia wa kikorea kimevunja amani?unafikiri sudan &somalia syria hawakuwa na amani au unafikiri hawana majeshi ila muda ukifika umefika, time will tell☝
Ukimsakama Putin tu hiki ndicho hutokea muda mfupi baadaye, Korea kusini imekuwa ikijitia kimbele mbele juu ya vita vya Ukraine na uingiaji wa majeshi ya Korea kasikazini, kwamba inalalamika sana, sasa yamefika kwao kabla ya wakati wake.
Kwani umbembiwa wanapigana?kwenye inchi za democrasia mivutano ya hoja ni kawaida kaweka hojo watu wemeweka hoja inchi inasonga sio mnaambiwa kauli ya rais ni sheria hakuna kitu kama hicho!
@lusajomwaipopo5042 Pole sana dogo, sijui unaumia ukiwa wapi? Sikuwa nazungumzia democrasia unayoiamini ww, nilikusudia yoyote anayemfuat fuata Putin kinyume naye hachukui round anaondolewa kwenye nafasi yake. Ndicho kilichotokea Korea kusini. Una swali jingine?
@@hamisisalum6116 mbona wako wengi wako kinyume naye na bado wako madarakan?tena karibun inchi zote za west europ na baadhi ya mataifa ya Asia contnental
@@lusajomwaipopo5042 Hapana, nadhani wanatofautiana viwango vya kumsakama Putin, mataifa kadhaa Ulaya wanapumulia gesi. Kiujumla kumshutumu kiholela Putin ni kujipalia makaa, na hilo hutokea automatic.
@peteremmanuelymatwimatwiem3258 ushoga ni tabia ya mtu binafsi...na pia ni dhambi mbele za Mungu... ushoga ulikwepo tokea zamani hata kabla ya taifa la Marekani kuwepo...unawaita mbwa wakati unatumia platform zao hata hii UA-cam ni yao
@@omondiowino7875kugongewa mbali sana,akipiga tu chafya lazima wampinge maana US na Israel ni mme wataifa ya kiarabu na kiislamu ko lazima wakasilike akilala na bi mdogo Palestina bi mkubwa Iran lazima amind maana show za US na Israel sio za kitoto 😂
🤣🤣🤣wabongo tujifunze na sisi kupigania haki zetu angalia wenzetu walivyoandamana mpaka haki Yao imepatikana Sisi tumekalia uoga tuu Kama kondoo wa kuchinjwa
Ungejua thamani ya amani ni zaidi ya hizo haki unazolilia...hebu vuta picha mama ako anafumuliwa ubongo na kombora unamuona, makazi huna, milio unayosikia ni ya vilipuzi, risasi na mabomu, kula shida, maji shida, umevunjika miguu msaada huna...Waachen wale aman ni muhimu kama hujawah kuishi ukimbizin usiombe
Ndo alichokuwa anakitaka
Ruto must go
Imefika hdi hapa 😂😂
Leave Ruto alone,, Ruto is the best president ever
Hii nayo imesababishwa na Ruto sio
😂😂kasongo tenah
Hapo wangekuwa maaskar wetu jana wangeua watu wengi sana hongera sana wanajeshi wa southi korea!
Si kweli hilo usemalo.
Wanajeshi wetu ni weledi, wajuzi na wenye busara zaidi kuliko hata majeshi mengine yoyote yale unayoyafahamu wewe.
(JWTz) ni Jeshi imara sana lakini lenye heshima kubwa na linaloheshimika ulimwenguni kote. Na likiwa na rasilimali za kutosha kukulinda wewe kama Mtanzania na Watanzania Wote, na Mipaka yote ya nchi yetu mama TANZANIA.
Na ni Jeshi lenye kufuata KATIBA na SHERIA, Wako Timamu ni Weledi, Wajuzi Waliyoelimika, Waadilifu, na ni wenye Nidhamu ya hali ya juu zaidi kuliko hata wewe unavyodhani.
Na ndiyo maana Babu wa babu zako. Bibi wa bibi zako. Baba yako na Mama yako na hadi kuzaliwa kwako Wewe na Ndugu zako. Na hata Rafiki zako.
Nyinyi nyote mnaifurahia nchi yenu ikiwa huru na umoja, ni tulivu na amani chini ya ulinzi imara wa Majeshi yenu, iliyopelekea hadi hivi sasa kwako wewe na hata kwa wengine mko huru kuandika na kutoa maoni yenu kama mfano wa hayo.
Umeyaweza hayo yote kuyafanya ni kutokana na uhuru, amani, umoja na utulivu kutokana na ulinzi imara kutoka kwa Vikosi Mbali Mbali kwa Mipaka yote inayoizunguka nchi yako Tanzania.
Hiyo ni kwa tunu na neema alizoibariki Mwenyenzi Mungu juu ya nchi yako Tanzania, na hadi wewe ukazikuta ukiwa kama Mtanzania.
Na kama ungekuwa wewe ni muadilifu, basi ungezidi kuiombea mengi mema nchi yako Tanzania.
(Mungu Ibariki Afrika,
Mungu Ibariki Jumuia yetu ya Afrika Mashariki,
Mungu Ibariki Tanzania na Watu Wake).
Magharibi wanamponza huyu
Hajafanya wanachotaka
Wao ndio walimwambia atangaze martial law?
@@rumdeesonsoa1811 utawala wake umekua ukiendeshwa na sera za magharibi ikiwa pamoja na kuongeza mvutano na ndugu zao wa Maskani,kifup huyu ni kibaraka wa West
@@rumdeesonsoa1811😂😂😂niki baraka mbwa huyu
Wenzetu wanafata sheria ,uku kwetu mijitu mijizi na awajiuzuru
😂😂😂
Iko siku haina jina wala saa maana wanachokipanda watakivuna maana inaweza kuja kuwa hali mbaya zaidi maana hili fukuto liko siku litalipuka
Mpaka mjielewe mwanzo muijue katiba yenu vizuri
Tulia wee wee Hadi Leo kwenu u maji ya dawaskaa mnagawana
Watu wengine wanapenda kuwasumbua raia wao kweli
Pia hana msimamo
Ameshauriwa ndo maana amewasikiliza washauri wake
ivi kwanini wasikubali kama tunavyo kubali sisiuku kwenye uchaguzi atalikiwekwa jiwe linapta tu
Kajichanganya emekipatq
Ameyatimba
Boya huyu kibaraka wa NATO😂 Daima Pyongyang# Moscow❤
Kuna nchi Zina wabunge na wabunge ni kama hizo Africa Mashariki tunafeli wapi??
Kama movie ivi😂😂😂
Kayataka
Kipind cha Kampeni wanakuja km Malaika....
Wameshamuina. Atakuja kuharibu mipango huy, wanataka kutoka wamemchoka wale jamaa hawana rafiki wakudumu
😂😂😂 me naona vioja tu
Ila nyie angalia nchi zinazo thamini raia naomba hii itoe somo kwa mama samia huyu mwanamke akitutibua, ndo atajua kuwa kuna vijana hapa tz wana ushawishi zaidi ya vyama vya siasa, sio mbali mwakani tu ni jambo la kuvumilia
Dear kua makini
Oyo! Midomo yako iyo,kuwa makini nayo au kama huiwezi nyamaza wacha luga za uvunjivu wa amani mara moja.
Mtaogopa mpaka lini ,wapumbavu@@mylasadick5189
@HABIBUJUMAALI kitendo kilicho fanywa na raia wa kikorea kimevunja amani?unafikiri sudan &somalia syria hawakuwa na amani au unafikiri hawana majeshi ila muda ukifika umefika, time will tell☝
Sema mwanangu wewe si uwa unasapoti udicteta au
Ukimsakama Putin tu hiki ndicho hutokea muda mfupi baadaye, Korea kusini imekuwa ikijitia kimbele mbele juu ya vita vya Ukraine na uingiaji wa majeshi ya Korea kasikazini, kwamba inalalamika sana, sasa yamefika kwao kabla ya wakati wake.
Kwani umbembiwa wanapigana?kwenye inchi za democrasia mivutano ya hoja ni kawaida kaweka hojo watu wemeweka hoja inchi inasonga sio mnaambiwa kauli ya rais ni sheria hakuna kitu kama hicho!
@lusajomwaipopo5042
Pole sana dogo, sijui unaumia ukiwa wapi?
Sikuwa nazungumzia democrasia unayoiamini ww, nilikusudia yoyote anayemfuat fuata Putin kinyume naye hachukui round anaondolewa kwenye nafasi yake. Ndicho kilichotokea Korea kusini.
Una swali jingine?
@@hamisisalum6116 mbona wako wengi wako kinyume naye na bado wako madarakan?tena karibun inchi zote za west europ na baadhi ya mataifa ya Asia contnental
@@lusajomwaipopo5042
Hapana, nadhani wanatofautiana viwango vya kumsakama Putin, mataifa kadhaa Ulaya wanapumulia gesi. Kiujumla kumshutumu kiholela Putin ni kujipalia makaa, na hilo hutokea automatic.
@@hamisisalum6116wewe unaonekana mpumbavu tu na mfata mkumbo
Huyo rais alitaka nchi yake itumike kwa maslahi ya nchi za magharibi kwa kutaka kuonyesha makucha yake noth korea kama ilivyokuwa Ukraine $Russia
Kitamramba 🤣🤣🤣😂😂
Kuna watu humu ndani hata wakigongewa wake zao bado watailaumu magharibi...😂
Magharibi ni mbwa waeneza ushoga vita wizi zuruma wew mkenya hujitambui
@peteremmanuelymatwimatwiem3258 ushoga ni tabia ya mtu binafsi...na pia ni dhambi mbele za Mungu... ushoga ulikwepo tokea zamani hata kabla ya taifa la Marekani kuwepo...unawaita mbwa wakati unatumia platform zao hata hii UA-cam ni yao
@@omondiowino7875kugongewa mbali sana,akipiga tu chafya lazima wampinge maana US na Israel ni mme wataifa ya kiarabu na kiislamu ko lazima wakasilike akilala na bi mdogo Palestina bi mkubwa Iran lazima amind maana show za US na Israel sio za kitoto 😂
Km Wamaghrib wanavoilaumu Urusi Kwa kila Jambo na kwasas Iran imeongezeka pale
@salehkhalfan7345 Iran imeongeza nini wakati mpaka leo wameshindwa kujibu pigo la Israel kazi ni kupiga kelele kila mara..
Apimwe mkojo 😂😂
Kwetu huku hakuna majeshi na nyie,huku vipo vikundi vya kuisaidia ccm kubaki madarakani
Wamepagaw mashoga wanagombana wenyew kisa Kim jong un
Sasa ushoga unatoka wapi,au Ndo kazi ya babaako kuvaa shanga na kupakatwa
Wenzetu wanakuja kuiwajibisha serekali kwa kila namna
🤣🤣🤣wabongo tujifunze na sisi kupigania haki zetu angalia wenzetu walivyoandamana mpaka haki Yao imepatikana
Sisi tumekalia uoga tuu Kama kondoo wa kuchinjwa
Nyie huku mkiandamana mnauawa. Na wala hamna uwezo wa kumfungulia mashtaka rais
Sasa unasubiri nini kuandamana
Una andaman umuweke nan kun wakat inabdi ufkilie je unaetka kumweka madarkn n mtu sahh mzalendo au ndo tutoe nafuu tweke afdhali
Ungejua thamani ya amani ni zaidi ya hizo haki unazolilia...hebu vuta picha mama ako anafumuliwa ubongo na kombora unamuona, makazi huna, milio unayosikia ni ya vilipuzi, risasi na mabomu, kula shida, maji shida, umevunjika miguu msaada huna...Waachen wale aman ni muhimu kama hujawah kuishi ukimbizin usiombe
@@jumashedafaduh umeongea bila kuegamia upande