Old Flames and New Conflicts:🔥❤️‍🩹Dady DAUGHTER Innocence//Baba Olivia Episode 12

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 936

  • @henrymwakajumba
    @henrymwakajumba  2 місяці тому +60

    Tokana na maombi ya wengi bei ya episodes zinazo endelea zimepunguzwa bei, ingia hapa www.pendwa.app

    • @EmmanuelMeji
      @EmmanuelMeji 2 місяці тому

      vip

    • @KasamPaida
      @KasamPaida 2 місяці тому +2

      Hatuji

    • @KasamPaida
      @KasamPaida 2 місяці тому +1

      Weka mzigo youtube hukuuuuuu😂😂😂

    • @Mistakezcmofficial
      @Mistakezcmofficial 2 місяці тому +1

      É complicado acessar no VIP. Vale apena postarem no canal do UA-cam.

    • @katore1982
      @katore1982 2 місяці тому +2

      Kama nikweli alivyoongea bwana Henry mwakajumba kwamba washiriki wote kasoro Gabo hawajaashiriki kwenye tamthilia yoyote hii ni mara yao ya kwanza basi wanajitahidi sana Tena zaidi wote Kwa ujumla hata wale wazungu watoto pia.. full support from Mombasa Kenya 🇰🇪

  • @donatussimon3712
    @donatussimon3712 2 місяці тому +153

    Tulioisubiri kwa hamu hii Ep ya 12 wote like hapaa.....♥️👉

  • @ramadhanathuman990
    @ramadhanathuman990 2 місяці тому +29

    Haya mnaosema Mwalimu Janeth siyo kufundisha tu hata Mahaba anayajua, gonga like hapa 😅👏🏼

  • @alhimnamussasaid3619
    @alhimnamussasaid3619 2 місяці тому +69

    Jamani MUNGU ameumba nyie huyu mwalimu ni mzuri sana ❤❤❤🎉🎉🎉

  • @Cynthia-nw8kg
    @Cynthia-nw8kg Місяць тому +3

    Yan baba olivia na mwalim mtatuuwa kwapresha jaman penzi lenu lakihindi❤

  • @ommymehmed8880
    @ommymehmed8880 2 місяці тому +76

    Tuliorudia rudia hii tamthilia tena kwenye vipande vipande vya toacher janet na baba olivia tujuane hapa kwa kuweka like

    • @GainoGabone
      @GainoGabone 2 місяці тому +3

      Ila mwalimu janeth abadilishepo nguo

    • @seiftz3864
      @seiftz3864 2 місяці тому

      😂😂😂😂

    • @SuzanaJackson-p3v
      @SuzanaJackson-p3v Місяць тому

      Nyìe watu ni wahuni mmenishinda tabia 😂😂

  • @riadi17decor
    @riadi17decor 2 місяці тому +36

    Mlichokuwa mnakitaka kimefanikiwa baba olivia ft madam Janet

  • @godfreysammy1716
    @godfreysammy1716 2 місяці тому +142

    Huyu ndo Kanumba Aliyebaki Kwenye Uigizaji wanamuita GABO
    Nione like kama Mnaungana na mim🫡

    • @salmabasil385
      @salmabasil385 2 місяці тому +5

      Na yule luka kuna namna juakali wanapunguza daraja yake ila jamaa ni bonge la msanii na huyu mwalimu wa olivia anaendana na mimi mars alifaa awe maria wa jua kali anahaiba ya upole

    • @LugyPlan
      @LugyPlan 2 місяці тому +2

      Huwez kumfananisha gabo na kanumba kwasababu kanumba alikua kanumba na gabo atabaki kua gabo tu

    • @LugyPlan
      @LugyPlan 2 місяці тому +3

      Nafasi aliyokua nayo kanumba ilikua kubwa sana kwenye tasnia na nafasi aliyonayo gabo kwenye tasnia Toka kipindi anafahamika imezid kua kubwa kila kukicha

    • @frankjohnson8420
      @frankjohnson8420 2 місяці тому +2

      Tatizo hatumii mifumo yake the great

    • @godfreysammy1716
      @godfreysammy1716 2 місяці тому

      @@salmabasil385 ✅

  • @molyrics1213
    @molyrics1213 2 місяці тому +51

    Wangp tunataman kujuaa kilichotokea Kati ya baba Olivia na mama Olivia ilkuajeeeee... Gonga like twende sawa

    • @MaryTesha-le2ql
      @MaryTesha-le2ql 2 місяці тому

      Mimi hyu kwanza ata simfahamu hyo mama olivia

    • @RizikiZiki
      @RizikiZiki 2 місяці тому

      Ata mi natamani sana kujuwa ujuwe😂

    • @abdulhamidmaftah
      @abdulhamidmaftah 2 місяці тому

      Pamoja

    • @LahabuFrances
      @LahabuFrances 2 місяці тому

      Nataman kumjua mam olivia

    • @EvaDory
      @EvaDory 2 місяці тому +1

      Na naisi mama Olivia ni huyo Catarina.

  • @jamesmulambya5859
    @jamesmulambya5859 2 місяці тому +9

    She knows how to calm down when someone is angry i really love it

  • @MrJuma-in5io
    @MrJuma-in5io 2 місяці тому +5

    Mashallah Mwalimu mzuri sana kwa kweli, Mungu amuhifadhi.
    Na kwa kweli yuko vizur zaid ktk izo igizo >>> romantic acts/scenes. Anazitendea haki kwa kweli✍️

  • @omarisupah1991
    @omarisupah1991 2 місяці тому +17

    Hatar sana, hatimaye jambo La Baba Olivia na Mwalimu limekamilika

  • @vedanismtv1892
    @vedanismtv1892 2 місяці тому +13

    ambao hatukosi tamthiliya sababu ya yule mwalimu mzurii tujuane😂😂😂, sema mwalimu ni kisu jamani

  • @PrettygirlPretty-ck9dj
    @PrettygirlPretty-ck9dj 2 місяці тому +7

    Jaman nawapenda sana,tusaidieni angalau kwa wk mnatuma mara mbili

  • @YoungblackPeople-qf7vx
    @YoungblackPeople-qf7vx 2 місяці тому +44

    Kama una Amini kuwa #GoD is #GOOD like 👍 god aku bless ewe unaye soma hii #COMMENT 🙏🙏

  • @MuhammedRashid-rq5tz
    @MuhammedRashid-rq5tz 2 місяці тому +27

    Baba olivia ijumaa hadi ijumaaa mbali angalau tupeni vipande viwili kwa week

    • @henrymwakajumba
      @henrymwakajumba  2 місяці тому +2

      Nenda kwenye website utapata zote www.pendwa.app

    • @basilsimon676
      @basilsimon676 2 місяці тому +1

      Acha wehu omba vitano yani 5

  • @FridaManga-i8q
    @FridaManga-i8q 2 місяці тому +10

    Nafurahishwa sana na Mama Tina, yaani familia yao inanikosha...nikitazama nayaona maisha ENZI za Uhai wa Wazazi wangu, Mungu awarehemu

  • @HopefulMicrophone-ud6rx
    @HopefulMicrophone-ud6rx 2 місяці тому +31

    Hatimaye Gabo kakanyaga utelezi Leo.. director upewe maua yako 🫡🫡🫡

    • @m.mmarckus6298
      @m.mmarckus6298 2 місяці тому

      Nakumbe mama Olivia yupo jamn?wampeleke kwamama yake Gabo kunann nyuma ya pazia😂

    • @ElizabethElias-hi5ts
      @ElizabethElias-hi5ts 2 місяці тому

      🤣🤣🤣🤣

    • @abcosecomartialarts4321
      @abcosecomartialarts4321 2 місяці тому

      😂😂😂😂

    • @MusaNgao
      @MusaNgao 2 місяці тому

      "Sasa wewe ungekuwa na tabia nzuri kila mtoto angekuwa na baba yake?!" Hili ni tusi lililofumbwa🤭 asante Mungu kwa D mbili.

    • @basilsimon676
      @basilsimon676 2 місяці тому

      Utelezi gani apo elezea kidogo

  • @maryasanga4680
    @maryasanga4680 2 місяці тому +9

    Nimeipenda hii movie...jitahidi kwa wiki uwe unarusha mara mbili jamani

  • @EdgarZawadi-dz4fn
    @EdgarZawadi-dz4fn 2 місяці тому +5

    Best movie in Africa indeed🎉🎉🎉🎉😊

  • @nadhirikilangi-fh6gx
    @nadhirikilangi-fh6gx 2 місяці тому +3

    Sijui kama utaweza kuwa na kitu bora zaidi ya hii baba Olivia,Mungu ndiye anajua Lakini I enjoyed and enjoying baba Olivia

  • @NishaMussa-os4np
    @NishaMussa-os4np 2 місяці тому +28

    Bado tunabaki kwenyeombi moja tunaomba mtutolee episode mbri Kwa wiki Jamani tafadhari sana ety 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

    • @Heisfeisalmwema
      @Heisfeisalmwema 2 місяці тому +2

      Naam hakika pia kila fans wa hii tamthilia hakikisha unatoa maoni yako pia like za kutosha co ombi ni amri

    • @chrissvany9190
      @chrissvany9190 2 місяці тому +1

      Umenena kabisa kiukwel maumivu ayo......

    • @MariamuMahir
      @MariamuMahir 2 місяці тому +2

      Vumilia Bado kidogo iishe😅

    • @henrymwakajumba
      @henrymwakajumba  2 місяці тому +4

      Nenda hapa kuangalia zote, www.pendwa.app ni njia ya ku support pia!

    • @MwanatumuJumaa-rj4fg
      @MwanatumuJumaa-rj4fg 2 місяці тому +4

      ​@henriymwakajumba ina maelezo mengi hadi hatufiki hasa sisi tunaotumia simu za android.mtihani sana

  • @zurfapahenge8802
    @zurfapahenge8802 2 місяці тому +6

    This movie l pray to be bless all those people who watch and walio tunga hongera sana❤❤😊

  • @OmarChano
    @OmarChano 2 місяці тому +7

    Wangapi wanaitagi kwa week tuone angalau episode 2 weka like Hapa tukisonga❤️❤️❤️❤️❤️

  • @HadijaKaria-u7t
    @HadijaKaria-u7t 2 місяці тому +3

    Hii movie nimeipenda sanaa gabo anajua

  • @MwanamisiMuna
    @MwanamisiMuna 2 місяці тому +5

    Wallah movie tamu zaid y asali n nmependa alivyo Olivia,,halafu jiran nae amezidi

  • @EsheRama
    @EsheRama 2 місяці тому +17

    Da nilitamani sana teacher kuwa na mahusiano na baba olivia

  • @OmanMuscut-ju3xp
    @OmanMuscut-ju3xp 2 місяці тому +8

    Hii movie jamani tunavyoisubilia tunavyoisaka utafikili shilika lamisada🙌🙌🙌😊

  • @ZambweYandu
    @ZambweYandu 2 місяці тому +6

    Wooow Teacher Na Mke Wa Luca Wazuri Wote Wanamacho Yakipekee Macho Yao Wote Yanauzuri Wa Aina Yake Hongera Kwa Kuwachagua
    Pia Kazi Safi Mno Mkumfanya Olivia Awe Mtoto Wa Gabo Mionekano Yao imefaana Sana Kuwa Baba Na Bintiye Good Work Team🔥🔥🔥🔥💪🏿💪🏿💪🏿
    Mpo Vizuri Sana Huwa Sipost Wala Kulike Chochote Mtandaoni Ila Kwanamna Kazi Yenu Ilivyo Bora Mpaka Naikiuka Miiko Yangu Nashindwa Kujizuia Aisee Amazing MWENYEZI MUNGU awajaalie Subscribe Hao 100k muwahitajio Nazaidi

    • @henrymwakajumba
      @henrymwakajumba  2 місяці тому +1

      Asante sana, shukran kwa kufuatilia kazi!🙏🏾

    • @ZambweYandu
      @ZambweYandu 2 місяці тому

      @@henrymwakajumba Tuko Pamoja Ndugu🙏🏼🙏🏼

  • @leonnyntandu4324
    @leonnyntandu4324 2 місяці тому +18

    Tunasubiri kumjua mama Olivia sasa na kwann mwamba aliacha chuo nini kilitokea na kwann hataki kuskia habari za bibi yake Olivia mwalimu janet ashauteka moyo wa mwamba,Olivia mabarua yatamponza mambo ni mengi mda ni mchache😂😂😂😂🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @Bonykarupat
    @Bonykarupat 2 місяці тому +6

    Baba olivia leo akaiyonja lollipop yake mwalimu salala maajabu haya penzi limenoka mno🎉🎉🎉🎉❤

  • @snaremrko1933
    @snaremrko1933 2 місяці тому +6

    ijumaa hadi ijumaa daaah... sio kweli jamani läteni hata episod 2 to kwa kila wiki....

  • @DavidMrema-h7t
    @DavidMrema-h7t 2 місяці тому +6

    Sema athur ungekaza kidogo banaa mtot ahangaike kdg sa umepelekwa jikon kidogo tuu umelegezaa… sema umetisha sana brother😅

  • @virusunityonline5786
    @virusunityonline5786 2 місяці тому +217

    Sihitaji like ya mtu hapa kwangu jeshi la mtu mmoja

  • @NizigiyimanaEmmanuel-c7f
    @NizigiyimanaEmmanuel-c7f 2 місяці тому +18

    Iyi movie nitamu sana sitamani iishe ata congratulation salim gabo unaga kazi mbovu❤❤

  • @Mustafa-fc3rv
    @Mustafa-fc3rv 2 місяці тому +6

    Kwahyo Mzee baba ashakojolea pazur

  • @MrImma
    @MrImma 2 місяці тому +2

    Jamani hii movie kweli ni kali sana I like this na pongezi kwa baba olivia ❤❤

  • @leonnyntandu4324
    @leonnyntandu4324 2 місяці тому +6

    Dah movie nzuri sana mpaka naona ijumaa mbali aiseee🎉🎉🎉🎉🎉💐💐💐💐💐🤝🤝🤝🤝🤝

  • @KidoStar-br4fu
    @KidoStar-br4fu 2 місяці тому +8

    jamani mtoe ata mbili kwa week jaman tunaisubiri kila ijumaa😊

  • @YoungblackPeople-qf7vx
    @YoungblackPeople-qf7vx 2 місяці тому +3

    Chanel ina kimbiza sanaaaaa 100k ipo kalibuuuuuuuuuuuu woyoooooooooo woyoooooooooooo🎉🎉🎉🎉

    • @henrymwakajumba
      @henrymwakajumba  2 місяці тому +1

      ❤️ tuna omba watu wazidi kusubsribe! 🙏🏾

  • @danfordmwangesile9043
    @danfordmwangesile9043 2 місяці тому +9

    Dah tuwekeeni japo kwa wiki mara mbili. MNYAKYUSA TOKA ZANZIBAR

  • @naomimaanya1983
    @naomimaanya1983 2 місяці тому +9

    Mama tina love you

  • @didedadon7936
    @didedadon7936 2 місяці тому +5

    Madam na Olivia they doing good🙌👍

  • @Modoboys
    @Modoboys 2 місяці тому +14

    oya kama unaipenda hii muvi gonga like

  • @AlanwizBoyg
    @AlanwizBoyg 2 місяці тому +6

    Mr arthur nakubali vile unajitambua na jinsi unatambua mwalimu janet pia mimi niko napitia hiy changamoto kama yako lakini kupitia iy tamsilia yenu nitajifunza mengi nawapenda sana

  • @alimohammedmatamu8142
    @alimohammedmatamu8142 2 місяці тому +6

    Enjoying from diaspora.. Much love.

  • @DotoMnubi
    @DotoMnubi 16 днів тому

    Ni nzur sana hi movie baba olivia uko vizur na uyo madam ni mzur san jmn au mnasemaje kuanzia sula na penginepo

  • @PrinceAmos-y8t
    @PrinceAmos-y8t 2 місяці тому +6

    Nakubali sana master movie nzuri sana ❤❤❤❤❤😂😂😂🎉🎉😢😢😢😮😅😮😢😢😅😅😅😅😊😊

  • @deborahrehema4066
    @deborahrehema4066 2 місяці тому +3

    Hahahahaha 😂😂😂 nimecheka ati kijana alikuwa hayupo na confident 🤣 ya kumwambia Olivia kuhusu Barua ❤😂

  • @sommohd7903
    @sommohd7903 2 місяці тому +7

    Mama Jemsi kitakuramba 🤣 punguza kwenda Kwa Baba Olivia

  • @Daudimpeleta
    @Daudimpeleta 2 місяці тому +43

    Na Mimi leo nimewahi jamanii ngoja niombee Like Kama mnavyo omba wengine

  • @fatuma46ramadhan18
    @fatuma46ramadhan18 2 місяці тому +9

    Mama jemsi siutulie kwako mbona unaharibia watu maongezi yao😂😂😂❤❤🎉

  • @KmbalphaniMoradj
    @KmbalphaniMoradj 2 місяці тому +3

    Tuko bado tuna fatiliya 🇨🇩🇨🇩🇨🇩💥💥💥 namipenda wote 💥💥🇨🇩🇨🇩

  • @annaki318
    @annaki318 2 місяці тому +4

    I love baba Olivia , I love Henry mwakajumba family 📸❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

    • @henrymwakajumba
      @henrymwakajumba  2 місяці тому +1

      Thank youu, ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️🙏🏾

  • @AlfredAloiss
    @AlfredAloiss 2 місяці тому +2

    Nampenda san mwalimu hakika mwalimu we ni mzuri

  • @wedsonkihiyo1211
    @wedsonkihiyo1211 2 місяці тому +11

    KAKA HENRY NAKUTAKIA HERI NA FANAKA KTK KAZI ZAKO MAANA SIJAWAH KUWA NA UFUATILIAJI WA TAMTHILIA ZA KIBONGO ILA HII IMENITULIZA TULIIII.,.........VERY EMOTIONAL

  • @EmanuelJoseph-s5q
    @EmanuelJoseph-s5q 2 місяці тому +2

    Huyu jamaaa anafanya bongo movie izidi kupanda juu

  • @eliadamwandumbya734
    @eliadamwandumbya734 2 місяці тому +5

    Hakika tuna moyo wa uvumilivu😂😂😂 tunalala tunawaza ijumaa ya baba olivia

  • @DadaDada-w2k
    @DadaDada-w2k 2 місяці тому +1

    Naipenda sna mungu awape hitaj la moyo

  • @marcelpaschal6904
    @marcelpaschal6904 2 місяці тому +5

    Leo nmechelewa kidoog lakn series inazidi kubamba kwel aanii af jamn pia msisahau like 👍🏿

  • @KenyanRapper-lo6fb
    @KenyanRapper-lo6fb 2 місяці тому +16

    Wale mashabiki wanaotokea Kenya Karibuni npo hapa kaka yenu tupo pamoja xnaaah 🤝 🇰🇪🇰🇪✈️

  • @TumainiNgogo-yt9sg
    @TumainiNgogo-yt9sg 2 місяці тому +5

    Tuliokuwa tunaisubr kwa ham mwaga makopakopa ❤❤❤❤

  • @AtukukuzwejetsonJetsonjasson
    @AtukukuzwejetsonJetsonjasson 2 місяці тому +33

    Kutoka SGR kuonana na MP like zanguu jamani.

  • @Realme-xm3sh
    @Realme-xm3sh 2 місяці тому +4

    Dah pole olive😢😢 lkn honger sn mwanamke kujiamin atimai umechomok mikonon mwao 🎉 Gabo nae atimai leo kapat utam😅😅😅😅

    • @Ramlat-lv7uf
      @Ramlat-lv7uf 2 місяці тому

      😂😂😂😂😂😂😂 nmecheka ka fala

  • @LatifaJuma-m5q
    @LatifaJuma-m5q 2 місяці тому

    Congratulations to olivia.. i love her❤, congratulations to all participants of this movie i love all.

  • @ndikumanahussein3328
    @ndikumanahussein3328 2 місяці тому +4

    Wow iyi ya kibabe sn nimeipenda

  • @JanethJeremia-nj2mk
    @JanethJeremia-nj2mk 2 місяці тому +2

    Jamani move tamu sana jamani tunaomba ATA vipande 2 Yani jumatano na ijumaha tunaomba mnatuacha kwenye utamu alafu inaisha mnafanya mpaka unajikuta unailudia tena

  • @ShedrackBishaza-qd4vq
    @ShedrackBishaza-qd4vq 2 місяці тому +5

    Kazi Nzur sana gabo🎉🎉🎉🎉

  • @SILVANO460
    @SILVANO460 2 місяці тому +1

    nime penda hingizo mwanzo mpaka hapa ep 12 kutoka marekani

  • @gadafimuemede2985
    @gadafimuemede2985 2 місяці тому +5

    KAZI NZURI SANA FROM 🇲🇿🇲🇿

  • @ezekielagostino9008
    @ezekielagostino9008 2 місяці тому +8

    Movie ya Kiwango dah imetuliq kinoma sauti zinatoka vzuri zenye uhalisia nisizunguke sana me nimefurah finally madam Janet katoa mzgo 😂😂😂

  • @ShafiiAmisi-h3w
    @ShafiiAmisi-h3w 2 місяці тому +6

    Sasa ww ungekua na tabia nzuri Kila mtoto angekua na banaake😂 nimeipenda san hii❤❤

  • @SelemaniIddy-nc1n
    @SelemaniIddy-nc1n 2 місяці тому +8

    Kwann hamtoi ushauli mnaomba like jaman daaah mnanikela

  • @MwanaishaRama
    @MwanaishaRama 2 місяці тому +18

    Team strong pitieni hapa hatuachwi chuma😂😂😂😂😂😂😂

  • @starlonejadamskp8224
    @starlonejadamskp8224 2 місяці тому +1

    Gabo young the best actor

  • @RansMasangwa
    @RansMasangwa 2 місяці тому +5

    Mkumbuke na kujifunza pia

  • @AnceGermanic
    @AnceGermanic 2 місяці тому

    Nimependa sana hii tamthiliya coz nagain mambo mengi kupitia kwa baba Olivia na madam janet

  • @EliaMwashibanda
    @EliaMwashibanda 2 місяці тому +5

    Leo nimeiwai

  • @popajr3228
    @popajr3228 2 місяці тому +1

    Good series hii❤

  • @PriscaGodfrey-fl6cs
    @PriscaGodfrey-fl6cs 2 місяці тому +5

    Hahahaha 😂😂 leo Janet kaona mwezi 😊😊

  • @selemanpaul2710
    @selemanpaul2710 2 місяці тому +4

    My best series 2024❤

  • @ObedyEliasi
    @ObedyEliasi 2 місяці тому

    Uyo mwalimu ni mzuri atr ❤

  • @MarthaKaranga
    @MarthaKaranga 2 місяці тому +5

    Kumbe mama olivia yupo mi nilijua kaded

    • @henrymwakajumba
      @henrymwakajumba  2 місяці тому

      We subiri uone yajayo yana furahisha🔥🔥🔥

  • @zahirmuhammed-m6e
    @zahirmuhammed-m6e 2 місяці тому +1

    Tena sana masha,allah

  • @MakululuDanifad-hz4kb
    @MakululuDanifad-hz4kb 2 місяці тому +4

    Hahah😁😁 kwanii ukiwa mtu mzmaa kazi moja tuu kufuaa??, half tabia ya mam tinnah anayo jiran yangu sijapenda.

  • @Mistakezcmofficial
    @Mistakezcmofficial 2 місяці тому

    Até que enfim, houve um poste de especial 😊😊

  • @JacklineMwasuka-bx7fe
    @JacklineMwasuka-bx7fe 2 місяці тому +4

    Hii movie ni kali kuliko zote jaman. Haswa mwalim ni mrembo balaa

  • @Ibraat_tz
    @Ibraat_tz 2 місяці тому +2

    Nataman episode inatoka kila baada ya siku mbiri bonge la tamthiria wanao penda tamthiria ya baba Olivia like bapa👍

  • @CharoKarisa-w5e
    @CharoKarisa-w5e 2 місяці тому +16

    Baba Olivia leoo kalla mzingoo wa mwakimu jannet

    • @Rahima-kv6mn
      @Rahima-kv6mn 2 місяці тому +3

      Akuna mkate mgumu mbele ya chai 😂😂😂😂😂 pumbavu washazagamuana 😋

    • @EliaKornelio
      @EliaKornelio 2 місяці тому

      😂😂😂tayar

    • @SalmaRandu
      @SalmaRandu 2 місяці тому

      😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @henrymwakajumba
      @henrymwakajumba  2 місяці тому

      😂😂😂😂

  • @BadoMartense
    @BadoMartense 2 місяці тому +1

    Mwalimu ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @zenamwasekaga7460
    @zenamwasekaga7460 2 місяці тому +3

    Mama James kwa umbea kama agent wa Mange Kimambi na ayo macho yake 😂😂😂

  • @croyant16
    @croyant16 2 місяці тому

    Kazi nzuri sana wana donta tv and donta family tunawapenda sana na mungu awazidiye nguvu zakutenda haraka hata episode mbili kwa wiki. Hii movie ina fundisho bora kwamalezi❤❤❤❤❤

  • @AJM24227
    @AJM24227 2 місяці тому +4

    Sahizi inapendwa zaidi❤

  • @everlinekenga437
    @everlinekenga437 2 місяці тому +2

    Nawapenda sana wahusika wa babaa Oliver ❤❤❤

  • @MariamAhmadaMwikalo
    @MariamAhmadaMwikalo 2 місяці тому +5

    Naona mwalimu Janet kachezea moto Leo wa baba Olivia 🎉😂

  • @roppyjoe
    @roppyjoe 2 місяці тому

    All casts are at 100% in the game. You guys know how to do it

  • @ShaziriHamisi
    @ShaziriHamisi 2 місяці тому +6

    Kazii iendelee🎉🎉🎉

  • @RehemaYusuph-c7b
    @RehemaYusuph-c7b 15 днів тому

    Patamu asee hapo madam Janet and baba Olivia🔥🔥

  • @petroparoko8289
    @petroparoko8289 2 місяці тому +4

    Mbn wanatuonjesha me ningependa watoe hata ep2 kwa wiikii

  • @kingabala1933
    @kingabala1933 2 місяці тому +1

    Hii Episode sijamuona Baba Tina kabisa....