a striking resemblance. rest in peace brother Sam. your music will always remind us of your life. aliwahi sema, "ujinga usio na hasara ni bora kuliko elimu isiyo na faida" RIP
Poleni ndugu jamaa na marafiki alikua ameshaona kifo chake mbele wanaosema ni ukimwi jamani hamna ukimwi wa week mbili tuchunge kauli hatujui mwisho wetu,,pumzika Sam pumzika brooh
Dahhh poleee sanaa kila nafsi itaonja umauti mbele yake nyuma yetu apumzike kwa amani Sam kipenzi cha wengi mmefanana mno na ww uwe muimbaji at least tupate kupoza machungu
nnakipaji cha kuimba lakin staki kua star maana mashabiki wa kibongo ni wanafiki..mtu unakuta unajina kubwa harafu uchumi zero.. mpaka ukaloge ndo upate pesa ...acha nidili na mambo mengine...na kama nizkizpata ntafanya muziki kama kujifurahisha
Poleni duh tafadhali njoo Kenya pia uwape mafunzo wanamziki wakenya jinsi ya kuimba au kutunga nyimbo. Pia Nina kipaji na ningependa kununua nyimbo zako na kuziimba. And you retain some rights to. I’m serious if you want catch up let me know here. Shukran Sawa!
Mary Damian ..Sikiliza vizuri..amesema baadae alimwambia alienda hospital na vipimo vikaonyesha yuko Safii.. Huwenda ni Ghafla tu kifo hakiji kwa sababu wewe mzima au mgonjwa ni kwa yeyote, muda wowote,na sehemu yoyote ile.. Muhimu ni kujiandaa Kikukute umejiweka salama mikononi mwa Mungu.
Uyu kijana ndugu ya Sam ana Akili na hekima anaongea bila ku yumbayumba na anaeleweka vizuri
saana yuko vizur
Jamaa Djumapili kijana ako ako very confidence
Wamefanana na marehem sam
Poleni sana i see what u feel..Mwenyenzi Mungu ampokee mja wake na awafariji wafiwa wote katika kipindi hiki kigumu sana wanachopitia.
Jamani kifoooooo,may you rest in Power Sam,napenda wimbo wake ule was sins raha,kazi ya mungu haina makosa.
Poleni sana kwa msiba jamani sam yani nashindwa cha kusema ila ww umetangulia ss tutafatia
Gg Jghh r i p
Polen Sana sema mmefanana sana asee
a striking resemblance. rest in peace brother Sam. your music will always remind us of your life.
aliwahi sema, "ujinga usio na hasara ni bora kuliko elimu isiyo na faida" RIP
Daaaah wallh machozi yanitoka 😢😢😢ata futri imenishnda😢😢😢😢R.L.P sam👏👏👏mungu akulize MAHL pema peponi yote mulio tangulia👏👏👏👏na sisi tulio bakiii mungu atusmh dhabi ztu InshaAllah
Poleni ndugu jamaa na marafiki alikua ameshaona kifo chake mbele wanaosema ni ukimwi jamani hamna ukimwi wa week mbili tuchunge kauli hatujui mwisho wetu,,pumzika Sam pumzika brooh
Poleni sana jamani
Mashaa Allah wamefanana mpaka kuongea jamani poleni saan 2024 bado tunamuenzi
tutamuenzi sana same wa ukweli
Innalilah waina illah rajiun quru nafsi dhaikatuli mauti tangulia sisi tupo njiani daaa inauma atarii sana
hythum dotto sawa
poleni sana ndugu wote wa marehemu na watanzania wote kwa pamoja tumeguswa
Dahhh poleee sanaa kila nafsi itaonja umauti mbele yake nyuma yetu apumzike kwa amani Sam kipenzi cha wengi mmefanana mno na ww uwe muimbaji at least tupate kupoza machungu
poleni sana
Well said and get sorry for that.. Rip sam
Our condolences from +254
I. R. P
Inauma sna jaman polen sna familia ya Sam mungu awape ujasiri kipindi hichi kigumu
nnakipaji cha kuimba lakin staki kua star maana mashabiki wa kibongo ni wanafiki..mtu unakuta unajina kubwa harafu uchumi zero.. mpaka ukaloge ndo upate pesa ...acha nidili na mambo mengine...na kama nizkizpata ntafanya muziki kama kujifurahisha
Michael Mchodo we nae akili zako ni mbili kchwan, ya kula na kulala! Ww unataka mashabiki wakutungie nyimbo nzur?
Michael Mchodo 😂😂usiniue...umeanza utam ety nna kipaji
Poleni duh tafadhali njoo Kenya pia uwape mafunzo wanamziki wakenya jinsi ya kuimba au kutunga nyimbo. Pia Nina kipaji na ningependa kununua nyimbo zako na kuziimba. And you retain some rights to. I’m serious if you want catch up let me know here.
Shukran Sawa!
+Sangija Madukwa nani kula kulala...unatumia misimbazi kurekod na kushut...haraf shabiki nyimbo anajipatia kiulain kupitia blututh ...
pole sana jamani mmefanana kweli
pole sana mdogo wangu.
Poleni ndugu wa sam
Poleni. ...Tz....Rip bro
ya Allah tupe mwisho mwema ,mziki ni haramu na kafia sehem hiyo mungu akusamehe dhambi zako
Shuweha Omar wallah ww acha tu tena ni muislam na mwez mtukufu huu. yaallah tujaalie mwisho mwema...!!!
Allah akueke mahali pema peponi amiin
Pole tz
Inallilah waina illah rajiuhn poleni....nammefanana wallah
Poleni kwa msiba huu
Poleni sana ndo njia yetu sisi sote
Daa sam umetuacha daa lla mungu amekupenda zaidi
poleni sana wafiwa
Poleni sana
poleni kwa msiba
Hakuna ukimwi wa miezi miwili huenda alipata pencreas mungu amrehemu Sam kipenzi Cha wengi
Black Nature mawazo yko ni kam yngu sema wabongo ukiharisha tu ukimwi jaman
Black Nature true
Black Nature yaani watu wanapenda sana kumzushia mtu magonjwa
Kangundua kuwa ni mgonjwa hiyo miezi miwili iliyopita, anaweza kuwa nao kwa muda mrefu
Black Nature possible it depend
Pole sana kwa ujumla familia mzma ya Sam wa ukweli hiyo yote mipango ya Allah(s. w) REST in PEACE my broooo
Pumzika kwaamani Bro Sam
Allah amupe kauli njema
poleni sana jamani mashabiki wa Sam wa ukweli kwa kimpoteza mpendwa wetu
Poleni sana kwamsiba uho
Mashaallah mmefanNa na marehemu sana
Poleni sana mungu awatie nguvu katika kipindihiki kigumu R. I. P sam
Jihanam is loaded.
polen sana
Muislam halfu unakufa studio ramadhani tena subhanallah hii balaa dunia imekwisha
Saleh Yussuf ww unajua mwisho wako
Asia Mwarabu sina maana iyo unavonifkiria kwli binadam hamna kitu mda wowote lkn kifo hakitangaziwi kwa mabaya mtu husifiwa kwa mema yke tu
poleni ndio dunia,wote tunapita.
Daah pumzika kwa amani brother Sam waukweli"
Daah Sam Wawatu
Mungu awape nguvu ktk kipindi hiki kigumu kwenu. R.I.P Sam
Polen kwa msiba wale wote waliopatwa na msiba R.l.P Sam Wa ukweli
Pia mimi sina raha😭😭😭 kifo kimenizingua na kunyanganya watu mwanamziki maarufu😢😢
Pole Kaka maskiniiii
Poleni xana
Poleni sana jamani
Poleni
Inalilahyi wahina lilah rajiuni
Alisema ni ukimwi wa kurogwa lakini sasa watu walivyoshikilia bango ukimwi ukimwi ukimwi duh! R.I.p
Dennis Kalisti ukimwi wa kurogwa ndo upi, the guy new he was sick. Alijua nini kinaendelea ndo maana alikuwa anakwepa kwenda hospital na ndugu, RIP
Susan Samson ukimwi wa kurogwa anajua yeye mwenyewe so wewe just accept it and move on with your damn life
Ndo maana wengi tunapenda SnS hainaga advertisement za kisenge hamjui tunatumia bundles
my condolences fro kenya
lala salama Sam 😭😭😭😭😭😭😭😭
poleni san
This is so sad from 254 poleni sana RIP Sam
Poleni sana!RIP
mmefanana sana jamani duh pole kaka mbele yake nyuma yetu
r.i.p my bro Sam waukwel nitakumiss sana
Mnafanana zaidi ya sana
Jamani bora wali tembele kuliko walimwengu daa! RIP Sam
Innalillah Kaka yetu kipenzi.
Pumzika kwaamani
polen sana mungu aulaze mwili wa sam mahali pema pepon amna
Anafanan marehemu kabisa akuna tofauti
Poleni sana,,rest in peace Sam
Poleni sana rip
rest in piece Sam, inalillah wainnalilah rajiun
Eeh jamani, poleni sana.. R.I.P
Jaman kila napofungua ledio abali yako kaka pumzika kwamani sis tupo mbele yako ddaaa inauma sana daaaa sinaatalakusema pumzika kwamanikaka
Matangazo loooh
Furaha Mbarouk hahaha noma
Rip Sam waukweli
Ady Aa poleni sana dungu najamaa kwa musiba huu tutamukumbuka sana kaka yatu samu waukweli kazi ya mungu haina makosa yeye amemaliza zamu yake je Mimi
watu jmn tuchunge midomo yetu hakunaga ukimwi wa week mbili. . r.i.p Sam mbele yko nyuma yetu
R•I•P mdog wa wasamu
R.I.p.
😢😢😢😢😢😢😢😢inauma sana jaman
poleni Tz Rip bro from +254
From kenya rest in peace
Bro uko Makini umeongea nikakusoma bila kuyumba, rest in eternal peace bro sam
wamefanana sn
My condoles from +974
I can't believe!!!!!! where is Sam plzzzzzz!!!!!
Pole sana RIP SAM
Uzembe ulifanyika kwa nin walichelewa kumpeleka hospt
Mary Damian ..Sikiliza vizuri..amesema baadae alimwambia alienda hospital na vipimo vikaonyesha yuko Safii.. Huwenda ni Ghafla tu kifo hakiji kwa sababu wewe mzima au mgonjwa ni kwa yeyote, muda wowote,na sehemu yoyote ile.. Muhimu ni kujiandaa Kikukute umejiweka salama mikononi mwa Mungu.
Polen san 😭😭😭😭alafu wamefanana
Rip 😭😭😭😭😭🙏
Yani nimesikitikasana Sana Sam wa ukweli kafariki R.i.P
rip
Huyo ni mgonjwa ana mbinu nyingi nimekupa mkuuu
Pole kaka kazi ya mungu haina makosa.
Pumzika kwa aman
Rest in Paradise Sam wa ukweli
Jamani bora wali tembele kuliko walimwengu daa? RIP
jamani kifo
BORA WALI TEMBELE KULIKO WALIMWENGU R.I.P KAKA YETU SAM
So sad pumzika kwa amani my bro
Polen sana
Rip Sam jamani...mbele yetu nyuma yako.
R.I.P😢😢😢
jamani mbona yule kaka amesema aliwai kupelekwa uspitali