Wa mama ameimba sauti ya nyimbo za katoliki wa sabato kilasiku nikama wanabadilika sana mavazi sauti za nyimbo sikama kalehapa hakuna utofauti n'a catoliki muonekano wa wasabato kwa sasa hawatofautiani n'a katoliki miwani nyingi mavazi imeshika mwili tena fupi kwanini nyimbo sauti iwe kama nyimbo za catoliki? Mbona nashangaa kuna mutu amelewa kama mimi?
Mi sijaona tatizo tena binafsi napenda nyimbo za kikatoliki pia, Kwa maelezo naona unataka kumaanisha wakatoliki wanaimba isivyotakiwa kiasi waimbaji wa makanisa mengine hawatakiwi kuwafanania. Ivi unaamini kabisa kuwa ingewezekana uimbaji wa wakatoliki ndo ungekuwa wa wasabato na ule wawasabato ndo ungekuwa wa wakatoliki? hapo napo ungelalamika kuwa wasabato wanaoimba kama wanavyoimba wakatoliki wa sasa kwamba wanaimbaje kama wanavyoimba wakatoliki ambao pengine wangeimba kama wasabato. Tafuta kwanya za wasabato za Mzizima SDA, Temeke SDA, Ubungo SDA, Arusha Central SDA, Olasiti SDA n.k Utagundua ndo staili yao ya kuimba tangu zamani ambayo inakaribiana kwa karibu sana na uimbaji wa kikatoliki.
Mungu akulinde pasta,mimi Niko Congo,naomba uombe kwa ajili ya unyumba wangu unamatatizo
Nami nakuombea pia mtu wa Mungu
Amina pastor hakika nabarikiwa sana nikiwa Dubai Bwana akubariki sana 🙏
Be blessed Sana pastor, watching from Kenya
Barikiwa sana pr Mungu akubariki
Barikiwa sana pr Mungu akuatamiye kama tai uzidi kusema ukweli kwa jina lake barikiwa sana nabarikiwa sana namahubiri yako
Niko na shida mingi katika maisha yangu vitu sangu asiendi sawa naomba usaidizi
Pole saana. Tuma ujumbe wa WhatsApp +255755932283
Nabarikiwa sana na mahubiri yako barikiwa sana na Bwana
I love u pastor
Nabarikiwa na masomo yako mchungaji...
Nimebarkiwa sana
Barikiwa mchungaji naomba union been na familia yangu. Grace
Amina atukuzwe bwana MUNGU wetu milele na milele amina
Mungu akujalie pastor kwa mahubr yako
Nabarikiwa sana na somo hili
Ubarikiwe sana pastor
ASANTE SANA PASTER DAVID KWA MAHUBI/MAFUNDISHO MAZURI TUNAJIFUNZA MENGI SANA NAOMBA MAWASILIANO TAFADHALI
❤❤❤
Mungu akubariki sana naomba musahanda wamaombi ninaotavimbayasana natunakufata kilasiku apamarekani Asante sana mutumichi wabwana
Bwana yesu Kristo ndio kimbilio letu, MUNGU awajalie ndoto njema Kwa jina la yesu Amina.
Amen.. 🙏🙏
Amina sana pasta
Nimebarikiwa na somo hili
Amen and Amen
Amen
Tunabarikiwa
Amena 🇨🇩
Barikiwa San past
Amen🙏🙏
Amina
Amen Pr ubarikiwe unenifungua kias
Amina,mtumishi wa mungu
Naomba Ulinzi kazini changamoto ni nyingi
Naomba whatsap namba niweze kutuma maombi yangu.
Wa mama ameimba sauti ya nyimbo za katoliki wa sabato kilasiku nikama wanabadilika sana mavazi sauti za nyimbo sikama kalehapa hakuna utofauti n'a catoliki muonekano wa wasabato kwa sasa hawatofautiani n'a katoliki miwani nyingi mavazi imeshika mwili tena fupi kwanini nyimbo sauti iwe kama nyimbo za catoliki? Mbona nashangaa kuna mutu amelewa kama mimi?
Mi sijaona tatizo tena binafsi napenda nyimbo za kikatoliki pia, Kwa maelezo naona unataka kumaanisha wakatoliki wanaimba isivyotakiwa kiasi waimbaji wa makanisa mengine hawatakiwi kuwafanania. Ivi unaamini kabisa kuwa ingewezekana uimbaji wa wakatoliki ndo ungekuwa wa wasabato na ule wawasabato ndo ungekuwa wa wakatoliki? hapo napo ungelalamika kuwa wasabato wanaoimba kama wanavyoimba wakatoliki wa sasa kwamba wanaimbaje kama wanavyoimba wakatoliki ambao pengine wangeimba kama wasabato. Tafuta kwanya za wasabato za Mzizima SDA, Temeke SDA, Ubungo SDA, Arusha Central SDA, Olasiti SDA n.k Utagundua ndo staili yao ya kuimba tangu zamani ambayo inakaribiana kwa karibu sana na uimbaji wa kikatoliki.
Huo ndo uimbaji wa kitaaluma
Kwa sasa waalimu wetu wanaenda shule na ndio mpango wa kanisa. Hatuitaji midundo tena
@@nicholauspaul2589 hii imeenda
Amen
Amina
Amen
Amen🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Amina
Amen