Mm sku zote hua Dula ananimaliza kwenye namna anavyomckiliza mtu kwa utulivu kisha anakuja kukujibu kwa utulivu sn anatulia sn yn ww ata ukipanik yy anakua cool😂
Halafu Tx anaongea yupo risias kabisa 😂. Tx usimuache huyo kijana mnafanana kila kitu 😂 Na kuna yule jamaa wako mweupe anaye uza vitu ukikubali anajifanyisha kwakuwa ni wewe kapunguza bei 😂 Tule asikose kwenye muendelezo wa hii kazi. Mkiunganisha vichwa vitatu kazi itakuwa hatari sana 😂
Kama unakubali TX dullah nipe like hata 20
like unazipeleka wapi kenge wewe ?
acha ushamba ?😏
Nakubali mpangaji 🤣
Mm sku zote hua Dula ananimaliza kwenye namna anavyomckiliza mtu kwa utulivu kisha anakuja kukujibu kwa utulivu sn anatulia sn yn ww ata ukipanik yy anakua cool😂
Anaumiza sana. Anachekesha akiwa serious
dah cy Kwa kucheka huku kudadek kasaini kununua jenez fanya kama kitanda😂😂
Kama umecheka kama Mimi Gonga like hapa zifike 60
Emkwanza nicheke😂😂😂😂😂baba mpangaji naomba laik zenu bas
like unazipeleka wapi kenge wewe ?
acha ushamba ?😏
Ah! a real talent, mnafanya poa sana
Dullah huna bayaa😅
unamzika nan😂😂😂😂
Dah Ila dullah wewe fala Sana ...Eti au tukupe msalaba tu
Nakubaliana na ww kaka
Wakwanza mimi like dula
like unazipeleka wapi kenge wewe ?
acha ushamba ?😏
Kweli uyu wa like anatoambwa bandani.
Much love from kenya
Wangese sana nyie😂😂😂
Daaaah baba unajua mpk unakera sasa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
NakubAli sana kaka from 🇨🇩 🇨🇩
Dulla uyo jamaa usimwache anajua sana😂😂
Naleo kajichanganya tena mwenye nyumba😂
Mbavuzanguzinavunjika😅😂😂😂namkataba2
😂😂😂😂 daaaah
😂😂😂😂😂😂 mbona hataree
😅😅😂😂😂😂 nimecheka sana mpka natamani kurudia rudia
😂😂😂uyu kaka namkubali sana wallah
😂😂😂😂😂txdulla ni mwamba haki ya Mungu
Ba mwenye nyumba kazi nzur
Alitaka kuuza nyumba na sasa anataka kuniua huyu😂😂😂
Dah ila tx bana et wakumbatie jeneza liwe ndo limeingia Kw watu 😅😂
Nan mwingime kaona uyo rafik ake na dula anamanyonyo yamesimamam
Dahhh nyie mbwaa nyiee 😂😂😂😂😂😂😂 mtatuuwaaaaaa😅😅😅😅😅😅😅😅😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Dula dula dula utaniua sana
😆😆😆😆 mwenye nyumba kayakanyaga😆😆😆
Father house kanunua jeneza la akiba
Uyo ndio Abdallah Njalamoto😁😁😂😂😂😂
Utakuja niuwa nakicheko😂😂😂
Yan mnaendana kama mtu namdogo wake
Mwanzo mpak mwisho wa scene nacheka tu😅😅😅😅😅😅
Abuduli bhana
Njalamotoo 🔥🔥🔥😂😂😂
Dullah bado kidogo angecheka😂😂😂
Baba mweny nyumba nae kiazi , 😂😂 mara hii ashatia dole gumba😂
Anakurupuka😅
I like serious joke hutumii nguvu😂😂
Nyie mnajua sAANA WANANGU
Wa kwanza Leo na mimi
🤣 🤣 🤣 🤣 Mwenye nyuma kayatimba
Oya wanangu hii ofa ya msalabaa imekaaje 😅😅😅😂
mmetisha
Mbona munashoot na stend inaonekana mm nakukubali txdullah na mavoshoot sio uhalisia watu wanawaangalia wanacheka jau hiyo😅😅
Eti utaamua unakufa lini🤣🤣🤣
Dullah wewe mwehu sana 😂😂😂😂
Halafu Tx anaongea yupo risias kabisa 😂.
Tx usimuache huyo kijana mnafanana kila kitu 😂 Na kuna yule jamaa wako mweupe anaye uza vitu ukikubali anajifanyisha kwakuwa ni wewe kapunguza bei 😂 Tule asikose kwenye muendelezo wa hii kazi. Mkiunganisha vichwa vitatu kazi itakuwa hatari sana 😂
Tx nakubali San nakupendagaaa tu mimii❤❤❤
😅😅😅😅😅 wakwanza jamaniii
😂😂😂😂 a lie anzisha shelia atakoma😂😂😂atajuta
Unamzika nani unamzika nani😅😅😅😅
Atari sana
Ila dulla bana et 😂😂😂😂😂 misalaba utafanya fea2🎉🎉🎉🎉
😂😂😂😂 dah usenge sana
Toa mpangajo 4
Dahhhj wew dulla n mwisho
Kwenye hii @chardtalent kaumia😂😂😂
Ila Tx dulla ni nomaaaa
hahaha !!! chad kajichanganya tena mze wa contract
Tx dulla utamuua mwenye nyumba Sasa 😂😂
Dah dullah
Txdullah your so talented just pull up
Nimecheka kama fala😂😂😂😂😂😂😂dah mwenye nyumba kayatimba
Mbn munafanana kuongea
Lazima nicheke 😅😅😅 3:43
Ila txdullah utanivunja mbavu 😂😂😂😂😂
Sokapu hapa 😅
Keshasine, ajifie tuuu 😂😂😂
Umetishaa
😂😂🔥🔥Hii Ni ingne moto sana
Hii nyumba haipo duniani 😂😂
🤣🤣🤣🤣watu hawafi
ety ñitaosheaa vyombo jenezaa jamaa huyuu anajuaa
Nacheka kizembee kweli alaf ni usiku dah atar🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 huyu ataniuwa huyuuuuuuu
Nakukubali San txdulla
Mwenye nyumba kazingua akapigwa na kitu kizito.
😂😂 ila durah daah
Mwenye nyumba kakutana nacho
Unyama San from Oman
Eti au wenyewe wayakumbatie majeneza yaani majeneza yaingie kwao
Mchango wa umemem au wa maji 😅😅😅😅
Dulla mnatisha🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂😂hatar san mwamba
Mnyama dula @txdullah 😂😂😂😂😂😂😂
Kayatimbaaa teeeena😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Tobaaaa biashala
Nomaaa
Mwenye nyumba kayakanyaga 😂😂😂😂
Kazi nzur Sanaa
Abdallah ww ni nomaaa
😂😂😂😂😂😂😂😂 chard tx dullar mtakuja kuniuwaaaa
eti wakumbatie majeneza daah dullah bhan
Huyu mwenye nyumba nae Hamnazo kinoma😂😂😂😂
Txdulla ni mnyama sana 😂😂😂
Mwenye nyumba kasha saini apewe hata msalaba
Dullah apo umetisha
Nakbl xn the way mnafany
Msalaba mi ntaclear🤣🤣🤣😂😂🙌