Usisononeke sana sio riziki yako bora uchumba uliovunjika kuliko ndoa yenye misukosuko.. Allah atakupa mwenye kheri naww ukiamini hilo basi hutosononeka tena pia mshukuru mungu tu
Sio wanawake tu wasaliti hata wanaume pia niwasaliti wakubwa Chamsingi kila mmoja wetu awe makini na mwenzake afanye mambo yake maisha mtaanzisha mkioana
Tufuate miongozo ya dini ili tuepukane na kudanganyana. Love story ya mda mrefu huleta majanga. Someni halafu mkishakuwa tayari. Mutafute wachumba kwa msaada wa wazee wema.Muowane haraka haraka baada ya kuridhiana. Nimsomeshe ndio nimuowe hiyo ni bahati nasibu. Anichukue Forodhani akanilishe mbatata za urojo. Atakuchezea halafu atakukimbia.
Amina,Amina,Amina .naandika hii comment chozi lanitoka na cjawahi kusahau na sitosahau.umefanya moyo wangu kuwa na ganzi , umefanya nisimuamini yoyote,umenifanya nisipende yoyote, Inshallah namuachia Allah 😭🙏
Sjawahi kuskiliza kaswida mara kumi lakn hii jmemaliza mb zangu zote hongera sana kaka ulituliza akili duh kuanzia uigizaji mpk sauty vitendo Kila kitu kpo kizur
Itapendeza baada y kasida hii kwanza msitoe nyengine ili kuipa nafasi hii kwnza itawale dunia ..mkitoa apao kwa apo mtaua kasida wkt bado inahitaji uhai ktk jamii.. kujua sio kufanya nyingi ni kufanya kw mipango. msiige watu kutoa madude teleee lkn ikawa hayana maana toa moja kali alaf tulia
kaswida nikisiliza inanitowa machoz hongera kaka suleman kutuleteya ujumbe mzuri
Sina neno kw hii qasda yote yasememwa ila ukwel shk sleiman umeitengea haki umeonesha husia kali sna mungu akuzidishie kipaj
Mashaallah qaswida nzuri lakini inasikitisha hongereni mulioimba mungu awaongezee Kila la heri ❤
Honger kiongoz kaz nzur🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Mashallah mungu amp swiha mweny kaswid hii n mung awap subra wot walotokewa n jamb km ili pia wanawak tupunguz tamaa
Mashaallah naipenda sana hiii naimengusa sana kma nmetunguwa .mm nampenda sana aloimba
Mashaallah hongereni vipenzi vyetu afnaania hii qaswida mumetujuz baadh ya vitu 😭😭💯💔🙏🙏
Dah , pole xana sule ,vuta subra Alwaa atakuletea mwenye kheir nawe inshallah
Yan apa kaswida imetulia sana ingawa tunaingia ktk huzuni sana sana sisi vijana ila swa mashaallah
Usisononeke sana sio riziki yako bora uchumba uliovunjika kuliko ndoa yenye misukosuko.. Allah atakupa mwenye kheri naww ukiamini hilo basi hutosononeka tena pia mshukuru mungu tu
💯
😭😭😭😭
Suleiman mboni unaniliza Ustadhi wako? Pole sana na hongera kwa ujumbe mzuri mnooo.
Mashallah nzur san allah awabark muendelee kutuhusia mem inxhallah
Mashaallah jazakallwahulkheir ❤❤nimewakubali Sana Wana afania
Oooh mr martinell ndani na ww watka toa milion hhh wacha wee bonge ya gr inatimba hhh pole sule
Mashallah imelenga ktk ukweli kabsa hongera sana hyi kweli ipo poa kabsa hawa wenzetu wao kugeuka ni sekunde tu japo kua na ss c wakamilifu ok
Mashaallah ni ukwel ulipo ktk kizazi Cha sasa Allah atujalie
Maasha allahHongera sana shekhe suleymani hiini kali sana
Sio wanawake tu wasaliti hata wanaume pia niwasaliti wakubwa
Chamsingi kila mmoja wetu awe makini na mwenzake afanye mambo yake maisha mtaanzisha mkioana
Ila yeye sasa ndiyo katendwa na mwanamke
A,alykum,Allah akubarik kwa kazi nzur
Tufuate miongozo ya dini ili tuepukane na kudanganyana.
Love story ya mda mrefu huleta majanga.
Someni halafu mkishakuwa tayari. Mutafute wachumba kwa msaada wa wazee wema.Muowane haraka haraka baada ya kuridhiana.
Nimsomeshe ndio nimuowe hiyo ni bahati nasibu. Anichukue Forodhani akanilishe mbatata za urojo. Atakuchezea halafu atakukimbia.
Nao na WA some yakwao tuyajue basi yanayo wakwaza
Homgeran kw kazi wan afnaania noma sana dah 💯💯💞💞💯💯💞💞
Maashallah hongereni sana mashekhe kazi nzuri mno
Hongera Sana. Kisha pole kama yalikukuta kaka.
Mashallah, Allah awajaalie wanawake wote waweze kuweka akilini haya yaliyowasilishwa
Nice qasda Mashaalah❤❤
Jmn hii qaswda haiishi ham hongera sana kaka umeua sana by Dafii
Jamn ust sle nampenda kanikosha haswa kwenye hii kaswida me nimwanamke lakin imenifurahisha coz naelewa uchungu wa mapenz❤️
Allah akuongezee bidii zaidi iko vzr
Mashalla itapendeza kama haina bit ila iwe na kinanda tu %ILA NZURI CAN
Dah hiiii ni zaid ya Qaly mashallah imegusa mtima
Pole sana Allah atakuhifadhi Isha allah
Pole ndugu kwa kumsomesha mtto wa kike mim nd nshajifunza kupitia wew mashallh ujumbe umefka👊🏼
Hayo ni maigizo tu, somesha usiogope
@@mohamedhaji2200 😂😂😂😂😂😂😂😂
Kaz nzur mashawah
Kazi nzur,,,,imenisikitisha sn,,,,dida from Dubs
mashallah aswida ni mzur sanaaa hongereni afnania
Wallah nimeshindwa kujizuiaaa nimeliaaa mnooo broo mashaallah
Kwanini dada
Qasida hii naipenda mpk watoto wangu nawakera naifungua kwa sauti
Nyengine ipo njian
@@afnaania9827 Inshaallah
Dah hiii mbna hamutuektiii ni kwel jmn kijana alia hyu kabsaaaa hhhh pole dogo
Itakuw kaachwa kiukwelikweli uyooo
MashaAllah hongera sana tumejifunza kitu❤
Mashaallah. Yani. Hiii nikali kuliko. AFNAANIA. Hapa umefanya kitu mbora sana🥰🥰🥰🥰👌👌👌🔥
Mashallha ila dah wanawake mungu anatuon
Masha'Allaah bro,,,,ht waume wanausalit kk
Kazi nzuri kijana wangu
Mashaallah kaka kz mzr .
Yaan ni ukwel mtup
Mashallaa kaziinaendelea vyemaaa
hongeren ujumbe mzur kwa kweli big up
Mazingira kama haya yapo tena kwa jamii nyingi mnoo
Mashaa Allah kazi safi sana na mashairi mazito
Good and very explainable on how to make decisions in lyf #ur new fun frm 🇰🇪
MashaAllah qaswida yenye mafunzo mazuri Mungu awabariki muzidi kuelimisha jamii
Mashllah imetugusa weng wanawake😔
Mashaallah 😭😭😭but inauma sana
Mashallah kaka inaskitxha hii jomon hd imenitoa machoz allah akuzdxhie kpj n xubr ktk hil😍🥰
Safi sana hapo lazma ndugu wajitambue
Mashallah Allah awafanyie wepesi ktk kazi zenu
Hongera sana kazi nzuri
Hatwaaaaaaar.....mashallah
Hii qaswida afnaania mumeiwez kila sections mashaallah 🤝💯🙏
Kk unaweza hadi w'ke walieee
Maa sha Allah .hongera kaka kazi nzuri
Mollah anijalie moyo wa kuwez kumpta ninayestahik unatoa gharm nying kumbe sivy kbisaa
Mashaallah jazakallwahulkheir ❤❤❤❤❤❤❤ mpo Bomba
Hengera Afnaania kwa kazi nzuri ila pia hongera sana maalim suleiman
Asnte mwalimu wangu
@@suleimansuleiman990 Hongera suleiman ila mwanangu mm na ww tuna ugomvi gan mbona hata kwa simu sikupati
@@suleimansuleiman990 Kanzu hutaki sasa hivi za donge au vp?
@@mahershadhil2493 hhhhhh kk jmni weeeee c ivo
@@suleimansuleiman990 namba ipi unayotmia siku hz mbn zote ckupati kiongoz?
Mashaallh. Imenigusa kwa sbb imesomwa kwa hisia Kali sn🥺
ماشاء الله جميل
الله يبارك فيكم
bro hongera sana halafu hi kazi imeielewaaa 😍
ndoto njema huonekana asbuhi ...... sele kisaut umetisha tuko pamoja
Suleiman. Hongera sanaaaaa Allah akubarrk zaid ya hapo ujumbe japo umetuliza uloutoa lkn umefika Allah akujaliee maisha marefu
Ahsant
Hongora sana Kwa ujumbe mzuri ❤❤❤❤
Ahad aloekesha afahamu mwish wake💔 mashaallah ustadh sule
Ahmed jr ahadi gani aloekesha
Mashaallah allah azid kukupa kipaji kaka
Mashallah mm mwenyew mwanamkee yamenikuta wallah umenikumbushaa mbalii sanaa
Kwani broo umetendwa ama vipi mbona wasoma kwa his Kali sana?
Pole yamekukuta nini
Pole
@@khadijahali4837 nishapowaa
Mashalhhlh mashalhhlh mashalhhlh imewachoma wengi na pia tumejifunza wanawake hawana msimamo unaweza kuuziwa mbuzi kweny gunia
Hongera kwa Kazi nzuri sana Masha Allah
Mashallah
Umeimba kw hisia sana imegusa broo🙌
Daaaaaah yan silali bila kuangalia hii kaswida
Mashallah mshairi kaandika vizuri
Mashallah nzr sana
Bin daudi umetishaaa
Mashaallah..❤..kaswida.nzur..sana...inatufunza.
Maashaa ALLAAH.
Imekwenda vizuri na wakati.
Bila shaka ni lazima itagusa wengi!!!
Wake kws waume 👏
Maashallah ujumbe mzur
Mashallaaah
Kudaadek sule hhhh .....khattwwaaaaarrrryy na nusu hhhh wauza ngo'mbe sule hhh wallah nimecheka mashallah mashallah hongera na nusu sule Afnania mbele 2022 dah na kilio aaa pole.
Hahhhahha
@@suleimansuleiman990 Hhhh kauze hyo ng'ombe hhhh
@@idatally3846 nixhauzaaa
@@suleimansuleiman990 hhhhh sawa
Hiii kiboko mashallah👏👏
Maa Shaa Allah Barakallaah Qaswida nzuri Allah akujaalie kila la kheri 🤲💯❤
Ammn
Hongera sana kaka kwa ujumbe wako afnaania muko vizuri
Wewe million 1 umetunga had kasida ao wanawake wanatoa Hadi utu wao mwisho w siku hawaolewi waendelea na mtindo mchafu wanaumia zaid
Kauza ng'ombe
Ma shaAllah Kasida nzuri sana
❤❤❤❤❤❤❤ sito sahau kwa shozi lango lá upendo
Mashaa allah , hongera sana imetulia
Pole xan kijana
Ivi broo nikeel yalikukuta au
Asalamu Alaikum Mabruki hii qaswida mashaAllah naomba unitumie ustadi wa Afnaania
Utumiwe nn
Amina,Amina,Amina .naandika hii comment chozi lanitoka na cjawahi kusahau na sitosahau.umefanya moyo wangu kuwa na ganzi , umefanya nisimuamini yoyote,umenifanya nisipende yoyote, Inshallah namuachia Allah 😭🙏
😥😥pole
Polee
Pole sana
nikweli ,wake wema ni wachache
walio wengi ni wasalti
Big up Sana kijana
Sjawahi kuskiliza kaswida mara kumi lakn hii jmemaliza mb zangu zote hongera sana kaka ulituliza akili duh kuanzia uigizaji mpk sauty vitendo Kila kitu kpo kizur
Mashallah imebeba ujumbe wa kwli
Yan imenigusa hii Qaswida mana kaisoma Kwa hisia Sana mpaka ukitazama unalia Yan honger Sule😘🥰
Huyu jamaa Nampenda tu sana
Karibu Afnaania utaona mengi mwaka huu
You did it Afnaania on
Yaani hii Qaswaida Kama Nimetungiwa Mimi. Imenigusa Direct..
Lilikukuta naww
Pole 😢
Pole
Pole sana brow
Poleee
Itapendeza baada y kasida hii kwanza msitoe nyengine ili kuipa nafasi hii kwnza itawale dunia ..mkitoa apao kwa apo mtaua kasida wkt bado inahitaji uhai ktk jamii.. kujua sio kufanya nyingi ni kufanya kw mipango. msiige watu kutoa madude teleee lkn ikawa hayana maana toa moja kali alaf tulia
Allah akujalie kaswida nzuri sana
Walai kasida imeniliza mashallah
Inanikumbusha mbali da! Mungu atusaidie waja wake atusamehe Kila tulipokosea
Kushamsaliti mtu zaman duh
Hongera. ❤❤