MAASHAALLAH HAKIKA HIZI NDIZO LADHA HALISI ZA PWANI NA KIELELEZO CHA KIFASIHI YA MSWAHILI, KIELELEZO CHA USTAARABU WA MTANZANIA TULICHOKIKOSA KWA MUDA MREFU... HATIMAYE MWISHO WA VIGODORO, VISINGENGE.... NA MARUSHA ROHO YANAYOHARIBU MILA NA TAMADUNI ZETU NCHINI TANZANIA UMEFIKA.
Huyu serikali wanatakiwa kumpa ulinzi watu wasije wakamdhuru,ni talent muhimu sana kwa taifa hasa ktk ishu ya kukuza kiswahili...jamaa ni hatar na ana super intelligence and very high thinking and creative
Nakukaribisha Kutazama Video Yangu Mpya ua-cam.com/video/Ebqk74cuyK8/v-deo.htmlsi=vgFmE4sGS4PN5AVK ARTIST - FUMAU MSHAIRI SHAIRI-NAUMWA SHOT BY @HANS_ABDLAHAH DIRECTOR @BRAIN_UJAZO ASSISTANT DIRECTOR @DOLPHIN_MSHISHI
This ❤❤❤❤❤❤❤ is great leader walllah.kpe it up.dr hussein mwinyi ❤❤❤❤❤❤❤. Mashallah ijenge znz weka legacy yako itakumbukwa milele ❤. Na in shaa Allah kwa uwezo wa Alllah ukimaliza 2030...uhai na uzima nuweke mtu wa kufata nyayo zako❤❤❤❤❤
Haya ndio mapinduzi ya sanaa iliyodharaulika na kuona imepitwa wakati. Hongera kwa kutupa burudani sisi wapenzi wa tenzi na mashairi.
hakika
Tuko pamoja kaka fumau
Sanaa nzuri ila kule kwenye Mpira utapoteza fanbase
Kipaji kikubwa Mungu amekupa.. Kazi safi
Allah akuzidishie my roal model natamani kuwa kama wewe Nina kipaji ila sina pakukiendeleza
Endelea na tungo upo vizuri dogo achana na kule kwa nyuma mwiko ujeko msimbazi
Chunga usiingie kwa nyimbo.
Wananchi Kila Kona tunaupiga mwingi .wapite mbali
Penda snaa ww mungu akubarki snaa tna snaa na akulnde kwa wabya inshallah amen nakupnda famau
ILA HUYO MTT NI MZUIRI HEBU FUMAU FANYA KWELI AWE NDIO MAMA YETU HUYO
😢😢😢Mungu Azidishe juhud zako sie weng Weeh Ndo rol model we2 Kaka
Masha Allah tabaraka Allah nimeipenda hili shairi je mtu akitaka kuimbia waeza 😂❤❤❤
MAASHAALLAH HAKIKA HIZI NDIZO LADHA HALISI ZA PWANI NA KIELELEZO CHA KIFASIHI YA MSWAHILI, KIELELEZO CHA USTAARABU WA MTANZANIA TULICHOKIKOSA KWA MUDA MREFU... HATIMAYE MWISHO WA VIGODORO, VISINGENGE.... NA MARUSHA ROHO YANAYOHARIBU MILA NA TAMADUNI ZETU NCHINI TANZANIA UMEFIKA.
kipaji kikubwa sana hiki hongera sana
Good President MWINYI, weldan !
MashaAllah
AKA BACHUCHU MOMBASA 001
🇰🇪+254🇰🇪
Huyu serikali wanatakiwa kumpa ulinzi watu wasije wakamdhuru,ni talent muhimu sana kwa taifa hasa ktk ishu ya kukuza kiswahili...jamaa ni hatar na ana super intelligence and very high thinking and creative
Mashallah ila nilishituka sana uko vizuri kaka
Mashaa Allah, ,wananchi tumpe sapot kijana wetu❤❤❤
Mashaallah sauti tamu wallah congratulations 🎉❤❤❤❤❤
Unyama sana kaka
ushafeli
Nakukaribisha Kutazama Video Yangu Mpya
ua-cam.com/video/Ebqk74cuyK8/v-deo.htmlsi=vgFmE4sGS4PN5AVK
ARTIST - FUMAU MSHAIRI
SHAIRI-NAUMWA
SHOT BY @HANS_ABDLAHAH
DIRECTOR @BRAIN_UJAZO
ASSISTANT DIRECTOR @DOLPHIN_MSHISHI
hongera sn kaka angu hila umenistua san duuh utswauwawat na presh jpo up kazin
una ujeuli ww jmn
Hongera brother from kenya
🇹🇿🤲👏🤝👏🤲🇹🇿
Inshallah
Amenifanya nirudie tena fani yangu ya utunzi wa tenzi na mashairi
Please keep doing 🙏
Anh Mashallahhhhhh tenz ndo hizi buana
Hongera kaka hili shair zur mno
Hii mbio inaamaana kubwa sana kwangu
Kaz mzur xana kaka
Congratulations mshairi waeza mungu akizidishie
Kibamba family kaka unajua Allah akuongozee
Nmkufatampka hukuuuuuuu
Imenichm hatr kaka wajua😢
Shairi limenifanya moyo wangu upate utulivu .
Mmhhh hyu jamaa mkali
Atokei noma sana
Kazi nzuri
Mpenzi wa utunzi huu,natokea pwani ya Kenya
Mwananchi una hatariii
Hongera sana nilishtuka nilidhani unaumwa kweli nakupenda kwa kazi yako hii noma bro
Umeua mwamba
Mashallhaa❤
Kweli ww jini Mahabaaaa😊
Walumbi tumeibeba hii kaka🎉
❤umeua rafiki yangu
Pambana ata nimeipenda stahili hii
Napend xana mashair especially yako
Ubufu wa sanaa huu
Kongolee sanaaaa Allah akupe afya njema, azidi kukupa misamita ya vina zaidiiiii
wewe ni wetu lazima tukusapot
Like kwa dada wa mama mautanga kwa kufurusha mwenye nyumba
Umewezaa maashaallah
Kazi murua ♥️♥️♥️♥️
❤❤❤ nimependa jmn kz nzur broo Mungu akufanyie wepesi katika kz zako
Uko poa sana
Umekaha vizur kwakwel
@fumau mashairi maa sha allah
Ongera sana kwa kipaji na sanaa nzuri
Noma sana 🔥🙌💐
Famau unaupiga mwingi bro ongera zako ❤❤ Nkupnda tu bure kutoka 🇰🇪🇰🇪
Bravo. Umeweza sana hii Mr Fumau mshair
Mwamba 🎉
Kaz nzr
Nakupenda nioe bure tu
Nzur
Tamu sana
Hkk we mrangi umetisha sana
Asante sana mungu akupe ihsaani na afya tele
Tuachanee na Shari tuzungumziee Huyu video queen 👸 kwanzaaa oyaaaaaaaa weeeee
😂😂😂😂
Keep it up brother 💪
Mapenzi shikaamoo❤❤
mwenyezimungu akufungulie lkilanjia iliofungwa kakaangu❤❤❤
Hongera kaka fumau. Napenda ughani wako kwa mno
namkubali sana juhudi nakipaji chako natamani siku napanda uringoni wewe uwe hamasa yangu mpinzani aogope
Kwa hiki kizazi kukuelewa ni vigum ,ila qaswida pia inakufaa
Mwananchi umetisha sana
Nahc nimetumbukia ktk kisima Cha mahabbbat, naona navyojifia nawe ndo Wang msaadddat, sekunde zimeshasalia nife Kwa yako mawadddat
... Hii ingekuwa poa sana...
Kongole our mentor
This ❤❤❤❤❤❤❤ is great leader walllah.kpe it up.dr hussein mwinyi ❤❤❤❤❤❤❤. Mashallah ijenge znz weka legacy yako itakumbukwa milele ❤. Na in shaa Allah kwa uwezo wa Alllah ukimaliza 2030...uhai na uzima nuweke mtu wa kufata nyayo zako❤❤❤❤❤
Masha Allah from mozambique 🇲🇿
Ma sha Allah kaka! ❤❤❤
Kali
Mashaallah uko vizuri fumau
Big up Broo ila umetushtuwa the Mwalimu Nyerere
Daaaah umenishitua mbrooo kumbe mapenziii hongera
MH MBOSSO ANA JUA SANA
Umeinyanyua Sanaa ya ushairi wallah
Pole sana kaka😂
Duh ni kweli, kila kitu kinaweza kukutoa ukisimamia ubunifu na kuchapa kazi. Mdogo mdogo jamaa anasonga mbele na Mashairi. Hongera sana
❤penda sana KAZI nzuri broo,
Good job
Kazi safi sana. Taking ushairi to another level
Mungu akuzidishie uzima
Nimeipendaaa iyooko
Woow
Hongera xana kijana fumau kazi nzuri xana.
unaimba vizur San
😢noma aiseeee fumau
Nimeikubali iyoo😍🥰🥳🔥
Mashaalah ya salam ya salam
nakubali kk kazi nzuri🎉
Hongera❤❤❤❤❤❤
CONGRATULATIINS FUMAU Nisipo kupa like&subscribe sifanyi poa wallahi.
nemeielewa kinomanoma fumau🔥🔥🔥