TUNDU LISSU AMJIBU SAMIA UTATA MTUPU MANENO MAZITO KWA RAIS

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 103

  • @humphreyroberty8982
    @humphreyroberty8982 Місяць тому +15

    Lissu ni mmoja tu Dunia nzima

  • @BarakaKassian
    @BarakaKassian Місяць тому +14

    Tundu Lissu brain 🧠 kubwa sanaa iyo 💪

  • @humphreyroberty8982
    @humphreyroberty8982 Місяць тому +14

    Tanzania na chadema tunajivunia watu Hawa majasiri na hawaogopi 1. MH.freeman mbowe,2. Tundu lissu 3.mdude sumu ya nyigu 7x70 😅 4.Godbless lema 5.John mnyika 6. Boniphace jackob 7. Suggu

  • @feruzmato4422
    @feruzmato4422 Місяць тому +8

    Nakuunga mkono mheshimiwa lisu mtetez wetu

  • @Bilioneabichwa331
    @Bilioneabichwa331 Місяць тому +11

    Yesu yu karibu kuja tujiandae

    • @dechardavid2555
      @dechardavid2555 Місяць тому +1

      Yesu yupo kaka anatenda kazi..niwewe tu ujiandae mwenyewe umpokee awe mwakozi wa maisha yako ya sasa na huko utakapoenda baada ya andiko kutimia la kurud mavumbin..barikiwa sana

  • @jescageorge-fv8yt
    @jescageorge-fv8yt Місяць тому +8

    Mwamba lissu rais ni wew wanatuchelewesha tuu

  • @RehemaManase-t7j
    @RehemaManase-t7j Місяць тому +7

    Huyo samia asikiri mungu hayupo, Mungu ninaemjua mimi atatenda juu ya hili

  • @calvingibson2103
    @calvingibson2103 Місяць тому +10

    Akili kubwa 💪

  • @MassaiIsaacs
    @MassaiIsaacs Місяць тому +12

    Yes yes oyeeee Rais mtarajiwa anajua kuongea anajua kuongoza nchi

  • @masensethethird
    @masensethethird Місяць тому +10

    ILA NADHANI RAIS AACHIE MADARAKA TUMPE NCHI MPINA

  • @Ahmedseif-l5g
    @Ahmedseif-l5g Місяць тому +6

    namkubali huyu mzee

  • @MsabahAli-d6u
    @MsabahAli-d6u Місяць тому +5

    Kama mtanzania na mzanzibar nasimama na Lussu kwasababu ni mtu wa hakki

  • @naishoruamooke
    @naishoruamooke 20 днів тому

    My president 💪💪💪 Tundu lissu

  • @joselinejonathan8818
    @joselinejonathan8818 Місяць тому +6

    Lisu nakukubari saana

  • @justinebalaguyu7769
    @justinebalaguyu7769 Місяць тому +6

    Hahahhahhahahhaaa daa kuna watu wana akili sana. Sikutegemea .

  • @prezidakasuga2595
    @prezidakasuga2595 Місяць тому +5

    Asaiv nakuelewa sana kaka ingawa nilikuwa sikupendi enzi za magufuli

    • @Aminmwansile-we8vn
      @Aminmwansile-we8vn Місяць тому

      SI ulikuwa kibaraka wa magufuli ?alifanya uovu mwingi lakini ulikuwa unamshabikia

  • @nelsonissangya
    @nelsonissangya Місяць тому +3

    Kwann lisu Mungu asikusqidie uwe ris pamoja nakwamba sheria zitakuwa ngumu ila una faa

  • @ShabaniOnyango-gm3vz
    @ShabaniOnyango-gm3vz Місяць тому +5

    Inauma Sana jmn we mungu itangulie nchi yetu mnayasikia mateso wanayoyapata watanzania wenzetu jmn

  • @deborahmgedzi632
    @deborahmgedzi632 Місяць тому +4

    Tujitafakari kwaupya Watanzania. Tukubali kushuka ili tuendelee mbele, uchaguzi umbele yetu. Tuwe wawazi, dawa pekee. Mungu Atuongoze.

  • @Wanisimbula
    @Wanisimbula Місяць тому +7

    hii nchi inavyoendeshwa unaweza kulia ukiifikia kwa undani...Wenye madaraka wameota mapembe

  • @FredLuo-v3e
    @FredLuo-v3e Місяць тому +4

    Uyu mwandishi wa habari ajiangalie sana wale wasiojulikana angalia wasije kuku azory gwanda tu

  • @elizabethiradukunda1950
    @elizabethiradukunda1950 Місяць тому +2

    Mbona mama samia anawaua watu?
    kwani kuna shida mtu kufikiria tofauti na yeye?
    Magufuli aliwapiga akina tundu lisu risasi, mwishoe magufuli alimtangulia tundu
    samia akumbuke, dami ya watu haimwagiki bure
    malipo ni hapa hapa duniani

  • @rambostalon2888
    @rambostalon2888 Місяць тому +4

    Mungu akulinde baba

  • @lonsman
    @lonsman Місяць тому +6

    Ooh God, please help us

  • @DaudiMakaza
    @DaudiMakaza Місяць тому +3

    Raisi wtu byu

  • @yusuphally-kg4wc
    @yusuphally-kg4wc Місяць тому +2

    Tatizo la chadema ni kukosa busara ya ufikishaji wa hoja zao. Hawajui kutofautisha kati ya kutoa hoja na kuropoka

  • @naishoruamooke
    @naishoruamooke 20 днів тому

    Save the ngorongoro land for the Tanzania maasai,VIVA VIVA tundu lissu.Stop the maasai eviction.😢😢

  • @AlexanderAmrys
    @AlexanderAmrys Місяць тому +2

    Hamna kitu humu nayeye akiingia uko madarakan itakua bora ya mama

  • @EdwardNgomai
    @EdwardNgomai Місяць тому +1

    Bab lisu gombea kiti cha urais nitakupa kura yangu baba

  • @SamwelBonphace
    @SamwelBonphace Місяць тому

    Mungu akusaidie

  • @farajiissa560
    @farajiissa560 Місяць тому +1

    Serikal yetu inasema kufa ni kawaida tusubili kuuwawa wote hatuko salama kama si kwako bas kwa wengine

  • @AweMagdalena
    @AweMagdalena 11 днів тому

    Huyu ni araisi wa maono ya watanzania Mungu yuko juu

  • @IddyMustapha-tj4du
    @IddyMustapha-tj4du Місяць тому +1

    Samia kaota mkia kajiona yeye mungu mtu.

  • @EliaMussa-g3h
    @EliaMussa-g3h Місяць тому

    kweli 👍👍👍👍🙏🇹🇿

  • @HashimKaoneka
    @HashimKaoneka Місяць тому +1

    Atabaki na mashekh

  • @saadomar2480
    @saadomar2480 Місяць тому

    Tundulisu huna shukrsn. Kwa uliyofanyiwa nasamia lkn bado wamlaani tu. Hunawemawewe

  • @KassimSayid
    @KassimSayid 29 днів тому

    Bwana Tundu Lisu Mimi kuna wakati unanichanganya.

  • @WanuSichone
    @WanuSichone Місяць тому +6

    Nchi wakutusaidia ni mungu tu tunakufa kama kuku

  • @ChristianLimo-k8t
    @ChristianLimo-k8t Місяць тому +1

    Munhu akupe maisha marefu kamanda wetu

  • @danielamosi6871
    @danielamosi6871 Місяць тому +1

    Kwan nchi niyake

  • @MercyMenyansumba
    @MercyMenyansumba 5 днів тому

    Lisu ni mashine kubwa

  • @ABDULRAHMANIDAS
    @ABDULRAHMANIDAS Місяць тому

    Ukimtendea wema muungwana atakushukuru na ukimtendea wema mpumbavu atakutukana, huyu jamaa ni mpumbavu sana

  • @PeterEwoton-tj1wn
    @PeterEwoton-tj1wn Місяць тому

    Shukuru umoja wa ulaya!

  • @AweMagdalena
    @AweMagdalena 11 днів тому

    Kwanza mikia gani mbona hayo maneno kauli siyo ya kiongozo mkubwa mikia ni aibu

  • @hoseamwambambale3503
    @hoseamwambambale3503 3 дні тому

    Anakosa la kujitetea maana anajua ye ndio anausika kwa mauaji

  • @weremaNyererekisyeri
    @weremaNyererekisyeri 2 дні тому

    Kazi ipo Tanzania uogoz upizani Bado san

  • @chindemasoftware
    @chindemasoftware Місяць тому +1

    Mimi najua siasa ni mchezo mchafu. Nyinyi wenyewe ndo mnachezesha shele huu mchezo. Uaneni ila acha kusingizia serikali

  • @wistonernest1946
    @wistonernest1946 Місяць тому

    Kwanini wasiyojulikana wanaatikana Tanzania wanazaliwa kwetu tu

  • @hoseamwambambale3503
    @hoseamwambambale3503 3 дні тому

    Wenye akili timam wana ongozwa na mtu asie kua na akili apo una zani uongozi uo utakua salama

  • @McDicksonMakabara
    @McDicksonMakabara Місяць тому

    Malipo ni hapahapa Duniani hakuna ujanja

  • @ibrahmuya3528
    @ibrahmuya3528 Місяць тому

    Mimi lisu ananiuzi kumtaja magufuri tuu kwengine kote sawa

  • @AweMagdalena
    @AweMagdalena 11 днів тому

    Ee Mungu hii tuna kwenda wapi

  • @augustinemainde
    @augustinemainde Місяць тому +1

    Mtangazaji mchochezi

  • @abdulwaheedsheikh8015
    @abdulwaheedsheikh8015 Місяць тому

    Mauaji ni mabaya ila mabalozi wa africa hua hawa kosoi mauaji yakifanyika marekani na ulaya ,nafikiri ndo maana

  • @patrickkilongo3214
    @patrickkilongo3214 Місяць тому

    Kitu kinaniuma sana , serekali yetu dereva wa mbunge ana elimu kubwa kuliko mbunge,,,,, kigezo cha kugombea ujue kusoma na kuandika

  • @JastineJonas-r5o
    @JastineJonas-r5o Місяць тому

    ❤❤

  • @MirroIdrisa
    @MirroIdrisa Місяць тому

    Acheni ujinga ndio muandamane pumbavu zenu hata kama ni mm rais siwezi waruhusu nyie wapumbavu wachumia tumbo muandamane

  • @geofreybowden5477
    @geofreybowden5477 Місяць тому

    Kazi ipo ngoja tuone 2025 picha litaendelea vp

  • @KawaduAmada
    @KawaduAmada Місяць тому

    Niwalewale waliyokunywa ujiwa mugonjwa

  • @RizikKilonji
    @RizikKilonji Місяць тому

    Mpo vizul

  • @abrahamuisrael6161
    @abrahamuisrael6161 Місяць тому

    leten na watoto wenu waje apa tz,,wew na lema watoto wenu wapo ughaibuni afu leo uhamasishe watt wa wenzako kuandamana,,jingaa sana hili

  • @AlexanderAmrys
    @AlexanderAmrys Місяць тому

    Alf uyu ndio mchochezi sana wa haya mambo na unataka uraisi kweli ww hufai

  • @stationerykinondoni7241
    @stationerykinondoni7241 Місяць тому

    Kwa maana hii ni kuwa Tz bila kanisa na maaskofu Rais hana nguvu, hii nchi ni ya kanisa?

  • @fakifaki6263
    @fakifaki6263 Місяць тому

    Kama Tanzania anapokea msaada mkubwa kutoka marekani kuliko nchi yoyote .... Israel wasemeje ?

    • @GodwinIssack
      @GodwinIssack Місяць тому

      Ndio uingie kwenye account yake Balozi wa Marekani atakujibu.

  • @AyzalRicco-mi6iu
    @AyzalRicco-mi6iu Місяць тому

    Lisu acha ujinga wako kwani ukigombana na Askof ndio umefeli maisha? Unaongea ujinga mtupu bwege wewe .

  • @camilomassao8971
    @camilomassao8971 Місяць тому

    Na kutupatwa

  • @yohanambatizaji5888
    @yohanambatizaji5888 Місяць тому

    Habari zirizojilo

  • @merrynancesimon1562
    @merrynancesimon1562 Місяць тому

    ❤❤❤❤❤❤❤❤🔥🔥👏👏👏👏👏❤️‍🔥❤️‍🔥❤️‍🔥❤️‍🔥❤️‍🔥

  • @MassaiIsaacs
    @MassaiIsaacs Місяць тому

    Anajili watu wote

  • @bushirially2077
    @bushirially2077 Місяць тому +1

    Huna jipya

  • @abdullahmasakata170
    @abdullahmasakata170 Місяць тому

    Ujinga tu na upuuzi huu usio na maana yoyote.

    • @GodwinIssack
      @GodwinIssack Місяць тому +1

      Si kama wale mnao furahia kutekwa kupotezwa na kuuwawa kwa wa Tanganyika!

    • @nelsonissangya
      @nelsonissangya Місяць тому

      Kam usivyo na akil

    • @abdullahmasakata170
      @abdullahmasakata170 Місяць тому

      @@GodwinIssack Hio Tanganyika kamuulize alie unganisha Tanganyika na ZANZIBAR kuwa Tanzania, alafu tuambieni alikuwa na lengo gani? Jee ni baya au zuri,? Ukijua hilo koma kubwabwaja wewe Mcongomani.

    • @abdullahmasakata170
      @abdullahmasakata170 Місяць тому

      @@nelsonissangya Akili zako zionyeshe tuzione rangi zake na idadi yake na tuambie zinakaaga wapi mtandaoni au kwenye simu yako apo kiunoni.

    • @GodwinIssack
      @GodwinIssack Місяць тому

      @@abdullahmasakata170 mwendawazimu wewe mlaanika na kizazi chako, unaleta upumbavu wako ilihali mbaguzi ninyi mnanufaika Tanganyika yetu wapuuzi wakubwa ninyi! Ukiniita Mimi mkongomani wewe mnani tumbili wewe mkosa Ardhi unaetegemea kila kitu kutoka Tanganyika! Mpumbavu mkubwa kawambia wakosa shule wenzako umasikini wako wa Fikra na Akili.

  • @EdwardBalloho
    @EdwardBalloho Місяць тому +4

    𝔩𝔦𝔰𝔲 𝔪𝔪𝔬𝔧𝔞 𝔫𝔦 𝔰𝔞𝔴𝔞 𝔫𝔞 𝔠𝔠𝔪 100000