HUZUNI: MTOTO ACHOMWA MOTO WA PETROLI NA KUVISHWA TAIRI KISA TSH. 200, ASIMULIA AKIWA HOSPITAL

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 9 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 202

  • @dinakyoma5977
    @dinakyoma5977 День тому +22

    Mweee mweee huu ni ukatili uliopitiliza, Mungu akuponye mwanangu!

  • @Gsamir694
    @Gsamir694 День тому +8

    Ee mwenye zi mungu nakuomba mponeshe huyu mtoto awe mzima milele na milele daima aminaa nimeumia sana poleni sana familia yake yote

  • @LuciaNicolaus
    @LuciaNicolaus 20 годин тому +3

    Pole sana mtoto Mungu wa mbinguni akuponye! Hii ni kaz ya shetani mawakala wake wapo kila sehemu!! Tuombe sana Mungu atutenge na haya

  • @saadamiraji7161
    @saadamiraji7161 День тому +22

    😢ndio mana sitaki mwanangu aje atumwe zaeni watoto wenu muwatume huezi nenda mwenyew

    • @AminaYasser-y6j
      @AminaYasser-y6j 21 годину тому +1

      Niukatili.sanaa

    • @mwajabuhamisi7095
      @mwajabuhamisi7095 20 годин тому +3

      Mm ndomana na wafungia ndani wacheze wenyewe wakisha ludi shule ndani maana watu Wana roho mbaya

    • @PaulinaSemindu-ob3de
      @PaulinaSemindu-ob3de 14 годин тому +2

      200 umchome mwanangu mbn sitokubal ntakufanya kitu kibaya hutosahau Yan ntachemsha maji y moto usijisahau siku yyte nalipiza n Bora ungemsubir mama Ake umuombe Hy 200" hizo bangi mnazovuta mbn zitawatokea pabaya

    • @saadamiraji7161
      @saadamiraji7161 13 годин тому

      @@PaulinaSemindu-ob3de mibange wanayo yachanganya na sumu ya panyaa

    • @PaulinaSemindu-ob3de
      @PaulinaSemindu-ob3de 13 годин тому

      @@saadamiraji7161 kwakwel huwez mchoma mtt kisa 200 jmn na umemtuma ww mwenyewe je angepoteza elfu Tano

  • @nasrahassan7346
    @nasrahassan7346 8 годин тому

    pole mwanangu utapona tu mungu yupo pamoja na ww pole ssna

  • @amidaKyando
    @amidaKyando 22 години тому +1

    Aisee inauma kwa kweli pole sana mwanangu mungu azidi kukuponya

  • @nashnene6326
    @nashnene6326 День тому +7

    Tangu tarehe 6🙌mtuhumiwa polisi hawajui chochote? Lkn kwa vile imekuja ktk media ndio watajidai sasa

  • @chamritaabdul1592
    @chamritaabdul1592 5 годин тому +1

    Hasbiyallahu waneem l wakiil.

  • @MaryyBenjamini
    @MaryyBenjamini 20 годин тому +6

    Mh, jamani mia 200 khaaa huyo mchawi sio bule

  • @DonataJoachimu
    @DonataJoachimu 18 годин тому +2

    Damu ya Yesu ikuponye mtoto mzuri wazazi polen sana kwa ili hao waliofanya huu ukatili wapatiwe adhabu iyoiyo ili waonje hayo maumivu sh 200 ndo ikufanye uwe katili kiasi hiki

  • @EvodiaDominic
    @EvodiaDominic 21 годину тому +3

    Yaani jirani umtume mwanangu, aache Kila kitu chake kwa heshima alafu apoteze 200 tu umuadhibu kias hiki!!!!
    Walah nasemaje... Nasemajee......😭😭😭

  • @sein.208
    @sein.208 19 годин тому

    Subhana Allah
    Astaghafirullah
    Pole sana mwanangu . ALLAH AKUJAALIE SHIFAA

  • @BiubwaMuhammed-un3dt
    @BiubwaMuhammed-un3dt 7 годин тому

    Subhanallh huyo niadui

  • @AminaMkumba-u3z
    @AminaMkumba-u3z 7 годин тому

    We mwenyezi mungu mia mbili ndio Nini jaman.Aliyefanya kitendo hicho wachukuliwe hatua Kali. Halafu mnasema mpende jiran,Loh. pole dada.

  • @kautharjay5868
    @kautharjay5868 6 годин тому

    Pole sana mtoto duu

  • @ConfusedBalkhHound-on2mx
    @ConfusedBalkhHound-on2mx 7 годин тому

    Nyie watu muna roho ngumu jaman mia mbili subhanallah

  • @janengowi-lt9gu
    @janengowi-lt9gu 14 годин тому

    Pole mwanangu huyu jirani hana shukrani kabisa

  • @BiubwaMuhammed-un3dt
    @BiubwaMuhammed-un3dt 7 годин тому

    Maskini wee pole sana Allah atakuwafu mungu atamhukumu hapa hapa duniani

  • @ChristinaHabiye-el3ni
    @ChristinaHabiye-el3ni 14 годин тому

    Dah pole Sana mwanangu

  • @AgnesMakunege
    @AgnesMakunege 14 годин тому +2

    Mmmmh chanzo miambili kweli labda anasababu xake sio bure😢😢😢

  • @FatumaBakari-c3l
    @FatumaBakari-c3l 21 годину тому +4

    Huyu mtu alkuwa n kisadi kingpins au n hiking ch kupotez Mia 200 jmni mbn dunia imeish hvi 😢😢😢😢subnaallah Pole mtto wangu jmni inanimate shifaa y harak boy inshallah

  • @RitbayRitbay
    @RitbayRitbay День тому +6

    Jamani makatili hawpo uarabuni wapo Tanzania kwenye roho mbaya mtoto kama hyu unamfanyia vituko hvo vya kishetani heeee uyo binaadam au shetani kma mm mama heeeee jamani mtoto anauma alfu kampa adhabu hta kwa mungu dhulma. Na hvo vitoto navyo vipigwe bakora sku ya pili vikitumwa vijue kma hii mbaya hii nzr maskini mtoto 😢analiza mpk kuongea tabu hasid uyo mwanaume. Allah amuhasibu kwa dhulma hyo aliomfanyia mtihani.

  • @pendo8082
    @pendo8082 День тому +2

    Jamani 💔 💔 Jamani uwiii nimeumia😢😢😢😢

  • @mariamissa4029
    @mariamissa4029 8 годин тому

    Subhannallah yarrabi nakuomba umpe tahafifu mtoto huyu na walofanya tukio hili wachukuliwe sheria sitahiki

  • @JoyceHosea-m9r
    @JoyceHosea-m9r 19 годин тому

    Pole sana mtoto mungu anakupenda utakuwa sawa

  • @AminaAmine-v4m
    @AminaAmine-v4m 13 годин тому

    Pole sana mtoto.mzur mungu yupo utapona mam😢😢

  • @Fatima-v9k6f
    @Fatima-v9k6f 18 годин тому

    From 🇧🇮 Pole sana mtoto nawao wa waunguze tu mashetani wa kubwa😢

  • @ashuumuhammad8269
    @ashuumuhammad8269 7 годин тому

    Daah mtihaan 😢😢 hivi mtu unapataje ujasiri wakufanya ukatili huu mtoto sio wako unamchoma moto kwa sh.200😢😢 dah pole sana mzazi mwenzng

  • @PatrickDavid-l3p
    @PatrickDavid-l3p 8 годин тому

    Yan ambao amuna watoto wakuwatuma mukijijua muna rohoo mbaya kama hii musitutumie watoto wetu miambili yako kama kubwa siungeenda mwenyewe shetan uyu uswege mungu msaidie mtoto apone araka jaman.

  • @nasrahassan7346
    @nasrahassan7346 8 годин тому

    mungu akuponye mtt mzuri utapona kwa uwezo wa mwenyezi mungu na alie fanya hili aazibiwe😢

  • @LamekiMichael-pz7rv
    @LamekiMichael-pz7rv 19 годин тому +1

    Hadi nimetokwa machozi 😭😭😭😭sijui huyo jamaa yukowapi😳😳💪💪

  • @BiubwaMuhammed-un3dt
    @BiubwaMuhammed-un3dt 7 годин тому

    Jamani samahanini nitakoment sana leo kwasababu imeniuma. Mungu anihifadhi mie nakizaz chngu nawatoto wetu km hao wasionahatia lkn. Mimi nasema huyo alofanya hivi akamatwe jpo kidogo nae awashwe moto aungue km huyu mtoto halafu uzimwe moto aone maumivu yake hlafu asitibiwe aungulie madonda jela km yatapowa au ataoza. Atajuwa mwenyewe. Hasbiyallah waniimal wakeel minsharri hasidin idhaa hasad

  • @Latifaally390Latifa
    @Latifaally390Latifa 16 годин тому

    Subhanallah 😭😭😭ampe tahfifu inshallah jamani Binadamu tunarohoo za kinyamwa hivi sikuhizi

  • @preciousmarya6423
    @preciousmarya6423 17 годин тому +1

    Roho imeniuma jamaniii pole sana mtoto jamanii hii dunia tunaenda wapi unamfanyia unyama mtoto kama huyu

  • @omanoman2044
    @omanoman2044 14 годин тому

    Waaah waah hee kwan watuy wamegeuka magaid kiyas hichi mia 2 subkhan llah yarabi tujalie mwisho mwem mbon dunia imegeuka lailalalah yarabiiy mia mbili sem wanaangalia na familiay mie kwangu hawakanyag wallah

  • @theresiagnganyagwa9153
    @theresiagnganyagwa9153 5 годин тому

    Hee aise sijui ni pepo Gani katuvaa wanadamu kweli umuunguze mtoto kisa sh 200 huu ni ukatili wa hali ya juu

  • @JokhaJokhaabla
    @JokhaJokhaabla 21 годину тому

    Hazbiyallah waniimal wakil .subhanallah yaarab pole sana mtoto mzuri Allah atakupa afya njema Ameen yaarab

  • @AishaNgoyi-vi2ku
    @AishaNgoyi-vi2ku 20 годин тому

    Pole sana mwanangu mungu akuponye haraka

  • @samhadas788
    @samhadas788 9 годин тому

    Wewe uliemchoma mtoto Huna mungu.
    Mungu wa Israel asie lala au kusinzia amponye huyo mtoto

  • @gideonmwaweza8177
    @gideonmwaweza8177 11 годин тому

    Jamani eeeeeh kwanini Mungu tulehemu ni siku mwisho

  • @Zubaiba
    @Zubaiba День тому +1

    Pole sana mwng

  • @MonadiNadi-j6s
    @MonadiNadi-j6s 5 годин тому

    Mm sijui angenibebea kanga shuka au gunia jmn jmn dah hana hta huruma 😭😭

  • @FatimaAbdulla-s4i
    @FatimaAbdulla-s4i 14 годин тому

    Poleni mama na mtoto

  • @ayshahussen7452
    @ayshahussen7452 19 годин тому +1

    Mm ndomana sipendagi wanangu watumwe tumwe😢

  • @jessicamwasandube944
    @jessicamwasandube944 День тому +1

    😭😭😭😭Mungu wangu,pole mwanangu

  • @FloraAndrew-s5q
    @FloraAndrew-s5q 3 години тому

    Ashukuliwe hawo watoto maana bila wawo tungempoteza kijana wetu

  • @matridakaminyoge5801
    @matridakaminyoge5801 19 годин тому

    Pole mwenyezi mungù akuponye nimeumia sana

  • @rayaalhabsi1725
    @rayaalhabsi1725 14 годин тому

    Hasbiya Allah wani'mal wakiil kwa kila dhalim mtoto mdogo maskini. Allah amu ondolee haya majanga yaarab amrudishie afya yake

  • @FatumaBakari-c3l
    @FatumaBakari-c3l 21 годину тому

    Mtoto siku zko ziko nyingi za kuishi Pole aana n mungu atakutangulia dadyyyy Pole

  • @Jack-k6m
    @Jack-k6m 14 годин тому

    Mungu atakuponya ndogo wangu

  • @bahatinassorali5222
    @bahatinassorali5222 День тому +2

    😢mia mbili jamani jamani

  • @AshuraIssa-p7v
    @AshuraIssa-p7v 21 годину тому

    Duuuuuuu mtihan yarab pole mwanangu

  • @vaikaayagadiel520
    @vaikaayagadiel520 17 годин тому

    Yesu wangu, naomba nisikutane na Uswege, ataenda leba, mia mbili!!!!

  • @gracesanga2182
    @gracesanga2182 20 годин тому +1

    Pole Sana mama mungu atamponya, kwa jina LA yesu

  • @Mimi-wf7mb
    @Mimi-wf7mb 11 годин тому

    Jamani jamani! Watu wazima wanafanya ukatili mtoto mdogo hivi? Hadi watoto wenzake ndo wamemuokoa😢

  • @Mery-st4nu
    @Mery-st4nu 9 годин тому

    Tumbo lauzazi limenibana jaman mbona hatuna huruma mia mbili jaman mia mbili😭 unataka kumtoa uhai mtt wa watu tuweni na hofu na mungu au ndo tumeuvaa ushetani nakusahau kuwa tunaishi e mungu nisaidie na unilindie wanangu nimeumia sana mtt mdg unamvisha tairi na kumchoma bira huruma we baba ulaaniwe ugongwe hata na gari na kufa hapo hapo usiombe hata maji

  • @selelimaganga6710
    @selelimaganga6710 7 годин тому

    Aiseee

  • @celinamosha9420
    @celinamosha9420 16 годин тому

    Mungu amlaani huyo jirani

  • @KhadijaMwenda
    @KhadijaMwenda 14 годин тому

    Uwiii wiiiiiii naua mimi aseee

  • @Zuuh4286
    @Zuuh4286 20 годин тому

    Uswege ulanike kabsa kisa mia 200 jaman we binadam gan wew 😢😢😢pole sana mama mtoto

  • @EstherElias-u8o
    @EstherElias-u8o 15 годин тому

    Mtoto anaelezea vizuri mnoo yani Mtoto ni ushahidi tosha

  • @omarymbole9028
    @omarymbole9028 16 годин тому

    Yni Mimi huyo kaka agemla nyma mbchi yn mungu tunaba msada wko mbona inazidi watu roho zahuruma mmeziweka wpi inaumaa mtoto anapata maumivu makali basi angemsubiri mama yake aje amudai iyo Hela kma aliona hel yake niyasamani kuliko kumuumiza mtoto kma hivyo mungu nakuomba msaidi mtoto apone amina

  • @omargargaar5611
    @omargargaar5611 19 годин тому

    Pole wazazi wenzengu poleni snaa huyu walio mchoma wa kufungwa mausha mahasidi wa watoto wtu ina umma sanaa 😢😢😢

  • @owenyatv9142
    @owenyatv9142 20 годин тому

    Mungu mponyeshe huyu mtoto

  • @chimamilion
    @chimamilion 19 годин тому +10

    Mama mwenyewe mkavu yn mimi sijui ningekuwa nahali gan walah nais ningekufa nauyo mtu

    • @joycekalago532
      @joycekalago532 14 годин тому +2

      Kwahiyo akilialia ndio inakuaje? Huo ndio ujasiri wa mwanamke

    • @witnesssabato5457
      @witnesssabato5457 12 годин тому

      Mh sasa usipokua na roho ngumu mtoto analia na ww unalia huo ni utu uzima 😆😆😆 yaani kuwa mkavu haina maana kwamba mtu hana uchungu.

    • @chimamilion
      @chimamilion 10 годин тому

      @witnesssabato5457 he ndo macho yanakuwa makavu ivy😁

    • @amosmwakalundwa3031
      @amosmwakalundwa3031 7 годин тому

      Daa huyu dogo tunaemfahamu hana ubaya shida hekima imemponza ukimwita tu utasikia naam uncle. Mungu ampe afya apone

    • @TatuPembe-p7n
      @TatuPembe-p7n 7 годин тому

      Moto hutakiwi kulia

  • @Fortune-x5q
    @Fortune-x5q 17 годин тому

    Pole shoga jitahidi kumnyoosha shigo

  • @Zubaiba
    @Zubaiba День тому +4

    Kaaah huyu baba ni katili vibaya sana na hao wtt waliomfukuza.wanastahiki adhabu kali

    • @maidaamie648
      @maidaamie648 17 годин тому +1

      Watoto hawana kosa hawakujua kama atafanyiwa hivyo huenda walijua atachapwa2 kama wanavyochapwa watoto wengine

  • @estersaul8180
    @estersaul8180 6 годин тому

    Uwiiii😢😢😢😢

  • @bahatirobert1009
    @bahatirobert1009 12 годин тому

    Dada umejikaza kueleza , MUNGU akutie nguvu,sijui mm ningeweza hata kuongea jamani uwiii

  • @nadraalsaid1862
    @nadraalsaid1862 13 годин тому

    hii si haki kabisaa

  • @SophiaMogitu
    @SophiaMogitu 5 годин тому

    Upo wapi mamy

  • @salmanassor8732
    @salmanassor8732 16 годин тому

    Mia 2 jamani kweli 😢ndo umchome moto na mtoto si wako dahhhh

  • @upendokasagala4035
    @upendokasagala4035 15 годин тому

    Watu wana roho mbaya sanaa 😢

  • @MalaikaBright-rv6yb
    @MalaikaBright-rv6yb 19 годин тому

    Pole sana tunamwombea mtoto uponyaji wa haraka
    Asaidiwe pia sheria ifuate mkondo wake.ikiwezekana uchubguzi wa kina ufanyike kama ni 200 tu ama kuna lingine nyuma ya pazia .mia 200? Shindwa shetani huna mamlaka adui umeshindwa
    Haki itendeke

  • @JoyceAndongwisye-l2k
    @JoyceAndongwisye-l2k День тому +8

    Tumbo limeniuma

  • @LeahFabian
    @LeahFabian 7 годин тому

    Dada uonyeshi uzun ata kidogo

  • @hellennehemia9269
    @hellennehemia9269 19 годин тому

    Aiseee huyo mtuhumiwa sijui ningemfanya nini

  • @SalomeFrancis-x3g
    @SalomeFrancis-x3g 5 годин тому

    Najikuta kulia tu😢

  • @Aisha-lj8bu
    @Aisha-lj8bu 15 годин тому

    Innalillahi wainna ilayhi rajiuun jamani dunia inaendawapi Allah amponye mtoto wetu jamani

  • @Ablahisaid
    @Ablahisaid 22 години тому

    Duu hatar yani 200 tu una katili mtoto weleo mungu atakulani ww na hii dunia uione change na mtoto mwenye anaogea masikini I nauma sna pole mungu akuwafu inshallah

  • @temuramadhani5134
    @temuramadhani5134 20 годин тому

    Dunia kweri Imani imekwisha

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 19 годин тому

    Dunia ime kuwa nyeus 😢😢😢tuna muhitaji MUNGU tuingiapo na tutokapo 😢😢

  • @elizabethraymond6388
    @elizabethraymond6388 18 годин тому

    Daaah watu wabaya sana

  • @Shekhahamed-v2f
    @Shekhahamed-v2f 18 годин тому

    Subhannallah. 200. Jamani

  • @YohanaRichard-e6p
    @YohanaRichard-e6p 7 годин тому

    Ninge kuwa na uwezo wa pesa ninge mtafuta huyo mtu popote alipo , lakini naomba tuungane wazazi wote kumuwajibisha huyo mnyama wa Serengeti .

  • @jemimabakari
    @jemimabakari 16 годин тому

    Marufuku mtu kutuma mwanangu😮

  • @MeryJonh
    @MeryJonh 12 годин тому

    Hizi ni siku za mwisho wapendwa Tutubu😢

  • @iddihamisiharuna8261
    @iddihamisiharuna8261 20 годин тому

    Huyo bwana na yeye ANGECHOMWA MOTO aone hayo mateso aliyoyapata huyo mtoto

  • @JofreyZacharia-zz7dy
    @JofreyZacharia-zz7dy 19 годин тому

    Huyo jamaa afungwe kifungo cha maisha maana ni Muuwaji 😢😢😢😢

  • @NeemaKiria-wz5gh
    @NeemaKiria-wz5gh 18 годин тому

    Mungu wangu

  • @TheofridahChigumbi
    @TheofridahChigumbi 19 годин тому

    Hurumaaaa sana jaman wanadam wamekuwa kam wanyama

  • @Zuwenamchuzi
    @Zuwenamchuzi 20 годин тому

    Mi ndomana sitaki mtu atume mtoto wangu 😢😢😢

  • @RebyMacky
    @RebyMacky День тому +1

    Hao ni wauwaji na walidhamilia wapuuz wakubwa sheria isimaje juu ya huyuu mtt uwezi mtu mzima kammwagia mtt petrol na ukamvisha taili kama sio kuzalmilia ninini iko namtu anasema isije awa watoto wakaleta umbeya duuh

  • @iddihamisiharuna8261
    @iddihamisiharuna8261 20 годин тому

    Mtoto kaeleza vizuri, na ni ukweli ulionyooka, sio maneno ya kukaririshwa, mtoto hadanganyi.

  • @ayshasaid1547
    @ayshasaid1547 12 годин тому

    Jamani nimeumia sana navy akipatikana avaliswe tail achomwe amateur machungu na yy

  • @FatumaSaid-t4r
    @FatumaSaid-t4r 17 годин тому

    Harakati za kutafuta maisha😢maisha yenye kutafutwa yamejificha hayaonekani kabisaaa.

  • @Keyjop
    @Keyjop 16 годин тому

    Uwiiii 😭😭😭

  • @SophiaMogitu
    @SophiaMogitu 5 годин тому

    Serikali tunaomba hili suala lifatiliwe kwa haki Mungu yupo atajibu kwa haki pia mia mbili si angesema achangiwe

  • @witnesssabato5457
    @witnesssabato5457 12 годин тому

    Mh ndo watu wanasema mbeya watu wanahofu ya Mungu 😢😢😢😢

  • @MiriumWajey-lr1tq
    @MiriumWajey-lr1tq 15 годин тому

    Binadam sahivi tumekuwa na roho za wanyama za kikatili sana Allah tupe mwisho mwema