HAWA NDO WASANII WASOMI ZAIDI TZ! DIAMOND JE?

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 жов 2019
  • #sirizabongo

КОМЕНТАРІ • 580

  • @gabialbin3
    @gabialbin3 2 роки тому +7

    😂😂 aliyeskia jux kazaliwa 1889 gongA like hapa

  • @angalikiyanajeanmariemerci4758

    Professor jay

  • @kassimalikahal9532
    @kassimalikahal9532 2 роки тому +1

    Hi,
    Mcheki chemikali, yupo kimasomo. Sugu, profesa jay,

  • @Kibandulo
    @Kibandulo 4 роки тому +137

    ᴬᴸᴵᴱ ˢᴵᴷᴵᴬ ᴶᴵᴺᴬ ᴸᴬ ᵛᴬᴺᴱˢˢᴬ ᴹᶻᴱᴱ ᴳᴼᴺᴳᴬ ᴵᴵᴷᴱ ᴬᴾᴼ ᵀᵁˢᴱᴾᴱ

  • @neemaelis3939
    @neemaelis3939 4 роки тому +45

    😂😂😂😂😂😂aliesikia et jux amezaliwa mwaka 1889 twende sawa 😂😂😂👐👐

    • @maulidimpindo6155
      @maulidimpindo6155 4 роки тому +1

      Uyooo jamaaa kafata storry kutoka mitaani Maana Ana uwakika na asemayo Angewafata wausika kuwaojii nasio kukurupuka kuongea haya sasa jux kazaliwa 1889 uwooo mwaka hata sizani kama bibi yake kazaliwa

    • @neemaelis3939
      @neemaelis3939 4 роки тому

      @@maulidimpindo6155 😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @geradyamiry6875
      @geradyamiry6875 4 роки тому

      Mpindo ,1889,mtangazaji ulikua. ni mkataba. Wa Heligoland. Treaty,amezaliwa. 1922

    • @neemaelis3939
      @neemaelis3939 4 роки тому

      @@geradyamiry6875 😂😂😂😂😂👐👐👐👐👐

    • @nzeyimanaabdallah131
      @nzeyimanaabdallah131 4 роки тому +1

      Niko apa🤣🤣🤣

  • @arqamibnarqam.7185
    @arqamibnarqam.7185 4 роки тому +35

    Elimu na Akili ni vitu viwili tofauti.

    • @vedastokeya3344
      @vedastokeya3344 3 роки тому

      Na wala havifanani

    • @annieplacidia535
      @annieplacidia535 3 роки тому

      Fact

    • @taturajabu5977
      @taturajabu5977 3 роки тому

      Unaweza ukawa na elimu na usijue kuibadili elimu kuwa maisha safi,unaweza ukawa hujasoma ata darasa 1 lakini mambo yakawa mukide

  • @mosesibrahim4197
    @mosesibrahim4197 4 роки тому +5

    Jamaa punguza uongo basi
    Aty Vanessa Mzee
    Aty jux kazaliwa 1889?!
    Duuh that's too much

  • @jimmymbella4362
    @jimmymbella4362 4 роки тому +5

    Mtangazaji naww unaongea ovyo ovyo Sana Kaka bila ata mpangilio daah kuchapia Sasa ndo usiseme🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @gracemichael876
    @gracemichael876 4 роки тому +71

    Hahaha aliyeckia jux kazaliwa mwaka 1889 alike hapa

  • @user-tg5dr5xy1s
    @user-tg5dr5xy1s 3 місяці тому +1

    Kwahyo jux ana umri wa miaka 135 Kwa sasa duh! Kweli hatari, unazingua mtangazaji jaribu kua siriaz na unachokifanya

  • @NtakirutimanaFabrice-rn4yr
    @NtakirutimanaFabrice-rn4yr 5 місяців тому +1

    Vanessa Mzee na Babu Jux Shkamon Bibi na Babu 😂😂😂😂😂😂

  • @youngloyclassic3173
    @youngloyclassic3173 4 роки тому +7

    Jamaa anachapia

  • @nashally6485
    @nashally6485 4 роки тому +2

    Aseee brooo jux 1889 ctaki kuamni anamiakaa 131

  • @user-ps6tr7ef3y
    @user-ps6tr7ef3y 5 місяців тому +1

    Anachapia sana eee aseme jux kazaliwa 1889 eee

  • @joejamtukufu4299
    @joejamtukufu4299 4 роки тому +11

    Izzo bizness moni central zone mo music

  • @richardtemu9431
    @richardtemu9431 4 роки тому +10

    Mjomba unachapia Sana uwongo uache

  • @magrethgermanus1815
    @magrethgermanus1815 4 роки тому +5

    Vaness mzee

  • @dicksonsheja251
    @dicksonsheja251 4 роки тому +5

    Fid q , black Rino , Mlisho mpoto na utupe pia na elimu ya akina Chic benzi

  • @nobertmarinus286
    @nobertmarinus286 4 роки тому +6

    Hamna kitu Hapo..unatangaza ama unaongea hakuna mpangilio wa maneno kwa kifupi ht kunyoosha sentensi ya kiswahili ikaeleweka huwezi..bro Rudi kajifunze.

  • @peteradonga7668
    @peteradonga7668 4 роки тому +3

    Uyu Presenter pia Hajasoma Vizuri,pia yeye hana Elimu sana.

  • @mohammedaliabdallah5508
    @mohammedaliabdallah5508 4 роки тому +7

    Nikki mbishi, Black Rhino na Mh. SUGU aka mr.2

  • @ibrahimlupenza8954
    @ibrahimlupenza8954 3 місяці тому +1

    kumbe jux ni zinjathropas na hamsemi🤣🤣🤣🤣

  • @mulahrashidy9047
    @mulahrashidy9047 4 роки тому +2

    Go straight to the point....unakua na maelezo mengia aisee...but nakubali kaz zako

  • @milleniyahmohamedy8787
    @milleniyahmohamedy8787 4 роки тому +8

    Wewe hujui kutangaza

  • @nyanganatasha7364
    @nyanganatasha7364 4 роки тому +9

    Usanii ni talent

  • @peterbartalomengowi2913
    @peterbartalomengowi2913 4 роки тому +2

    Nice

  • @nancymathias2332
    @nancymathias2332 4 роки тому +3

    Vanessa mzee Ni Nan lakn jmn jux 1886 unachapia mno khaa

  • @jumaamanandi4329
    @jumaamanandi4329 4 роки тому +29

    Jux kazaliwa mwaka elfu MOJA MIA NANE 😂😂😂

  • @khajutzan4391
    @khajutzan4391 4 роки тому +2

    spark

  • @leonardsimon2148
    @leonardsimon2148 4 роки тому +11

    Kwataarifa yako wewe msomaji na mtazamaji ni kwamba jux amefikisha umri wa miaka 131 😂😂😂 huyu ndo binadamu Mzee zaidi kwa sasa😂😂😂😂 1889-2020

  • @tantinebettynduwimana380
    @tantinebettynduwimana380 4 роки тому +6

    Ndo maana wana hipop wanaimba maneno ya busara kumbe wengi wzmesoma👍👍👍👍

  • @ahmadymuhina3100
    @ahmadymuhina3100 4 роки тому +12

    vanessa mzeee🙌🙌🙌

    • @neemaelis3939
      @neemaelis3939 4 роки тому +1

      😂😂😂😂😂😂mecheka san

    • @ommytv9424
      @ommytv9424 4 роки тому +1

      Jaman mi nacheka kwakwer anachapia huyu

  • @dwaynemnyama5791
    @dwaynemnyama5791 4 роки тому +4

    Hahahahahaha! Unakula kishako we jux amezaliwa 1889 hahahahahaha! Ananya Nini mpka sasa acha kutudanganya maeeee wweeeeeeeee

  • @nickjuma3937
    @nickjuma3937 4 роки тому +1

    Mtangazaji hujui kazi yako unameza meza mate kama mnywa gongo!

  • @johnsilima6789
    @johnsilima6789 4 роки тому +17

    Gonga like kama unaamini elimu sio ya muhimu zaidi ya pesa hawa wote wako chini ya Diamond,harmonize,alikiba,rayvany,ommy dimpoz kwa wasanii wenye mkwanja mwingi na wanao hit zaid

    • @abuumnyama7202
      @abuumnyama7202 4 роки тому +1

      John Silima

    • @maselemaseleboy7768
      @maselemaseleboy7768 4 роки тому

      Kabsa elim nikupoteza mda tu!

    • @raphaelsamwel2640
      @raphaelsamwel2640 4 роки тому +3

      Wanalinganisha elimu sio pesa hacha uzwazwa!!! Pesa hata mashoga wa marekani wanazo na ni matajiri duniani pumbaf

    • @susanwairimu4695
      @susanwairimu4695 4 роки тому +1

      Elimu kila kilakitu
      Money can't buy education
      If you are star and think you are famous with education you are wrong
      You be only famous in your country
      To be a famous you need education
      Advice to the parent to educate their children in how education is most important,
      How will a parent feel that you did not give your son or daughter education
      Then is some and they become someone in future you did know English your son or daughter did not understand because you didn't not give education

    • @raphaelsamwel2640
      @raphaelsamwel2640 4 роки тому

      @@susanwairimu4695 hiyo lugha ya watu unaiharibu aisee!! Lakn afadhali wewe kuliko akiharibu phd s lazima tujiuluze maswaii very critical!!! Kuliko kushabikia na kuacha kushughulikia tatizo!! Our education system need to be revisted!!!!!!!

  • @Forevermoretz
    @Forevermoretz 4 роки тому +3

    Wewe veep mtangazaj mbna manen meng sana asee3ee

  • @rehemagala4957
    @rehemagala4957 4 роки тому +2

    Jaman jucx ni mbabu wa Babu dadek

  • @edcheeks5781
    @edcheeks5781 3 роки тому

    Mr beneficial

  • @muanashaswaleh5110
    @muanashaswaleh5110 4 роки тому +1

    Mwamcheka daimond hakufika mbali lakini amewashinda hela kuliko hao wasomi kuwatajiri sikusoma pekeake

  • @anasiamacha2543
    @anasiamacha2543 4 роки тому +4

    Illa kusema ukwelii mi sijakuelewaa mtangazajii alf cha kukushauri tafta kazi ingine ya kufanyaa

  • @dicksonmrema8836
    @dicksonmrema8836 4 роки тому +16

    Aliyesikia vanesa mzee tujuane hapo

    • @CARL-S_MPESHA
      @CARL-S_MPESHA 4 роки тому +1

      mimi hapa.... na Jux kuzaliwa 1889?? 😂😂😂

  • @noahbirigi8650
    @noahbirigi8650 4 роки тому +2

    Jux kuzaliwa kwake

  • @eliamanimathayo8898
    @eliamanimathayo8898 4 роки тому +1

    Kunaa hajaa ya kufanyaa tafitii zaidi kablaaa ya kuletaa habar kwa jamii ...kunaa taarifa nyingi hazipo sawaa

  • @maulidigadner304
    @maulidigadner304 4 роки тому +8

    Kekekekeke nchi jirani ya Nairobi hatari

  • @salomeoky1864
    @salomeoky1864 4 роки тому +1

    Good

  • @leevanbrightt325
    @leevanbrightt325 4 роки тому +2

    jux babuu

  • @princessshannia4215
    @princessshannia4215 4 роки тому +7

    Wewe umesoma

  • @middleplatnumz3629
    @middleplatnumz3629 4 роки тому +10

    Vanessa mzee oyeeeee😄😄😄😃😃😃😃😂🤔

  • @emmydzoo8729
    @emmydzoo8729 4 роки тому +13

    Diamond ,kasomea mademu school ,sababu mpaka hapo kwaela alizonazo asinge kosa elimu anaendekeza madamu tu

  • @kenjipressident8630
    @kenjipressident8630 4 роки тому +14

    hahahah alie sikiaa jux kazaliwa mwaka 1889 gonga like hapaa

  • @salumabdallah2211
    @salumabdallah2211 4 роки тому +2

    Ww Wala haujui wasanii wasomi.eti niki wa 2 cpwaa ndie kichwa Kati ya hao.ulio wataja.

  • @paschalcosmas6093
    @paschalcosmas6093 4 роки тому +8

    Ila mzee baba ulimi wako unatereza xn punguza kula mrenda

  • @gracejohn886
    @gracejohn886 4 роки тому +3

    Kajux kameula bwana 🤣1889 binadam wa maajabu azeeki aingie kwenye rekod najivunia tz

  • @alirashid3239
    @alirashid3239 4 роки тому +3

    hahaaa kiba vs mondi ndo elimu za chini kabisa but hela imelala hapo heshima pesa

    • @taturajabu5977
      @taturajabu5977 3 роки тому

      Kweli heshima pesa,shikamoo kelele tuu

  • @erickmajula5425
    @erickmajula5425 4 роки тому +1

    Jux kazaliwa mwaka 1/September/1889 ww jamaa unapotosha sahihisha aisee

  • @zakayomarlow7776
    @zakayomarlow7776 4 роки тому +1

    Huo mwaka aliozaliwa jux wewe muongo sana huwezi kutudanganya cc

  • @mubbahbaro3344
    @mubbahbaro3344 4 роки тому +1

    Hongera

  • @rosemarypeter9786
    @rosemarypeter9786 4 роки тому +3

    Mtangazaji anazingua..

  • @Jackhanstv
    @Jackhanstv 4 роки тому +3

    Wanaelimu lakini anaewaongoza ana io elimu yao

  • @julianamisasi8901
    @julianamisasi8901 4 роки тому +5

    Sauti yako inaudhi sana

  • @jacksonpeter1595
    @jacksonpeter1595 3 роки тому +2

    whuzu umemsahau moshi cooperative university

  • @mathaniessaukibuti3660
    @mathaniessaukibuti3660 3 роки тому

    Kaka una ji Uma Uma Sana hauna uhakika jiangalia mzee wang

  • @christopherpaulrwehumbiza4244
    @christopherpaulrwehumbiza4244 4 роки тому +3

    Nairobi nayo ni nchi 😂😂😂

  • @mwamfise2314
    @mwamfise2314 4 роки тому +3

    Kutangaza bado Rudi mazoezin

  • @mcarnerdishax3065
    @mcarnerdishax3065 4 роки тому +3

    Unazngua😙😙

  • @nawinahke710
    @nawinahke710 4 роки тому +11

    Wenye hamjasoma jiwekeni comments zenu zenye feelings 🤣🤣🤣

    • @taturajabu5977
      @taturajabu5977 3 роки тому

      Kusoma kwiyooo?unaweza usisome na mambo yakaenda kuliko huyo wa madiglii

  • @saymarsaymar4654
    @saymarsaymar4654 4 роки тому +2

    Mtangazaji unaboa sana, mada nzuri ila unavyotangaza ndio hamna kitu

  • @joiana4663
    @joiana4663 4 місяці тому

    Hongera Nicky_wa_pili

  • @ashurahaji-gx1oo
    @ashurahaji-gx1oo 2 місяці тому

    Mmhhh mtangazaji anakera kumsikiliza

  • @yumna128
    @yumna128 4 роки тому +1

    Jamani jux kazaliwa 1889 duh mtangazaji chenga 😄😄

  • @graceniyonzima3130
    @graceniyonzima3130 4 роки тому +15

    Vanessa Mzee🤣🤣🤣🤣

    • @adimonmichael8312
      @adimonmichael8312 4 роки тому

      Acha uongo brother ujui kitu acha kutudangany mnatumlizia tu bando

    • @yustakilenga1786
      @yustakilenga1786 4 роки тому

      Yusta kilenga hongera Kaka mwana fa

  • @thomacethemu633
    @thomacethemu633 4 роки тому +5

    Vee dollars 😍

  • @allysimon2800
    @allysimon2800 4 роки тому +7

    Unazngua jux alizaliwa 1889

  • @emanuelmpiga3694
    @emanuelmpiga3694 4 роки тому +1

    Mwamba a see jitahidi uweze kutangaza vizurii unazinguaaa

  • @adamkapolo8817
    @adamkapolo8817 Рік тому

    Mtangazaji bado sana hamna kitu hapo kasome

  • @ibrahimgwasma235
    @ibrahimgwasma235 4 роки тому +7

    Jamaa ni mwongo Sana eti hata kujua Kiingereza ni kusoma eti ,,,

  • @edsonerasto3951
    @edsonerasto3951 4 роки тому +4

    Nick hajapata PHD hua anaahirisha kila mwaka! Amegraduate masters tu

  • @GaudenceGaudence-bf9mn
    @GaudenceGaudence-bf9mn 6 місяців тому

    Ni vizuri wasanii kuwa wasomi

  • @adamunyeme7372
    @adamunyeme7372 3 роки тому

    umemsahau NANDY naye ni msanii ayekwenda while na anaelimu ya juu

  • @emmanuelkajey9057
    @emmanuelkajey9057 4 роки тому +9

    Mwaka aliozaliwa juma jux sio wa kizaz iki

    • @Ashsultana
      @Ashsultana 4 роки тому

      Emmanuel Kajey 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @irenemsengi6578
    @irenemsengi6578 2 роки тому

    hujui kutangazaa

  • @zainabukhamis9709
    @zainabukhamis9709 2 роки тому

    kusom ni moj y kuek maleng kwenye maixh kuhx kityu flan are diamond anakipj but kawez kueka saw maixh yak

  • @samwelsengati1369
    @samwelsengati1369 4 роки тому +8

    Makala yako ni nzuri ila kwa wale wenzangu ambao utangazaji ni ni professional wameshakushtukia umezingua pakubwa

  • @rahimudanga2273
    @rahimudanga2273 4 роки тому +2

    Mungu wangu jux eti mtu wa morogoro na mtwara halafu kazaliwa 1889

  • @silajihauseni6480
    @silajihauseni6480 4 роки тому +1

    Unachapia sana

  • @festinamwakipale3919
    @festinamwakipale3919 7 місяців тому

    Elimu.yao wasanii.haijawasaidia wanawaza kuiangamiza.Tanzania na.nyimbo zao na mavazi yao

  • @kondosaid216
    @kondosaid216 2 роки тому

    Duuuh jux amezaliwa mwaka 1889 khaaa bongo sihami shobo kibao hadi unachapia

  • @mariamukajiru1898
    @mariamukajiru1898 4 роки тому +7

    HAO WENYE ELIMU NDOGO NDIO WAMEWEKEZA KWA KIWANGO KIKUBWA NA KUAJIRI WA- TZ WENZAO, TUSIKARIRI SIFA YA ELIMU YA KWENYE MAKARATASI.

  • @user-el4gs7fp4x
    @user-el4gs7fp4x 7 місяців тому

    Lau wa John

  • @abdallahdachi5732
    @abdallahdachi5732 4 роки тому +1

    Kabebe zege

  • @maswadigitaltv
    @maswadigitaltv 4 роки тому +9

    Mimi sitaki kuongea sana ila hujui kupresent

    • @selemanmaganga6013
      @selemanmaganga6013 4 роки тому

      Kweli kabisa jamaa anaboa saana, anaongea saana vitu vya nje ya point, video ya dkk 3 inakuwa na dkk 12.

    • @top3newsdaily.794
      @top3newsdaily.794 4 роки тому

      Ety

  • @jumaseif8321
    @jumaseif8321 4 роки тому +1

    Jalibu kutafiti vizuli jux hana umli hio wa kuzaliwa 1889.mbona fala ivo acha kutudanganya

  • @shafyally8129
    @shafyally8129 4 роки тому +1

    hujui kuprexent

  • @najmaabby5034
    @najmaabby5034 4 роки тому +2

    Duh jux kazaliwa 1889?? Hatari sana

  • @sudygabasudygaba5231
    @sudygabasudygaba5231 4 роки тому +1

    Nikki wa pili hatari

  • @bernadetanyendo5769
    @bernadetanyendo5769 4 роки тому +1

    Mbona akutaja innos,b

  • @joejamtukufu4299
    @joejamtukufu4299 4 роки тому +1

    God zilla

  • @editakivuti5887
    @editakivuti5887 4 роки тому +7

    Wa Tz why are you killing me with your comments😂😂😂😂😂

  • @najmaabby5034
    @najmaabby5034 4 роки тому +1

    Lugha na sio luga mweee

  • @babasandra638
    @babasandra638 3 роки тому

    Elfu moja mia NANE😂😂😂😂😂