Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Umenifunza mapishi mengi mpenz nakupenda sna Mwenyez Mungu akuifadh zaid
Ameen.
Wow Masha Allah for sharing nilitamani kujua jinc ya kupika Allah akujaze khery zote insha Allah
Masha Allah uko vizuri
MashaAllah MashaAllah. You are the best chef on you tube. May Allah reward you greatly kwa kutufunza Inshaallah.
Thank you so much. Ameen❤😘😘
Definitely 👌
Mashaallh
Asante kwa kutufunza mapishi mazuri Allah akupe afya njema
Looks easy wait untill I enter the kitchen🤣 شكرا جزيلا 🤩
😂😂😂😂😂
sabby sam uuhhmmm,known hui go
😂😂😂
Mashallah nimeipenda hiiAllah akulipe kwa kutupa maujuziTusiachike kwa kutojua mapishi
Maa shaa Allah shukran sana Habbibt
Masha Allah I'll try
Yani nitaijaribu thank u so much, I love mandi sikujua inapikwaje
Mash allwaaa hongeraa
MASHAALLAHU, WEWE NI MPISHI MZURI SANA HUNA MPINZANI
Maashaallaah kwa iyo lazima nyama ukaange
MashaAllh❤
Maashaallah
Mashaĺlah ubarikiwe sana
Mashallah linavutia ila sijaelewa hyo BAY LAVE (hlo jani) ni jan gan hlo?
Mashallah Shukran hbbty.
Upishi wako mzuri. 🌷Thanks; kwa fikra yangu ukitoa soup nyingi ndani ya nyama; nyama inakua haina ladha. Glass moja ya soup inatosha
Asante kututafsiria mahitaji kwa kiingereza, Kama hiyo nutmeg ningechemsha lugha. Asante Sana will try this
Thank you nimefurahia mapishi haya In shaa Allah nitajaribu Napenda sana mandi but hununua
In sha Allah ❤
MashaAllah mashaAllah
mashaallah shukran jazilah
Mashallah habibty nzuri Sana nitaujaribu inshallah
Shukran masha'Allah ❣️
Nzurisana, nimependa sana najaribu kesh
Shukran habibty
Mashallah napenda sana mapishi yako
Aa VP hali mapishi mazuri sana nifundishe labaniya ya njugu kama unaijuwa nitafurahi
Ws. Shukran❤. Recipe ya labania tayari ipo katika channel yetu. Search mapishi rahisi kashata za njugu utapata
Ma shaa Allah..
Thank you for sharing
ماشاءالله تبارك الله 😍
Sister where u from,l think kenya u have good experience
mashallah nimependa mandi yako coz iko na vitu vyote supu chatine .
Mashallah barak wallah fik
Mshlah ajabb
nice
Nzuri sana
Maa shaa Allah
MashaAllah. Very nice n Yummy 😋. Shukran 🙌🏽
Thank you ❤
Salam alekum
MashaAllah niko na swali mix spices nitatumia zile za supermarket ama nitapata wapi
Ntapika inshallah halafu ntakutumia insta jazakallah khairi kweli hapa ni mapishi rahisi hakuna shaka
rahis kwel
Nice. Where can we get the siever
Mashaallah
Mashallah thanks so much
Sauti murua changanya vizuri ongeza kidogo supu ilo bakia hadi raha
Assalam aleikum warahmatullahi wabarakaatuh. Hicho kidude kama kichujio chaitwaje?
MashAllah .. pls tufundishe na kabsa,maglobah😋
Ok in sha Allah dear nitawafanyia
This Art at is perfection
Mandi tamu sana asee
How amazing the food is by looking, thank you for the amazing recipe
Huyu dada anajua kweli kukaanga hio recipe iko mpaka na kungu manga... Mama yangu hii menu nikila nitajenga nyumba hewani
Nimecheka Sana nyumba hewaniiiii
Nyama waweka kwa Oven for how long
kwa eid hy masha.allah
Uje unipikie basi
@@Pedeshee01 ntampikia mmewangu nawatt.naw mwambie mkeoo.
Sina mke kama ungekuwa bado hujaolewa ningeleta posa kwako ila basi ushakuwa mke wa mtu🏃♂️🏃♂️🏃♂️kwa heri
Thank you sweetheart 💕
Its very delicious 💋💋💋💋
Napenda unavyoongea kama mtoto
Thx
I love I love I love 😍
Kama huna oven
What did you use to wrap the whole spices?
Secondly
Tammy
Yeeey!am the first person
❤❤❤
ntapata wapi in mombasa io kama chungio
Dah mambo meng mno
Mashaallah😍
Nimependa channel yako, pia niko na channel na nasoma mengi kwako has a swahili food, Asante
Mandi ni ka mrorongo
Kitunguu cha purple si maji
I feel hungry
Wacha mimi nikwende jikoni upike mandi
Please put some subtitles for your videos, Some of us don't know the ingredients in Swahili
All ingredients are available in English in the description box dear 😊
@@Mapishirahisi thank you so much, i really do love your recipes
Wali unafukizwa ...hatariiiiiiii duh
dada weka namba
Tuoneshe jisi yakutengeneza pililiri
😍😍😍😍
Swaumu na tangawizi uweki
Nimependa nitajalibu ...ila pole naona una tatzo kama rangu la kubwana n pumzi nasikia kwambali unavyopumua
Asante kwa mapish yko
Tafuta mtu akusaidie kuongea hujui kuongea
Nice
Kama huna ovener je
MashaaAllah
Umenifunza mapishi mengi mpenz nakupenda sna Mwenyez Mungu akuifadh zaid
Ameen.
Wow Masha Allah for sharing nilitamani kujua jinc ya kupika Allah akujaze khery zote insha Allah
Masha Allah uko vizuri
MashaAllah MashaAllah. You are the best chef on you tube. May Allah reward you greatly kwa kutufunza Inshaallah.
Thank you so much. Ameen❤😘😘
Definitely 👌
Mashaallh
Asante kwa kutufunza mapishi mazuri Allah akupe afya njema
Looks easy wait untill I enter the kitchen🤣 شكرا جزيلا 🤩
😂😂😂😂😂
sabby sam uuhhmmm,known hui go
😂😂😂
Mashallah nimeipenda hii
Allah akulipe kwa kutupa maujuzi
Tusiachike kwa kutojua mapishi
Maa shaa Allah shukran sana Habbibt
Masha Allah I'll try
Yani nitaijaribu thank u so much, I love mandi sikujua inapikwaje
Mash allwaaa hongeraa
MASHAALLAHU, WEWE NI MPISHI MZURI SANA HUNA MPINZANI
Maashaallaah kwa iyo lazima nyama ukaange
MashaAllh❤
Maashaallah
Mashaĺlah ubarikiwe sana
Mashallah linavutia ila sijaelewa hyo BAY LAVE (hlo jani) ni jan gan hlo?
Mashallah Shukran hbbty.
Upishi wako mzuri. 🌷Thanks; kwa fikra yangu ukitoa soup nyingi ndani ya nyama; nyama inakua haina ladha. Glass moja ya soup inatosha
Asante kututafsiria mahitaji kwa kiingereza, Kama hiyo nutmeg ningechemsha lugha. Asante Sana will try this
Thank you nimefurahia mapishi haya In shaa Allah nitajaribu Napenda sana mandi but hununua
In sha Allah ❤
MashaAllah mashaAllah
mashaallah shukran jazilah
Mashallah habibty nzuri Sana nitaujaribu inshallah
Shukran masha'Allah ❣️
Nzurisana, nimependa sana najaribu kesh
Shukran habibty
Mashallah napenda sana mapishi yako
Aa VP hali mapishi mazuri sana nifundishe labaniya ya njugu kama unaijuwa nitafurahi
Ws. Shukran❤. Recipe ya labania tayari ipo katika channel yetu. Search mapishi rahisi kashata za njugu utapata
Ma shaa Allah..
Thank you for sharing
ماشاءالله تبارك الله 😍
Sister where u from,l think kenya u have good experience
mashallah nimependa mandi yako coz iko na vitu vyote supu chatine .
Mashallah barak wallah fik
Mshlah ajabb
nice
Nzuri sana
Maa shaa Allah
MashaAllah. Very nice n Yummy 😋. Shukran 🙌🏽
Thank you ❤
Salam alekum
MashaAllah niko na swali mix spices nitatumia zile za supermarket ama nitapata wapi
Ntapika inshallah halafu ntakutumia insta jazakallah khairi kweli hapa ni mapishi rahisi hakuna shaka
rahis kwel
Nice. Where can we get the siever
Mashaallah
Mashallah thanks so much
Sauti murua changanya vizuri ongeza kidogo supu ilo bakia hadi raha
Assalam aleikum warahmatullahi wabarakaatuh. Hicho kidude kama kichujio chaitwaje?
MashAllah .. pls tufundishe na kabsa,maglobah😋
Ok in sha Allah dear nitawafanyia
This Art at is perfection
Mandi tamu sana asee
How amazing the food is by looking, thank you for the amazing recipe
Huyu dada anajua kweli kukaanga hio recipe iko mpaka na kungu manga... Mama yangu hii menu nikila nitajenga nyumba hewani
Nimecheka Sana nyumba hewaniiiii
Nyama waweka kwa Oven for how long
kwa eid hy masha.allah
Uje unipikie basi
@@Pedeshee01 ntampikia mmewangu nawatt.naw mwambie mkeoo.
Sina mke kama ungekuwa bado hujaolewa ningeleta posa kwako ila basi ushakuwa mke wa mtu🏃♂️🏃♂️🏃♂️kwa heri
Thank you sweetheart 💕
Its very delicious 💋💋💋💋
Napenda unavyoongea kama mtoto
Thx
I love I love I love 😍
Kama huna oven
What did you use to wrap the whole spices?
Secondly
Tammy
Yeeey!am the first person
❤❤❤
ntapata wapi in mombasa io kama chungio
Dah mambo meng mno
Mashaallah😍
Nimependa channel yako, pia niko na channel na nasoma mengi kwako has a swahili food, Asante
Mandi ni ka mrorongo
Kitunguu cha purple si maji
I feel hungry
Wacha mimi nikwende jikoni upike mandi
Please put some subtitles for your videos,
Some of us don't know the ingredients in Swahili