assalam aleykum, pole sana sheikh walid kwa kuondokewa na mzee wetu,innalillahi wainnailaihy raajiun, tunamuomba Allah ampe qaulthabit amsameh makosa yake,nawewe Allah akupe moyo wa subra inshaallah,
Asalam Aleikum ,Jazzakallahu Khair Sheikh Wetu Allah Akupe Umri ulio na Barakah,MashaAllah Kanzu imekupendeza Sana,nimeipenda namimi sijui nitapata wapi Kama hiyo sheikh wangu.
Amin sheikh mwenyezi Mungu akupenguvu amin
G
Nimeyapenda sana mawaidha haya.kila wakati nayarudia rudia.Asalaam Alaikum sheikh.
❤❤❤nampend San shekh walid mungu atulind sote
Mashallah. Tunastafid hakika na pia twavuna Elimu. Shukran laka ya sheikh
Jazaakka Allah
Mashaallah
Ma Shaa Allah shekhe nakupenda kwa ajil ya Allah
Maashallah mawaidha kuntu.shukran sheikh wangu
دمعز الله عزك في خدمة الإسلام والمسلمين،وزادك الله بسطة في العلم،والجسم،والرزق ،يا بن أستاذي الذي هو
خزينة علم التجويد المدفونة في دار السلام .
Asalam alaikum warahmatullahi wabarakatuh, Allah akulipe kheri kwa mafunzo mazuri
Mashallah Allah akuhifadh nasi wasikilizaji atujaaalie tuwe ni wenye kuyafanyia kazi inshaallah
Asalam alaykum warmatullah wabarakatuh sheikh wangu uhali gani naomba uniombee Dua Allah anijaale elimu yenye manufaa .
Aslm alkm ww... Jazakallah kheir 🙏
assalam aleykum, pole sana sheikh walid kwa kuondokewa na mzee wetu,innalillahi wainnailaihy raajiun, tunamuomba Allah ampe qaulthabit amsameh makosa yake,nawewe Allah akupe moyo wa subra inshaallah,
Halhamdu Lillah kwa mawaidha mazuri m/mungu akulipe kama anavyohaidi amina
Shukran lakum jazlhlaaa
Mashallah kisa kizuri
Asalam Aleikum ,Jazzakallahu Khair Sheikh Wetu Allah Akupe Umri ulio na Barakah,MashaAllah Kanzu imekupendeza Sana,nimeipenda namimi sijui nitapata wapi Kama hiyo sheikh wangu.
Mashallah
Salallahu Alaihi Wasalam ❤️❤️❤️
Mashaalah shukran
Assalam alleykum warahmatullah wabarakatuh naomba namba za sheikh walid
Mashallah