Wasio julikana leo wame julikana na ku onekana wazi mchana kweupe peeh! Wenye ndugu zao walio potea na kuuawa katika mazingira ya ku tatanisha, wahusika wamojawapo ndiyo hawa! Mungu awape nini tena? Ana waumbua mchana kweupe kabla ya ku rudi kwa “YESU KRISTO”, Amen 🙏🏾🥹!
Niliyekwa na polisi wariova kilaia walitesa na baada kama wanyedkuijua haki kunifuatilia niliachiwa kwa kupewa kesi yamchongo tena mauaji nyie leo ndoo mnaona jueni nipolisi wenyewe na wanalindana
Wakanyongwe tu kusudi iwe fundisho kwa hao Wauwaji poa na Vyongonzi wanalifahamu hili swala haya Mwaka 2025 Tutafikiya wapi ? Kwa Samia suluhu na Kikwete wake R.I.P Rais wetu Mpendwa J.P Magufuli
TUNAKUWA KIZABIZABINA BADALA KUTOA MAONI YANAYOLETA MANUFAA KWA WOTE, KULALAMIKIA POLISI, POLISI, POLISI, KAMA VILE WAPO KILA KONA ZA MITAA. MTAANI TUNAMOISHI NDIPO WALIPO HAWA WAHUNI NA VITENDO VIOVU, HUTUWASEMI SABABU KUWAOGOPA..
Kunaman kwer Tanzania limboka kipindi Cha kikwet alitolewa meno Ben sanane hazole gwand a mdude Mohamed moo nchi yaman maskof wachungaji mashehee tuko wap tumekua machawa na sis tujitafakali
Wasio julikana leo wame julikana na ku onekana wazi mchana kweupe peeh!
Wenye ndugu zao walio potea na kuuawa katika mazingira ya ku tatanisha, wahusika wamojawapo ndiyo hawa! Mungu awape nini tena?
Ana waumbua mchana kweupe kabla ya ku rudi kwa “YESU KRISTO”, Amen 🙏🏾🥹!
Nchi hii ikoje
Wanainchi gani wajishuhudia mwenzie kihivyo ndiomaana hata nijipata vacances siendi tz hakunaga usalama
Hivi akuna serikali nchiii
Raisi wa Tanzania kweli hujuwi hawa wasiojulikana kwamba wanatumwa na nani? basi ngoja tumuombe Mungu aliyetuumba atujulishe wanaowatuma.
Wanatakiwa wNanch wawaue
Afu mchana kweupeee tunaelekea wapi jamani
Hii nchi inakoelekea ni kubaya sana. Wakiachiwa hivi, basi kila mtu ataanza kufanya analolijua ili kujitetea.
Tanzania ya leo ni aibu aibu aibu aibu ulimwenguni
Nchi hii haijawahi kutokea
Raia wote wapate mafunzo ya mgambo kwa lazima, wote, wanawake na wanaume.
Wa mama wa maeneo hayo ata kupiga kelele jamani ni hafadhari warudishe jeshi la sungusungu kama zamani katk kila mtaa ili kudhibiti watekaji
mpaka nimecheka
inteligencia dhaifu.....
Kwanza hao jamaa si mahili
Hapo hotelini waulizwe vizuri
Angalia hata mimama haistuki kumsaidia talimo jamani
Tanzania ni nchi yenye watu wasio julikana kwa hiyo tanzania haina amani
Madhara ya kukubaliana na wao wayatendayo Warumi 1:31 Mkisto unaona mtu anatekwa unakaa kimya?Utatoa hesabu kwa MUNGU,Umemuona mwivi umeridhiana naye!
Hata Farao Firaun ilikua hivhiv ubabe anaua wt et tutakupata MUNGU ndoo akupate tunaomba mfe kw Ajali nyie hamta shinda Allah atusaidie TZ
Niliyekwa na polisi wariova kilaia walitesa na baada kama wanyedkuijua haki kunifuatilia niliachiwa kwa kupewa kesi yamchongo tena mauaji nyie leo ndoo mnaona jueni nipolisi wenyewe na wanalindana
Tanzania mpya usidanganyike uko salama ulipo kufa ngumu....nchi iko pagumu hakuna amani tena...
Wamesimama tu pembeni hata kupiga kelele hamna, afu mbona watekaji ni wafanyakazi jeshi la polisi wamevaa buti kabisa hamuoni Tanzania yetu jamani
Wakanyongwe tu kusudi iwe fundisho kwa hao Wauwaji poa na Vyongonzi wanalifahamu hili swala haya Mwaka 2025 Tutafikiya wapi ? Kwa Samia suluhu na Kikwete wake R.I.P Rais wetu Mpendwa J.P Magufuli
Tumekwisha na wala tusijidanganye,Amani iko wapi??
Sio Tanzania tuliyo izoea.
Ukiuwa Kwa Upanga nawe Utauliwa Kwa Upangaa Uwezii kuondoa tatizoo kama Ujuwii Chanzoo Chatatizoo
Haya mambo sijui kama mikoani yangefanyika bila huyo jamaa kusaidiwa, watu wa dar ni watu fulani ambao hata huwezi kujua wana akili gani
CHIPS HIZO!! MIKOANI TUNAKULAGA UGALI. UGALI CHAKULA CHA WANAUME.
Watu wanaoangalia bila kusaidia au kupiga kelele wana roho ya namna gani? Serikali itoe tamko kuhusu matukio haya.
Roho inaniuma sana mtu anaomba msaada wamekodoa macho tu pembeni
TUNAKUWA KIZABIZABINA BADALA KUTOA MAONI YANAYOLETA MANUFAA KWA WOTE, KULALAMIKIA POLISI, POLISI, POLISI, KAMA VILE WAPO KILA KONA ZA MITAA.
MTAANI TUNAMOISHI NDIPO WALIPO HAWA WAHUNI NA VITENDO VIOVU, HUTUWASEMI SABABU KUWAOGOPA..
Kafanyaje
Watu wamesimama tu hata kelele hawapigii
Hapo hotelini kulikua akuna watu?mtu analiakwauchungu kiasi hiki,akuna hata wakujitokeza
Watanzania nyie ni fake number 1 mnacojua ni simba na yanga na kufirana 2
Kunaman kwer Tanzania limboka kipindi Cha kikwet alitolewa meno Ben sanane hazole gwand a mdude Mohamed moo nchi yaman maskof wachungaji mashehee tuko wap tumekua machawa na sis tujitafakali