Nchi hii ina mambo ya ajabu sana Watu wanachukua pingu wanaishi nazo mtaani kweli? Hata ndg yangu ilimtokea huku kwetu alipigwa pingu na rai na polis wakamweka ndani bila hata kufikishwa reption ili awe register Aliwekwa rumande huko polis central hawana taarfa zake
Aisee wazee wa minyama mpo entertaining hatari big up kwenu
Maua yaende kwa ma big wote🎉
Uongozi mbaya hii haijawahi kutokea mama samia ni raisi wa ajabu haijawah tokakea tanzania 🇹🇿 💔😭 samia must goo
Utapotezwa acha kuropoka shauli yako
@@bernardmayengo8505hahhaahhhhaa
Haijawahi kutokea kwani mo alitekwa akiwawapi na ilikua niuongozi wanani kumbuka
Ushakula kande zako umevimbiwa unataka kuja kujitafutia shida huku duniani haya
Umesahau mwanzilish n magufuli Hawa wanaendeleza
😅😅😅😅 pongez sana Kwa big
Wanaume wa Dar bhana😅😂
😂😂 tatu kwa moja
Yaaan Aya majamaaa bhana😂😂😂😂
Kama hali ndo hii. Bac nitakufa kwani mwili wangu hauniruhusu😢😢😢😢😢😢
Big day🎉🎉🎉
Big big big popaaaaa
Alikuepo bhana ndo aliekuwa anamtajia namba ya cm ya ndugu zake
Pongezi nyingi sana kwa bigi
Bonge ❤❤❤❤❤❤
Maneno haya si mageni jijin
Bigbigbig
Big katisha
Big big big 😂😂😂😂😂😂😂
Mabig popote walipo wajipige kifua mara 3 na wapewe heshima yao
Nyie wehu bigi angekufa mngeshangilia hivyo badala yakupaza sauti kuhusu utekaji nyie mnaongea utazani tabora kamfunga yanga
Nchi hii ina mambo ya ajabu sana
Watu wanachukua pingu wanaishi nazo mtaani kweli?
Hata ndg yangu ilimtokea huku kwetu alipigwa pingu na rai na polis wakamweka ndani bila hata kufikishwa reption ili awe register
Aliwekwa rumande huko polis central hawana taarfa zake
Hata Mimi nimeona faida ya unene, yaani na haka kamwili kangu duu
😅😅😅😅 ira hando
Sasa hivi warudi tu , waone kitakachowakuta ,wawe na mashine gan ,tutawathibiti kwa mawe .pumbavu ninyi
😃 😃
Tutaambiwa upelelezi unaendelea
Sema big kakutana na vidari wa mapenzi ila sio vidari wa kazi
Hahaaaaaà😅😅
Hawa jamaa we acha tu .
Jamani tunenepe ndo kinga pekeee nchi hiii wembaba wappo hatarin
😂😂😂😂🙌