MCHUNGAJI HANANJA ACHUKIZWA NA AINA YA UOMBEAJI WA WACHUNGAJI CHRISTMAS NA MWAKA MPYA NI SIKU ......

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 134

  • @mugishagentleman-ld2fq
    @mugishagentleman-ld2fq Рік тому +13

    Nimefulaishwa namajibu mazuri ya huo mtumishi wa Mungu Yesu Kristo akubariki sana

  • @vanishMekubo
    @vanishMekubo Рік тому +13

    I am from Saudi Arabia pastor umeogea ukweli God bless you

  • @amisibilly5084
    @amisibilly5084 Рік тому +8

    Allows be blessing poster. I'm Muslim from Australia

  • @nassorally8139
    @nassorally8139 Рік тому +8

    Mimi binafsi ni ustadhi napenda kumskiliza huyu mzee mungu amuweke watu wapate faida kwenye nyanja mbali mbali za kiimani za kikristo mungu awajaalie mpate kumfahamu

    • @MaalimMaalim-vh3xg
      @MaalimMaalim-vh3xg Рік тому

      Muongo wewe kafiri kama yeye unamdanganya nani

    • @nassorally8139
      @nassorally8139 Рік тому

      @@MaalimMaalim-vh3xg asante sanaa kwa kunikufurisha niombee mungu aniongoze

  • @halemmmbarak16
    @halemmmbarak16 Рік тому +6

    Hananja rightful man mungu akupe mwisho mwema.

  • @OmaryAlly-h3h
    @OmaryAlly-h3h Місяць тому

    Mungu akujalie uwe muislam kuna vitu unaonge vingi ni kweli, Allah akulinde na akuhifadhi

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 Рік тому +9

    Mimi sitaki kushikwa kichwani hata siku moja.Na wala sitaanguka.Ninafanya sana na ninasoma biblia.Ninamuamini Mungu.Na Mungu yuko nami.Sadaka yangu nawapatia viwete🎉na watoto masikini🎉

    • @hellen9056
      @hellen9056 Рік тому +2

      Kufanya ivo cyo tiketi ya kwenda mbinguni mkubali Yesu atakuonyesha njia ikupasayo kuindea

    • @Mamas-06k
      @Mamas-06k Рік тому

      ​@@hellen9056,na pia aelewe Kuna sadaka za madhabahuni , na sadaka za wahitaji,, Kwa hiyo pia Hilo ulitambue

  • @Patriot-ou9hr
    @Patriot-ou9hr Рік тому +1

    Nakukubali sana mchungaji hananja mungu akubariki

  • @mutindamuthama4124
    @mutindamuthama4124 Рік тому +1

    We need more pastors like u tell them the truth,to open their eyes

  • @SimonNgei-n3m
    @SimonNgei-n3m 11 місяців тому

    Wee haki shetani ashindwe Hanaja God bless you

  • @brendonrungano3985
    @brendonrungano3985 Рік тому +1

    I like this man of God be blessed

  • @Jobmwakasyele
    @Jobmwakasyele 9 місяців тому

    Nabarikiwa neno la mungu 4:50

  • @JacobMsuya-e2p
    @JacobMsuya-e2p Рік тому

    Mimi rc namkubali sana Mtu WA Mungu mchungaji hananja Mungu akubariki mchungaji

  • @GeogMahimbi
    @GeogMahimbi Рік тому

    Ahsante sana Kwa mahubir mazuri mungu akulinde

  • @imanimulumbilwa6056
    @imanimulumbilwa6056 Рік тому +1

    Yani mimi ❤❤❤❤❤you my pasta.
    Umeongea ukweli mtupuuuu ❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @britonkinyunyu4290
    @britonkinyunyu4290 Рік тому +8

    😂😂 kweli kabisa uganga imeingia kanisani

  • @ElizabethWanyaraba
    @ElizabethWanyaraba 4 місяці тому

    Mtumishi unanibariki sana

  • @SimbaJaphet
    @SimbaJaphet 10 місяців тому

    Dini zimekua unafuu wamaisha. Tukumbuke kushikilia ulipo. MUNGU ni Moja TU. Ameenn.

  • @carolkazi4211
    @carolkazi4211 11 місяців тому

    Man of God 🔥🔥🔥

  • @emmanuelpius6387
    @emmanuelpius6387 Рік тому +3

    Kwenye saikolojia ya unasihi Kuna aina tatu za wateja, traditional clients wanaamini katika mila na desturi za kiafrica, western clients wanaoamini dini za kigeni, na mixed clients wanaoenda kwa mganga kabla hawajaingia kanisani.. kwahyo unatakiwa kabla hujaanza kudili nao lazima uwaelewe

  • @MosesMagazi
    @MosesMagazi Рік тому +2

    Nakukubali Sana mchungaji ugonjwa wa afya ya akili umetawala watu

  • @epifaniamilinga2848
    @epifaniamilinga2848 Рік тому

    Mungu akusaidie.usije kuiiga.

  • @MiliamEnock
    @MiliamEnock Рік тому

    Very nice

  • @heronimomsefya3190
    @heronimomsefya3190 11 місяців тому +1

    Dah nimecheka sn huyu jamaa anastahili tuzo ya heshima ktk wachungaji wa Tz😂😂

  • @JoackimuGeorge-t8y
    @JoackimuGeorge-t8y Рік тому +1

    God bless you hananja

  • @protichnarokwest6405
    @protichnarokwest6405 Рік тому +4

    pastor wa kenya wotee ni wezi

    • @GMD820
      @GMD820 Рік тому

      😂😂😂😂

  • @simonkyumwa7985
    @simonkyumwa7985 11 місяців тому

    Karibau Kenya 🇰🇪 ufudixhe dining,Amen

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 Рік тому +2

    Ninafanya kazi sana.Maombi bila kufanya kazi utakufa masikini😢

  • @NurdinMwezi-w3j
    @NurdinMwezi-w3j 10 місяців тому

    Uyu mzeee namuelewaga sana

  • @barakasilas
    @barakasilas 8 місяців тому

    Ujumbe mzuri saana

  • @isayarozeck7512
    @isayarozeck7512 Рік тому +16

    Mimi ni Mwadaventista Wa Sabato lakin kusema kweli huyu hunena mengi yanayotakiwa kwa biblia sio kwa tamaa, napenda saana kumsikiliza

    • @seselenox2760
      @seselenox2760 Рік тому +1

      Kweli kabisa mie msabato pia napenda mchungaji huyu kwa kuongea ukweli

    • @ibrahimumtera7943
      @ibrahimumtera7943 Рік тому +1

      Na Mimi pia mwadventista msabato

    • @kastoriooko7157
      @kastoriooko7157 Рік тому +1

      Kumbe wewe siyo mkristo, ni M_adventista wa sabato !!! tafadhali jitambulushe na Kristo siyo dhehebu

    • @isayarozeck7512
      @isayarozeck7512 Рік тому

      Nikishatambulisha Dhehebu, nimeshatambulisha kuanzia Dini Kwasababu kila Muadventista aliitwa hivyo baada ya kumkubali Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wa maisha yake, na akayakubali maagizo ya Mungu yote ya kuwa atayatii na kuyafuata.

    • @mhandoonthebeats8581
      @mhandoonthebeats8581 Рік тому

      Hata mimi nimuadvent lakini huyu mchungaji anaongea kweli

  • @michaelnsangano9987
    @michaelnsangano9987 Рік тому

    Man of God

  • @jumamario-vr1mw
    @jumamario-vr1mw 6 місяців тому

    Kweli

  • @ClaudiLukas-q5z
    @ClaudiLukas-q5z Рік тому +5

    Mchungaji unatumia akili sana, wew muwaz sana.

  • @simonkyumwa7985
    @simonkyumwa7985 11 місяців тому

    Unanena ukweli tupu mchugaji Mungu akubariki xna

  • @abelmbilinyi1262
    @abelmbilinyi1262 Рік тому +4

    😂😂😂 ukweli mwingi

  • @ErentrudisKihwili
    @ErentrudisKihwili Рік тому

    SAFI NAOMBA UTUAMSHE MAANA WENGI HATUELEWI.

  • @isaackchumba8655
    @isaackchumba8655 6 місяців тому

    Hasante baba unanibariki na maongezi yako.

  • @NgasaCharles-jk3qi
    @NgasaCharles-jk3qi 7 місяців тому

    Mungu akulinde miaka yako yote maana unagonga ukweli tu

  • @LadislausyStanislausy
    @LadislausyStanislausy 11 місяців тому

    Maziwa ya nguvu

  • @brianambuyo9867
    @brianambuyo9867 Рік тому +3

    this is true Gospel Indeed

  • @epifaniamilinga2848
    @epifaniamilinga2848 Рік тому

    Swala,la kupuuliza.sijui imetoka wapi?

  • @LydiaAnthony-g8n
    @LydiaAnthony-g8n Рік тому +2

    😂😂😂😂😂😂 yaani Mimi akili iishafingukaa

    • @martinmkoba361
      @martinmkoba361 10 місяців тому

      Eeeh kumbe ulikua ndio walewale😢😢

  • @RebeccaMgana
    @RebeccaMgana Рік тому

    Mzee nakukubali mistari yako sana 😅😅😅

  • @KapeLoBoY
    @KapeLoBoY Годину тому

    hahahahahahahaha aya ayaaaaa alooh wachungaji wa kileo wangekuwa kama hyu bas leo mafuta wala chumvi

  • @HamadHamad-oy7mp
    @HamadHamad-oy7mp 7 місяців тому

    Atakaekukomentia matusi ujuwe kachanganyikiwa nakusikiliza Mzee wa kaz

  • @jumaomari3842
    @jumaomari3842 5 місяців тому

    Gooodii

  • @carroljames8692
    @carroljames8692 Рік тому +3

    Labda anamaanisha mwenye kutengeneza hizo brand ndio wana roho za giza.

    • @josephinechaildofgod5371
      @josephinechaildofgod5371 Рік тому

      Msikilize poa yuwa ongea ukweli.makanisa.sahii.ni.kufuguliwa.na.kubarikiwa story zenye hakuna

  • @JoelSaulo-e1b
    @JoelSaulo-e1b 11 місяців тому

    Kweli maneromango bible imetotoa wanafunzi wazuri sana sinodi ya uzaramo uruguru ni hatari

  • @GilbertNhigula
    @GilbertNhigula Рік тому +1

    Ivi Mbona Yesu Alikuwa hawasukumi Kichwani Wakaanguka wakati wa Kuwaombea Wenye Matatizo ?. Je hawa Wakosawa Au ?.

  • @ASTONVILLA_254
    @ASTONVILLA_254 Рік тому +1

    Hananja ako sawa kila wakati akipata kipaza

  • @shijaenock7638
    @shijaenock7638 Рік тому

    Hahahaaa matee😅

  • @RichardGilbartMPAGAZE-hk2ny

    Amen

  • @manricky100
    @manricky100 10 місяців тому

    ukweli mtupu

  • @ankojohn003tv7
    @ankojohn003tv7 Рік тому

    buana wee wanatutemea mate sana😂😂😂

  • @shakirashakira-gc2yw
    @shakirashakira-gc2yw Рік тому +1

    Nikweli uganga tu yani

  • @josephkmarwa7425
    @josephkmarwa7425 9 місяців тому

    Tumekua..wepesi...kudanganywa..maana..shertan..amekalia..malifa..yetu..ndio..maana..watajirika..kwa..sadaka.
    Zetu😂😂😂😂

  • @florachogo243
    @florachogo243 Рік тому +1

    Biashara ya imani, na mazuzu yanadanganywa😂

  • @adylineamutamwa959
    @adylineamutamwa959 Рік тому

    Wakenya matapeli tu Sana mtu anaona tumbo lake tu ila Mungu awafungue Macho wanao tanga tanga kwa hawa manabii wa mtaani tu

  • @kalebphilip3426
    @kalebphilip3426 Рік тому

    Mwaka fulan nilienda kwa nabii akaniambia fungua mdogo nikafungua alikuwa na spray akanimwagia maji kwenye Koo skuwez kutapka akaniambia nakisukar,kweli nilimwambia kwa ujasir kuwa sna kisukar nimepma leo na toka kpndi kile nimepma karbu Mara Mia sna,nikagundua huyo nabii alikuwa tapel tu

  • @benjaminsanare-ug6ge
    @benjaminsanare-ug6ge Рік тому

    Mchungaji uko sahihi kwelikweli

  • @dr.machera4941
    @dr.machera4941 Рік тому

    Hili ni hubiri tosha kuhusu makristo wa Uongo katika zama hizi

  • @WhitsundayShoo
    @WhitsundayShoo Рік тому

    Ameeen

  • @teddymushi1991
    @teddymushi1991 11 місяців тому

    Huyu mchangaji tumwombee kwakweli anashudia uhongo

  • @khamismgunya4519
    @khamismgunya4519 11 місяців тому

    Ukweli huo anaongea hananja angeongea mwislam kama mnadanganywa mgesema mnazihakiwa

    • @MujuniKamugisha
      @MujuniKamugisha 9 місяців тому

      Sasa mwislsmu anajua nini wakati waislamu walishapotea

  • @Emmanuel-ue9cl
    @Emmanuel-ue9cl 7 місяців тому

    🤣🤣🤣👏

  • @ErentrudisKihwili
    @ErentrudisKihwili Рік тому

    Mchungaji Unatufungua. AMEEÉEEEN

  • @Hamida-g6n
    @Hamida-g6n Рік тому

    Mimi Ni muislam lakini namkubali sana

  • @RebeccaMgana
    @RebeccaMgana Рік тому

    Hawanaga neno wale watoe wapi? Mika 3:5 ndiyo wala pesa wakikosa wanalaani watu ovyo

  • @ErentrudisKihwili
    @ErentrudisKihwili Рік тому

    MCHUNGAJI UPO VIZURI HONGERA SANA NAPENDA KUKUSIKILIZA SIKU ZOTE

  • @kifuacharles4379
    @kifuacharles4379 Рік тому +2

    😂😂😂

  • @josiacharles2778
    @josiacharles2778 Рік тому +1

    Ila wewe hananja mkweli sanaaa tushachoka kudanganywa makanisani.

    • @khalidahmed6900
      @khalidahmed6900 Рік тому

      😢 Dah poke sana nduguu, Mola akuoneshe njia

  • @trulfshamala599
    @trulfshamala599 Рік тому +2

    Huyu mchungaji kanisa lake liko wapi,

  • @florachogo243
    @florachogo243 Рік тому

    Huyu mchungaji huwa namuelewa,wambie mazuzu wasiojielewa,haaaaaaaa wanaojiangusha

  • @aishaSalma-o9e
    @aishaSalma-o9e Рік тому

    '😂😂😂😂😂😂😂😅

  • @rehemadaudi4390
    @rehemadaudi4390 Рік тому

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @josephghamaa8
    @josephghamaa8 Рік тому

    😂😂🤣🤭

  • @festinamwakipale3919
    @festinamwakipale3919 Рік тому

    Muongo mtumishi yesu alikuja kwa ajili ya nguvu za uchawi ila wewe una yako biblia inasema vita yetu si ya damu na nyama vita yetu ni uganga na uchawi ila wachungaji wote ambao.mmejiingiza.kwa siri mtaacha makanisa subiri shetani lazima atwangwe mkiwemo na nyie wachungaji mliologwa

    • @NuruNswebe
      @NuruNswebe 7 місяців тому

      Kuma la mbwa tulia

    • @festinamwakipale3919
      @festinamwakipale3919 7 місяців тому

      @@NuruNswebe hee.unajichora.na matusi.namna.hii.ila.siku.za mwisho watu hawatakuwa na nyuso.za aibu da unajilaan.mwenyewe na mimatusi.hiyo

  • @JeanMuzaliwa-bs6qh
    @JeanMuzaliwa-bs6qh Рік тому

    uongo mchungaji apo umekosea

  • @EmmanuelKitemangu
    @EmmanuelKitemangu 8 місяців тому

    Sisi wana bible

  • @mwitagideon
    @mwitagideon 8 місяців тому

    Binadamu tumekuwa wajinga sana,Na wachungaji wamekuwa waganga kienyeji.

  • @festinamwakipale3919
    @festinamwakipale3919 Рік тому

    Msifuni sana mchungaji hananja kakamatwa na mafreemason huyu mchungaji watanzania muwe macho eti mambo ya waganga wakina paulo waliwapiga upofu wakina elima husomi biblia mchungaji hananja

    • @NuruNswebe
      @NuruNswebe 7 місяців тому

      Kuma la mbwa wrwe

  • @joshuaelias8056
    @joshuaelias8056 Рік тому +1

    Wewe. Umefundisha. ..wamepata. Nini? Wewe. Mchungaji. Uchwala. . Umeishiwa. Wewe

    • @richardmagaka9525
      @richardmagaka9525 Рік тому +1

      Kakukwaza nini eti mchungaji uchwala au ndo wale wale mnaopatiwa chai na hao manabii na mitume wa uongo utaangamia wewe Ila Kama mna Wala wajinga hapo sawa endeleeni kuiba kwa kuyatenda hayo maana imeandikwa watakuja kwa jina langu lkn Kama una Nia kweli ya kutafuta wokovu wa kweli kwa njia ya Yesu kristo aliye hai basi ondoka huko

    • @azizichande850
      @azizichande850 Рік тому +1

      Amepata kisukari 😂

    • @revinaraphael-bk8fu
      @revinaraphael-bk8fu Рік тому

      Uchwala ao ndo wanapenda kutabiliwa kazi awataki kufanya

    • @zebedayokatamaduni9676
      @zebedayokatamaduni9676 Рік тому +1

      Wewe ndio uchwala hujafunguka akili zako za moyoni

    • @shambogokitundu754
      @shambogokitundu754 Рік тому

      We utakua na chumvi ya upako nyumbani..Pole.

  • @Salimsharifu
    @Salimsharifu Рік тому

    Ananja wewe waambie ukweli hata siku utakapo ondoka watakuja kujuta

  • @mohamedmahmudali9346
    @mohamedmahmudali9346 Рік тому +1

    Nyinyi wakristo mnachosubiria Nini? Kujeni Huku kwenye dini ya ukweli na ya haki(Uislamu) milango ya Toba bado Iko wazi ,jaribuni kutafakari yakuwa sisi sote wanaadamu Mola wetu ni mmoja nae ni Allah" al-Quran surah25aya2 inasema"
    (Ambaye ni wake ufalme wa mbingu na ardhi, wala hakuwa na mwana, wala hakuwa na mshirika katika ufalme, na akaumba kila kitu na akakikadiria kwa kipimo") kwaiyo jitafakari uko mliko hakuna faida muipatayo zaidi ya kumshirikisha ALLah " na mwisho wake kama hujatubia ni motoni 🔥na elewa ya kua Iko siku utakufa apo Sasa ndio chezo litapoanza na utajutia ila majuto Yako hayatasaidia kitu, zaidi na watakia Mungu awafanyieni wepesi muijue dini iliyo ya kweli 🙏

    • @khalidahmed6900
      @khalidahmed6900 Рік тому

      Upo sahihi ndugu yangu!

    • @BerylSeer1
      @BerylSeer1 Рік тому

      Tangu waseme majini ni waislamu siwezi srimu

    • @martinmkoba361
      @martinmkoba361 10 місяців тому

      Yaani watu wanakemea uganga nawewe unawashauri watu waje kwenye uganga we kichwa hauko sawa aisee😢😢

    • @mohamedmahmudali9346
      @mohamedmahmudali9346 10 місяців тому

      @@BerylSeer1 wewe Baki uko uko dini yenu ya watalii injoini ila mujue kufa kuko pale pale wewe ishi utavoishi ila kifo kinakusubiri na elewa yakuwa sisi wote mola wetu mmoja ila nyinyi mumelaanika Kwa kumshirikisha Allah na kumkataa yeye na mitume yake ,elewa ni WA motoni fanya Toba ili upate msamaha acha kuishi kizembe ukafa hali yakuwa ni KAFIRI ,elewa KAFIRI Hana tofauti na shimo la mavi ama( choo) rehema za Allah uko nazo mbali ...

    • @MujuniKamugisha
      @MujuniKamugisha 9 місяців тому

      Ila nyie waabudu majini mnachangamoto ya afya akili

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 Рік тому

    Wajinga ndio waliwao😮

  • @josephinechaildofgod5371
    @josephinechaildofgod5371 Рік тому

    😂😂😂😂😂😂

  • @simonmdune9066
    @simonmdune9066 Рік тому

    😂😂😂😂

  • @TryphoneGotham
    @TryphoneGotham 5 місяців тому

    😂😂😂😂😂😂

  • @alisuleiman-d7r
    @alisuleiman-d7r 5 місяців тому

    😂😂😂😂😂😂