Mchungaji Mungu akupe afya njema na umri mrefu Mzee wetu tunaomba nambari yako ya Cm ilituwetukiwasiliana kwa pamoja hakika nimependa mafundisho yako ni mazuri na ukweli sana upo vizuri Ahsante.
Hongera na endelea vivi hivi mch Hananja, ulaghai wa baadhi ya wachungaji wachumia tumbo kwa kuwahadaa watu wanyonge na wasio na ufahamu mzuri ktk makanisa yao! Watakasirika kweli kwa vile umezianika hadharani mbinu zao ovu za kupumbaza watu; hata mienendo yao imejaa chukizo! Jamii yetu inapata faida kwa kuamshwa kupitia mafundisho yako kwa muongozo wa bibilia takatifu.
Kina Ezekiel hawakuchukuliwa katika Roho. Yohana akiwa kisiwa Patimo hakuchukuliwa na kuonyeshwa yatakayokuja? Usipotoshe watu japo si wote wanasema kweli lakini kuchukuliwa kupo tu. Omba neema ikuzukie.
Binadamu anpendi ukweli...nani anasugumunza na mungu kufuru kweli mungu bibilia inasema imani hati alitembea na mungu wapi hata musa mwenyewe..akumwona na kupenda bure
n@@elishakayagwa9371wewe ndo komedian. Onyesha kwenye biblia mahali palipoandikwa kuna nabii aliyewahi kwenda mbinguni akakutana na Mungu, Mungu akamtembeza kwenye ufalme wake, kisha akarudi duniani.
Yohana 3:13 Wala hakuna mtu aliyepaa mbinguni, ila yeye aliyeshuka kutoka mbinguni, yaani, Mwana wa Adamu. Ni kweli Baba upo sahihi Akuna alie enda mbinguni akarudi
Shetani ni mjanja sana watu wanawaogopa sana manabii wachungaji wanatumia nafasi hiyo kuvutia sana kwao ,Mungu ana mipaka yote yanawezekana kwake yeye aaminiye biblia aiimpi Mungu mipaka
PASTOR HANANJA UKO SAHIHI KABISA,HAKUNA BINADAMU ANAWEZA KWENDA MBINGUNI KUONGEA NA MUNGU,HAKUNA BINADAMU ANAWEZA KUONANA NA MUNGU NA AKAWA SALAMA!HATA MUSA HAKUWEZA!
Mungu atusaidie kuelewa maandiko na sababu ya kuja Yesu 23 Lakini saa inakuja, nayo sasa ipo, ambayo waabuduo halisi watamwabudu Baba katika roho na kweli. Kwa maana Baba awatafuta watu kama hao wamwabudu. Yohana 4:23 24 Mungu ni Roho, nao wamwabuduo yeye imewapasa kumwabudu katika roho na kweli. Yohana 4:24 Tuache kufikiri kimwili Mungu anaongea na watu wake mpaka sasa ukiona haongei na wewe jichunguze mwenendo wako
Tz ni nchi ya watu wajinga sana ,,,yani tumejazwa uwoga tukawa mazuzu kabisa.....BORA NIWE NARUDI MASKANI KUTAMBIKA ,,,,,Asante mtumishi kusema UKWELI unaopotoshwa
Hakuna roho ambayo itakua kwenye mwili ikamuona MUNGU na isitake kumrudia muumba wake Kwa uzuri aliokua Nao MUNGU thus why Mussa alipokwisha ona mgongo wa MUNGU alirudi na wazee wa Israel wakashangaa mng'ao na wakamkimbia
Sema watu wasimchukulie Mungu kikawaida , kusema ukweli Mungu anatisha na mwanadamu akimwona Mungu katika mwili huu wa damu na nyamu huyo mwanadamu hawezi kuishi , maana hata tuwe wasafi vipi Kwa utukufu Mungu alio nao tukimwona Kwa macho tu ya damu na nyama tunakufa
Mchungaji Mungu akupe afya njema na umri mrefu
Mzee wetu tunaomba nambari yako ya Cm ilituwetukiwasiliana kwa pamoja hakika nimependa mafundisho yako ni mazuri na ukweli sana upo vizuri
Ahsante.
Mtumishi huyu anajielewa, hongera, watu wanajitoa ufahamu
Hananja mungu hakupe maisha marefu ww nikweli
Asante sana baba kwa Mashauri Yako ambayo yana uhai. Mungu akupe maisha marefu
Amina Mutumishi wa Bwana, karibu tena hapa kwetu IOWA STATE USA 🇺🇸.
Isee hananja tukupe makanisa yoye ya tz uyanyooshe mama unamafindisho yakweli unafundisha uhusiano kati ya mwanadamu na mungu God bless you
Uko sahihi baba Mungu akubariki sana mtumishi
barikiwa sana hananja;hua nakufuatilia saana
Asante mtumish Mungu akubarik Hananja
Mungu ambariki Mchungaji Hannanja
Watu wengi hawana misingi.
💥💥💥💥👏👏👏MUNGU akubariki sana mchungaji
Sawa, Hananja kama Hananja!❤❤❤🌹🌹🌹chukua maua yakoo!
Amen mtumishi. Nimebarikiwa sana.
Ashukuliwe MUNGU atupae kushinda kwa BWANA WETU YESU KRISTO
❤Mungu akubariki mchg, ww ni mwanga wa vijana
Tupate wapi tena watumishi wenye ufahamu wa Neno la Mungu kama na huu?
Eh Mungu litakase kanisa lako, tuko hatarini.
Hongera na endelea vivi hivi mch Hananja, ulaghai wa baadhi ya wachungaji wachumia tumbo kwa kuwahadaa watu wanyonge na wasio na ufahamu mzuri ktk makanisa yao! Watakasirika kweli kwa vile umezianika hadharani mbinu zao ovu za kupumbaza watu; hata mienendo yao imejaa chukizo! Jamii yetu inapata faida kwa kuamshwa kupitia mafundisho yako kwa muongozo wa bibilia takatifu.
Uko vzr sana Mch. Mi nakukubali sana
Nakukubali sn pastor chukua mataji
Mchungaji wetue tupe number za sin Ili tuwe tunawasiliana.kwamana Wewe naona elim unayo kabisaa.allah akuifadhi akupe nguvu zakuteteya dini zote
Mchungaji hananja uko sahihi kabisaa.
Amesema ukweli kabisaa,i support the truth because the bible says you shall know the truth and the truth shall set you free
MCHUNGAJI NAKUPENDA SANAA WEWE HUNAUONGO WALA UBABAISHAJI
Mch umenyoka uko sahihi anae pinga hichi unacho sema akasome neno..Mungu akutie nguvu akulinde maisha yako yote.
Sure!
Kina Ezekiel hawakuchukuliwa katika Roho. Yohana akiwa kisiwa Patimo hakuchukuliwa na kuonyeshwa yatakayokuja? Usipotoshe watu japo si wote wanasema kweli lakini kuchukuliwa kupo tu. Omba neema ikuzukie.
Binadamu anpendi ukweli...nani anasugumunza na mungu kufuru kweli mungu bibilia inasema imani hati alitembea na mungu wapi hata musa mwenyewe..akumwona na kupenda bure
Huyu mchungaji ni comedian wala hana wito wa Mungu ila alisoma theology tu. Kama hana muda wa kukaa magotini hawezi kutumiwa na Roho Mtakatifu.
n@@elishakayagwa9371wewe ndo komedian. Onyesha kwenye biblia mahali palipoandikwa kuna nabii aliyewahi kwenda mbinguni akakutana na Mungu, Mungu akamtembeza kwenye ufalme wake, kisha akarudi duniani.
Masha Allah
Mchungaji Ume quolify,ni kweli ili Kujua MUNGU yupo lazima pawe na utaratibu na utaratibu ni sifa ya MUNGU WA mbinguni
HALELUYA, MCHUNGAJI MUNGU AKUBARIKI KWA UKWELI WA NENO LA MUNGU KUPITIA BIBLIA TAKATIFU
Asante sana. Unaweza kusaidia kizazi hiki
Muchungaji kwakweli unaongea sahihi, Na uko Baba watoto, ❤Sasa Muchungaji kwanini ulimi yako kila mara inatoka inje ? Kwakweli sio ma sighs zakisasa ?
Anaufanya kama ishara ya njoka
Baba mchungaji mimi ni Abdul Simba mungu akubariki baba yangu mimi ni mwisilam uwa nafata vipindi vyako wewe ni mkweli kabisa
Amina mtumishi ananja 🙏
Huyu Mzee akili nyingi sana. Namkubali sana
Amina mchungaji..Aliyepaa Ni Yesu tu.Wengine ni hadithi tu za uongo
Hata Mtume Muhammad mwenyewe alidanganya umma eti alipaa na Buraq😂
@@NgengeMkeni-uo5hq😂😂
Hongera sana Hananja
Yohana 3:13
Wala hakuna mtu aliyepaa mbinguni, ila yeye aliyeshuka kutoka mbinguni, yaani, Mwana wa Adamu.
Ni kweli Baba upo sahihi Akuna alie enda mbinguni akarudi
Tunakukubali Sana mch. Hananja❤chukua maua yako 🎉🎉
Mungu akulinde
😂😂😂😂😂 asante kwa kuwaumbuwa wenzako wako kibiashara tu kuendesha maisha na watu hawana akili wanafata mkumbo tu
Ubarikiwe sana
Nakukubali sana mzee wng
Hongera
What a paster....🙏
hananja upo vzr
Wewe ni mkweli mch Hananja
Urealy do have a problem
👍🙏🌹
Hananja mungu akubariki sana kwakusema ukweli
Pastor anajua mpk ndumu....Yani hua wanipunga xna bro...
❤😂 Amina kabisa true pst 🙏
Mwacheni Mzee angee ukweri .
Bado mitume ya Kinyakyusa😂😂😂
Mtume mohamed
Njoo Moshi
Nakukubali sana baba
Kucheza na akili za watu lazimaa uongezee uongoo !!! Ila hapo Kwa Mungu kuzungumzia uongo ni laana kubwa sana
Na tracksuit yangu😂😂😂
Shetani ni mjanja sana watu wanawaogopa sana manabii wachungaji wanatumia nafasi hiyo kuvutia sana kwao ,Mungu ana mipaka yote yanawezekana kwake yeye aaminiye biblia aiimpi Mungu mipaka
Walokole wanauvuruga ukristo sanaa...
Mnooo
Hamna mtu atamwona Mungu akiwa kwenye mwili huu
Binadamu mpaka akufe mara moja tuu ndio aende kwa mungu mbiguni
Watu wanajiita manabii😢ni wa uongo 😢😢
Hao wote walikufa Eliya Enoko walikufa hawakwenda mbinguni Hebrew: 11;13
Ukosawa sana badili muelekeo uokoke ukweli wote unaujuwa
Amen
Usihangaishwe nao Mchungaji
Mchungaji hyu Nina mkubali Sana aise upo sahihi Nikipa mkubwa wao
PASTOR HANANJA UKO SAHIHI KABISA,HAKUNA BINADAMU ANAWEZA KWENDA MBINGUNI KUONGEA NA MUNGU,HAKUNA BINADAMU ANAWEZA KUONANA NA MUNGU NA AKAWA SALAMA!HATA MUSA HAKUWEZA!
Henoko ?
Haaa kweli kama unawaza sanaa unaweza ota kweri wanakufuru
Wambie hao wanaenda kuxim wanasema Kwa Mungu
Yesu hakuleta dini alileta wokovu.
Mungu atusaidie kuelewa maandiko na sababu ya kuja Yesu
23 Lakini saa inakuja, nayo sasa ipo, ambayo waabuduo halisi watamwabudu Baba katika roho na kweli. Kwa maana Baba awatafuta watu kama hao wamwabudu.
Yohana 4:23
24 Mungu ni Roho, nao wamwabuduo yeye imewapasa kumwabudu katika roho na kweli.
Yohana 4:24
Tuache kufikiri kimwili Mungu anaongea na watu wake mpaka sasa ukiona haongei na wewe jichunguze mwenendo wako
Wanafanya mdahalo😅😅😅😅
😂we maarufu mchungaji
Watu wanaenda kuzimu na mbinguni yaani sana Tena shida saana hii inatisha mpaka unajiuliza hii ni nini
Upo sahihi Mtumishi
Jaman mm nikimsiliza mch Hananja Roho inajaa amani tele.
Waambie na daniel alionyeshwa hakwenda mbinguni
Waambie baba wafunguke
Kabisa wasanii hao wanaangalia maokoto
We mzee Uislam umesha ujua achana na Hao matapeli
Watu wangu huangamia kwakukosa maarifa
Wengi tunakuelewa,
Huyu mchungaji anasema ukweli mtupu manabii wa uwongo kwa ajili ya kuwapora hela waliokosa maarifa.
Halafu huyo wa Arusha anajiita nabii mkuu,tofauti na maandiko maana kwa mjibu wa maandiko alie mkuu ni mmoja tu
UWO NI KWELI KABISA
Sante paster wetu!!!wewe sahihi kabisa.waaambiye awo waache kupoteza Watu.
Huyu namuelewa sana msema kweli
👏👏👏👏👏🇲🇿🇲🇿👏👏👏
Unaongea ukwelii unwell unadumu binandamu hawataki kweli
Unaongea unbelievable yule ni tapeli 😅😅😅
Tz ni nchi ya watu wajinga sana ,,,yani tumejazwa uwoga tukawa mazuzu kabisa.....BORA NIWE NARUDI MASKANI KUTAMBIKA ,,,,,Asante mtumishi kusema UKWELI unaopotoshwa
Ufahamu, ufahamu, ufahamu, never speak of things you do not know
Wee unajina unaufaham
P
Ila kwenye biblia unawazidi sana kuijua! Wachungaji wengi wengi unawapiga fimbo!
Hata hao wengine wanajua, ila wanaitumia vibaya ili kufanikisha malengo yao ya hovyo😢😢😢
Hakuna roho ambayo itakua kwenye mwili ikamuona MUNGU na isitake kumrudia muumba wake Kwa uzuri aliokua Nao MUNGU thus why Mussa alipokwisha ona mgongo wa MUNGU alirudi na wazee wa Israel wakashangaa mng'ao na wakamkimbia
❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Unabaya hananja Yani ww Hana kupenda kira mmoja
😅😅😅😅😅
Sema watu wasimchukulie Mungu kikawaida , kusema ukweli Mungu anatisha na mwanadamu akimwona Mungu katika mwili huu wa damu na nyamu huyo mwanadamu hawezi kuishi , maana hata tuwe wasafi vipi Kwa utukufu Mungu alio nao tukimwona Kwa macho tu ya damu na nyama tunakufa
Na vile watu tumechanganywa ni hizo ushuhuda za walio enda mbinguni na kuzimu, au Mungu aliwachukua ili waje watufundishe jinsi kuzimu inavyotisha
Sasa hao wazee wanakuja kukupakamafu wanakuwa wameyatowa wapii wanakiwanda?
Sasa kama wanafunzi wa yesu walikua na wake mbona nyie wengine mnawambia msiowe?
Hilo swali huyu halimuhusu anamke na watoto na haamini Hilo la kutokuowa maana kuto kuowa ni Sheria ya warumi