FULL MATCH HIGHLIGHTS TP MAZEMBE 0 -1 YANGA CAF CONFEDERATION CUP TV3 TANZANIA GAME ON

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 22

  • @MackiusBamwanga
    @MackiusBamwanga Рік тому +1

    Dah!yanga hii inafurahisha

  • @jumakassim8718
    @jumakassim8718 Рік тому +2

    Allah tujaalie tubebe hili kombe la confederation cup Inshaallah

  • @brevickkanai8627
    @brevickkanai8627 Рік тому +3

    Tuko vizuri🍋🍏🍋🍏🙏🙏 tumewakunguta kung'ukug'u home and away

  • @lovenesskalenge2683
    @lovenesskalenge2683 Рік тому +1

    Yanga yangu timu yangu💛💚💚💛💪💪 Asante Mungu

  • @AbduliAwazi-zc4lv
    @AbduliAwazi-zc4lv Рік тому +1

    Mungu ibariki timu yangu ya yanga tujaalie 2bebe ilikombe la xhirikixha ili tuweke rekodi mpya na sis mungu ibariki tanzania mungu ibariki yanga uwape moyo nguvu nia uwezo umakini tukabebe ilikombe tunakuomba san mungu wetu ili tuwaxhangaze hao wanao tuzarau kama unapenda mafanikio unaipenda nchi yako unaipenda yanga basi sote kwa pamoja tuseme mungu ibari yanga kila iendapo mwixho tuseme ameni

  • @francismayila2631
    @francismayila2631 Рік тому +1

    Hongera uto. Kazi iendelee!

  • @nuriapeter
    @nuriapeter Рік тому

    Mungu afanyewepesi tushinde leo wananchi magoli matatu leo

  • @josephkulija293
    @josephkulija293 Рік тому

    Huwezi kushinda ukiwa chini ya kiwango.
    Kocha WA Brazil Tele Sentana aliwahi kusema timu iliyocheza vizuri ndiyo iliyoshinda. Tuwapongeze wachezaji kwa kazi nzuri.

  • @StephenMsofe
    @StephenMsofe Рік тому +1

    Wananchi

  • @EricWeunde
    @EricWeunde Рік тому +1

    Pole sana kwa tpm

  • @nuriapeter
    @nuriapeter Рік тому

    Tushinde leo wananchi magoli matatu leo wananchi

  • @yurinunes3315
    @yurinunes3315 Рік тому +1

    🇨🇻🇨🇻

  • @bakarimohammed9851
    @bakarimohammed9851 Рік тому +1

    Hongera sana yanga ila niseme tumeshinda cos team yetu Iko vizur ila kiukwel sijawahi kumwelewa Cedric kaze, mpira hautembei plan B zero mfumo wake ni hafifu sana kiwanjani🤔 na hataki kujifunza kutoka Kwa Naby😢

  • @ndahanistephen9918
    @ndahanistephen9918 Рік тому +1

    Wananchi tunatisha

  • @scholarhaule9956
    @scholarhaule9956 Рік тому

    😂😂😂😂😂😂Makipa walikuwa wawil😂😂😂😂

  • @yudatadeimdoe9215
    @yudatadeimdoe9215 Рік тому +4

    Tumeshinda jaman..lakin very poor performance tumecheza chini ya kiwango chetu kabisa, mtu kama mudathil, mayele, bangala sijui mlikua na nn...tujifue vizur robo usijetokea ujingaujinga wa aina yeyote

  • @francepaul7711
    @francepaul7711 Рік тому +2

    PEOPLE'S CLUB 💚💛🫶