Asante kwa namba, nitachangia kidogo nilichonacho najua kitaleta utofauti, ndugu zangu Tumchangie ili atimize ndoto zake si lazima pesa nyingi hata ndogo uliyonayo itatosha kutimiza ndoto zake, hakika huyu nin kiongozi wa kesho. Mungu ni mwema.
Huwezi ukatumwa shida ndio inakutuma na huwezi kwenda shule kusoma ukiwa njaa good Mungu bless huyu jiniaz tafadhal mtoto ana akili Hadi shetani anaona wivu 😃🙏🙏🙏🙏
Mtoto anaakili sana, ni mdogo lakini ajifikirii mwenyewe bali na familia yake, nimempenda sana na kaniliza sana uyu mtoto, cjawahi kumuona mtoto mwenye hali ngumu na bado anachokipata yupo pamoja na familia yake, mama yao amefariki kwa kuangukiwa na nyumba, serikali yake na mtendaji hawajaliona hili jamani, mtajibu nini viongozi cku ya kiyama, cyo kuwa kaugua kafa bali kaangukiwa na nyumba, hata iliyopo bado ni mbovu sana, japo sote tutakufa, pole sana mdogo wangu😨😭😭😭 inauma sana kwakweli.
From Kenya. Na vile wengi wetu tuko na ma shamba na bado tunapngezea. What makes me happy Nile none will carry anything when we die. This boy anaomba tu a good shelter, Chloths n food for him n his family. Like the way anasema 'mungu akimnjalia', all his hope to God🙏
Ma_funs wa antony kutoka miaka7 ilo pita akiwa stdl mpk sasa anenda form1 kwa wanaomtakia maendeleo mazuri kwa masomo yke hadi kufanikiw ndoto zake za ualimu tujuane kwa ☑️👍&like zake hapa
Mungu ni mwema nimerudia tena Leo baada ya kufaulu masomo yote A Mungu awabariki wote mliomshika mkono kuanzia aliyepost kwa mara ya kwanza, Mungu awatunze
Acheni Mungu aitwe Mungu, kwani amekiinua kinyonge kutoka chini na amekipandisha juu, Mungu mbariki aliyejitolea kumsomesha Antony pia Walimu waliomfundisha Antony, asante Millard Ayo kwa Interview ya Antony.
Youre seizing the moment to satisfy your crave for attention aren’t u...ndugu yako anaumia and all you can do is beg for likes from random youbers right..? You should be arrested n thrown to the gallows
shukrani za dhati kwa Ayo Tv najua kwa kumpa nafas ya kuzungumza mtoto Anthony wapo wenye moyo watamsaidia.. Neno kubwa alilolisema Anthon ni " KAMA HUJAMPENDA MZAZI WAKO UTAMPENDA NANI" Mungu akubariki
sikjua hii story,made me cry,niko UK,nitumie namba gani isyo ya utapeli nisaidie kidogo..we take life for granted....what a lesson fro this kiddo.Bless him
With all those difficulties you are going through but you remain positive to your family! You are actually a genius true leader! It's really touching. By any means we should support this child. The biggest lesson I got from this poor child is to be positive in life no matter how! We should stop blaming other people. Km tunamsaidia let's play our part and not judging other for their inconsiderate.
This is a great in comming leader. Iam impressed by his wisdom at his age. And the great faith in him he has mentioned God almost in every sentence in this conversation!
Kweli Mungu ni muweza wayote na na amini mtoto huyu Mungu atampa yaliyo mema. Japo niko DRC, ila naona kama haya yamenigusu saaana. Akuna utofauti ya maisha haya, na maisha niliyo pitia mimi akuna utofauti kbisa🙏🙏🙏
This is a truly touching story about this Tanzanian boy(nataman ningekua nauwezo ningesaidia hii familia")I'm watching from Africa in Kenya at Kilifi")inauma sana
He's just a kid but in his eyes you can see someone looking to fight for a brighter future. He already felt the responsibility already in his hand seeing that his father is getting old. God bless his family.
May GOD remember that boy and BLESS him he mad me cry he is very strong and he never give up no matter what am Kenya but watching from Bahrain 💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😢
This is so emotional and no kid is supposed to go through all this. It's so sad such a gifted kid can't access quality education, food, shelter and clothing. My heart pains for this little angels and others. Wake up African governments and be servants of your people. Tap these brains and make our continent great.
yaan daaah,miaka 6 iliyopita tuliona hii,... leo 2024 tupo hapa baada yakumaliza shule yamsingi na amabadilika ki maisha ..MUNGU MKUBWA....MIAKA 6 IJAYO TUWE HAPA KUMUONA LEVO NYINGINE...KIKUBWA UZIMA...❤❤🙏 MUNGU ATUSAIDIE
This boy has made me cry he can understand humanity far better than even some of us who think we know. He knows what is wrong and how to approach it; for instance he knows that selling the only land that belongs to them is bad, and that his father can cane him because he is his father. This is an angel, have never seen such a humanity in a person like i see in this boy.
Namba kwa ambaye angependa kumsaidia Anthony Petro ni 0756884884, Asante
Asante kwa namba, nitachangia kidogo nilichonacho najua kitaleta utofauti, ndugu zangu Tumchangie ili atimize ndoto zake si lazima pesa nyingi hata ndogo uliyonayo itatosha kutimiza ndoto zake, hakika huyu nin kiongozi wa kesho. Mungu ni mwema.
Millard Ayo asante kwa hii Nambari nafikiri mgetupatia jina lake hata kusitokee matapeli wa mtandaoni tukituma pesa kwenye muamala itamfikia Nani....!
Jina la hiyo namba
Please Millard aya naomba mtupe namba yakueleweka tuweze kumsaidia huyu mtoto hata kidogo tulivyo navyo wenyekuguswa
Millard Ayo je wale tupo outside the country how can we help this son
Kam umkj apa badala ya antony kupata A zote 2024 nipe like zang apa
hhaahahahaha
😊@@KUZENZATV
😂nimetoka huko, I wasn't sure he's the one, but now I have confirmed
walio fika hapa baada ya kuona interview ya pili mtoto Antony gonga like hakika mungu ni mwema sana
Nimekuja hii kichwa, ni international
Kama umekuja uku 2024 gonga like
Kama leo umeona leo huyo mtoto yuko shuleni gonga like nyingi mungu awabariki sana
Daah! Jamani haya maisha hatimaye Anthony umemaliza darasa la saba na umepa A masomo yote God bless you Anthony Mungu akuinue zaid na zaid
Huwezi ukatumwa shida ndio inakutuma na huwezi kwenda shule kusoma ukiwa njaa good Mungu bless huyu jiniaz tafadhal mtoto ana akili Hadi shetani anaona wivu 😃🙏🙏🙏🙏
Niko hapa Leo 31/10/2024 baada ya Anthony kufahulu mitihani yake ya darasa la 7 well done young man ❤️❤️🎉🎉
Baba akikuchapa haina shida kwa sababu yey ndio kakuzaa dah one love Antony mdogo wangu 😭😭😭 chozi limenitoka asee
kweli
Huyu mtoto hata siwezi kuelezea jaman
Jamani nimerud tena kuangalia baada ya huyu mtoto kuwa darasa la 6 sasa mwenyez mungu ambariki sana aliemsaidia huyu mtoto jamani 😭😭
''Baba akikucapa amna shida,alikuzaa, kabla wewe ni mtoto wake'' Anthony nakupenda sana,mungu akubaliki sana,God knows all your problems !
This is so emotional....
Sala zako zilipokelewa vema. Sasa kamaliza la 7 huko Moshi na anaongea english kabisa❤
Kweli mtoto huyu Mungu atamjalia maisha marefu kutokana na upendo wake kwa jamii na wazazi
Kama hutopenda wazazi wako utapenda nan,,,,,Huwez kusoma kama umelala njaa 😭😭 God bless Smart Boy 🙏
that is true
Mtoto anaakili sana, ni mdogo lakini ajifikirii mwenyewe bali na familia yake, nimempenda sana na kaniliza sana uyu mtoto, cjawahi kumuona mtoto mwenye hali ngumu na bado anachokipata yupo pamoja na familia yake, mama yao amefariki kwa kuangukiwa na nyumba, serikali yake na mtendaji hawajaliona hili jamani, mtajibu nini viongozi cku ya kiyama, cyo kuwa kaugua kafa bali kaangukiwa na nyumba, hata iliyopo bado ni mbovu sana, japo sote tutakufa, pole sana mdogo wangu😨😭😭😭 inauma sana kwakweli.
Mtoto ana akili sana. Amekataa kuuza vibuni
Nimempenda Hana ubaguzi kwa wazazi wake kama wangekuwepo wote angependa wote alichokisema , fantastic bright kid may God hear your cry
From Kenya. Na vile wengi wetu tuko na ma shamba na bado tunapngezea. What makes me happy Nile none will carry anything when we die. This boy anaomba tu a good shelter, Chloths n food for him n his family. Like the way anasema 'mungu akimnjalia', all his hope to God🙏
kisa ya mtoto huyu imenihuzunisha sana .MashaAllah Ana Akili Sana.
Naomba Allah Amjalie Apate Usaidizi Zaidi....
😭😭😭Ya Allah wakumbuke mayatima wote wabariki na uwaepushe na maovu...watendee mema tu🤲🤲🤲
Mungu amsaidie san tupate magufur wa kesho😢😢🙏🙏🙏
Kwelii kipenzi anakili mnoo uyoo
Ma_funs wa antony kutoka miaka7 ilo pita akiwa stdl mpk sasa anenda form1 kwa wanaomtakia maendeleo mazuri kwa masomo yke hadi kufanikiw ndoto zake za ualimu tujuane kwa ☑️👍&like zake hapa
Mwenyezi Mungu amjalie mtoto huyu pamoja na familia Yao,, he is more than a teacher
Amiin
Kama umeona mtoto kafaulu darasa la 7 nangeli nyingi like apa
Nimeona
Hongera sana Ayo T.V. Mungu ambariki Anthony Petro, maana ni mtoto wa kipekee. Shukrani
Kama mpo mnayemfatilia huyu Dogo mpka ukubwa wake wa maisha tujuane gonga like
Daaaa😢 mungu naomba unipe maisha marefu nilee wattoto wangu jaman inaumiza mnoo jmn mama wa muhimu mnooo mungu atakuongoza mtoto mzuriii😢😢😢
Oh this young boy is full of wisdom may the Almighty God Bless him and the entire family .
Huyu mtoto ana akili kuliko hata huyu mtangazaj anaemuhoji....kweli we dogo ni mwalimu hata kabla hujafika chuo!!🙌🙌
😂😂😂huna adabu we mwanamke
Nakuunga mkono
Grace nimekumbali uyo mtoto ana akili kuliko ata mimi amenishinda akili 😄 🤣 😂
@@babaswaggaboy2442 hahahaha kawazidii wengii
Mtoto ana akil ht mm nikiulizwa haya maswal siwez kujib km huyu mtt walh daaa
More than inspiration story😢! Hawa ndo akina Yussuf wa kwenye bible great victory ahead ❤
Nimelia Sana huyu mtoto ni kioo cha jamii....love from kenya
"usipopenda babako, utapenda nani?" Touching.
Mungu ni mwema nimerudia tena Leo baada ya kufaulu masomo yote A Mungu awabariki wote mliomshika mkono kuanzia aliyepost kwa mara ya kwanza, Mungu awatunze
"huwezi kutumwa, shida ndio itakayokutuma" mtoto genius sana Huyu🙏🙏🙏🙏🙏
yaaani,Dogo hatari sana
Hakuna elimu kubwa duniani kama elimu ya mtaani by D knob
Yusuph Madebari yani sana sijaona
Yusuph Madebari dogo anakili sanaaa yaan daaaaa
saaana anaakili huyu mtoto mungu amsaidie atakuja kuwa MTU mkubwa sana baadae
Katika interview ya Millard Ayo ambayo huwa inaniliza Kila Mara nii hongera Sana kwakuwafikia wanyonge😭😭
Acheni Mungu aitwe Mungu, kwani amekiinua kinyonge kutoka chini na amekipandisha juu, Mungu mbariki aliyejitolea kumsomesha Antony pia Walimu waliomfundisha Antony, asante Millard Ayo kwa Interview ya Antony.
acha like kama unamkubali huyu mtoto
very very good
@@nasirapasical4685 q
Youre seizing the moment to satisfy your crave for attention aren’t u...ndugu yako anaumia and all you can do is beg for likes from random youbers right..? You should be arrested n thrown to the gallows
Musa Siame goo
good boy Aki ameweza
Anae tizama 2021 tujuane kwa likes
Nipo hap
2024
shukrani za dhati kwa Ayo Tv najua kwa kumpa nafas ya kuzungumza mtoto Anthony wapo wenye moyo watamsaidia.. Neno kubwa alilolisema Anthon ni " KAMA HUJAMPENDA MZAZI WAKO UTAMPENDA NANI" Mungu akubariki
I just cried.....felt so challenged by this boys duties...I envy him so much.May God open all ways for him.
Tough situations make one brighten the mind to survive
Kama umekuja nauku tena kuangalia tujuane jamani
Niliwai kuiona miaka kadhaa rkn nmerud tena kuingalia ten
😀
Tumekuja kaka
Nipo nimekujaaa😅
Namm nimekuja kaka😂😂😂
Who is here watching this legend again in 2021? Love from Kenya.
sikjua hii story,made me cry,niko UK,nitumie namba gani isyo ya utapeli nisaidie kidogo..we take life for granted....what a lesson fro this kiddo.Bless him
I suggest uingie website ya Millard Ayo au Instagram yake atakufaa kumfikia Mtoto yule asante kwa nia yako ya kutaka kumsaidia
@@lydiahbarongo5079 namba haingii ndo maana nakua na wasi wasi kwamba,msaada utafikia mlengwa?nimejaribu Ayo pia,but,no response
@@lydiahbarongo5079 done so lakini,aint sure as u can see,most pple hawakuweza..thanz also..he really touched my heart
broh milard ukipata email ata respond
erry deo duh
His fluency, word play and maturity in the way he responds is far beyond his age.. Bravo
I'm Haïtien 🇭🇹I not Understand , But i like this langage , The Boy is very Strong 🤗😳🙌God bless him
The boy he is really smart, for now he managed to get As in all subjects in primary education 2024.
Mungu mtangulie huyu mtoto, hakika huyu mtoto atakuja kuwa na mafanikio makubwa sana
I'm just crying Mungu wangu jaman🙏🙏🙏🙏Msikie uyu mtoto
❤❤❤jaman daah et kwajilii sina mama mungu akanipaa akilii jamani anaongeya paka nimeliyaa mimi😢😢😢😢
Daaah!!,baba akikuchapa Haina shida,c alikuzaa..... love you baby 😍
😊
Mashaallah. Nimempenda uyu mtoto anamuongoza mungu kwakila hatua. Mwenyezi mungu hakufanyie wepesi utimize ndoto zako🙏
Haki mungu ni mwema,haki sahii huyu mtoto hako na kizungu poa(president ya Tanzania miaka ljayo🙏🙏🙏
With all those difficulties you are going through but you remain positive to your family! You are actually a genius true leader! It's really touching. By any means we should support this child. The biggest lesson I got from this poor child is to be positive in life no matter how! We should stop blaming other people. Km tunamsaidia let's play our part and not judging other for their inconsiderate.
This is a great in comming leader. Iam impressed by his wisdom at his age. And the great faith in him he has mentioned God almost in every sentence in this conversation!
Dogo amenfurahixha Sana kipaji chako kizuriii endelea nacho name nitaku saport
GOD..I PRAY TO MAKE THIS FAMILY A LIVING TESTIMONY TO MANY
Mungu tupe wepesi wa maisha
Amen
Allahuakbar , hakika Mungu atakuinua inshaallah 🙏😘
ANOTHER MAGUFULI OYEEEEE❤❤❤❤❤❤❤❤
This kid is a God sent.Naturally bright.Future leader.May God turn things around in this family
Kwajili huyu dogo Ana akili ya maishaa🙏🙏 God help this young boy💓💓
asantee mungu kwajili ya maisha yetu yote ya uai duuh nimeji kita nalia😭😭 tu
Mtoto anaakili sana Mungu awatunze
pole sana Antony mungu atusaidie aki uweze kulea wadogo wako
AAMIN
Am sure that Tanzanian do help lakini ingekua kenya zingekua story za abunuasi , my Allah grant this child guide with good life
Mashallah!! Mtot anaakili e mungu mlinde MTT wako kadr ya mapenzi yako ili atimize ndoto zake amina
tajiri mzuri sana wa baadae , MWENYEZI MUNGU mbariki Antony kwenye taaluma au kipaji chake aje atengeneze pesa nyingi xana
Gonga like yako Kama umesikia neno kwajili......
Kweli Mungu ni muweza wayote na na amini mtoto huyu Mungu atampa yaliyo mema. Japo niko DRC, ila naona kama haya yamenigusu saaana. Akuna utofauti ya maisha haya, na maisha niliyo pitia mimi akuna utofauti kbisa🙏🙏🙏
it will be very shameful if the media left that place without helping this lovely soul
So painful. Mat God have mercy upon the family
This boy realy wise.
This boy realy wise.
God bless this family
Mungu atakumbuka mayatima
😭😭😭😭Mungu atamsaidia huyu mtt dahh ana hekmaa kupita maelezo masha’Allah
Maa shaa Allah huyu mtoto ana akili
Allah akujaalieni maisha mazuri
This is a truly touching story about this Tanzanian boy(nataman ningekua nauwezo ningesaidia hii familia")I'm watching from Africa in Kenya at Kilifi")inauma sana
He's just a kid but in his eyes you can see someone looking to fight for a brighter future. He already felt the responsibility already in his hand seeing that his father is getting old. God bless his family.
Whoever listens to this,ukiwa na uweze kindly help this family....this is a genius boy indeed
Interview ya 2023 imenileta uku hakika Mungu ni Mkubwa Leo Dogo anaongea English vizuri,congratulations Mr Msuya kwa Msaada wako Mungu akubariki.
Uyu mtoto ana nitoa chozi hasa AKISEMA mama alikuwa wa mama wote 👍👍👍Shikamoo hakika ata mm namkumbuka mama japo nime kuwa mtu mzima😅😅😅
sorry
Duh inauma sana ila mungu ndio Mambo yote pole sana
May GOD remember that boy and BLESS him he mad me cry he is very strong and he never give up no matter what am Kenya but watching from Bahrain 💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😢
Nice one for you my young brother
Wow!! huyu mtoto anaongea Tu kama mtu mkubwa whaaaat!! So intelligent
Kutoka Nairobi Kenya nimempenda huyu Mtoto.. Tafadhali msaidieni
woooii lord ,,,have mercy kwa orphans ,,,saidia uyu kijana pamoja na familia iliyo baki mungu wangu!
😭😭😭😭😭😭😭dah,
mama kapolomokewa na nyumba,akafa
Unaweza ma aje kama umelala njaa
Can't hold you tears
From Kenya,this kid is very clever and my prayers President Magufuli heard his cries.
Oooh God tufungulie njia
Wonder how we can help from kenya
Wonder how we can help from kenya
😍😍
rayvanny sikupendi
The wisdom in this child is above, I so hope Tanzanians are able to back this boy.
Iman we manyun
Yaan saf kabisa!
Wooow nimependa huyo kijana ana fikiria vyema Mungu akubariki na kuku mulikia nwangaza ili ufikie hitaji lako
This is so emotional and no kid is supposed to go through all this. It's so sad such a gifted kid can't access quality education, food, shelter and clothing. My heart pains for this little angels and others. Wake up African governments and be servants of your people. Tap these brains and make our continent great.
Haruni
Mungu nimwema sana hakika nimetokwa na machozi juu ya huyu kijana mdogo😥😥.
Yaani kama umekuja hapa 2024 baada ya kujua kijana amemaliza la Saba na kupata A piga like na no furaha sasa🎉
Mtoto: wewe waweza enda kusoma ukiwa umelala njaa😭😭😭😭😭😭,the interviewer has a long way to go,,,,,254 ndo home🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Toto bgap
254 to the world
Huyu mtoto hakika anajua nini anakifanya naamini atakuja kuwa mwalimu mzuri sana na kiongozi bora sana mungu yu pamoja nawe popote uendapo mdogo wangu
yaan daaah,miaka 6 iliyopita tuliona hii,... leo 2024 tupo hapa baada yakumaliza shule yamsingi na amabadilika ki maisha ..MUNGU MKUBWA....MIAKA 6 IJAYO TUWE HAPA KUMUONA LEVO NYINGINE...KIKUBWA UZIMA...❤❤🙏
MUNGU ATUSAIDIE
Am a namibian n i truly don't understand the language but the video can tell it's. Heart touching story, Lord have mercy on him...
Am a Ugandan but trying to pick some words
I love the confidence of this young boy
Kiongozi mkuu wa badaye huyu mtoto abadilishe ndoto zake za ualimu ❤
His answers are amazing full of wisdoms this boy will go far
This boy has made me cry he can understand humanity far better than even some of us who think we know. He knows what is wrong and how to approach it; for instance he knows that selling the only land that belongs to them is bad, and that his father can cane him because he is his father. This is an angel, have never seen such a humanity in a person like i see in this boy.
Huyu mtoto n mwerevu sana I wish agekuw karibu ,,,,amefanya nimwage machozi
This is too touching, Mungu amsaidie huyu mtoto ananiumiza sana japo yupo imara kupambana ila inaniumiza
Just in love with the kid.... He is even clever than the interviewer
Peter Obat 😂😂😂😂😂
🤣🤣 aki
It's so true! How can you ask a child who he loves better between parents one of whom is dead?😳
😁 😁
Just imagine
This boy is genius... he never disapoint , your future is so bright and brighter.watching from kenya kudos
So touching indeed...may God bless this young boy,,he's very clever
Uyu mtoto nitampa milioni mbili baada ya miezi miwili na nusu nikija Tanzania.
shemela ruhinda and God will bless you
shemela ruhinda inshaallah
Ukitoa kwa mkono wa kulia hakikisha washoto HAUJUI !!!#shemela ruhinda
shemela ruhinda na mimi nina shida na m1 tu ninunue mashine
Clara Emmanuel Acha kejeri aikusaidii kitu
Sasa we sikia unaweza kusoma wakati umelala njaa?
This boy will go far
Thank you Lord,
Ohh lord bless this boy
Good boy cjawah ona mtoto mwenye akili kama huyu mungu akukuze vyema mdogo angu kwel mungu akusaidie sana cna uwezo wa kukusaidia lakin nimeumia San