Baada ya Diamond kukutana na Mzee Makosa na kumpa 10m, Harmonize naye ataka wakutane!

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 125

  • @magrethmagonza186
    @magrethmagonza186 16 годин тому +35

    It's tru muigaji asipende kuiga. Daiimond yupo really na ndio maana anasonga. Jamaa amekaa anangalia upande wa pili wamefanyanya nini ndio na yeye anadaka.

    • @MudyAlly-q7d
      @MudyAlly-q7d 7 годин тому +2

      Kwahyo wanashindana wew unavofikir?

    • @thetrailerzone2791
      @thetrailerzone2791 6 годин тому +2

      Ni vzur kujifunza kwa mwenzako

    • @rumdeesonsoa1811
      @rumdeesonsoa1811 4 години тому +1

      Kama na ww unapoteza hela zako kwa wanawake wenye makalio makubwa unalo la kujifunza kupitia huyu mzee.

  • @eddsonjeremiah6669
    @eddsonjeremiah6669 16 годин тому +54

    Diamond platnum ndio kioo Cha mziki bongo wengine copy cats

    • @ameirzapy1318
      @ameirzapy1318 8 годин тому +1

      Ni mawazo kama mawazo mengine tu ila hayamaanishi

    • @LatifaCharles
      @LatifaCharles 6 годин тому +2

      Muongo ww kioo cha mziki wa matusi na kioo kwako ww au

    • @m___ck799
      @m___ck799 6 годин тому

      Is there the best Copy Cats like Platnumz in this aftica ???😂ypu talking nonse

    • @wemakingdaily1462
      @wemakingdaily1462 6 годин тому +1

      Mi nataka nikutane na Baba Diamond Mzee Abdul

    • @shafee9128
      @shafee9128 5 годин тому +1

      Hapana kufanya mambo mazuri hawaigi ni wajibu tufurahi watu wakiwa wema

  • @Keyjop
    @Keyjop 8 годин тому +24

    Baraka za Mungu hazina kikomo na hazina majuto mzee makosa kabarikiwa tangu tumboni mwa mamaake...

    • @christinewomanoffaith5479
      @christinewomanoffaith5479 7 годин тому

      😂😂😂😂

    • @SifranLove
      @SifranLove 4 години тому +1

      Angempa baba yake msaada huyu diamond kioo cha jamii kwenu, anza nyumbani ndio utoe nje

    • @Keyjop
      @Keyjop 4 години тому +1

      @SifranLove polee saana babaake anavuna alicho panda

    • @jonaskilomba4094
      @jonaskilomba4094 4 години тому

      Baba yake niyupi?​@@SifranLove

    • @breymbasa3451
      @breymbasa3451 2 години тому

      ​@@SifranLovewee unajua ktk swala lake na babaake kuna nn nyuma ya pazia? Mfano kama mondi kashawahi kuambiwa kuwa babako huyu alinikataa na aliikataa mimba Alisema niitoe kama wewe Akirini mwako kinajengeka kitu gani Achani Kudandia Mambo ya watu

  • @James-sz4ec
    @James-sz4ec 16 годин тому +21

    Kisturi hua hana msaada tatizo lake ni kutembea na kiki

    • @fasterwalker1464
      @fasterwalker1464 5 годин тому

      Kabisa 😂😂😂😂😂 na baadae huishia kugombana na hao anaojidai anawasaidia

  • @hizamawa6046
    @hizamawa6046 15 годин тому +16

    Mzee anapenda mi SCANIA😅😅

  • @FredrickMatiku-xf2uk
    @FredrickMatiku-xf2uk 5 годин тому +4

    Huyu mzeee alikuwa anaishii maisha ya anasaaaa kama wakina harmonize na diamond ndio maana wanamuita

  • @Sarah-e1o9k
    @Sarah-e1o9k 7 годин тому +4

    Simba ndio kioo hawa wngine wanaiga tu❤❤❤❤

  • @warrenkilimber4013
    @warrenkilimber4013 16 годин тому +15

    Mmakonde ganja makick, without diamond platinumz tanzanian music is nothing

    • @StarMerinyo
      @StarMerinyo 16 годин тому +2

      Kiki tu kwa harmonie anataka kukopi kila kitu simbawanachofanye nae afanyew

  • @JechaMakameIssa-gs2bl
    @JechaMakameIssa-gs2bl 9 годин тому +4

    Kumbe hadi leo anamuiga anachofanya sasa si yy atafute wazee wengine awapo wpo wengi hao huku kutumoa upepo wa mwezako ndio nn sasa

  • @KhalfanSalim-v1x
    @KhalfanSalim-v1x 8 годин тому +3

    ukiwa na pesa ukataka kufanya uhuni na wanawake awa wa mjini asa ao wazur na kutaka magar pesa sim nzur mda wote wanataka wao vizur tu ao awafai pia awafai kua mke kwenye nyumba sababu hao awanaga mapenzi ya kweli asa awa wanawake wa mitandaoni kuva uchi na kutingisha ma body yao yani sio kabisa wapo kibiashara Zaid binadam sasa hivi tutizame wanawake wa kuowa sio kurukia awa wanawake wa mitandaoni awafai

  • @simonseyongwe
    @simonseyongwe 5 годин тому +1

    Ni kweli Harmonize kila ki2 anavjokifanya Diamond lazima haige

  • @khamissalum8642
    @khamissalum8642 10 годин тому +5

    Huyu jamaaa duh bila ya Dimond platnumz tz hakuna kitu

    • @LatifaCharles
      @LatifaCharles 6 годин тому

      Acheni kuchonganisha diamond ni kama
      Baba yake acheni uchochezi

  • @HASSANBAKARI-q9c
    @HASSANBAKARI-q9c 8 годин тому +3

    UYO CHINGA MPUUZENI,,,KWELI DAI NI BABA YAKO😊,,TENA WA KUKUZAA,,,WE ENDELEA KUTREND KISA MIKUND,,,,FAIDA YAKE UTAIONA.

  • @abal-kasimhassan3415
    @abal-kasimhassan3415 6 годин тому +1

    Huyu harmonize achunguzwe hana akili 😂😂😂

    • @fasterwalker1464
      @fasterwalker1464 5 годин тому +1

      😂😂😂😂 Harmonize hajawai kuaga naakili

  • @LoveAron
    @LoveAron 9 годин тому +7

    Kikubwa nae Hamonaz nae amchangie,amuige mond au lah siyo vibaya jamani

  • @Electri-ambi
    @Electri-ambi 6 годин тому +1

    Analipwa malipo ambayo alipanda wema wake ni akiba kwakweli Mzee jua la jioni anapata Nuru ❤ watu wa iringa tunaelewa Kwa kuwa miti ni mali

  • @kalengashoppingcenter1108
    @kalengashoppingcenter1108 9 годин тому +3

    Huyu dogo akija kufirisika walah atachekwa na kudharaurika vbaya sana, Sawa tunatoka kumoja Mtwara but dogo bunguza drama

  • @braystuskibassa3842
    @braystuskibassa3842 5 годин тому

    Huyo mzee kapitia mengi saana enzi hizo maana ake wakati tunakuwa tulikuwa tukisikia maisha ya mzee Makosa n.k alimiliki pesa nyingi akajenga majumba, akanunua magari, alijenga Makosa Hospital, lakini mwishowe aliuza majumba n.k inaumiza hasa ukipita kwenye yale majumba yake kwasasa lakini kwasababu kuna watu wameonesha kumsupport inapendeza na ashukuliwe Mungu

  • @AllyBabu-kr6lg
    @AllyBabu-kr6lg 16 годин тому +6

    Rodri❤❤❤man city bombo claaaaaaa jeshiiiiiiiiiii

  • @Ushauri235
    @Ushauri235 2 години тому

    Good job diamond

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 7 годин тому

    Makosa tjose days,waliokuwa iringa those days wanaelewa
    Baharia aliyeshika hela akaishika iringa, aiseee
    Ila wanawake,🙌ukiwaendekeza lzm ufilisike

  • @ISSACKRICHARD
    @ISSACKRICHARD 16 годин тому +3

    Sky anavotamka iyo mizigoooooo😂😂😂😂😂

  • @PeninaAdam
    @PeninaAdam 8 годин тому +1

    Nilijua naota 😁😁mnajua nilisema lazima hamoz nae atamuita na atampa Milion 30

  • @kageclemence7096
    @kageclemence7096 3 години тому

    Kweny hili harmonize anakitu chakujifunza kwenye mizigo sion chochote Apo ambacho ameiga sema wabongo tuko ivo bigup mmakonde

  • @yaduniapeter
    @yaduniapeter 16 годин тому +1

    🎉🎉

  • @ramanovomchaga3957
    @ramanovomchaga3957 7 годин тому

    Haya

  • @WaridSaid
    @WaridSaid 16 годин тому

    Safi

  • @CalliamKayechikwindi
    @CalliamKayechikwindi 7 годин тому

    Hhhhhh noma sana

  • @JeannetteManirambona-o6m
    @JeannetteManirambona-o6m 8 годин тому +1

    😂😂😂hamo ngoja mzee akupe funzo kwenye mzigo mzigo

  • @chany9950
    @chany9950 16 годин тому

    Sky 👍🏾👍🏾👍🏾👍🏾

  • @SmilingBeaver-rf6sf
    @SmilingBeaver-rf6sf 16 годин тому +1

    Yani msinge mpost

  • @Halima-k8l
    @Halima-k8l 7 годин тому +1

    Harmo maliza deni kwanza acha shobo kaka hooo

  • @Iampablohpaul560
    @Iampablohpaul560 9 годин тому +2

    Konde anatafuta kiki na si kingine 😂😂😂

    • @FahadAbubakari-y3f
      @FahadAbubakari-y3f 8 годин тому

      Sasa hiyo Kiki na akiimsaidia huyo mzee anaefaidika si huyo mzee Kuna kua na kosa kweli au ndo hasira tu

  • @RichWise671
    @RichWise671 16 годин тому +1

    🙌

  • @Zuhuranadadoita
    @Zuhuranadadoita 11 годин тому +1

    😂😂😂😂😂😂😂😂Nimecheka asubuhi hiii ila harmonize

  • @nzeyimanamwavita1904
    @nzeyimanamwavita1904 8 годин тому

    Hanaika nini kasema ukweli

  • @zclassicfashionz1573
    @zclassicfashionz1573 6 годин тому

    Ukisikia riziki ya mtu huwezi ifungia ndo ichi sasa mzee Makosa msaada wake kuna wengine walifanikiwa kupitia yeye na leo ndo ana trend mjini You tube na ninachotegemea ataendelea kuvuna mkwanja kipindi iki cha mwisho wa mwaka

  • @PeresiFransisco-hz6ui
    @PeresiFransisco-hz6ui 16 годин тому +2

    Nimelala msiniamshe

  • @AdamCheze
    @AdamCheze 5 годин тому +1

    Sasa kama anaiga mbona hajaenda kwa P.DIDDY

    • @KisinzaNewton
      @KisinzaNewton 3 години тому

      Alitaka aende,sema ndio hivyo didy kadakwa

    • @AdamCheze
      @AdamCheze Годину тому

      @KisinzaNewton sio kwel

  • @luckybarbershop2342
    @luckybarbershop2342 15 годин тому +3

    Kistuli acha kelele hagahaha

  • @ZuberySheketo
    @ZuberySheketo 11 годин тому

    Duh mpatie chado pia akamtoe shemej yke

  • @MaghobaGeorge-lq4yg
    @MaghobaGeorge-lq4yg 7 годин тому

    Acheni hizo Mambo hao wote ni vioo vya jamii kila mmoja ameguswa kwa namna yake sio mbaya akisema anacho jisikia

  • @kalekela-j1e
    @kalekela-j1e 5 годин тому

    Mzee Makosa hukosea mambo gani?

  • @ShabanKatagila-gy8tk
    @ShabanKatagila-gy8tk Годину тому

    tatizo uwa atukubali ukweki diamondi ni kioo Cha wasanii

  • @DeborahSichone-b9c
    @DeborahSichone-b9c 6 годин тому

    Kweli makosa ni muwazi namjua ajadanganya

  • @salama1113
    @salama1113 8 годин тому

    Ndomana unambiwa unapenda kuiga nilitakakushangaa usiende na upepo 😂😂😂😂

  • @Keyjop
    @Keyjop 8 годин тому

    Harmo jaigi ila kaguswa mwacheni amasome Kwa mzee makosa

  • @FantanaIsmail
    @FantanaIsmail 11 годин тому +1

    Sasa yeye harmonize alishalipa lile deni la crdb?? tuanzieapokwanza

  • @samehewaliokukoseya2605
    @samehewaliokukoseya2605 14 годин тому +2

    Alifikiriya watamuachiya iyo mizigo😂?🤪🤪wana sepa nazo😂

  • @BarbaraPatience-qt9cc
    @BarbaraPatience-qt9cc 7 годин тому

    Huyu hamo ni kiki tuu!! Alafu huyu sky siku hizi anashabikia ujinga sana!!!! Vitu visivyo maana ndio anapenda yaani nikama anafurahi mtu akimpond,kumdhihaki Mondi! Kitambo nilikua nampenda na nam chukulia wa maana ila sai mshwweeeeeww😏

  • @juliusmix
    @juliusmix 6 годин тому

    Makosa.... Alifanya Makosa😂😂

  • @princemichael3023
    @princemichael3023 2 години тому

    Mzee wa kutembelea upepo

  • @NolaTz
    @NolaTz 9 годин тому

    Mimi namkubari Sana mond kwa kusaidia na ameupeleka mziki wetu mbali anaongelewa lakini amefocus na kazi

  • @Bahati47
    @Bahati47 10 годин тому

    Sio kweli dai anafanya mengi sana mbona harmo hamuigi? harmo ameongelea kipengele Cha mizigo tu hebu muacheni mtt wwtu

  • @fridaernestmkedege900
    @fridaernestmkedege900 Годину тому

    Wema hauozi..

  • @AdamCheze
    @AdamCheze 5 годин тому

    Tunaomba Muwakumbushe Watoaji Wawasaidie Na Wazazi Wao Na Sio KIKI za mtandaoni tu

  • @shyfettymtunda4619
    @shyfettymtunda4619 8 годин тому

    Wote wanapenda mizigo.😂🤣

  • @nellymtambo8432
    @nellymtambo8432 6 годин тому

    Alafu mzee abadili jina asije fanya makosa tena 😂

  • @ibrahimaziz7158
    @ibrahimaziz7158 11 годин тому

    Kwaiyo anaetakiwa kusaidiwa ni mzee makosa tu

  • @JechaMakameIssa-gs2bl
    @JechaMakameIssa-gs2bl 9 годин тому

    Mwezio ametowa ile ya moyoni ila yy sasa yke Makiki tu mm huyu hatupatani hapa tu fanya chako usifiwe ila hivi sasa akifanya lazima na Mond atatajwa ndio kama hv Maada ya kukutana na Mond na Hamo nae anaomba kukutana tayar Mond anatajwa tena mwazo kushnda yy haamki huyuu au hana washauri

  • @sulleymernmannarah7930
    @sulleymernmannarah7930 6 годин тому

    Kuna comment ya shabiki wa mmakonde siioni cjui amejifcha wpy mbwa hyo...😂😂

  • @samirmswahili
    @samirmswahili 16 годин тому +3

    1 2 3 4 5

  • @zclassicfashionz1573
    @zclassicfashionz1573 6 годин тому

    Anaitwa Tembo...

  • @blessingstown7063
    @blessingstown7063 15 годин тому +1

    huyu mumakonde atashinda😂😂😂bomboclat

  • @PeninaAdam
    @PeninaAdam 8 годин тому +2

    Wapenda ngono wanapenda hapo tu,ila wenye mwenye busara huyu mzee anapenda jamiii anajitoa na kusaidia jamii bila kuwa na kitu ,anapenda mazingira Yan ana Iman na mkweli atafika pepon

  • @Markhomestz
    @Markhomestz 8 годин тому

    Ila harmo 😂😂😂😂

  • @Joneslaizer100
    @Joneslaizer100 9 годин тому

    Diamond ni funzo

  • @breymbasa3451
    @breymbasa3451 2 години тому

    Nimeona comment nyingi kwa mondi watu mnaleta maswala ya babaake ati kwann asimsaidie Hivi mjaua kilicho nyuma ya hilo swala lao Mfano kama mondi kashawahi kuambiwa kuwa babako huyu alinikataa na aliikataa mimba Alisema niitoe kama wewe Akirini mwako kinajengeka kitu gani Acheni Kudandia Mambo ya watu ngedere ninyi

  • @DazzWazenji-uy6cr
    @DazzWazenji-uy6cr 12 годин тому

    Sasa mzee alikua tajir alikua anamsadiia nani

  • @MathewBernard-j3p
    @MathewBernard-j3p 8 годин тому

    Watu wanaigombania nyota.

  • @festohaule9716
    @festohaule9716 4 години тому

    Mizigo.. mizigo 😂😂😂😂😂

  • @Ibrahim-ne3in
    @Ibrahim-ne3in 10 годин тому

    Mtoto anafuata nyayo za baba

  • @SalmaAthuman-hp3en
    @SalmaAthuman-hp3en 9 годин тому

    Ila harmonize 😂😂😂ila wa bongo wengi wajina sasa harmo anaiga nini kwa sadala acheni ushamba

    • @mamboshepea8888
      @mamboshepea8888 8 годин тому

      Ni kwamba angeona kwanza yeye si asubiri mpaka simba atoe ndo akurupuke...na wa kupewa sadaka mbona wako wengi??!!!

    • @ShaibuMkullu-ck6sl
      @ShaibuMkullu-ck6sl 8 годин тому

      ​​@@mamboshepea8888mimi sioni tatizo ww ukimpa mtu fulani msaada basi mtu mwingine asitoe eti kwa sababu wewe ndo wakwanza kutoa msaada, tubadirikeni na tuache tabia ya kumchukia mtu bila sababu.

    • @sulleymernmannarah7930
      @sulleymernmannarah7930 6 годин тому

      Kwhy ww huoni hpo

  • @babalao3250
    @babalao3250 8 годин тому

    Nushasema kitambo hamo anatakiwa amtafute mange kimambi

  • @drisakamwakitalima1937
    @drisakamwakitalima1937 14 годин тому

    😂😂😂😂😂 haya bna

  • @robert.joseph
    @robert.joseph 10 годин тому

    Kuiga iga tuu ili mradi nae azungumziwe khaaa

  • @saadabakar7750
    @saadabakar7750 15 годин тому +1

    😂😂😂wenye mizigo wameondoka nayo😂😂😂

  • @sumakitengo1356
    @sumakitengo1356 6 годин тому

    Mondi kazingua msanii mkubwa namba moja tanzania kweli anampatia mzee m10 pesa ndogo sana kwa brand yake angekausha tu

  • @Farajahelene23031
    @Farajahelene23031 16 годин тому +1

    Team konde we are waiting for konde

    • @Jurbeg
      @Jurbeg 15 годин тому +2

      😏😏😏

  • @jassonnelly3445
    @jassonnelly3445 9 годин тому +1

    Shika koti la kaka asije kukuacha ukapotea tunakuelewa dogo letu wewe tembea humo humo

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 7 годин тому

    Makosa unatia aibu khaaa!
    Anyway ,hela unasaidiwa sn ila zinaisha hakuna unachofanya Mungu akusaidie.
    Duh watu wa iringa miaka hiyo wanaelewa

  • @dandy_unique
    @dandy_unique 8 годин тому

    hamo kalipe kwanza deni crdb

  • @thehustlerafrica4368
    @thehustlerafrica4368 8 годин тому

    Copy and pest

  • @omanmct135
    @omanmct135 9 годин тому

    😂😂😂😂😂

  • @jamalsultan6868
    @jamalsultan6868 8 годин тому

    🤣🤣🤣