MAPYA YAIBUKA kwa BILIONEA SHAMI BAADA ya KUTANGAZA YUPO HATARINI -ALIOWATAJA WAIBUKA-WATAKA AWALIPE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 164

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  7 місяців тому +1

    JIUNGE KWENYE CHANELI YETU YA WHATSAP ==> whatsapp.com/channel/0029Va7u...

    • @Commentsplus
      @Commentsplus 7 місяців тому +1

      Mnamzalilisha shigongo hilo jingo la ninini

    • @YusufLubangula-yn6tq
      @YusufLubangula-yn6tq 7 місяців тому +1

      Habari! Tunapo fatilia Habari kwenyMedia yenu Alafu mnatuchomeke ilo sauti linasema"UNATAZAMA Global tv" Ilosauti Lina tuchanganya Litatufanya tusifatilie Habari kwenye MEDIA yenu🎶🎵🙆

  • @amedeuskimario8895
    @amedeuskimario8895 7 місяців тому +22

    Hilo lisaut mnaboa sisi tunajua hii n global bana

  • @SharifaOmary-ui8vs
    @SharifaOmary-ui8vs 7 місяців тому +25

    Mnaboa kwan hatujui kama hiyo ni global mnatukera na hiyo sauti🎉

  • @georgemark6874
    @georgemark6874 7 місяців тому +17

    Hilo li sound track lenu mnakera. Kwani sisi hatujui kama ni global tv?😏😣

  • @JumaMadebe-gp7ov
    @JumaMadebe-gp7ov Місяць тому

    Bilionea, Leo siku imefika, ya kufezeeka. Pole mzee

  • @TradersEasyWay
    @TradersEasyWay 7 місяців тому +6

    mimi nafanya shipping china to tz.muhindi yuko sahii Bill of lading sio editable yani na kuibadili kuna process ndefu sana

  • @meryshekoloa961
    @meryshekoloa961 6 місяців тому

    Shamy tapeli acha nimeteseka sana na kampuni ya gwamaka madalali wanahujumu sana hata mapato ya bandari yaani mungu afanye jambo kitengo hiki nenda taffa watakusaidia wapo vizuri ushapigwa

  • @KudraWanguvu-em1xw
    @KudraWanguvu-em1xw 6 місяців тому +1

    Huyo ni mwizi komaeni nae na serikari imfatilie kwani inaonekana ni tapeli mutlaq

  • @senetornkwarz5714
    @senetornkwarz5714 7 місяців тому +2

    Yani upewe gari 9 kwa milioni 100 naa.. ukweli walikutana wote wajinga... kama unaweza kununua gari 9 cash unashindwaje kwenda china, sweden au uk ukachkue gari izo mwenyewe.. YANI HAO WOTE NI WATU KATI MAYBE ...... hao wahindi walitaka na wao walipe kidg kidg .. Sasa swali lingine mtu analipa kidg kidg sasa gari unaagizaje ! This is complicated sana

    • @McT-m1m
      @McT-m1m 29 днів тому

      Hujasikiliza vizuri

  • @KimuiSaltdua
    @KimuiSaltdua 7 місяців тому +3

    Inavyokuwa ni hivi
    Bilionea shami anafanya kitu kibiashara kinaitwa mbinu ya kuuza..katika kuuza kuna namna ya kumshawishi mteja ili anunue na apate mali yake,wahindi hao hawakuwa wanunuzi tu bali wachunguzi wa biashara yake,walichokitaka ni kufahamu gari zake shami zinatoka wapi ili wao waanze kununua na kuuza wao.Shami hapo alilitambua hilo mapema na ndiyo maana aliwakwepa kiutaratibu.Itashangaza sana muhindi anaejinasibu ni msomi anunue gari kutoka kwa shami tena kwa pesa za mafungu.!

  • @Ambeniwatano
    @Ambeniwatano 7 місяців тому +12

    Jamaa tapeli alipe Hela za watu kesi cross

  • @HalimaKassim-yz3we
    @HalimaKassim-yz3we 27 днів тому

    Kueni wastarabu wanaume hawagombani kwani mlilazimishwa kufanya nae mkataba acheni kua nyanyasa wa Tanzania 😢😢😢😢😢😢😢

  • @simonetz7036
    @simonetz7036 Місяць тому +1

    Ndo maana waarabu na wahindi wanatudharau mno. Viongozi na mamlaka zetu ndo chanzo Cha kudharauliwa.

  • @rajabumlau1381
    @rajabumlau1381 7 місяців тому +5

    Bilonea gan anateseka na milion 100😅😅😅😅

    • @carloschomola9219
      @carloschomola9219 7 місяців тому

      Huwezi kutoa pesa isiyohusika na biashara husika

    • @StephanoMoses
      @StephanoMoses 6 місяців тому

      Achana na mil 100. Tajiri haachagi hata sh. 50 ipotee. Maskin anaacha hata mil 200 iende zake
      . NB. Mbinu za utajiri ni ubahili/ how to buget

  • @mwanaafrika_tz
    @mwanaafrika_tz 7 місяців тому +1

    Global TV washamba sana... Hamjiamini na kazi zunu Mpaka Muweke soundtone Kwenye Video??? Producer/ Editor ni Vilaza.

  • @shazirynambombe7735
    @shazirynambombe7735 7 місяців тому +8

    Achen kuweka misaut yenu ya global tv mnabowa bana

  • @jamalibakari3683
    @jamalibakari3683 7 місяців тому +1

    Shamy ipo ivi kama ulichukua pesa yawatu naunakili ulichukua bas lipa tu boss ili uwe huru..vinginevyo utatafuta matatizo boss pesa yamtu ningumu sana

  • @traveler.360
    @traveler.360 6 місяців тому

    Nilichogundua mimi, hapa BWANA BILIONEA alikua mid man na alichotaka kufanya ni kupokea hiyo hela aitumie kuprocess huo mzigo hadi umfikie auze apate hiyo percent yake, ila wana wakamsanukia wakaacha kumalizia hela so deal ikafeli.

  • @AshuuuBakari
    @AshuuuBakari 7 місяців тому +10

    😂😂😂😂muhindi anaongea kiswahili kimenyooka hata mimi sikiwezi😅😅😅😅

  • @Moresa196
    @Moresa196 7 місяців тому +2

    Global tv kwa hii video ni soundtrack mpaka mnaweka signature tone kama producer???

  • @Enzo-cp
    @Enzo-cp 6 місяців тому

    Global mmekuwa washamba sasa hiyo signature yenu ya nini

  • @premierevents9537
    @premierevents9537 6 місяців тому

    Hawa wahindi hata wao wanajichanganya maelezo. Haiingii akilini walimpa pesa Shamy bila kujiridhisha.

  • @djbless6201
    @djbless6201 7 місяців тому +6

    Hiyo sauti vipi wakuu mnakera bana, jiongezeni bhana

  • @KomboHassan-r9y
    @KomboHassan-r9y 7 місяців тому +7

    Inaonekana huna Nia njema. Sababu hakuna makubaliano yyt Yale ya Aina unayosema wewe eti ulipwe zote ndio ulete mzigo

  • @salumchuma7762
    @salumchuma7762 7 місяців тому

    Sasa Tusikilize hiyo tangazo la Global au Tusikilize mahojiano?

  • @nikky4757
    @nikky4757 7 місяців тому

    Kuna jambo halipo sawa huyu anasema mkataba wa magari 9 kwa 585m
    Labda sijui bei ya magari lakini umigawanya hapo 585m kwa 9 ni 65m kwa gari moja yaani gari kubwa na trela kwa 65m
    Hii bei inatia mashaka mbona n ndogo sana ni either hawa hawajaweka fact sawa zina mashaka au kama ni kweli basi hawakuwa makini wakafata mtelezo

  • @AK-rd5zr
    @AK-rd5zr 7 місяців тому

    Hawa Vijana wa kihindi hawakuwa na nia yakuhitaji magari ila kumuharibia jina na biashara ya shami. Kama makubaliano yalikuwa ni wakimaliza kulipa waletewe magari yao tatizo la kumchunguza bilionea hadi China ilikuwa ni gani? Mtu ambaye analeta hadi mabasi ya mikoani angewatapeli malori tisa? Wangemaliza kwanza kulipa then kama Shami angefail ku deliver magari hapo wangekuwa na haki yaku demand pesa zao.

  • @swahilimoves3348
    @swahilimoves3348 7 місяців тому +6

    Toweni hicho kisauti Cha global tv

    • @Commentsplus
      @Commentsplus 7 місяців тому +1

      Kurumba anajiona kama Star ujue
      Alikuwepo shayo

  • @johnlyimo1820
    @johnlyimo1820 7 місяців тому +6

    Wacheni hii kutangaza wakati mtuu anaongea unatuchanganya kusikiliza global tv

  • @noelnoel4916
    @noelnoel4916 7 місяців тому +1

    Iyo mmetapeliwa mgenunua china mkatafuta shipping agents

  • @SirajiRashidy
    @SirajiRashidy 23 дні тому

    Aisee Hatar utapeli uwo😂😂

  • @ahmedbashash3672
    @ahmedbashash3672 7 місяців тому +6

    Litapeli hilo kamateni funga maisha shenzi mkubwa huyo

  • @Alicekalambay1234
    @Alicekalambay1234 Місяць тому

    Unatazama kinyesi tv

  • @moriartys.192
    @moriartys.192 7 місяців тому

    Hiyo voice over ya global Tv ni ya kipumbavu sana

  • @katabaroonlinetv9688
    @katabaroonlinetv9688 7 місяців тому +1

    Someni comment za watu mshaambiwa hiyo sound track itoeni mpaka mtu anafungua ashawajua ni global tv

  • @peternyambo1439
    @peternyambo1439 7 місяців тому +1

    HAWA wajanja walitaka kuliteka Soko la bililonea kiwizadi, waende MAHAKAMANI!!!

  • @kisokatvonline3704
    @kisokatvonline3704 7 місяців тому

    hako kasauti ulichokiweka katikati ya video siyo nzuri maana tunaijua global tv

  • @prince.eric_msemwa9732
    @prince.eric_msemwa9732 7 місяців тому +1

    madalali wanaharibu sana biashara,

  • @nyiqatonyiqa7114
    @nyiqatonyiqa7114 7 місяців тому

    Tunajua mikataba,tumefanya mikataba,je mlikubaliana kulipa pole pole?, je mlikubaliana kulipa kwa awamu ngapi?, Magali yaliopo njiani ni yenu au ya wateja wengine?,mlivunja mikataba ndani ya siku Tano na kutaka hela yenu mrudishiwe,je mikataba yenu ilikuwa yasemaje?????? Tupeni majibu baba na tunataka mnawalipa mishahara hela ngapi kwa mwezi nyinyi 😢😢

  • @shizkimaro
    @shizkimaro 7 місяців тому

    Sasa ata robo3 ujalipa unataka document 😢

  • @CharlesRehani
    @CharlesRehani 7 місяців тому +1

    Bilionea muogope Mungu uripe pesa zawatu upunguze tamaa

  • @moonlightcinema3263
    @moonlightcinema3263 7 місяців тому

    Acheni ushamba kuweka li background la global kwani nani ataiba iyo saund bana acheni mnakera watu a

  • @mahersaid258
    @mahersaid258 7 місяців тому

    Sasa nyinyi mume soma vzr na wenye viwanda muna wajua na munaongea nao vzr kwann musiwend kiwandani sasa au munataka kutaperiwa tu polen sana

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 7 місяців тому +1

    Huyu mhindi sio ,hamuoni kama kaweka order ya magari kiwandani halafu unavunja mkataba je huko kiwandani ?

    • @mengikiguruwe6750
      @mengikiguruwe6750 7 місяців тому

      Huyu mtanzania-muasia yupo sahihi sana, km aliwaonesha BL inayoainisha magari yapo majini toka china hiyo BL haibadiliki labda km meli imetekwa aidha huyo aliyepakia mzigo naye habadiliki hivyo jamaa ni tapeli tu

  • @izoohjack6687
    @izoohjack6687 7 місяців тому +6

    Toeni hiyo kisauti

  • @BardenBensonMwamfupe-dk3yg
    @BardenBensonMwamfupe-dk3yg 7 місяців тому +9

    Hii ndo faida ya kusikiliza pande 2 kwa jambo lolote lile.

  • @jumarobert4929
    @jumarobert4929 7 місяців тому

    Mnasumbua na saut linu tunajua kuwa ni global

  • @mahersaid258
    @mahersaid258 7 місяців тому

    Tyr towa pesa za wanaume utamwagiwa mbegu uwaz kutembea mikon juuuu

  • @masweto
    @masweto Місяць тому

    Huyu sammy yuko sawa nyie wahindi mlikinaliana mlipe tsh m900 mkatoa ml 100 harafu mnataka magari mmeshindwa hiyo mliotoa mchezea ngoma

  • @MRPRESIDENT-w4l
    @MRPRESIDENT-w4l 7 місяців тому

    SIKU HIZI MATAPELI ni WENGI SANAA kudadeki huyu Shammy Afanywe Kitu Kibaya Ili iwe FUNDISHO kwa matapeli Wengine

  • @OfficialA83640
    @OfficialA83640 7 місяців тому +1

    Mbona kakimbia mji sasa halafu taarifa zinasema arudishwe haraka sana mbona mnamuhoji tu huko 😂😂😂

  • @sheryphamwenevalley6124
    @sheryphamwenevalley6124 7 місяців тому +1

    Dawa ya deni kulipa billionea fanya urudishe pesa za hao vijana,

  • @darmagazine
    @darmagazine 7 місяців тому

    bilionea kama bilionea

  • @FredrickProsper-c2s
    @FredrickProsper-c2s 27 днів тому

    Wanao amini ni kiki gonga likii hapa

  • @AwaziRajab
    @AwaziRajab 7 місяців тому

    Acheni Ushamba Iyo Saundi Sauti Mbovu Toeni

  • @nassormessi-zk5cz
    @nassormessi-zk5cz 7 місяців тому

    Nchi hii Sasa hivi wahindi na waarabu watu weusi hawana nafas lakini subirini mutanyooka nyote nikichukua Nch Black people ndie mwenye haki

  • @aby21111
    @aby21111 7 місяців тому

    Sorry for you brother, I hope justice be served. Sometimes, it's scary to do business in KenyaandTanzania.😎🇺🇲

  • @Mwamba-hc1jy
    @Mwamba-hc1jy 7 місяців тому +1

    Ametuchafulia kamanda Mulilo Wetu yule mshenz 😢

  • @jacksonmichael799
    @jacksonmichael799 7 місяців тому +1

    Uyo Shami nilidhani mtu wa maana kumbe bogazi aiseee!!😂

  • @AwaziRajab
    @AwaziRajab 7 місяців тому

    Watu Mfano Wa Uyo Awana Faida Kwa Taifa Letu Wanaalibu Sifa Ya Taifa Cha Kufanya Ashikwe Utajili Wake Uwe Kwenye Mikono Mingine Nayeye Malizaneni Nae Tapel

  • @nassormessi-zk5cz
    @nassormessi-zk5cz 7 місяців тому

    Huyu itakuwa si mwanasiasa watanataka kumrushia paka wa uso ndo zao hao

  • @KarimuYusuph
    @KarimuYusuph 7 місяців тому

    hao waindi mataperi huyu nimtanzania mwenzetu lazima tumpambanie polis bana hao waindi walipe pesa ya huyu jamaa kishawachukue gari zao

  • @AwaziRajab
    @AwaziRajab 7 місяців тому

    Kosa Kubwa Mtu Akiwa Na Hela Na Kuwa Na Urafiki Na Viongozi Anaisi Serikali Iko Mkononi Mwake

  • @jrsaid4270
    @jrsaid4270 7 місяців тому

    Inaitwa mpigaji kapigwa sema wengi mnacomment ila hamjawahi fanya biashara na hawa watu waarabu & wahindi
    Hio kesi huyo anayejiita bilionea alipe tu maana hata mahakamani hawataiweza

  • @BertinaCharlie
    @BertinaCharlie 7 місяців тому

    Hawa wanaojipa majina ya bilionea kwenye mitandaoni kama Mudi tuwe makini nao jmn maana hata darali anajiita bilionea yamemtokea puani leo 😂😂

  • @Commentsplus
    @Commentsplus 7 місяців тому +1

    Habari haina jingo kurumbaaaaa

  • @hassaniabdi3991
    @hassaniabdi3991 7 місяців тому

    Jamaa tapeli uyoo

  • @peternyambo1439
    @peternyambo1439 7 місяців тому

    Fungueni KESI ya MADAI

  • @RehemaMasunga-ml7kt
    @RehemaMasunga-ml7kt 7 місяців тому

    Dawa ni moja tu nendeni mahakamani maana huyo shami anasema lake na nyie mnasema lenu ila mkienda mahakamani kuna suluhisho la mwisho

  • @zawadibernard8232
    @zawadibernard8232 7 місяців тому +1

    Bilionea mill 100 inamshinda?

  • @exaverykalinga1487
    @exaverykalinga1487 7 місяців тому

    Nyie global mnaboa sn mbona mnaferi sauti ya nini?

    • @WilsonEmmanuel-bs6op
      @WilsonEmmanuel-bs6op 7 місяців тому

      Uyo bilione siyotapeli Sema tualimua kuchukua pesa kusudi hakachukue Mzigo ilaalichelewa kutuma iyo pesa kulechina Sasa ndio awo waindi wakaona kama wanazulumiwa

  • @salumally663
    @salumally663 7 місяців тому +3

    Mmesoma mnatapeliwa namna hii.poleeni...mmepigwa changa la macho...

    • @BertinaCharlie
      @BertinaCharlie 7 місяців тому

      Kabla hujafa hujaumbika Muombe Mungu akuongoze kila siku wanatapeliwa wasomi waliobobea uko nchi za watu zilizoendelea sembuse sisi hapa wageni wa mambo mengi tu

    • @collinsstanley6126
      @collinsstanley6126 7 місяців тому

      Ndo maana hawakuendelea kumlipa na wakataka pesa yao

  • @missmoona4497
    @missmoona4497 7 місяців тому

    Toen hilo lisaut linaboa kwelikweli kuna muda mm had natoka sitak kuendelea kusikiliza lisaut linaboa

  • @RaphaelHhari
    @RaphaelHhari 7 місяців тому +1

    wanasheria waingie kazini acheni kuzubaa ovyo

  • @frankmgunjimgunji9261
    @frankmgunjimgunji9261 7 місяців тому +1

    Grobal mnazinguaaaaaaaaa na hayo masautiii ya katikati mnakelaaaaaaaaa mnafeli

  • @AmriManengelo-yz5pp
    @AmriManengelo-yz5pp 7 місяців тому

    Bilionea umefeli kulipa nusu inaonyesha unataka iwekesi yamadai 😂😂😂😂😂 daa mjini kagumu

  • @officialmanji4438
    @officialmanji4438 7 місяців тому +6

    Unatazama nyoko tv.

  • @EmmanuelNyinyigwa
    @EmmanuelNyinyigwa 7 місяців тому +2

    Huyo NI moja ya matapeli WA tz Yani kiufupi Pande zote mbili NI matapeli wanao aminiwa na vyombo vya dola

  • @MHDFURNITURE-jn2rx
    @MHDFURNITURE-jn2rx 7 місяців тому

    jamani huyu mwarabu

  • @masweto
    @masweto Місяць тому

    Lipeni hela mliyokubaliana acheni maneno

  • @nicolausminja689
    @nicolausminja689 7 місяців тому

    Kama mnaona mko sahihi fungueni kesi ya madai mpambane kwa vielelezo mahakamani . Maana utaratubu mnaoutumia kumdai haueleweki.kwanini mnakwepa mahakama??

  • @ahmadamohamed1907
    @ahmadamohamed1907 7 місяців тому

    Watanzania wengi tunacoment mambo bila hata kuchunguza huyu bilionia alipolisema vibaya jeshi la polisi wengi walikuja kulifedhehi na kulisema vibaya ooo polisi wezi ,majambazi waonevu

  • @richardhosea8827
    @richardhosea8827 7 місяців тому

    Huyu kweli criminal ulionyesha BL bandia ingekuwa wakati wa corona ungewini sasa ni mugu kwa mguu hata hiyo ofisi huwa wanakodi vyumba kwa muda na kuweka sticker milangoni wakimaliza tu utapeli wanabandua hizo stiker alipe tp mkbwa

  • @MRPRESIDENT-w4l
    @MRPRESIDENT-w4l 7 місяців тому

    Wahindi Wadogo sana hawa lakini ni mabilionea

  • @deogratiusyudatadei5658
    @deogratiusyudatadei5658 7 місяців тому +3

    Nyie wenyewe washamba tu

  • @heritier5119
    @heritier5119 7 місяців тому +1

    Auwawe tu ndo dawa ya tapeli

  • @vicentmapunda3146
    @vicentmapunda3146 7 місяців тому

    SASA WWE BILIONEA GN HUNA ML. 100

  • @AwaziRajab
    @AwaziRajab 7 місяців тому

    Siyo Vizuli Kabisa Kama Ni Kweli Analeta Utata Kwenye Uchumi Wa Nchi

  • @ShehaHaji-k8t
    @ShehaHaji-k8t 7 місяців тому

    Komaeni jamaa alipe na miwani yke ya wizi,, akishindwa muuweni

  • @YusraMadodo-xq3gw
    @YusraMadodo-xq3gw 7 місяців тому +1

    tapeli ww kamanda mniro fanya kazi yako

  • @GeorgeKimaro-c3j
    @GeorgeKimaro-c3j 7 місяців тому

    @dr howo unahusika hp

  • @MBARUKUMPANYE
    @MBARUKUMPANYE 7 місяців тому

    Mnaweka matangazo ya nin mtu mnamuhoji

  • @isackmgema7376
    @isackmgema7376 7 місяців тому

    Huo ujinga wa sauti naomba mtoe

  • @JusticeMakambaza
    @JusticeMakambaza 7 місяців тому

    Toeni kisauti chenu icho aaah kinakeraa

  • @emmanuelmasanja6040
    @emmanuelmasanja6040 7 місяців тому

    Huu ,ubilionea huwa mnaitanaitana mnavyojisikia,?milioni mia anakimbia,kimbia,halafu mnaita bilionea😂😂😂😂

  • @charlesolomi9514
    @charlesolomi9514 7 місяців тому

    Daima sikiliza na upande wa pili kabla ya kutoa hukumu ndo hii

  • @MHDFURNITURE-jn2rx
    @MHDFURNITURE-jn2rx 7 місяців тому

    jamani huyu sio muhindi uyu mwarabu we ulioni pua hilo kashipa

  • @AsdDsa-fi5qk
    @AsdDsa-fi5qk 7 місяців тому

    Iv unasugua meno

  • @mugishamajeba9628
    @mugishamajeba9628 7 місяців тому

    Kisauti kinakera kitoeni maana tunajua kuwa tunaangaria

  • @HalimaKassim-yz3we
    @HalimaKassim-yz3we 27 днів тому

    Hao wahindi wanajifanya wanataka