@SHEIKH OTHMAN MAALIM TV : KIFAHAMU KISA CHA WATU WAWILI MARAFIKI TAJIRI NA MASIKINI / SHEIKH OTHMAN

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 86

  • @khalidmajabuko
    @khalidmajabuko Рік тому +2

    Maashaa Allah shukran sheikh Ramadhan karim Ramadhan Mubaraka ☪️☪️☪️👂👂👂🌹🌹🌹💝💝💝

  • @زينببنتسعيد-د9ح
    @زينببنتسعيد-د9ح 3 роки тому +7

    SHUKRAAN NA SIFA ZOTE ZIMUENDEE MUUMBA MBINGU,ARDHI NA VOTE VILIVOMO NDANI YAKE ALLAH SUBHANAHU WA TA'ALA

  • @زينببنتسعيد-د9ح
    @زينببنتسعيد-د9ح 3 роки тому +16

    REHMA NA AMANI ZA MWENYEZI MUNGU ZIMSHUKIE MTUME WETU KIPENZI MOHAMMAD SWALALLAHU ALLEYHI WASALLAM AHLI ZAKE NA MASWAHABA ZAKE WOTE

    • @ashajuma965
      @ashajuma965 2 роки тому

      Mashaallah shekh otman napenda saaaana mawaidha yako...natafuta sana no zako za cm Nina mambo mengi ya dini natamani kukuuliza

  • @AnwarAli-vs9mp
    @AnwarAli-vs9mp 3 роки тому +22

    Natamani niwe nawe nihame mombasa nije nishii zanzibar kwajili yko napenda sana darsa zako Mashallah tabarakahllah hongera allah izidak fii dunya wa alkhera ALLAH IBARIIK USTADH

  • @mody-guyngido2792
    @mody-guyngido2792 Рік тому

    Wallahi Natamani ningesikia Mawaidha haya mwaka Uliopita,Lakini nasema Alhamdhulillah Ala kulli halli,nimepata lesson,Allah Akulipe na Akupe Baraka Katika Umri wako na Kila unalolitanguliza Allahumma Amin.

  • @abuulugule4840
    @abuulugule4840 2 роки тому +1

    Allaah akulinde na hasadi shekh tunapata faida kubwa kwa mawaidha yako

  • @زينببنتسعيد-د9ح
    @زينببنتسعيد-د9ح 3 роки тому +7

    Wa alleykum salaam warahmatulah wabarakaatuh MAASHA ALLAH TABARAKA ALLAH sheikh wetu kipenzi kweli kabisa unayo sema MWENYEZI MUNGU akuhifadh na kila shari akupambe na swiha njema,umri mrefu,Ummah mzima atujaalie tusiwe na tamaa ya hii dunia tujaaliwe kujijengea Akhiirah Allahummah Amiin ya Rabbil

  • @muslimmuslim512
    @muslimmuslim512 3 роки тому +1

    Masha Allah nataman niishi kalibu yako sheikh ninanufashwa nadarasa unazotupa ningelikua nauezo ningeihama burundi kwajili yako kwaivo basi sheikh ninakuomba number yoko in Sha Allah

  • @chumubby3140
    @chumubby3140 Рік тому

    mashaallah tabarak Allah Allah amekujaalia hekma sana walai Allah akujaalie heri nyingi za duniani na kesho inshaallah 🥰

  • @AnwarAli-vs9mp
    @AnwarAli-vs9mp 3 роки тому +4

    Nwapenda sana wazanzibari kwajili ya Allah wallahi

  • @gamalashur5412
    @gamalashur5412 2 роки тому +3

    ALLAH AKUZIDISHIE UMRI NA SWIHAA UZIDI KUTUPA ELIMUU

  • @AnwarAli-vs9mp
    @AnwarAli-vs9mp 3 роки тому +4

    ASALAM ALIEKUM mashallah tabarakahllah ALLAH IBARIK FIDUNYA WAL AKHERA ALLAH YATIIK SIHAA WALAFYA WA UMMR TAWEELAH AMIN RABIL ALAMIN

  • @salimmariga149
    @salimmariga149 Рік тому

    Ma Shaa Allah Jazak Allah kheiryan...Allah akujaalie umr taweel wenye kheir ndani yake..pepo ya firdaus iwe makazi yako

  • @ibugharib389
    @ibugharib389 3 роки тому +3

    MASHAALLAH, jazzakallah kheir Tunamuomba Allah atujaaliye tuyafuate mafundisho haya BEGA KWA BEGA MPAKA FIRDAUS

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 Рік тому

    Shukran sana shekhe Othman Maalim, Nakupenda kwaajili ya Allah 🙏

  • @ammoahmed2561
    @ammoahmed2561 3 роки тому +5

    TabarakaAllah. Allah akupe umri mrefu wa afya na twa'a utuilimishe.
    Naomber pls if possible lectures ziwe na numbers easy identification, na kufatilia. Maoni yangu, coz sometime umishaisikia but hujui. Shukran

  • @ummuramadhan1842
    @ummuramadhan1842 2 роки тому +1

    Ma shaa Allah,, wallah sheikh uthman wewe kwa visa uko sawa sanaaa Kuliko sheikh mwengne yeyote

  • @eshasaid3258
    @eshasaid3258 7 місяців тому

    Ya allah atujaaliye❤❤❤ yakuyasikiya nakuyafuta❤❤❤❤❤❤❤amini❤❤❤❤❤❤

  • @shikanezatresor8610
    @shikanezatresor8610 3 роки тому +1

    Nakupenda san Sheikh wetu kwa ajili ya Allah
    Pia Allah akupe umri mrefu

  • @moonathansania6143
    @moonathansania6143 2 роки тому +1

    Mashaalla mashaalla tabaraka rahman Allah akuzidishie imani ya kutuongoza na kutupa mawaidha Allah atujaalie tuwe miongoni mwa watakaofuzu Duniani na kesho Akhera inshaalla

  • @kingelkindy2920
    @kingelkindy2920 3 роки тому +9

    زادك الـلـه علما ورفعه وشـرفا 🌹

  • @eshasalim5496
    @eshasalim5496 3 роки тому +2

    MAA SHAA ALLAH LA QUWWATA ILLA BILLAHI

  • @najmaawadh1359
    @najmaawadh1359 3 роки тому +2

    A.a Masha Allah 😘 Allah Akupe nn tena . Nakuombea amali zako ziwe nizenye kukubalika .na Akupe mwisho mwema insha'Allah biithnillah .

  • @missmoona4497
    @missmoona4497 2 роки тому +1

    Maashaallah barakaullahu fiih sheikh nakupenda kwaaajir ya Allah. Miongon mwao huwa ni ww sheikh wangu, conlgoleee saña👏👏👏Maashallah

  • @gamalashur5412
    @gamalashur5412 2 роки тому +3

    Masha Allah Tabaraka Allah
    Allah atupe moyo wa Kinaa'عaa

  • @hassankhadau8007
    @hassankhadau8007 2 роки тому

    Allah akupe mwisho mwema sheikh wangu

  • @husnapetar3617
    @husnapetar3617 2 роки тому

    Asante kwa mawaidha mazurii,Allah akujarie kila la heri

  • @yussufamir5658
    @yussufamir5658 2 роки тому

    Namuomba Allah akuzidishie katika kile alichokujaalie na akufungulie milango ya kheri katika kueneza daawa..

  • @mutaladjasmini4815
    @mutaladjasmini4815 3 роки тому +1

    Masha Allah Mwenye zimungu akupe maisha marefu ya kheri

  • @najmaawadh1359
    @najmaawadh1359 3 роки тому +1

    Allah azidi kukulinda na hassad na Ayn na sihri insha'Allah . Akupe afya na swiha njema insha'Allah biithnillah

  • @hamedfaisal9449
    @hamedfaisal9449 3 роки тому +1

    Allah akujaalie pepo ya juu zaidi

  • @alijuma80
    @alijuma80 2 роки тому +1

    Maa shaa Allah 💖🌿💖🌿💖🥀🌿🌿🌿🌿💕💕💕💖💖💖🌼🌼🌼🌻

  • @nimubonainnocent2183
    @nimubonainnocent2183 2 роки тому

    Allah akulipe kila la kheri na umri mwema na mwisho mwema sheikh wangu

  • @adijahmdosi5863
    @adijahmdosi5863 2 роки тому

    💕 mashallah tabarakallah jazzaka Allah kheri napenda sana darasa zako Mwenyezi Mungu akupe umri mrefu wenye afya na baraka tele 🤲Amin from kenya

  • @mamkubwaashura8096
    @mamkubwaashura8096 2 роки тому

    Shukran saana sheikh Allah akujaze kheir

  • @kizamaulidi6004
    @kizamaulidi6004 2 роки тому

    Mashaallah baraka llah fiq

  • @tazamajeffboy
    @tazamajeffboy Рік тому

    Love from Rwanda 🇷🇼

  • @jamilaomari2444
    @jamilaomari2444 2 роки тому

    MashaAllah tabarkallah.

  • @zeitunkassim9352
    @zeitunkassim9352 3 роки тому +1

    SubhanaAllah

    • @nassormbarouk9058
      @nassormbarouk9058 3 роки тому

      Mashaallah mashaallah sheikh wetu Allah akuhifadhi na akujaalie kila la kheri ktk maisha ya duniani na ya akhera

    • @zeitunkassim9352
      @zeitunkassim9352 3 роки тому

      @@nassormbarouk9058 allahuma Amiin yah Rabbal A'alamiin 🤲

  • @muhsinsalum8009
    @muhsinsalum8009 2 роки тому

    SHEIKH OTHMAN MAALIM WALLAHI SIJAWAHI KUSKILIZA DARSA ZAKO NIKAKOSA FAIDA, AU NIKAHISI UVIVU, BALI NATAMANI NISIKILIZE TENA NA TENA.
    ALLAH AJAALIE DARSA ZAKO ZIWE NJIA YA PEPO YAKO NASISI TUNAOKUSIKILIZA

  • @shukranjazzakhaallahukheir1897
    @shukranjazzakhaallahukheir1897 2 роки тому

    MashaAllah tabarakaAllahu shukran sheikh jazzakhaAllahu kheir

  • @abeliever6823
    @abeliever6823 3 роки тому +3

    أسال الله ان يجعلك من الصالحين الذين لا خوف عليهم ولا هم يحزنون

  • @abeliever6823
    @abeliever6823 3 роки тому +2

    ماشاءالله. صوت جميل. زادك الله علما ونورا وهداً ورحمة

  • @mohamedswaleh800
    @mohamedswaleh800 2 роки тому +1

    Assalam alekum sheikh wallah utaacha pengo kubwa Allah akikuhitaji sasa naomba ufunze watoto kila ukijuacho fungua madras kwa ajili ya kuziba pengo lako kwani kuli nafsi dhaikatu mauti

  • @a.856
    @a.856 Рік тому

    Jazakallah khayran

  • @azizaabeid2055
    @azizaabeid2055 2 роки тому

    MashaAllah Allah akujalye Afiya

  • @jumamachano8752
    @jumamachano8752 2 роки тому

    Mashallah

  • @bentybenty2343
    @bentybenty2343 2 роки тому

    MASHA ALLAH LA QUWWATAH ILLA BILLAHI..Shukran sheikh jazakallahu kheir

  • @fridahmulongo9484
    @fridahmulongo9484 3 роки тому

    Ma shaa Allah sheikh darsa nzuri sana Allah jazallah khaira

  • @MAPETEE
    @MAPETEE 3 роки тому

    Twaomba Grup lak mashalla

  • @sabrinnasser1370
    @sabrinnasser1370 2 роки тому

    Jazaka Allah Kheir.

  • @zeitunkassim9352
    @zeitunkassim9352 3 роки тому +1

    Waalkm salaam warahmatullah wabaraqatuh sheikh

    • @najmaawadh1359
      @najmaawadh1359 3 роки тому

      A.a zeitun .Hali yako mzm .Najma

    • @zeitunkassim9352
      @zeitunkassim9352 3 роки тому

      @@najmaawadh1359 waalkm salaam warahmatullah wabaraqatuh habibty Alhamdulillah neema Wallah kheir vp nawe mzima?

  • @jumaramadhan1886
    @jumaramadhan1886 2 роки тому

    Mungu azid2 kukuweka

  • @isaackmohamedroble9241
    @isaackmohamedroble9241 3 роки тому

    Shekh Allah akuzidishie nguvu na afya

  • @husna34562
    @husna34562 3 роки тому

    Mashallah swadqta shehk

  • @fadhilimnalale2742
    @fadhilimnalale2742 2 роки тому

    Masha-allah

  • @shaqirali5946
    @shaqirali5946 3 роки тому

    Mashallah jazzakah Allah kheir

  • @lailatomar253
    @lailatomar253 3 роки тому

    Allah akubariq

  • @jumamohammed5378
    @jumamohammed5378 3 роки тому

    MashaAllah

  • @musagalma164
    @musagalma164 3 роки тому +1

    Mashaallah pig up Shky

    • @mwajumahadidi4963
      @mwajumahadidi4963 3 роки тому

      Waliyekum salama waramatu wabarakatu

    • @amidaandhaji8495
      @amidaandhaji8495 3 роки тому

      Assalam Alaykum warrahmatulahi wabarrakatuh Sheikh huna group WhatsApp?

  • @hitmanshakur1227
    @hitmanshakur1227 3 роки тому +1

    💚💚🇧🇮🇧🇮

  • @dokadoka9426
    @dokadoka9426 3 роки тому

    🙏🙏🙏

  • @ashajuma965
    @ashajuma965 2 роки тому

    Mashaallah shekh...napenda mawaidha yako..naomba namba zako za cm

  • @moonathansania6143
    @moonathansania6143 2 роки тому

    M

  • @khamisridhwan934
    @khamisridhwan934 2 роки тому

    Ujumbe umefika

  • @najmaawadh1359
    @najmaawadh1359 3 роки тому

    I have a question shekh Othman .kwahiyo baada ya kujigamba na Mali yake Kwa swahib yake hakumuajiri tenaa ???

  • @AnwarAli-vs9mp
    @AnwarAli-vs9mp 3 роки тому

    Nifanye nn ilii ntaka kuishi zanzibar???? Nihame kenya nije niishii na familia yangu

  • @ThabiyaNgumbu
    @ThabiyaNgumbu Рік тому

    🙏🙏🙏