CLEMENT MZIZE ACHANGAMKIA FURSA/ANAUZA DUKANI KWAKE NA ALLY KAMWE/JIONEE ILIVYOKUWA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 лют 2025

КОМЕНТАРІ • 28

  • @saidikomba3120
    @saidikomba3120 Місяць тому +2

    Hongela sana kwa kujitambua

  • @HabibaKhamisi-xo8tz
    @HabibaKhamisi-xo8tz Місяць тому +7

    Yaaaan ukweli usemwee tu kuanzia viongoz, waandishi , msemaji, wazeee, wachezaji, makocha na benchi la ufundi, na mashabiki , pia hawa wote wanajielewa sanaaaa ndio maaan wanaishabikia yangaaaaaaa

    • @PhilomenaSteven-x9h
      @PhilomenaSteven-x9h Місяць тому

      Safi wananchii mzize clemen pambana sisi yanga tuna upendo wa kweli 💚💚💚💚💛💛💛💛💛🙏🙏🙏🙏

    • @hongolejr-x2u
      @hongolejr-x2u Місяць тому

      No kweli kabisa dadaangu upo sahihi yanga hii ni bonge la club good management

  • @AgenesMugema
    @AgenesMugema Місяць тому

    Wananchi mmeonyesha sana Upendo kwa Mzinze Mungu awabariki sanaaaaaaa.

  • @MariaSigani
    @MariaSigani Місяць тому +2

    Safi sana kijana na mungu akupe hitaji la moyo wako🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @fatmasuleiman3885
    @fatmasuleiman3885 Місяць тому +2

    Hongera mwanetu kufanya fursa ya kutafuta lizki sehemu nyingine mwenyezimungu akutunzie biashara yako naww ujitunze ktk soka Aameen💚💚💚🙏

  • @MuslihiShafii
    @MuslihiShafii Місяць тому +1

    Aisee mzize kazi mzuri

  • @manojkumarchavda65
    @manojkumarchavda65 Місяць тому +2

    Naomba muweke location ya duka hilo, wengi hatujuwi liko wapi.

  • @mitinjemaziku
    @mitinjemaziku Місяць тому +1

    Yanga hii kitu amaizing sana

  • @BabuallyAbdul
    @BabuallyAbdul Місяць тому +3

    Hili Tangazo la kibiashara lilitakiwa lilipiwe pesa ila mumefanya bure.huu ni upendo mkubwa kwa Club kwa mchezaj wake.musimshahau na Max asije akatia unyonge

  • @rachelcheyo-p5z
    @rachelcheyo-p5z Місяць тому

    Yanga bingwa

  • @yasrikomba7874
    @yasrikomba7874 Місяць тому

    Hongera sana

  • @HabibaKhamisi-xo8tz
    @HabibaKhamisi-xo8tz Місяць тому

    KAMA UHISHABIKIII YANGAAAA BAS TUKUPE POLEEEEEEE UNACHELEWAAAA KUPATAAAAA FURAHA YAKO YA KUDUMUUUU😂😂😂😂😂😂😂

  • @LuckyTemu
    @LuckyTemu Місяць тому

    Mwenyekiti kama panya rodi 😂😂😂

  • @fatmaomar8335
    @fatmaomar8335 Місяць тому +1

    🔥🔥🔥

  • @Kuminamoja1995
    @Kuminamoja1995 Місяць тому +1

    Nimechukia simba walivyo funga jana 😡😡

  • @mrrockboy9508
    @mrrockboy9508 Місяць тому

    Safi sana🎉🎉🎉🎉

  • @Kuminamoja1995
    @Kuminamoja1995 Місяць тому

    Nunua, lipia, piga picha😂😂

  • @assumedprivacy3940
    @assumedprivacy3940 Місяць тому

    Hii ndio Yanga !

  • @GeorgeMendez-x6o
    @GeorgeMendez-x6o Місяць тому

    GOD Yanga Kanunua Ngap????😂😂😂😂

  • @LabanKabingo
    @LabanKabingo Місяць тому

    Huo ni unafiki kwani mlikua wapi mbona Hilo duka lilikuwepo toka zamani lkn pia yaani kumuunga mkono Hadi afunge kweli hii Tim haina mkubwa

  • @user-xy8kl9wd2i
    @user-xy8kl9wd2i Місяць тому

    💛💚🧠

    • @MamaaOdetta
      @MamaaOdetta Місяць тому

      Vichekesho

    • @UmmyHamisi-ru2rw
      @UmmyHamisi-ru2rw Місяць тому

      ​@@MamaaOdettakwa mwenye roho ya nzopata na kilangarilo ataona ni vichekesho 😏