Fahari ya Zanzibar - KANGA 01

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 23

  • @seifabdulwahid4579
    @seifabdulwahid4579 Рік тому +1

    Tatizo ndugu zetu wa kike na adada zetu mnafuata sana utamaduni wa Tanganyika kwa hiyo mnauwa Tamaduni zetu

  • @lkshmykomar5472
    @lkshmykomar5472 3 роки тому +1

    Mashallahu nyumban nkuzur sana mashallahu naipenda Zanzibar yangu

  • @hajimbwanahaji7197
    @hajimbwanahaji7197 3 роки тому

    Namshukuru Mungu ya kwamba kwa nimepata bahati ya kwamba navuna falsafa kutoka kwa Maalim Farid

  • @zuwenaabrahman9913
    @zuwenaabrahman9913 3 роки тому +1

    nasheka mie nimesome napenda mung wangu nitaeka kanga mbili

  • @omarrashid6543
    @omarrashid6543 3 роки тому +1

    Gaucho hahahahaha Bi Nasra uko vizuri

  • @KiswahiliWithAbdulkarim
    @KiswahiliWithAbdulkarim Рік тому

    Asante sana 🙏

  • @38wahida
    @38wahida 8 років тому +2

    aaa bi nasra masha Allah ,bibi wa vitongoji

  • @kautharsalum6743
    @kautharsalum6743 5 років тому +1

    Allahumma rhamu mzee wetu mzee mvita..amin amin

  • @jacksonakirwa6655
    @jacksonakirwa6655 5 років тому +1

    Nasra mama wa Dubai uko vizuri

  • @umiy1971
    @umiy1971 8 років тому +3

    mashaallah nimefaidika sana lakini bi Nasra angalau onesha bashasha ya sura basi mtangazaji ni lazima awe na uso wa bashasha.

    • @zeanasuleiman7201
      @zeanasuleiman7201 3 роки тому

      Kipindi cha mwanzo kuanza kutangaza kwa hio ilikuwa full khofu ndugu yangu. But kutoka hapo ilikuwa ni kawaida na mood nzuri

  • @kombojuma2807
    @kombojuma2807 3 роки тому +1

    Wanaume wanafaa kanga ila kwa mazingira maalum

    • @mariambintsaid3814
      @mariambintsaid3814 Рік тому

      naommba nieolielimishe ndugu, ni mazingira gani hayo mathalan?

  • @38wahida
    @38wahida 8 років тому +3

    kumbe stupid politics ndio imeua uchumi wa Zanzibar otherwise tungekua mbali ni masoko ,maana tungekua tuna jitegemea kwa viwanda adi international markets ila so sad now kila kitu kimeenda ,allah ajaalie znz yetu irud kama zamani

  • @theteacherchance6750
    @theteacherchance6750 День тому

    Inna' lillah wainna' ilayhir Rajioon,
    Nimekufahamu nikiwa ZU:
    Septemba 22, 2024

  • @aishaomar4318
    @aishaomar4318 5 років тому +1

    Sisi wengine tunajivalia tu hatujui kama hii ya mjane au ya mwenyehezi 😁😁😁

  • @ashasimai9391
    @ashasimai9391 4 роки тому

    Napenda sn vazi LA khanga

  • @saydbarakismailiya1515
    @saydbarakismailiya1515 6 років тому +1

    Nimeipenda sana hii mada historia yetu ni kitu cha muhimu kuliko siasa za kiubaguzi

  • @shebyboy2809
    @shebyboy2809 3 роки тому +1

    Dadangu nasra umepndeza karbu zazbar

  • @Queen-be1uf
    @Queen-be1uf 3 роки тому

    Tumeelimika kidogo. Fareed himid tunakupenda kwa kazi nzuri unayoifanya. Ha kika hii ni fahari yetu

  • @FatmaMwalimu-p2p
    @FatmaMwalimu-p2p Рік тому

    Mashaallah