NAMNA YA KUTANDIKA KITANDA KISASA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 гру 2024

КОМЕНТАРІ •

  • @vumilianandonde1104
    @vumilianandonde1104 5 років тому +5

    Shukran somo zuri sana. Waschana wengi tunahitajia mafunzo kama haya ili tuweze kuweka vyumba vyetu katika hali ya mvuto. Tuongezee mafunzo mengi yanayofanana na hili. Mungu akuhifadhi dadaangu. Ameen

  • @ahmedronga7583
    @ahmedronga7583 4 місяці тому

    Masha Allah somo zuri mungu akuzidishie

  • @ashachitemo7816
    @ashachitemo7816 Рік тому

    Kazi nzuri sanaaa

  • @evaomarymasinde262
    @evaomarymasinde262 5 років тому +9

    Ulitakiwa uwanze upya unatoa shuka unaonyesha kutandika apo umeshatandika ndiyo unaonyesha.

  • @mwanatumujuma4973
    @mwanatumujuma4973 5 років тому +16

    Asante sana dada kma cjasahau kuna mwanaume alimpnda mschana kwa jinsi ya kutandika kitanda tu bas akaamua kumuoa

    • @zaidenmayson879
      @zaidenmayson879 3 роки тому

      a tip : watch series at kaldrostream. Me and my gf have been using them for watching lots of of movies lately.

    • @vihaantucker2850
      @vihaantucker2850 3 роки тому

      @Zaiden Mayson Yup, been using KaldroStream for months myself :)

    • @leandrodominic5822
      @leandrodominic5822 3 роки тому

      @Zaiden Mayson yup, have been using Kaldrostream for months myself :)

    • @HusseinMohamed-jq7hu
      @HusseinMohamed-jq7hu Рік тому

      Alijuwa vp kama anajuwa kutandika kitanda

  • @nanceaidan6622
    @nanceaidan6622 5 років тому +2

    Ubarikiwe nimejua kutengeneza Engle

  • @froziakihwele9733
    @froziakihwele9733 4 роки тому

    Rehema wangu jamani big up funzo zuri

  • @kwizeraelly9261
    @kwizeraelly9261 5 років тому +1

    Barikiwa dada inaonekana unapenda kujifunza kwa wahindi kama mimi barikiwa.

  • @kubwimanaelysee5658
    @kubwimanaelysee5658 2 роки тому

    Shukuran Madamu

  • @maryamshineface4015
    @maryamshineface4015 5 років тому +3

    Asante sana dada
    Naomba utusaidie na ss ambao hatuna vitanda vya kuchomekea

    • @hamisa3447
      @hamisa3447 3 роки тому

      Ivyo ukijua kuweka 4 corner inapendeza sanaa

  • @aggie4189
    @aggie4189 5 років тому +1

    Waoooh 🥰🥰 nmependa

  • @ellyminja3658
    @ellyminja3658 6 місяців тому

    Nice dadaa

  • @shababygirlshambuwa8388
    @shababygirlshambuwa8388 5 років тому +1

    wao nainjoy

  • @gladysramadhan4008
    @gladysramadhan4008 2 роки тому

    👌👌

  • @mwanahalimamwachili9679
    @mwanahalimamwachili9679 5 років тому

    Maa Shaa Allah, Shukran sana, Barikiwa sana.

  • @fehiciteand8784
    @fehiciteand8784 5 років тому

    Kawaida ya kudu fundisha unapaswa kuanza rupya, unaonesha mwanzo Na mwisho Ndo mutu ataerewa vizuri. Siyo kutwambia tu.

  • @nailathkhalidi5632
    @nailathkhalidi5632 4 роки тому

    Je sii tunao tumia Brangeti na shuka tuta tandika je

  • @barakambise2425
    @barakambise2425 5 років тому

    Nimeipenda imenivutiya

  • @shababygirlshambuwa8388
    @shababygirlshambuwa8388 5 років тому +2

    mziki upo juu jamani ata hatusikii vizuri baathi ya maneno

  • @mamakeallyzecha1936
    @mamakeallyzecha1936 5 років тому +1

    Nimeipenda😍

  • @raymahorg758
    @raymahorg758 4 роки тому

    Vitu vingine vinavyoelekezwa mbona hamtuonyeshi zaidi ya kuonesha uso wa muongeaji

  • @mwanahamisjuma3361
    @mwanahamisjuma3361 5 років тому +4

    Shuka mbili kwa huku kwetu uswahilini hazifai iyo moja tu kufua majanga

  • @sheisgodorait5721
    @sheisgodorait5721 5 років тому

    Nzuri staili ya utandikaji hongera

  • @finnmwas1957
    @finnmwas1957 5 років тому +1

    Ana tandika kitanda kinakaa Keki

  • @JanetRosesB
    @JanetRosesB 5 років тому +2

    Wow I love making the bed

  • @advelajohn6455
    @advelajohn6455 5 років тому +3

    Ahsante mamy nimependa

  • @sharifachacha978
    @sharifachacha978 5 років тому

    hongera

  • @najmagudeh203
    @najmagudeh203 5 років тому +2

    Mafunzo mazur

  • @rosaree3884
    @rosaree3884 5 років тому +1

    I like it

  • @emmanueliemmanueli7600
    @emmanueliemmanueli7600 5 років тому

    Thanks daa kwa elimu yako nzuri

  • @haipaabdu3991
    @haipaabdu3991 5 років тому +1

    Wow

  • @justerkamugisha5107
    @justerkamugisha5107 5 років тому

    asante mama kwa kutufundisha

  • @angelinaelishachisongela7859
    @angelinaelishachisongela7859 5 років тому +4

    UBARIKIWE Dada kuna kitu nimejifunza

  • @jacquejonas9208
    @jacquejonas9208 5 років тому

    Blanket unaliweka wapi...mbona hujaonyesha

  • @nurathbashiri2418
    @nurathbashiri2418 5 років тому +3

    Tumejifunza

  • @agnessevarist499
    @agnessevarist499 5 років тому +3

    shukrani

  • @fatmashosy9362
    @fatmashosy9362 5 років тому +1

    Mashallah somo zuri

  • @milcahlaizer5771
    @milcahlaizer5771 5 років тому +3

    Barikiwa kwa someone zuri

  • @neemajerrymwaihojo2813
    @neemajerrymwaihojo2813 5 років тому +1

    iko vzr sanaa

  • @pasichalitemo5483
    @pasichalitemo5483 3 роки тому

    shilu GP

  • @maurinewamkota8847
    @maurinewamkota8847 5 років тому

    Ahsante nimejifunza sana

  • @christinakulwa9240
    @christinakulwa9240 5 років тому +2

    Wengne dada Hakuna hata magodoro

  • @carolmuchiri9921
    @carolmuchiri9921 5 років тому

    Yenyewe Kitanda chapendeza, Na je Wale tuko kijijini na bado twatumia Kitanda cha amkatukazi tutakitandika Vipi, Tusaidie pia!

  • @mimimoop2617
    @mimimoop2617 4 роки тому

    Sawa tumrona ubunifu

  • @leahshiroo981
    @leahshiroo981 5 років тому

    Sijaona blanketi

  • @irenemwanaa8160
    @irenemwanaa8160 5 років тому

    Nimekuelewa

  • @gloriamalisa3033
    @gloriamalisa3033 5 років тому

    asante mamii

  • @feristerkumbuka1837
    @feristerkumbuka1837 5 років тому +3

    Ko Kama godoro limebonyea unafanyaje

    • @haniphermuscatoman6554
      @haniphermuscatoman6554 5 років тому +1

      Tandika juu juu wangeukuja kutoa somo Oman maana mtu akitandika mwezi huu Hadi badaa ya miez miwili 😂😂😂😂

  • @paulinamailec1710
    @paulinamailec1710 5 років тому

    Sawa

  • @asmaafamau8307
    @asmaafamau8307 5 років тому +1

    Shukran

  • @assumptahatungimana8376
    @assumptahatungimana8376 5 років тому

    Asante

  • @mwanaharusimwachotea2326
    @mwanaharusimwachotea2326 5 років тому

    mwachotea

  • @medynation5995
    @medynation5995 5 років тому +1

    pw

    • @faridamlekwa3952
      @faridamlekwa3952 5 років тому

      Kwa kuwa umependa kutufundisha, kwanini usingeanzia kwenye kutandika kitanda kabisa? Maana hapo nimeona tu unakunja shuka la pili!

    • @cathernjames1092
      @cathernjames1092 5 років тому

      Asante kwa shule nzuri, nimeipenda. Kwa vile tunafundishana, naomba niongeze vitu vichache. Unapochomeka shuka, inua godoro kidogo upande unaochomeka na kuingiza hiyo sehemu ya shuka chini ya godoro, siyo kuifinyanga na kuikusanya pembeni pa godoro na kitanda. Kuhusu taulo: kwa nyumba za kulala wageni unaweza kuliweka kitandani. Kama ni nyumbani kwako si ustaarabu taulo kuwepo kitandani, ni sawa na kuweka sabuni ya kuogea kitandani kama decoration. Taulo linakaa bafuni ambako ukimaliza kuoga unajifutia na kuliacha huko ili baadaye lichukuliwe likafuliwe. Kwa nyumba zenye kushare bafu huwezi kuliweka bafuni bali uwe na mahali pa kuweka taulo zako safi mf. kabatini. Vinginevyo nakupa big up sana mamaa.

  • @pasichalitemo5483
    @pasichalitemo5483 3 роки тому

    shilu GP