KWA HUZUNI KUBWA DKT MWINYI AFIKA KWA FAMILIA YA HAJJAT BI. AKIBA ALIEKUFA MADINA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 6 жов 2024
  • Angalia Video Hii Mwanzo mwisho , Kisha Subscribe ili uendelee Kupata Habari Zote.
    Follow Ktv Tz Online
    Facebook | KTV TZ ONLINE
    INSTAGRAM |@ktv_tz_online
    Wasiliana nasi kupitia number
    +255 625 323 932
    Ktv Tz Online Journalists
    cc: Sadia Rashid
    cc: Sauti Byego
    Camera Department"
    Dadi Ali
    Omar (OJ)
    Nassor Shaibu
    Abdallah Juma
    Editors:
    Juma Maulid
    Dadi Ali
    Video Zingine:
    Angalia hapa - Diamond Platnumz Alivyolisha watoto yatima
    Ali Kiba akiwa Oman
    • ALICHOKIFANYA DIAMOND ...
    • NI KWELI ALI KIBA AMNU...

КОМЕНТАРІ • 44

  • @umminelson8487
    @umminelson8487 2 роки тому +7

    Ma shaa Allah viongozi kama hawa ndio wakuigwa

  • @yahyahamad1802
    @yahyahamad1802 2 роки тому +3

    ahsante mhe raisi wangu

  • @muddymuzungu4357
    @muddymuzungu4357 2 роки тому

    Maa Shaa Allah Dk ,mh Rais! Kwa kuitembelea Familia ya Bi Akiba!
    Umeifariji sana Familia hii🙏😭
    Mh tunakuomba kila mwaka wa Hijja wapeleke japo 2,2 waende Hijja
    Allah atakulipa zaidi
    In Shaa Allah

  • @skjjsj1889
    @skjjsj1889 2 роки тому

    Ma sha allah
    Binti umeeleza vzr maelezo yako allah amrehemu mama yetu
    Allah awahifadhi na awabariki wtt wa marehemu

  • @mrsferuzi7443
    @mrsferuzi7443 Рік тому

    Amiini

  • @khadijaabdallah6108
    @khadijaabdallah6108 2 роки тому

    Mashallah... Jamni huyu Rais namkubali Hadi bass Allah amuhifadhi . Aaamin

  • @amourmattar773
    @amourmattar773 2 роки тому +4

    Mashaallah kusema kweli Mimi na mpenda sana huyu RAISI wetu kwa tabia na ukweli na huruma ilizo jaaliwa na Allah

    • @sabihaibrahim143
      @sabihaibrahim143 2 роки тому

      Na Mimi pia hii ndo sifa ya kiongozi sikuwaona sheni na balozi sefu kufanya hivi anaupendo Wa dhati kabisa

    • @hasnuumakame9219
      @hasnuumakame9219 2 роки тому

      @@sabihaibrahim143 Kabisa kwa kweli mm toka nianze kua na fahamu zangu sijawahi kuona Rais wa Zanzibar kua na hulka kama hizi na kujishusha kwa watu wa kawaida..
      Nimeshuhudia utawala wa Salmin Amour, Amani Karume, Dr Ali Shein na Dr Hussein Mwinyi, wallah kusema ukweli huyu amajitofautisha sana na hao wenziwe..

  • @fsaad5116
    @fsaad5116 2 роки тому

    MashaaAllah

  • @jumamohammed5378
    @jumamohammed5378 2 роки тому

    Aaaamiiin

  • @salumhassanallymkurdistan7006
    @salumhassanallymkurdistan7006 2 роки тому

    Amin 🤲
    Amin 🤲
    Amin 🤲

  • @hanifadarwesh4851
    @hanifadarwesh4851 2 роки тому

    Allah ampe mafanikio dunian na akhera. Ameifanya familia kuwanafuraha. Namuomba allah ampe wakumfurahisha zaidi duniani na akhera, furaha zenye kudumu kwaufalme wake.

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 2 роки тому +2

    Juma kapilima ni sawa usemavo lakini mwenyeji wake yani mume wa marehem kakaa juu ya kiti vipi rais akae chini?

  • @aviwaomar439
    @aviwaomar439 2 роки тому

    Amiin ya rabii mpokee mama yetu mikono miwili 😭😭😭😭😭😭😭🤦🏿

  • @aviwaomar439
    @aviwaomar439 2 роки тому

    Amiin thumma amiiin 😭😭😭

  • @madinaomar679
    @madinaomar679 2 роки тому

    asante rais wetu , mungu akulinde na shar za viumbe wabaya

  • @adamjuma3
    @adamjuma3 2 роки тому

    Hongera rais tunapopata majanga raia utufariji

  • @hayatabdulla5084
    @hayatabdulla5084 2 роки тому +1

    Innalilah Wainah Rajiun

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 2 роки тому

    Hongera mheshimiwa Kwa kwenda kuwafariji wafiwa, ila ingependeza sana mheshimiwa ukienda Sehemu kama hizo na wewe kukaa chini kama walivyokaa wenzako , mama samia alionyesha mfano mzuri Kwa Hilo,,

    • @maryamalli9090
      @maryamalli9090 2 роки тому +2

      Binaadam bwana hamuishiwi na hoja kwani kuna maziko hapo mpaka akae chini

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 2 роки тому

      @@maryamalli9090 huna ulijualo!!

    • @maryamalli9090
      @maryamalli9090 2 роки тому

      @@jumakapilima7295 😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳

    • @maryamalli9090
      @maryamalli9090 2 роки тому

      @@jumakapilima7295 na wewe hivyo hivyo

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 2 роки тому

      @@maryamalli9090 bahati mbaya sana huwa sina muda na watu ambao inaonekana wazi kichwani hamna kitu,,,

  • @jaymasga4774
    @jaymasga4774 2 роки тому

    l

    • @moha8620
      @moha8620 2 роки тому +1

      Maashallah nimependa sana na mm jinsi rais alivyo fanya mola amjaalie na yeye awe na mwisho mwema aamin